Тёмный

RECAP: DIAMOND awapiga mkwara BURNA BOY, DAVIDO na WIZKID, ameitikisa AFRIKA msanii bora KWA SASA 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 97   
@spaganiceboy
@spaganiceboy 4 месяца назад
Hata kwetu congo tunalicheza comment ça va mond Katusha sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Fabrice-m2g
@Fabrice-m2g 4 месяца назад
Congratulations Brow ✌️' unasema ukweli ' Niko Congo 🇨🇩' ila simba amefanya kazi 🤌🇨🇩🙌🙌🙌🙌🙌
@hoseanobocka7140
@hoseanobocka7140 4 месяца назад
Congratulations Diamond Platnumz we shall keep supporting you all the time
@Dalas5
@Dalas5 4 месяца назад
Tatizo wa bongo wana let down wasanii wao instead wajigambe kwa wasanii wao yaan wao n kuwashusha tu na kuwakashifu mimi nkuunga mkono el Ma
@JaediKarime
@JaediKarime 4 месяца назад
Kabisa
@NdakhiSusu-qz9md
@NdakhiSusu-qz9md 4 месяца назад
Haujui🔥🔥🔥🔥🔥
@bensonkiponda5147
@bensonkiponda5147 4 месяца назад
Big up bro uko vizuri unaongea ukweli mi ni shabiki wa mondi long time mpaka nilienda show yake Belgium 🇧🇪 na nilikua nko netherlands 🇳🇱 bro mondi anajua mziki mi natoka kenya but mm nishabiki mkubwa wa diamond platnumz kipo kutoka mombasa 😊
@Mohaa4309
@Mohaa4309 4 месяца назад
Fact bro,watu wanaopinga hawajielewi
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 4 месяца назад
Kweli kabisa kaka simba apewe mauwa yake diamond❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@chishugiblog
@chishugiblog 4 месяца назад
Tukapata msani Kama Diamond Platnumz hapa Kenya tunaenda mbali sana, kwasababu sisi tuna support wasanii wetu. Tanzania hawajui ukubwa wa Diamond. Nakama wanajua basi wanaroho mbaya tu, Komasava inafanya vizuri sana
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 месяца назад
BONGO 5 NAKUONA MBALI SANA.THANK YOU.
@EmmanuelMagaye-v3x
@EmmanuelMagaye-v3x 4 месяца назад
Like plz for simbaaaaaa
@OrVaboy
@OrVaboy 4 месяца назад
Lion 🦁🦁 d'Afrique diamond platnumz numéro 01🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@EzekielJimmy-v1o
@EzekielJimmy-v1o 4 месяца назад
Diamond Big dangote sisi mashabiki wa mziki Ndo wapinzan wa dunia nasio Africa tenatu ❤❤❤🎉🎉🎉
@KwizeraFidel-s8w
@KwizeraFidel-s8w 4 месяца назад
Natoka rwanda bt watanzania hamujui diamond ukubwa wake
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 4 месяца назад
Muongo mkubwa. Mxiew
@ZawadiRobati
@ZawadiRobati 4 месяца назад
Simbaaaa
@VITUSPROTUS-wh4mn
@VITUSPROTUS-wh4mn 4 месяца назад
Facts Facts Facts 💎💎💎💎💎💎💎
@nicksonmwaringa144
@nicksonmwaringa144 4 месяца назад
Saa hii Platnumz atoe international album ndo tuenze kuenda O2 arena
@nicksonmwaringa144
@nicksonmwaringa144 4 месяца назад
Simba saa hii enda Kwa ni Chris brown, Selina Gomez, Justin Bieber, Ed Sheeran na Drake
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 4 месяца назад
Asante Mond
@falialawelole565
@falialawelole565 4 месяца назад
Simba❤❤❤🎉🎉🎉
@Sufoissaissa-tp7wl
@Sufoissaissa-tp7wl 4 месяца назад
Tatiza wa tz Wana roho mbaya sana
@sadibatangalwa5890
@sadibatangalwa5890 4 месяца назад
Simba diamond baba lao
@HUZZAMSUZNAKISIMBA
@HUZZAMSUZNAKISIMBA 4 месяца назад
AFRO BEAT ISHA POTEZA MVUTO.... TOBO LIPO WAZI TUPANGE FORWARD TUMALIZE MCHEZO
@kalistuschaula
@kalistuschaula 4 месяца назад
kabisa mkwara unafaa😂
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 4 месяца назад
❤❤ yes l
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 4 месяца назад
Mziki pia hubadilika mjue😅
@MartinWilondja-x3t
