Тёмный

RECAP: DIAMOND anachukiwa bila sababu, AMESAIDIA WENGI, AONGOZA SPOTIFY, ALIKIBA, HARMONIZE, RAYVANN 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Развлечения

Опубликовано:

 

7 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk 3 месяца назад
Tanzania ni makuma2 ndo maan hali ngumu diamond ni mkubwa inabidi tumpe support kma kna nigeria
@rahelclement4298
@rahelclement4298 3 месяца назад
Bongo 5 leo mmetisha sana umeongea ukwel sana
@josephmabula9658
@josephmabula9658 3 месяца назад
Ndo media pekee ambayo imeongea fact
@davidmwasa
@davidmwasa 3 месяца назад
Watu wanamwelezea kwa chuki siamesha waacha kimafanikio leo hii tunawaimba akina marioo akijakuwa staamkubwa anamihela watu wanaanza kumkataa amini ivo broo
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 3 месяца назад
Ni kweli brother
@ntakirutimanacalixte3972
@ntakirutimanacalixte3972 3 месяца назад
Thank u gee we stay with u all the time 🔥🔥🔥
@taufikishazili5633
@taufikishazili5633 3 месяца назад
Niko na mashikaji wangu mmoja anaishi Netherlands 🇳🇱 yupo kwenye media industry pia Aliwahi kuniambia kuwa nyimbo anazo Isikia huku ni diamond na Rayvanny japo sio sana still.. akasema kuwa huto sikua wimbo wowote ambao utapigwa kweny media house bila msanii kukupia ..one song + time +day +week e.c.t. Na hii ndiyo platform ambayo wasanii wa kubwa wanaitumia kununua airtime kwenye vipind..... Swali je huu mfumo kwa Tanzanian hiz media house waanze kuchukua pesa kwa wasanii ili wazipe airtime nyimbo aub kwa manufaa ya media Au waendelee na huu mfumo wa media kupiga nyimbo za wasanii na kuwa fanya kuwa kwenye sport ili midea watu waipende kwa kuwa inapiga mzik mkali.............bro
@davidsika5292
@davidsika5292 3 месяца назад
Leo umechambuaaaa vizuriii
@taufikishazili5633
@taufikishazili5633 3 месяца назад
Leo nimegundua kuwa kweli hatupendi ukweli...comments zmekuwa chache umezungumza ukweli kuhusu mawndeleo watu kama hawaoni . IKO HIVI Labla wizara huska ..burudani pamoja na habari Unaweza kuleta umoja katika hii industry ya music Tanzania Swali moja ty kweny hi top 20 or 10 countdown et unakuta kuna 40% Ambazo sio nyimbo za Hapa ndani eti zinafanya vizur maana yake nini ili iweje yeye atawaps hiyo platform kama muliyo mpa yeye...😅😅😅 NASIBU Aligundua moja kayi ya njia sahihi ya kufikisha kazi zake kwa ulahisi ni kuwa media house 🏠that's way leo tunaona utambukisho mkubwa wa nyimbo pamoja na wasanii kiujumla
@user-eq1cm3zq8i
@user-eq1cm3zq8i 3 месяца назад
Nakupa mauwa yako Brother 🎉🎉🎉❤
@Jonathanabedinego
@Jonathanabedinego 3 месяца назад
Kaka ongera sana
@SimonBaraka-yv2cx
@SimonBaraka-yv2cx 3 месяца назад
Hiyo chuki ilianzishwa na Harmonize... Harmonize aombe Radhi Watanzania kwa kumukosea Diamond Platnumz 🙏🙏🙏🇹🇿
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
Asante sana!!!!! Umemaliza
@user-fz1kh9in2c
@user-fz1kh9in2c 3 месяца назад
Mwanangu umeongea fact sana
@BarakaMapunda-bp1uv
@BarakaMapunda-bp1uv 2 месяца назад
Umetisha mzeeeh
@SULEMEDIATZ
@SULEMEDIATZ 3 месяца назад
Nimeanza kukukubali bro Chukua maua yako🎉🎉🎉
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 3 месяца назад
Simba la ma Simba dangote kiboko yao
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 3 месяца назад
Tuondolee uchawa wako apa
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 3 месяца назад
​@@achawanunetv1167ndugu una makasiriko cjui unatesek ukiwa wpy
@channyanjen9047
@channyanjen9047 3 месяца назад
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
@channyanjen9047
@channyanjen9047 3 месяца назад
Safi Sana bongo 5 nakupenda Sana kaka
@omosh2023
@omosh2023 3 месяца назад
Ver true, Platnumz is one of the finest Musicians Africa ever produced.
