Тёмный
No video :(

RECAP: DIAMOND NA ALIKIBA NDIO BIG 2 SIO BIG 3, HARMONIZE HAWEZI KUSHINDANA NAO, AMEPITWA MBALI 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@festusabramary-bz4ef
@festusabramary-bz4ef 4 месяца назад
Sasa Leo umeongea ukweli diamond hakuna msanii wakumshindanisha nae kwenye hii nchi kwa mafanikio aliyoyapata kwenye muziki muache TU chuki waandishi wahabari
@georgenzai1355
@georgenzai1355 4 месяца назад
Ni number moja kwako kwangu uyu Diamond wako anaeza muajiri aoshe kukuwangu Miguu na nimlipe interns of DOLLARS..Hanifiki kipesa
@carlossabbo1184
@carlossabbo1184 4 месяца назад
Wa Tz hawaelew kuwa diamond kapigana Vita vyte na bdo kashinda Leo mnamshindanisha na kijana aliemtengeneza mwenyewe
@OrVaboy
@OrVaboy 4 месяца назад
Umeongeya kweli kabisa big ni simba 🦁 uyo jamaha apewe heshma yake ikibidi ata sanamu ajengewe namkubali saaaana Big simba 🦁 je 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 4 месяца назад
Ukweri uweri kabisa nauko sahihi❤🎉
@bakarially253
@bakarially253 4 месяца назад
From German get my point you are best ever representer in tz and East Africa because you in truth Way
@waporimediatv5627
@waporimediatv5627 4 месяца назад
Nakusubscribe leo umeongea point sana big up
@michaeljuma254
@michaeljuma254 4 месяца назад
😢very true. Ukweli mchungu😢😮
@ntakirutimanacalixte3972
@ntakirutimanacalixte3972 4 месяца назад
Sio wewe tu bro , rayvany is the best more than harmo that’s really true
@MuhammadBuyah-on6nm
@MuhammadBuyah-on6nm 4 месяца назад
Your good bloody. Keep on coming up with more recap like this . Umeongea ukweli kabisa 🔥🔥🔥
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 4 месяца назад
WCB fr life. There's nothing about Big two it's just Big Platnumz.
@RamadhaniMshana-gk6vm
@RamadhaniMshana-gk6vm 4 месяца назад
Fact bro
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 4 месяца назад
Katika siku zote leo umeongea point kali sana nahuo ndo ukweri alikiba na diamond watabaki sikuzote
@user-eq1cm3zq8i
@user-eq1cm3zq8i 4 месяца назад
Chukuwa maua yako Brother ❤❤❤
@sidebrown6981
@sidebrown6981 4 месяца назад
Kaka leo umemaliza kila kitu
@nashnene6326
@nashnene6326 3 месяца назад
Diamond ni tunu ya taifa ❤ mpende msipende🎉 Afu asikwambie mtu bwana, diamond anauma sana
@user-cg9df5nt1f
@user-cg9df5nt1f 4 месяца назад
Fact
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 4 месяца назад
Truth will set you free
@pallangyojames6870
@pallangyojames6870 4 месяца назад
Upo sahihi bro siku zot ukweli haujifichi
@john_1trader
@john_1trader 4 месяца назад
Harmonize wanamkosea saana kina pimbi kumpandisha ingawa yuko baado naamini harmo ata robo ya rayvanny hafikii
@Mohaa4309
@Mohaa4309 4 месяца назад
Simba👏👏👏👏👏👏🎉🎉🎉
@rabaniradukunda6201
@rabaniradukunda6201 4 месяца назад
Kiba mwenyew anajua kwamba Diamond kampita kwakila kitu
@jeromeseul
@jeromeseul 4 месяца назад
🦁🦁🦁🦁☝️☝️☝️☝️
@NtygaMuaney
@NtygaMuaney 4 месяца назад
Sikupingi big nakupa 100%🇲🇿💝
@AmaniNangerembe
@AmaniNangerembe 4 месяца назад
You are perfect big brother 5 namando🎉🎉
@deogratiuscharles4899
@deogratiuscharles4899 4 месяца назад
Ally kiba ft mr mimi -hadithi
@AcksunBonifas-mj2sw
@AcksunBonifas-mj2sw 4 месяца назад
fact ❤❤🎉
@user-cg9df5nt1f
@user-cg9df5nt1f 4 месяца назад
If you love chuii❤ hapa
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 4 месяца назад
Usiseme rebo nimojatu hapa bongo Tanzania nani wcb wasafi
@JosephMollel-bc8ko
@JosephMollel-bc8ko 4 месяца назад
All mando
@patrickkaite3822
@patrickkaite3822 4 месяца назад
Apo umesomeka 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 simba lamasimba is 1
@chishugiblog
@chishugiblog 4 месяца назад
You’re the only one I really like the way you run your interviews. Facts and reality. Salute brother
@abdimakame7929
@abdimakame7929 4 месяца назад
True
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 4 месяца назад
Umeongea ukweli Leo kabisa ,usio pingika
@AkotesefeSafari
@AkotesefeSafari 4 месяца назад
natoka congo drc Watanzania mujuwe kwamba mziki wenu uko mbali kwa sababu ya diamond kama ilivyokuwa wakati wa kanumba ku filamu ila mukimupoteza huyo basi mutashangaa kama ilivyo kufa filamu zenu, Léo kwenye filamu tunafata naigeria tu, ila mziki kwa apa Congo bado mnashika nafasi kubwa na ni kwa ajili ya diamond na lebo ya wcb, ao wengine tunasikia ma jina yao kwenye vyombo vya abari ila kwa kweli awasisiki kihivyo'''' mutamshukuru akifa??''''