@MartinWilondja-x3t 4 месяца назад
Hiyo kweli kabisa a🙌🙌🫡🫡
@SmatKyla-dr9kg
@SmatKyla-dr9kg 4 месяца назад
Ngoma ina sumbuwa uku 🇨🇦
@Rafaeltuli-gw8ii
@Rafaeltuli-gw8ii 4 месяца назад
leo nimekuku bali sana
@TeamJONGOO
@TeamJONGOO 4 месяца назад
Saf sana recap
@malkavoice2570
@malkavoice2570 4 месяца назад
Kwakuwa umepewa hicho kipaji cha kuongea tukuache tu ila Mondi ni level zngne kbs
@brunohaonga1815
@brunohaonga1815 4 месяца назад
Ata duniani Ninamba moja
@bbcwrld
@bbcwrld 4 месяца назад
Bangi sio cigar
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 4 месяца назад
Sawa, but yeye mwenyewe kwenda kimataifa bila kwenda na wengne is it possible!?, and number mbona sizion kwenye digital platforms, maana bado mavokali yupo juu
@AugustinMuswabantu
@AugustinMuswabantu 4 месяца назад
Acha kusifia ujinga Kaka iyo Ngoma itaishia kwenye challenge. Msanii Bora Africa hivi unajua vigezo vya kuwa msanii Bora wa Africa.
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 месяца назад
Achana na uyu mla unga 😂😂 ngoma kwanza ilishaisha
@chire4574
@chire4574 4 месяца назад
Tuambie ww unaejuwa
@AntonyRudibuka
@AntonyRudibuka 4 месяца назад
Acha unafiki mean Sofia chakwako mpuzi unadhani diamond tusingekua naye mziki wetu ungefika popote.
@kizdady2544
@kizdady2544 4 месяца назад
Nilikuwa nikisikia kuna wachawi ila Leo nimejionea
@AugustinMuswabantu
@AugustinMuswabantu 4 месяца назад
@@AntonyRudibuka ttz ujielewi Eti msanii namba moja africa kisa komasava mnatuona sisi wapuuzi
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 4 месяца назад
Wa TZ husda na roho mbaya utim umewaja
@Ramsonboniface
@Ramsonboniface 4 месяца назад
Hapa umeranga sana
@MwilaMathias
@MwilaMathias 4 месяца назад
🤣🤣🤣 watanzania kweli tuache tu nau owongo uyu diamond ata zidiwa karibuni na innoss'b kwa kuwa innoss'b mwezi wa tisa ana piga Arena
@BabeRymz
@BabeRymz 4 месяца назад
Diamond platnumz ni msani mkubwa sana kuliko wengine amepigana sana kui promote mziki wake🎉🎉🎉🎉wa mwache yule big sasa I vi😂😂😂
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 4 месяца назад
Simbaa
@byamukamainnocent5473
@byamukamainnocent5473 4 месяца назад
Watanzania wengi niwa nafki hamuyuwi ukubwa wa simba haha nahawo wasani munao Tampa nao pasipo kuwa daimond hamungewajuwa
@MamboSuper
@MamboSuper 4 месяца назад
Sasa bro tuwe wa kweli mwambino hajawahi kujaza arena ajaze arena kwanza
@johnkamira2236
@johnkamira2236 4 месяца назад
Tell D in he’s dream not in reality
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 4 месяца назад
Diamond kashindikana kweli
@JaediKarime
@JaediKarime 4 месяца назад
Je suis à Mayotte kabisa
@IbrahimMohamed-p1g
@IbrahimMohamed-p1g 4 месяца назад
Ety icho kingoma kimoja kimeenda ndo kawawez atasahau
@SingelMusic_official
@SingelMusic_official 4 месяца назад
huyu mond nam san hapoii
@Saintplamondon
@Saintplamondon 4 месяца назад
,,,🎉🎉🎉
@halifakhalid7072
@halifakhalid7072 4 месяца назад
Mwaka huu gramy ni yakwetu kupitia kwa simba la masimba dangote Insh'Allah
@byamukamainnocent5473
@byamukamainnocent5473 4 месяца назад
Sisi tunafura sana kama istafrica kuwa namusani anatuwaki Lisa kimata ifa.. innocent kutoka uganda
@TeamJONGOO
@TeamJONGOO 4 месяца назад
Tumpende DIAMOND JAMAN HUYU NDO KILA KITU
@MichaelAlimasi-jz1wi
@MichaelAlimasi-jz1wi 4 месяца назад
Ayo maneno tuu, wasanii wa Nigeria wengi sana na wametobowa wengi. Yeye aacha maneno apige kazi, kuzima mzikii wa Nigeria ao South Africa sio mchezo.
