Rayvanny asimulia ugomvi wake na Harmonize ulivotokea hadi kupatana kwao na kufanya Wimbo wa Sensema! Tulikua tunamsema Diamond kwenye Simu, ikawa Vita kubwa sana, Akanipeleka Kesi nifungwe miaka 30 Jela! Harmonize ADUI Sana!
Umetishaa sanaa leyvanny na pia kondee boy mii namkubarii sana jeshii mii ndoo shabikii yakee sanaa Na nimeimbaa rimx kibaoo nyimbo zake badoo sijazitoa broo ni saprt broo Lil ommy
Kumbe ray anamoyo kama Wang..wakutokasilika hata kama mtu akiwa anakuuzi kiasi gan ..na anamoyo wakusamehe napia kutokasilika kitu chakukasilika .wow. Ray moyo wake unafanana Saana na mim
Mbna vistur sasa wakati van ndio anaongea? Na kama swala la wema ubaya unakuwa rahisi kuupoteza wema wako, kama mwema kuwa mwema na mbaya kuwa mbaya tu.
Na ww lil mommy mbona bado una kinyongo na harmonize?coz ikija swala la kumuongelea konde you seem to be too happy on that na ww ni mtangazaji so haupaswi kuweka chuki na wasaniii...ama coz uko wcb ndio dai akikosana na wengine pia nawe wayavalia njuga?
Ila mziki ni siasa kumbe akuna beef kat ya mondi na konde wala vanny biashara ya mondi bado dah nimee elewa k2 kumbe tunatengenezewa story ila akili kubwa sn bg up kwenu wcb
Sasa wewe mshikaji Mbona interview zako haumwiti Harmonize au kisa hana maelewano na Bosi wako ifike pahali wandishi msichague Chaka its unprofessional for the industry na Hili lipo sana Tanzania