@FideleBugalagaja
@FideleBugalagaja 4 месяца назад
Iyo nikweli bro
@SimonSeraphin-wo3bx
@SimonSeraphin-wo3bx 4 месяца назад
Umeongea ukweli kbs
@MichaelMavoko
@MichaelMavoko 3 месяца назад
Bro huo ndo ukweli, Diamond is a big 1, na hakuna kama yeye bongo
@Elenamtambala
@Elenamtambala 4 месяца назад
To collaborate songs with another artist doesn't mean to be big remember Micheal Jackson had1 collaboration with Akon but he was big star whole world
@user-qq2vn4pk7z
@user-qq2vn4pk7z 4 месяца назад
True
@ZawadiRobati
@ZawadiRobati 4 месяца назад
Simbaa Vaniboy
@Larrytzatza
@Larrytzatza 4 месяца назад
Umesema ukweli brow.....Sky wa sns aje akusikilize hapa maan yeye ndo anang'ang'ania big 3 wakati haipo!!....Waambieni wasanii new generation ukweli wapambne wafike walipo Diamond n kiba kuliko kulipa bloggers na machawa wajishindanishe(washindanishwe) na kaka zao big 2 ili waonekane wakubwa......wafanye kazi!!
@fredambrose3118
@fredambrose3118 4 месяца назад
Yule tangia ale ubwabwa wa bure kawa chawa
@malianonicass7029
@malianonicass7029 4 месяца назад
Kaka kuna namna sky nikikuaga namuheshimu sana nilikuaga najua anafanyaga uchambuzi makini ili baadae nimekuja kujua kuwa jamaa pia ni mkurupukaji mzuri sana ana mihemuko sana na ushabiki kwa harmonize sujui Chris sijui favor kamuharibu 😀😀
@tomsijohni
@tomsijohni 4 месяца назад
Sasa kww nini Harmonize umuweke kwenye kundi la Marioo sasa Marioo alisha fanya nini
@bakarially253
@bakarially253 4 месяца назад
Kuwafananisha kwenye swala la Biashara Ya music East Africa Hakuna msanii yoyote anayesimama na Diamond. Music ni biashara hivyo wasanii wote TanzAnia Hakuna mweny mafanikio kama Diamond
@JemsOzil-wx1io
@JemsOzil-wx1io 4 месяца назад
Maana kwenye tunzo rayvanny anamzidi mpaka alika ujue alafu ray Ana biteee ko acha kupandisha watu kama ao kwenye big 2
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 4 месяца назад
M naona rayvan akikaza ndo anaweza kuvunja record ya big na mwengne naona kama zuchu akijitoa bongo fresh anaweza harmo ashazoe kelele tz na makiki ya wanawake ila ana history ya music zuri nje ya tz
@AkotesefeSafari
@AkotesefeSafari 4 месяца назад
Leo nipo wa kwanza kuangalia vidéo hii nipe vyangu
@BarakaIssa-dy5rn
@BarakaIssa-dy5rn 4 месяца назад
Broo sio kwa upande wako tu Rayvanny nimkubwa sana kwa Harmonaize sema Tz sijui mnaangalia nini mnampandisha Hamo mnamshusha Ray😂😂😂😂
@georgenzai1355
@georgenzai1355 4 месяца назад
Ray hajui kuenda na wakati in short hajui mashabiki wanataka Nini kwa wakati Gani.... Msanii amepoa kama mkojo wa paka
@ianjohn797
@ianjohn797 4 месяца назад
ni mkubwa kwa lipi sasa
@mwanauwanikhalfan1747
@mwanauwanikhalfan1747 4 месяца назад
Tz wanaangalia kiki
@georgenzai1355
@georgenzai1355 4 месяца назад
Watu wanangalia independent Job....Ray kivuli chake still kiko WASAFI that's why Yuko Chini ya Harmo
@fredambrose3118
@fredambrose3118 4 месяца назад
​@@georgenzai1355hao watu wa kina nani😂😂😂
@ibsk88salim98
@ibsk88salim98 4 месяца назад
Hapana Mie nakupa sababu enzi alikiba akifanya mziki kulikua Hakuna youtube na mpaka watu wapeta kuwa influenced nayo lazima ichukue time. Mbona ujuweka facts copies ngapi kauza tangu alipo aanza
@BenjaminMardoche-dk8tn
@BenjaminMardoche-dk8tn 4 месяца назад
Una akili sana bro
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk 4 месяца назад
Wasanii wakubwa africa mondi yupo bro pablo
@openglo
@openglo 4 месяца назад
Yupo kwa top10 but big 3 apana.