@user-oe5ze5uq8m
@user-oe5ze5uq8m 3 месяца назад
Congratulations el mando unaongeya point nzuri kabisa
@michaeljuma7764
@michaeljuma7764 3 месяца назад
Very true. Facts only
@yanickmustafa7221
@yanickmustafa7221 3 месяца назад
Simba 🤴
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 5 дней назад
Apewe maua yake Bwanaaa namkubali sana kijana wetu tuache roho mbaya wtz
@user-sg7tv5cu8i
@user-sg7tv5cu8i 3 месяца назад
Diamond platnumz ndoo msani mwenye ushawishi kwenye inchi hii na katambulisha mziki wa tz na Africa mashariki kiujumla
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
Mara 9
@Mohaa4309
@Mohaa4309 2 месяца назад
👏👏👏👏
@titusnailstz6478
@titusnailstz6478 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉❤
@NdakhiSusu-qz9md
@NdakhiSusu-qz9md 3 месяца назад
Haujui🔥🔥🔥🔥🔥
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
4sure bro we nd 2 change
@bongofive
@bongofive 3 месяца назад
Keep it up
@user-ts1sp7ei6b
@user-ts1sp7ei6b 3 месяца назад
Hiyo ni kweli kawasaidiya sana
@Jonathanabedinego
@Jonathanabedinego 3 месяца назад
Kaka Mimi naitaji ku zungu MZE Kama uto jali
@babalao3250
@babalao3250 3 месяца назад
We zombie
@AdelaStutus
@AdelaStutus 3 месяца назад
Fact
@user-wy4fv9vd7w
@user-wy4fv9vd7w 3 месяца назад
mondi mwamba😛😛😛😛
@user-km4om6bw1j
@user-km4om6bw1j 3 месяца назад
Ww kweli siyo mtangazaji ila kijana mbeya sana , tangaza mziki bro
@MwilikwaNgongo
@MwilikwaNgongo 2 месяца назад
Bladha nakukubali sanatu
@kalistuschaula
@kalistuschaula 3 месяца назад
we umeongea vizur sana
@rosejohni9371
@rosejohni9371 3 месяца назад
Umeanza vizuri ila mwishoni apo Kwa harmo umebolonga shuu imeenda Dunia afu unalinganisha na. Takataka
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 3 месяца назад
Hii media sometimes sometimes inaongeaga ukwl kliko hta Sns .Utakuta Sns wnasuport burnaboy wkat hta hzo blog za Nigeria hajishughulish na wasanii wetu
@john_1trader
@john_1trader 3 месяца назад
Jamaaa anahitaji sanamu kiukweli niko kenya
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 3 месяца назад
Ivi uyo alikibakuli mnaosemaga ni mkubwa mbona apo aingiii kapitwa adi na vitoto😂😂😂😂😂😂 msimfananishe chibu na kibakuli nyambafu nyinyi😅😅
@chibudangote0126
@chibudangote0126 3 месяца назад
MEDIA NYINGI ZA TANZANIA WANATUMIA JINA LA DIAMOND KWA UBAYA ILA KUINGIZA HELA NA WAO NDO WANAWALISHA MASHABIKI UBAYA KUHUSU DIAMOND KWA FAIDA YAO
@MwilikwaNgongo
@MwilikwaNgongo 2 месяца назад
Nakukubali sasa wewendo wakwanza juju siku Liza vizuri
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 3 месяца назад
Sio wasanii wote wanaweka miziki Yao Spotify
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 3 месяца назад
Uchambuzi wa maana kabisa🎉
@Asake-wa-tandale.
@Asake-wa-tandale. 3 месяца назад
Watu ambao wanamsema mwambino kupitia mapungufu wengi niwale ambao wanataka kiki sure bro
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 3 месяца назад
Asee kat ya siku umeongea ukweli ni Leo Asante nlazima nikutafutee
@AmosMchiwa-ub8qq
@AmosMchiwa-ub8qq 3 месяца назад
Uko sahihi xana %100
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 3 месяца назад
Asee hii irudiwe kka
@NashonyMagwi
@NashonyMagwi 3 месяца назад
ndio mafanikio ya mjinga ni chuki❤❤❤
@rabaniradukunda6201
@rabaniradukunda6201 3 месяца назад
Alikiba hayumo😮😮😢😢😅😅
@hermanarron5341
@hermanarron5341 3 месяца назад
Bado hujasema elmando 😂😂 huyu jamaa ameshindikana
@Rafaeltuli-gw8ii
@Rafaeltuli-gw8ii 3 месяца назад
leo nimefurahi sana simba lamasimba dangote
@hassanomedo-xn5cz
@hassanomedo-xn5cz 3 месяца назад
Wee zombi 🎉🎉🎉
@SiscoKalongola-vu8nk
@SiscoKalongola-vu8nk 3 месяца назад
Ukubwa wa song haupmwi kwa spotify pekee lazima uangalie kwenye digital platforms zingine umefanyaje huo wimbo, how do you say tetema ndiyo bora wa muda wote?
