Sanaaaa!!Na ndiyo kinachowapa hela ss hv mpaka wanajeuli ya kufungua makampuni yao mbali mbali wamejua kujipendekeza kwa mama yao samia na ndiyo hapo wanajikuta wakimsifia sn samia hata akiaribu wao wanasema kafanya vzur,
Huyu jamaaa mimi huwa ananikata san anavyo msifia mamaake samia mdawooooote yan unaweza seme huyo mamaake ni MUNGU umsifiage bhac na mamaako mzazi mz we nn samia samia samia ndyo rakin tunakalibia kujuta sasa huyo mama kafanya nn vitu vyote ni magufur kaviacha huyo mama nikutufilis2 anatufilis bandal kauza ushoga kauweka kipaumbele bado mnamsifia we nn ww ila harmonize
Kwa hiyo ndugu yetu biashara umeona kamali tu hamna biashara nyingine yakufanya kiukwel ni mtihani na hii yote inasababishwa na kupenda dunia kuliko akhera
Huyo bila Uchawi wa ccm hawea mpumbavu tu stupid kabisa Samia toka aanze Uchawa amemtaja mara nyingi kushinda mama yake Gen Z tutanyooka nae time ikifika