@KassimhamadMakwawa
@KassimhamadMakwawa 4 месяца назад
Fala wew
@rashidingole1588
@rashidingole1588 4 месяца назад
Ucpokubali Cha kwenu we Ni mtumwa
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 4 месяца назад
Lazma wa TZ wapambane , Diamond anajitaidi
@babalao3250
@babalao3250 4 месяца назад
Mondi ndo habari ya mjini
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 месяца назад
Mimi siwezi nikasapoti ujinga nitashimamia ukweli, Burnaboy analipwa $1,000,000 ili afanye show. Diamond P inasemekana ili afanye show analipwaka $100.000 sasa kwa nini udanganywe eti Diamond nimkubwa kwa Burnaboy? mtu Mwenye akili awezi akasapoti huo upuhuzi mtu kashakula unga anakuja kuwadanganya nanyie mnakubaliana naye 🤔
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 4 месяца назад
Mnahemkwa tu wimbo wa kawaida hauwezi kujaza watu kwa show .
@IrHubson_Christensen24
@IrHubson_Christensen24 4 месяца назад
Wewe ni Chawa , iyo wimbo y’a comment ça va ni kubwa kuliko single again ? Acha roho mbaya …Diamond sio mkubwa kumpita hata fally ipupa …Acha roho Wa korosho …Tanzania kuna hits mbili tu tetema na single again basi
@hudhaimarajab9103
@hudhaimarajab9103 4 месяца назад
Boss vigezo vya msanii bora africa unavijua au unaongea pumba 😂,mtu hajawah kuperform 02 arena hana grammy hana BET halaf msanii bora mavi ya babaako ao wanaijeria waachwe tu na mziki wao.😂
@zedohmariotz741
@zedohmariotz741 4 месяца назад
Kwan tyla kaçhukuw tuzo ya grammy kwa nymbo ngap nymbo n moj tu umpa mtu mafanikio
@malianonicass7029
@malianonicass7029 4 месяца назад
Sawaa watafika hivi we ni mdogo wake burna boy sijui mmelogwagwa na nani
@youngtone4333
@youngtone4333 4 месяца назад
Mmekula vijana
@AugustinMuswabantu
@AugustinMuswabantu 4 месяца назад
@@zedohmariotz741 kwaiyo instegemea iyo piano itachukuwa tuzo ya grammy
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 4 месяца назад
Tuwape sapoti wanamuziki wetu tuache Chuki
@ndarnationsoundtz
@ndarnationsoundtz 4 месяца назад
Mondi ni mwamba wew
@ColestMakolo
@ColestMakolo 4 месяца назад
Mtu anaeongea ivyo ata akifanya show ajazi aache mikwala sadala kafeli harmonize the best
@aliadremanengolilo6378
@aliadremanengolilo6378 4 месяца назад
Katika wanafki namba moja ni ww .
@FrobyRobin
@FrobyRobin 4 месяца назад
We zombie
@smartyusufu1670
@smartyusufu1670 4 месяца назад
COMASAVA ni mziki wa AMAPIANO ambayo ipo South Africa hapo Bado haja push BONGOFLEVA. world wide trending Muziki wetu wa bongofleva 🤔🤔🤔
@m___ck799
@m___ck799 4 месяца назад
Tunataka Mziki wa kiswahili kwenda International siyo Amapiano tena iliyoimbwa na wasouth .... Bado sanaaaa
@isaackambofi1241
@isaackambofi1241 4 месяца назад
Imba na wewe choko tukuone uwezo wako iyo bongo freva
@MichaelAlimasi-jz1wi
@MichaelAlimasi-jz1wi 4 месяца назад
Eti nini? Sasa ivi africa msanii mkubwa africa nani? 😂😂😂😂 wee ota vizuri. Ungesema east africa 🌍 apana Africa. Wew shabiki mandazi tuu😂😂😂😂
@iamprincefelix
@iamprincefelix 4 месяца назад
Komasava ndo habari sasa ivii
@bakarially253
@bakarially253 4 месяца назад
Wewe mwezako Ameleta factor na wewe leta zako
@AugustinMuswabantu
@AugustinMuswabantu 4 месяца назад
@@bakarially253 fact gani kaleta kisa Ngoma inafanyiwa challenge ndo mmeanza kuleta maneno mengi
@m___ck799
@m___ck799 4 месяца назад
Huyu si WCB tu!!
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 месяца назад
Ni watanzania wajinga ndio watakao sapoti huo ujinga wake. hata na wewe mtangazaji aujielewi ivi unakubaliana na ailichokiandika uyo mla unga? 😂😂😂😂😂
@isaackambofi1241
@isaackambofi1241 4 месяца назад
Nimefuatilia comments peke ako unajirudia kupinga hauoni aibu na hiyo Roho mbaya yako
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 месяца назад
@@isaackambofi1241 Mimi siwezi nikasapoti ujinga nitashimamia ukweli, Burnaboy analipwa $1,000,000 ili afanye show. Diamond P inasemekana ili afanye show analipwaka $100.000 sasa kwa nini udanganywe eti Diamond nimkubwa kwa Burnaboy? mtu Mwenye akili awezi akasapoti huo upuhuzi mtu kashakula unga anakuja kuwadanganya nanyie mnakubaliana naye 🤔
@EmmanuelMurhula-jb8cb
@EmmanuelMurhula-jb8cb 4 месяца назад
Kwanini isiwe hit ya bongo fleva? hiyo ni amapiano bro dunia ina juwa ni wa south dio waliimba coma ça va
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 4 месяца назад
Acha uongo bingwa ndo walivyokwambia
@m___ck799
@m___ck799 4 месяца назад
Ndicho ninachosema mimim..ningeono wimbo wa "Dharau' au hata 'Kunguru" umeenda worldwide ndio ningesema Yes, bongo flava imefika duniani...lakini hapo badoo sana Wasouth wanamsaudia sanaA
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 месяца назад
Mtangazi acha bangi uyo mondi unaye mtetea awezi akapata watu 2000 Marekani hata aweke kiingilio bure 😂😂😂 sasa wewe endelea na ujinga wako nakumsifia uyo mla unga wako
@diamondplutnumz4862
@diamondplutnumz4862 4 месяца назад
Wanakufira
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 месяца назад
@@diamondplutnumz4862 Mimi siwezi nikasapoti ujinga nitashimamia ukweli, Burnaboy analipwa $1,000,000 ili afanye show. Diamond P inasemekana ili afanye show analipwaka $100.000 sasa kwa nini udanganywe eti Diamond nimkubwa kwa Burnaboy? mtu Mwenye akili awezi akasapoti huo upuhuzi mtu kashakula unga anakuja kuwadanganya nanyie mnakubaliana naye 🤔
@MwilaMathias
@MwilaMathias 4 месяца назад
🤣🤣🤣 watanzania kweli tuache tu nau owongo uyu diamond ata zidiwa karibuni na innoss'b kwa kuwa innoss'b mwezi wa tisa ana piga Arena
@MwilaMathias
@MwilaMathias 4 месяца назад
🤣🤣🤣 watanzania kweli tuache tu nau owongo uyu diamond ata zidiwa karibuni na innoss'b kwa kuwa innoss'b mwezi wa tisa ana piga Arena
Далее
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 8 млн