@jenahando2747
@jenahando2747 3 месяца назад
Ndio nyie sasa anawazungumzia
@walengamwamaua-ws6io
@walengamwamaua-ws6io 3 месяца назад
Tuachie kelele
@user-cd2mf2vf8r
@user-cd2mf2vf8r 3 месяца назад
Sio bila yasababu sababu nikwamba kawazidi maendeleo ndomaana wanamchukia
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o 3 месяца назад
Unasaidia alafu unatoza milion 600 huna akili bro mbona mimi nakula bila kusaidiwa na mtu yeyote
@malianonicass7029
@malianonicass7029 3 месяца назад
Tahira wewe anakudai kwa sababu anajua unazo na yeye ndo kafanya azipate hizo
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 3 месяца назад
Watanzania muelewe Ile n biashara na alisaini mikataba kwahyo kwenye swala la biashara ushikaji tunaweka pembeni muziki wa Sasa syo Ile wa akina juma nature huko tushatoka zamani
@user-uj5mz7hd2u
@user-uj5mz7hd2u 3 месяца назад
Sasa unukula nn we unakula makande kila siku unataka nani akulipishe mbwa wee
@EmmanuelMurhula-jb8cb
@EmmanuelMurhula-jb8cb 3 месяца назад
Hata mbona Harmonize nili puch wasafi
@FestoReonadi-kq8kp
@FestoReonadi-kq8kp 3 месяца назад
Simba ni mmoja tu hana baya na watu sema wana fosi tu
@john_1trader
@john_1trader 3 месяца назад
Mkubali mkatae tena anaongoza kwa account za wengi walio fanya naye kolabo
@amdanihamada2017
@amdanihamada2017 3 месяца назад
Kwahiyo unataka wazungumze mazuri tu? Binadamu lazima usemwe mazuri na mabaya
@masoudkashato1378
@masoudkashato1378 3 месяца назад
Umevaa leo ngozi ya kondoo
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 3 месяца назад
Hao wanao kula kupitia Diamond ama Alikiba kwani huwa wanawapa pesa zabure? mtangazaji tengua kauli yako
@KellyManirakiza
@KellyManirakiza 3 месяца назад
Akuna siku nimeamini kama wewe mtu mwenye busara sana kama leo uyo jamaa anastahili mauwa kabisa
@alexshabani2012
@alexshabani2012 3 месяца назад
Na wewe ni mchonishi bro
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk 3 месяца назад
Go back to school
@VITUSPROTUS-wh4mn
@VITUSPROTUS-wh4mn 3 месяца назад
Wivu, roho mbaya, chuki,ndo TZ . # usenge tu # medias ndo wanafki sana . Wana roho mbaya, wivu na chuki kwa Simba japo wanajua mchango wake kwao, akifa Simba Leo hii wanajua namna watakavyo shake coz mostly jina lake likitajwa midomoni mwao hupata views wengi, likes nyingi na listeners wengi. Ebu muongeleeni Simba in reality acheni unafiki, ndiye msanii pekee tunayemtegemea East Africa lkn cc wenyewe ndo tuko bze kumvunja moyo na kutaka kumshusha. Siyo POA..
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 3 месяца назад
baadhi wa wanamuziki wa zamani wamefeli maisha, waliishi maisha ya kuhangaika na anasa za mji na dunia wakajisahau, sasa hizo anasa diamond hana, na ana akili nyingi ya maisha na kuwekeza, wivu umewashika kawa mbaya kwa kila mtu, walitaka mond awaite na kuwapa hela za bure? wapumbavu sana, nafurahi sn kuona mond hajibu wajinga wajinga, watafute hela cyo kumsakama mtu ambae wanamuona kabisa jukwaani anajituma na kutoka jasho walitakiwa waheshimu pesa na cyo sifa za kwenye maklabu
@user-sg7tv5cu8i
@user-sg7tv5cu8i 3 месяца назад
Naamini ulicho kiongea
@mrsinia3064
@mrsinia3064 3 месяца назад
Huyu jamaa anamsaport sana platinum kwasababu et ni kama baba yake harmonize kimuziki bila kujua kuwa hata mtoto anaweza kumpiku baba yake kimafanikio
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 3 месяца назад
Ni kweli,, ila kwa harmo kumpita simba bado sana... Tofauti na majigambo yake
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 3 месяца назад
Harmonize kumpita Simba Bado sana Yani kwa Simba yeye n chembe chembe ndogo sana kama atom
@King_186
@King_186 3 месяца назад
Haindoi sifa ya baba
@giztony2009
@giztony2009 3 месяца назад
Ww hujui kitu sasa harmonize amemshinda kwenye nyanja ipi? Streams, management, lebal, kuajiri, yani labda anamshinda kwa kifua kikubwa
Далее
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 407 тыс.
Да блин 😀
0:19
Просмотров 1,2 млн