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk 4 месяца назад
@@openglo nimesema africa sio big 3 wala top10 mm nasema africa yupo
@abdulmalikali9063
@abdulmalikali9063 3 месяца назад
To be a big 3 is all about influence...harmonize has more influence n fan base than rayvany...
@onwabadondolo2914
@onwabadondolo2914 4 месяца назад
U kwelimtupu
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 4 месяца назад
Rivanny n'a Harmo apo umenena vyema wote ni levo Moja wanafuata wakina Marioo ,mbosso ,Jay melodi n'a wangine etc ,Ila Big n'a Alikiba hawana wapinzani kabisa
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 4 месяца назад
Sikupingi bro
@kigenvictor8541
@kigenvictor8541 4 месяца назад
ukiendelea kusema facts kama hivi lazima upate tuzu mkuu ata kama sio tz maana awapendagi facts
@JemsOzil-wx1io
@JemsOzil-wx1io 4 месяца назад
Bro sasa Tanzania wa sani niwawili tu diamond na rayvanny
@user-xl2qm6gn8z
@user-xl2qm6gn8z 4 месяца назад
Ofcz we have big one ...but cz ali has stayed long in this industry we can put big two.
@ericnzaro9138
@ericnzaro9138 4 месяца назад
Ali kwa Sasa hayuko top 5. Mnamueka pale tu kwa sababu ya huruma. Alikua top miaka ya nyuma huko ila kwa Sasa hayuko
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 месяца назад
Thank you! You have said it all.
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 4 месяца назад
Huwa nacheka sana nikiskia mtu anasema Kiba hana pesa 😂😂 Kiba ni Don sana naona sasahv ndio mmeanza kumuelewa
@annadidas3354
@annadidas3354 4 месяца назад
😂😂😂😂 bongo huwa wanatak Mt mpak ajionyesh ndo aonekan an pes
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 4 месяца назад
@@annadidas3354 Wakiambiwa bado wana ushamba wanakataa pia 😅 pesa sio lazma kila mtu anunue gari, wengne wanawekeza sehemu tofaut bn
@nizarmomo4293
@nizarmomo4293 4 месяца назад
🥶🥶🥶🥶🇩🇪
@user-lk2bw7py9l
@user-lk2bw7py9l 4 месяца назад
lilly na dreck nani msanii bora kwasasa.
@user-lk2bw7py9l
@user-lk2bw7py9l 4 месяца назад
ww umesoma hila sioni umahiri wako sababu aiwezikan mtu mmoja kukaana seemu mbiri kwa muda mmoja. wamekwambia big3 ata kwenye mpira ipo iyo.
@user-qq2vn4pk7z
@user-qq2vn4pk7z 4 месяца назад
Fanya research bro, Kiba yuko na 20 years kweny game,Hujui pesa ngapi ako nayo na jamaa sio spender kama mond...😅😅😅😊
@chire4574
@chire4574 4 месяца назад
Iyo sio kipimo ya kuwa ba pesa...kuna wale wameanza biashaea juzi but ni ma tycoon..kuliko ata wale walio tangulia
@michaelcheyo4072
@michaelcheyo4072 4 месяца назад
umeamuwa kuwa realy mzee hii ndo fact...
