Тёмный

RICH MAVOKO AISIFIA KOMASAVA KUCHEZWA NA CHRIS BROWN DIAMOND SINA CHUKI NAYE SISI WOTE WATANZANIA 

BONGO TRENDY TV
Подписаться 247 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
Chino kanolewa lini na B.K au mmepanga hii interview ili mpenye kizembe guys. Hebu acheni Kumuiga Mondi fanyeni yenu ila kuweni seriously mnaweza wazee! Nini sasa hichi alafu hampo mda mwingi?
@KenifamilyTV
@KenifamilyTV 3 месяца назад
Chino kid ni dance ambae amekuwa na Rich mavoko kwa miaka9 , na mimi mwenyewe nikiwepo na nimarafiki sana tuseme ni kama family.
@eneswaggy1835
@eneswaggy1835 3 месяца назад
@malkavoice2570 watu wana histori we umeanza kumjua chino akicheza kwa marioo, na akiimba , watu wana mjua chino akiwa anadance kwenye majukwaa
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
@@eneswaggy1835 Basi sio huyo tu atakuwa kapita kwa wengi,yale yalee ya AY analalamika Mondi hajampa tag kwamba collabo ya No.1 ye ndio alasababisha. Ukianza kushukuru kila aliyegusa life yako utashukuru mpaka washenzi tu
@SemeniMkopi
@SemeniMkopi 3 месяца назад
Ahahahaha kaz kaz
@malianonicass7029
@malianonicass7029 3 месяца назад
Kwa sasa chino kamsaidia rich kulipa fadhira msijitoe ufahamu
@mudrickbarton8911
@mudrickbarton8911 3 месяца назад
Mtangazaji kwenye r anaweka l
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
Mzinguaji,hajajipanga
@AlexGwambie-xr2hm
@AlexGwambie-xr2hm 3 месяца назад
Mess wa bongo
@starfireog8695
@starfireog8695 3 месяца назад
Petinamba mbona kama imebanduliwaaa
@arafathswaleh
@arafathswaleh 3 месяца назад
Gari ni mpya hiyo kaka
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 месяца назад
Unyama mzee wanguuu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 месяца назад
Upi!?
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 3 месяца назад
Sawa rich
@AlexanderNimbona-lj4ln
@AlexanderNimbona-lj4ln 3 месяца назад
Legend
@erickabel6201
@erickabel6201 3 месяца назад
Sema dg Anadharau 😢
@BicharaMohamed-lg3ci
@BicharaMohamed-lg3ci 3 месяца назад
❤❤❤❤🎉
@beatboy30
@beatboy30 3 месяца назад
Mavokooooooooooo
Далее