Тёмный

RC Dendego aonya upandishaji wa bei, Maonyesho ya uwezeshaji kiuchumi Singida 

Asili Digital
Подписаться 305
Просмотров 61
50% 1

Mkoa wa Singida unatarajia kuwa mwenyeji wa maonyeshoya 7 ya mifuko ya programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi yatakyofanyika kwa siku 7 mfululizo kuanzia tarehe 8 mpaka tarehe 14 mwezi huu
Akizungumzana waandishiwahabari ofisinikwake mkuu wamkoawasingida Halima Dendegoamesemalicha ya maonyesho hayo kufanyikasingida kwa pamoja watashirikiana na mikoa ya Dodoma, Manyara, Shinyanga, Tabora pamoja Dar es salam
Aidha amewataka wakazi wa singida kujitokeza kwawingi katika maonyesho hayo yatakayofanyika viwanja vya bombadia ili kujifunza na kujua program hizo zinafanyaje kazi na mwananchi anafaidika vipi na program hizo ili kukuza uchumia wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa mkoa

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@GloryIzack
@GloryIzack 11 дней назад
Kazi iendeleee Singida
Далее
WALINZI WAWILI WAUAWA KIKATILI SINGIDA
7:25
Просмотров 6 тыс.
ВЛАД А4 СКАТИЛСЯ
09:34
Просмотров 565 тыс.
MSNBC Highlights  - Sept. 17
49:23
Просмотров 443 тыс.
Watch the Best of MSNBC Prime: Week of Sept. 15
42:06
Просмотров 392 тыс.
Watu tisa wafariki kwa ajali mkoani Singida
3:39
Просмотров 6 тыс.
ВЛАД А4 СКАТИЛСЯ
09:34
Просмотров 565 тыс.