@HasaniJuma-ew2kw
@HasaniJuma-ew2kw 4 месяца назад
Kama asemavyo tembo
@jabbydux
@jabbydux 4 месяца назад
Metro bumini 😅😅
@athumaniochu3262
@athumaniochu3262 4 месяца назад
Kwani numbers RU-vid ndio ukubwa kama hivyoooo utakua hujui chochote
@mremadaniel-dt1iu
@mremadaniel-dt1iu 4 месяца назад
Kumbe hunaga akili kamwe sito kuja tena kwenye chanel ako hii mwisho chizii wee
@AdmiringGlassRose-ko3yf
@AdmiringGlassRose-ko3yf 4 месяца назад
Mbona africa football husem acha ujinga ali alishapaffom one eit acha uwongo
@user-yc7sn2fd8n
@user-yc7sn2fd8n 4 месяца назад
Mgala muue lakini haki yake mpe umeongea sana facts
@user-dx6ki8pm4o
@user-dx6ki8pm4o 4 месяца назад
Yan leo umeongea upumbavu hv rayvanny unamueka na jay melody tokea leo sikufwatilii tena
@user-wy4fv9vd7w
@user-wy4fv9vd7w 4 месяца назад
music ni wa mond kaka hana mpinzan
@HasaniJuma-ew2kw
@HasaniJuma-ew2kw 4 месяца назад
JE ni kweli PLATNUMZ anafanya shows bore
@mg_panther
@mg_panther 4 месяца назад
Hakuna msanii wa africa mashaliki anae mzidi diamond Cha mhim ni wajifunze kupitia yeye Kidogo tusubilie kuwa wenda rayvanny anaweza kufikia hata robo ya mafanikio ya diamond kwenye mziki inshallah 🎉
@JbabaMzikimnene
@JbabaMzikimnene 4 месяца назад
Wajifunze nini kwa huyo asake watandale
@hamissipatrick5951
@hamissipatrick5951 4 месяца назад
Unapambana sana kumshusha harmonize
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk 4 месяца назад
Sio kumshusha konde ni mdogo
@JbabaMzikimnene
@JbabaMzikimnene 4 месяца назад
Wewe unasema ni mdogo hizo show harmonize kashaenda hit sidhani kama alkiba anahit kulko harmonize MTV harmo kashawai wania japo kakosa mafanikio sio mpaka redio
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk 4 месяца назад
@@JbabaMzikimnene afro national ulimuona trace ulimuona first one africa show ulimuona au ww ndo ulimpleka acha mamb ya ajab
@user-ij6eo6pq6z
@user-ij6eo6pq6z 4 месяца назад
Ukubwa wa mtu siyo kushulikisha collaboration na watu wa nje .inatakiwa ushilikishwe ww kama ww .siyo kushilikisha watu
@kenrifambi
@kenrifambi 4 месяца назад
Kama😂 diamond platnumz
@user-wi2sk8uj5s
@user-wi2sk8uj5s 4 месяца назад
Shida ya almando anmchukia Harmonize hyo iko hivyo.
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 месяца назад
Big 3 in tz no its just big 1, even Ali's numbers are not very promising! Ali has zero efforts,fewer fan base,he doesn't go internationally and get celebrated apart from kenya n tz only!
@JbabaMzikimnene
@JbabaMzikimnene 4 месяца назад
Number gani wew boya
@oblangatamakhakas9593
@oblangatamakhakas9593 4 месяца назад
Mr pimbi umesikiya mujibu siiikia fackt
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 4 месяца назад
True
@DremoDreezy-pk4ud
@DremoDreezy-pk4ud 4 месяца назад
Rayvanny n mkubwa hata kumshinda huyo alikiba na harmonize sema nyinyi wabongo sijui kama mnaelewa Kenya vanny boi on top ❤🏌️
@JemsOzil-wx1io
@JemsOzil-wx1io 4 месяца назад
Ukweli kaka
@JemsOzil-wx1io
@JemsOzil-wx1io 4 месяца назад
Maana kwenye tunzo rayvanny anamzidi mpaka alika ujue alafu ray Ana biteee ko acha kupandisha watu kama ao kwenye big 2
@AdmiringGlassRose-ko3yf
@AdmiringGlassRose-ko3yf 4 месяца назад
Mbona africa football husem acha ujinga ali alishapaffom one eit acha uwongo
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 4 месяца назад
Hii ndio itamfanya kuwa namba moja sio!?🤣🤣🤣
Далее
Live: K2ga afunguka kuondoka Kings Music
15:22