Тёмный

RECAP: WIZKID, BURNA BOY walivyotikisa PARIS, DIAMOND, RAYVANNY wanatuwakilisha hawakuwepo KWANINI?? 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Развлечения

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 2 месяца назад
Sija ona mtu Tanzania ao media inayo Talia Tanzania mema always like this @Bongo5 na @simulizi ya sky 🙌🏾💯
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 2 месяца назад
Awo jamaaa ni wengi kama mchwa Wana connection kubwaa sanaaaa na upendo
@dollabrucy
@dollabrucy 2 месяца назад
East African tumekimbia tukachoka mapema pia shida ipo kwenye kutishiana ma gari nama nyumba sio tena kutishiana kujaza Concert zakimataifa yani msahau tena msani mkubwa kuomba Collabo msani watanzania haiwezekani tena
@kilimanjarostarlounge
@kilimanjarostarlounge 2 месяца назад
tatizo la bongo hatujaweka msimamo kwamba ikija swala la kimataifa twende kama taifa sio kwenye mpira tuu tuache utimu kwenye swala la kimataifa hatutofika mbali tukiwa bado tunaleta utimu kwenye kimataifa siunanona hao jamaa wanavyobebana kwa umoja team hain a unafki tunaiga mengi kwao tuige na hilo sasa tusiishie kuiga beat zao na tu
@kalistuschaula
@kalistuschaula 2 месяца назад
tuendelee kupambana tu
@chishugiblog
@chishugiblog 2 месяца назад
Sioni kama Tanzania iko sehemu mbaya kimziki, yote ni safari. Diamond wakati ana anza amepeleka Tz music mbali sana akaleta Harmonize, Rayvanny, Mbosso, Zuchu, Lavalava,.. imagine kama hawa wote walikua sehemu moja leo. Kama African music kwasasa iko mkononi ya Tanzania. Tangiya Harmonize atoke WCB lini amefanya collabo kubwa, Rayvanny je? Yengine serekali nayo inasaidiya hawa wasanii kuwekeza pesa ndani yao, pesa imemfanya Davido kufika hapo. Imagine kama serekali inalipa Chris Brown afanye collabo na Diamond, sanaa inahitaji mkono wa serekali
@ayoubluizpizzaro8735
@ayoubluizpizzaro8735 2 месяца назад
Uko na high thinking capacity bro😢
@kelvanny_tz
@kelvanny_tz 2 месяца назад
Umepatia vyote lakini...rayvanny kafanya kolabo nyingi zw njee ...pelepele na Juan,alo alo na noizy,shakeshake dream doll nyingi sana naisi yy ndo kafanya nyingi kuliko yeyoye🎉 I appreciate chui a lot
@user-zq5ld5px6u
@user-zq5ld5px6u 2 месяца назад
Broo umeongea point kubwa mno, nadhani ssi watanzania umetufungua kiakilii. Bg up broo. Mungu akutanguliee
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 2 месяца назад
🎉🎉
@KarisBaya
@KarisBaya 2 месяца назад
Tunaiga mwiondoko ya miziki yao,hivi bongo ni amapiano,na hio flavour ya Sauzi sio ya bongo
@FrediAkko
@FrediAkko 2 месяца назад
inawezekana hata exposure enyewe maana yake hujui
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@swahilichillmusic
@swahilichillmusic 2 месяца назад
Inaitwa : louis vuitton = Luwii Vwiiton
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 2 месяца назад
😂😂😂😂
@makopamalove8973
@makopamalove8973 2 месяца назад
Nice
@FaustineGilishone
@FaustineGilishone 2 месяца назад
Tatizo wasanii wetu wanawivu wao kwa wao wanamuwonea wivu diamondi lakini wajuwe diamond nimtu mkubwa sana afrika na duni
@hamisibakari342
@hamisibakari342 2 месяца назад
SEMA NAWAANDISHI WALIKUA WENGI WA NIGERIA HAKUNA MTANZANIA HATA MMOJA JITASMINI NAWEW BRO
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 2 месяца назад
Nyie mlidai ooh Comasava imeenda ooh sijui nini😂 Asa mbona Domo hatujamuona huko?
@agogomgagagigigogo
@agogomgagagigigogo 2 месяца назад
Mambo hayaendi hivyo ww boya,comasava ya juzi tu mara hii iwe imemfanya aalikwe humo au akajigharamie kuwepo huko,hiyo fashion show inahitaji pesa bana,sasa comasava bado haijaingiza unaileta hapa kama sababu we vip
@Elwise_modest
@Elwise_modest 2 месяца назад
Brother usisaulike kwamba @diamond platnumz amesha wai gombaniya tuzo uko Nigeria na aka zi win 😊 brother
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 2 месяца назад
Ilikua kipindi kile not now bro
@Elwise_modest
@Elwise_modest 2 месяца назад
@@allenonesmomwebembezi6248 ata kwa sasa atashukuwa kubwa ku zidi ile Man
@RobertNjoroge-vx1lv
@RobertNjoroge-vx1lv 2 месяца назад
Juzi ulidai mumewazidi after komasava ...Otile aliwashow😂😂😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 месяца назад
Kama Alikiba anapewa level sawa Diamond,Basata wanamsifia mmakonde na wanamsaport kuliko Diamond unategemea tunafikaje huko. Sisi tu kama taifa tupo wapi kimaendeleo. Serikali yenyewe imejaa roho mbaya wanajitazama wao tu. Mpira wenyewe saivi Mo amepush Simba imeenda ila angalia figisu anazofanyiwa na Mawaziri. Mimi nadhani tubadilishe utawala wa nchi usiwe wa hawachumia tumbo zao huenda Taifa likapenya na wasanii watafika. Hapa bongo highlite artist ni mmoja katuzidi watanzania wote kwenye kila angle na asilimia kubwa ya wenyeuwezo wa kumsindikiza aende mbali wanamkunjia. Yeye hana hiana maskini ya mungu anawasaidia wote hana hata ubaya na mtu. Taifa kwanza ndipo tukuze vipaji vifike kule mnakotaka na maendeleo yanaanzia kwako wewe unayependa makubwa
@BabeRymz
@BabeRymz 2 месяца назад
Bro kweli
@FrediAkko
@FrediAkko 2 месяца назад
kina Casper unaweza kumshindanisha na diamond we vp! Usirudie kumshindanisha platnumz na vtu vya kijinga
@witnaofficial
@witnaofficial 2 месяца назад
Wekeza pia kwa wasanii siupo
@shahamzanda5857
@shahamzanda5857 2 месяца назад
sasa nchi ina mtu anaitwa Mwijaku ha haa haaaaa
@mabrukawadh2532
@mabrukawadh2532 2 месяца назад
Na leo basi uongelee chrisbrown kacheza pia koma sava 😅😅😅😅😅
@mrsavage7603
@mrsavage7603 2 месяца назад
There's no fashion in tz, hamuezi kwenda hapo coz hamna fashion creativity! Kila mwonekano diamond anaiga wa 9ja, Rayvanny yeye amebakiliya tuu drip za kale 😂😂😂
@user-om5go9nj6n
@user-om5go9nj6n 2 месяца назад
Chakufanya supportini Simba, ndio anajuwa uchugu wakuweka pesa jili mziki wenu ifike mbali Harmo Raynny awajakuwa wakubwa kwa akili utoto ni mwingi
@ShadreckDreck
@ShadreckDreck 2 месяца назад
Wasani wa Bongo wamuhige Diamond hili wasonge mbele
@vanjay8685
@vanjay8685 2 месяца назад
Tanzania inahitaji maombi ili wasanii wenu wafike huko unakosema...ukiangalia mitandao kila siku mnawatusi na kuwapakazia vitu vya ujinga kila siku kina mwijaku na babalevo mnafikiri huko nje hawaoni upuuzi wenu? Wanaona na wanaona IQ zenu ziko chini ndomana hakuna mto anawachukulia serious
@jumaorido2532
@jumaorido2532 2 месяца назад
Ndio otile alisema ivo mkachkulia noma ,
@fulness_jazz5844
@fulness_jazz5844 2 месяца назад
Tatizo wasani wenu wanashobo nyingi sana mfano uyo diamond shobo nyingiiii😂
@businessaccount1904
@businessaccount1904 2 месяца назад
apao uwa namkumbuka Vanessa mdee
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 2 месяца назад
Mbona diamond alialikwa siku ya kwanza alikuwa sa kuona watoto fanyeni reearch
@witnaofficial
@witnaofficial 2 месяца назад
Mimi nipo Congo, .nakuambia biashara ya mziki tz ipo juu kuliko Congo, niambie wasanii wa 5ambao wanafanya vizuri Afrika wa Congo.hakuna kaka.labda wazee tu Koffi, fally tuu heeee
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 2 месяца назад
I am really surprised at you! May I ask, why don't we see the entire entertainment industry of Bongo internationally? Starting with the media, why don't we see Bongo media content on international platforms? Why don't we see our presenters at major events like those?
@businessaccount1904
@businessaccount1904 2 месяца назад
Kaka ata mm uwa naumia sana wasanii wa tanzania wame mwachia diamond 💎 mzingo mkubwa sana ata alikiba amesha choka kabisa mario ndiyo usiseme ajitumi sasa ivi mrio niwakuwa ana kolabo na wasanii wa nigeri ila aoni uko so sad 😞 kwakeli
@m___ck799
@m___ck799 2 месяца назад
Wasanii wetu wanauwezo wakuvaa hizo nguo? Hawawezi kukualika kama uvai hizo nguo!
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 месяца назад
Sasa fashion show ni deal kweli?😂
@michaeljuma254
@michaeljuma254 2 месяца назад
Hizi recaps kweli wasanii wanazisikia kweli????!!!!!😢
@LucienMulirimbuto-eo7nb
@LucienMulirimbuto-eo7nb 2 месяца назад
Wewe unazani utaenda uko kwegne show wakati ahuvahi bitu byathamani
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 месяца назад
Imba wewe basi utuletee Grammy
Далее
BABA LEVO AMPA GUNIA LA HELA RAYVANNY KISA 7 MEDIA
5:43
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн