Тёмный

Rich Mavoko - My G (Lyrics Video) 

Billionea Kid
Подписаться 251 тыс.
Просмотров 382 тыс.
50% 1

Stream and Download "My G" -linktr.ee/rich...
-
Follow Rich Mavoko On:
Instagram: / richmavoko
Twitter: / richmavoko
Facebook: / richmavoko
Billionea Kid (Rich Mavoko) Official RU-vid Channel:
/ @billioneakid
--
Video Shot And Directed by @Steventweve.film🎥🎥
Audio Produced by @twizydady 🎹🎹
#BillioneaKid #richmavoko #MyG
SUBSCRIBE to Billionea Kid (Rich Mavoko) Official RU-vid Channel:
/ @billioneakid

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,9 тыс.   
@BillioneaKid
@BillioneaKid 4 месяца назад
Thank you for watching,Let's chat!!😊
@santosthegenius1516
@santosthegenius1516 4 месяца назад
The waiting it's over MY G 🔥 🔥
@KelvinEmersonSteven
@KelvinEmersonSteven 4 месяца назад
Rich Mavocal Rudi kwenye ule mziki wako uliokua unafanya mara ya kwanza huku unazidi kupotea zaidi tu kaka .Nitafute nitakushauri vizuri kuhusu game yako ili urudi kwenye position uliyokuwepo awali cause your so talented brother
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 4 месяца назад
My G
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 4 месяца назад
@@KelvinEmersonSteven we jamaa unachekesha walionuna😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we mwenyewe yako yanakushinda utamshauri Nini mavoko mziki Kwan kaanza leo
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 месяца назад
Why ufanyi interview???
@protasmerikiory3855
@protasmerikiory3855 4 месяца назад
Kama unaamini movoko nikichwa cha mziki bongo tupia like wananguuuu,,,,big up to uu broo #mavoko
@DavidMatenga
@DavidMatenga 4 месяца назад
Ukukwetu portugal tunamukubali 100% mavoko❤
@protasmerikiory3855
@protasmerikiory3855 4 месяца назад
@@DavidMatenga tuko pamoja sanaa..
@JacksonMtatina
@JacksonMtatina 4 месяца назад
kama unamkubali richi mavok gonga like apa chin
@manethjunior3782
@manethjunior3782 3 месяца назад
Mimi naamini mavoko asingeenda WCB angekuwa msanii mkubwa sana Leo hii
@BARAKAJOSEPH-j4u
@BARAKAJOSEPH-j4u 3 месяца назад
Alishatoka long
@Allyskillz5677
@Allyskillz5677 4 месяца назад
Sa Hii Ndo ngoma Ya Mwaka Hustle like kama unamkubalii mavoko
@sapeleboy3480
@sapeleboy3480 4 месяца назад
💥💥💥💥💥Ngoma kali hii kaka
@princemichael3023
@princemichael3023 4 месяца назад
Mwaka gani unaongelea
@Elybwayz
@Elybwayz 4 месяца назад
😅😢😅😅
@Allyskillz5677
@Allyskillz5677 4 месяца назад
Mwaka huu huu
@cheetahtz6566
@cheetahtz6566 4 месяца назад
Top
@Ak.chidagaya.comedy
@Ak.chidagaya.comedy 3 месяца назад
Kama we ni fan wa mavoko kutoka 254🇰🇪 gonga 👍 hapa...
@kakajaymedia
@kakajaymedia 4 месяца назад
Tanzania 🇹🇿 nataka comments zenu tafdhari support from Kenya 🇰🇪 hii nyimbo kali sana
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 4 месяца назад
🎉🎉
@NelsonLonkelo
@NelsonLonkelo 3 месяца назад
Mavoko huwa ni muuaji kwenye kila ngoma all the days, ❤
@jikonasheriazetv9378
@jikonasheriazetv9378 4 месяца назад
Yaani Watanzania 🇹🇿 hamtaki kulike comment yangu ju I'm from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.... Anyway kama waikubali hii song warukaje bila like.. let's show love guys ❤️❤️❤️
@PetitBurundi
@PetitBurundi 3 месяца назад
Jama nampenda sana rakini sikuhizi anafanya mziki haufiki mbali 😢😢pia wew kama unampenda usipite bila ku like hiyi comment 🙏🙏✊🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Laikipianbandit031
@Laikipianbandit031 4 месяца назад
hii sio HIT bali ni CLASSIC TUNE,,,kama unakubaliana nami nipe like,KEkekekeke
@VannicsStannics
@VannicsStannics 4 месяца назад
kenya na tanzania ni madugu ebu kama wewe nimtanznia mnipee likes za billioneab kid
@samirmswahili
@samirmswahili 4 месяца назад
Hii kwa wale wote wanaoamini kama tukijitahid ipo siku na sisi tutafungua mageti 🙌🏾🙏🏼
@laare
@laare 4 месяца назад
Rich man karundi na ubaya wagapi wanamkubali huyu mwamba mwoto🔥 sana piga like tukisonga
@symorplatinumz4073
@symorplatinumz4073 3 месяца назад
Namkubali.....ngoma Ni moto sana
@Florisvevotz
@Florisvevotz 4 месяца назад
Wakwanza Leo nipeni ata like 100❤❤❤ kutoka Congo
@petermbogo2254
@petermbogo2254 4 месяца назад
Kiwa wamkubali Mavoko basi mpe likes zake hapa🎉🎉🎉Goma kali
@EditorTheTarminator
@EditorTheTarminator 4 месяца назад
My favourite artist mavokoo🎉
@MasanjaSamweli-b3r
@MasanjaSamweli-b3r 3 месяца назад
Kama unaamini kuna kuanguka na kuinuka afu unasonga mbele kama mavoko NIPE LIKE
@MaxMalipo-fw4pt
@MaxMalipo-fw4pt 4 месяца назад
Mess wa bongo flavor haujawahi kosea gonga like kama unamkubali uyu mess
@bonelesskenya
@bonelesskenya 4 месяца назад
Kenyas tuna like hapa🇰🇪
@user-zadig
@user-zadig 4 месяца назад
Kituikyo nikipata apa kwetu Lubumbashi DRC 🇨🇩 likes zangu mnipe km anakulika mavoko vite vite mes biens
@mrsmadam9886
@mrsmadam9886 4 месяца назад
Kama uko hapa baada ya kuona RANGE weka like hapa
@HusseinKibwana-y7f
@HusseinKibwana-y7f 4 месяца назад
Ulijuaje
@PaschalHose
@PaschalHose 3 месяца назад
🎉 music bhn ni talent ya mtu
@gattyjones7891
@gattyjones7891 3 месяца назад
Range ndio imenileta huku kumber ni serious
@swala_master
@swala_master 4 месяца назад
Mess from Africa 🇹🇿 🇹🇿 kama wewe ni shabiki wa muziki muzuri gonga like 👍
@SamwelEmanuel-v8h
@SamwelEmanuel-v8h 4 месяца назад
My G wimbo wa taifa, sijaona msaani zaidi ya mavoko Tanzania nikiona Ngoma yake mpya Nafurahia sana GOD BLESS
@judithpendo9985
@judithpendo9985 4 месяца назад
Mob love from 🇰🇪🇸🇦🥰🥰 tatizo unakawia saaana mtu wangu ila twakukubali saaana io song n Kali saaana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️♥️♥️♥️♥️
@Zakhy-q1l
@Zakhy-q1l 4 месяца назад
Mziki halisi huu nakukubali kinyama mwanangu 👆
@ananiasjustice6840
@ananiasjustice6840 4 месяца назад
Umenifurahisha tu ulivotutambua wazee Wa kubeti 😅
@tumainicharo4207
@tumainicharo4207 3 месяца назад
Mpeni Rich Mavoko likes zake. Kama nzuri nzuri.
@fadjunior1994
@fadjunior1994 4 месяца назад
My G nyimbo kali sana kama unamkubali rich mavoko gonga like❤
@vansclassic2131
@vansclassic2131 4 месяца назад
Yani from Wcb hii ni kali brow .yani umetisha brow nyayo za pacha wangu goma moja la kiuni sana umetisha mavoko mau yakobro ......❤❤❤❤❤
@dullymxodoki9162
@dullymxodoki9162 4 месяца назад
Daaaaah kaka apa umekaa umeandika maisha tunayoishi sisi mitaani
@cheafroby_tz
@cheafroby_tz 4 месяца назад
Bilionea kid makombeee yakoo.. kazaaa Kaka aaangu unawezaaaa aminii..
@BabazBalozi
@BabazBalozi 4 месяца назад
Nakukubali My G Tuhustle Walidhani Ndio Hatutaendelea..👊🏼👊🏼
@mariduofficial
@mariduofficial 3 месяца назад
Mavokoooo Big up my brother , tulisubiri tukuone hiv kwa gem ila usijejidanganya tena kwa team komaa mwenyewe, maana kuna watu watajifanya wanakushika mkono kumbe wanataka waukate mkono wako
@abubakarimsere
@abubakarimsere 4 месяца назад
Bongo fleva hii hapa gonga like kama unakubali
@mrloyalkenya
@mrloyalkenya 3 месяца назад
Kali sana nakubalii 🔥🔥🔥🔥🔥 big up Sana brother
@NabilHamza-mj9xo
@NabilHamza-mj9xo 4 месяца назад
Tunahitaji madude kama haya mwanangu tena back to back ......wanao tupo ...........goma kali sana mpaka trending 1 number...
@RamaMohamed-oi9ff
@RamaMohamed-oi9ff 3 месяца назад
Welcome back Rich Mavoko....we miss you, Thanks for returning back to the industry....Kama wamkubali kurudi tena nipe likes zenu🎉🎉🎉🎉🎉
@richardrichope3528
@richardrichope3528 4 месяца назад
Sijui kwa nini Rich Mavoko sio super star 🌟 yani sielewi Au mwambino anamuroga ??
@AshrafuMzagu
@AshrafuMzagu 4 месяца назад
My G, Ngoma Kali mkubwa mkubwa tu👍
@kidafrica_25
@kidafrica_25 4 месяца назад
Messi naona umekuja kubadilisha mziki wako Sawa mzee 🙌🙌🙌🙌
@MTALIITV
@MTALIITV 4 месяца назад
Huyu ndie Badman Richard ❤❤🎉🎉🎉🔥💯
@amosafrica2350
@amosafrica2350 4 месяца назад
Kwa bahati mbaya bongo tunashoboka na tungo za ujinga ujinga. Ila huu sasa ndo unapaswa kuwa mziki unatrend mitaani na kwenye media zote za mjini. Hujawahi niangusha Mavoko
@hassanqaydarez
@hassanqaydarez Месяц назад
Hii nyimbo ni nzuri sana 🔥mi ni fan mkubwa from MOMBASA, KENYA
@princederoo5361
@princederoo5361 4 месяца назад
Huyu jamaa ata akabaniwa vipi ila bado atakuwa msanii wangu bora 🔥🔥🔥 big up brother mavoko ✌🏾 najichanga siku ni moja tutaonana tu🇰🇪
@Pàzøwásàfí
@Pàzøwásàfí 22 часа назад
𝒜𝓂 𝒻𝓇𝑜𝓂 🇬🇦 𝒹𝓊𝓀𝓊𝓃𝒹𝒶 𝓁𝒾𝒸𝒽 𝓂𝒶𝓋𝑜𝓀𝑜
@fidelisjeremias3145
@fidelisjeremias3145 4 месяца назад
Umeuwaaaaaaa kakaaaaaaaa Moro mojaa iyoooooo naomba like za kutoshaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@josephsayguran1349
@josephsayguran1349 4 месяца назад
Huyu hapa fundi ninayemjua kwa uandishi
@Officialmonizo
@Officialmonizo 4 месяца назад
Walume ndago ndo sisi OG🔥🔥
@alexelieza8802
@alexelieza8802 4 месяца назад
Nisame Tu ukwel rich mavoko bado ni msanii wangu Bora kwangu, japo na maneno ya apa na pale lkn we unakipaji kikubwa🎉
@maclasmacharia
@maclasmacharia 3 месяца назад
Asanteh sana mungu mwamba karundi?
@alexelieza8802
@alexelieza8802 4 месяца назад
Uyu mwana nawaombeni jaman tumpeni sapoti wadau mwamba anajua Sana🙏
@ndegeofficial9928
@ndegeofficial9928 4 месяца назад
Yap jamaa ameridi kwenyeziki wake
@alexelieza8802
@alexelieza8802 4 месяца назад
@@ndegeofficial9928 uyu jamaa sio poa aisee ni kwikwi
@beatusharald56
@beatusharald56 4 месяца назад
Kweli
@lidancerchris
@lidancerchris 4 месяца назад
Mtu wamaana kabisa #MyG⛽🔥🚬
@ProtusKalipuka
@ProtusKalipuka 4 месяца назад
Daaaah mavoko kaka we ni dhahabu ila daaah sijui saiv kwann mzik hufany sana
@shellahbouy
@shellahbouy 4 месяца назад
Mavoko achilia songs nyingi ili kurudisha mafans ...we miss u
@UdakuKingdom
@UdakuKingdom 4 месяца назад
KAMA WEWE NI MY G LIKE 👍 APA
@imanishiro5604
@imanishiro5604 4 месяца назад
After kuzoea mavoko wa tbt bongo tunes never expected mavoko to nail modern bongo😍😍😍awesome bana
@HakizimanaMaria
@HakizimanaMaria 4 месяца назад
Gonga like kama ulikuwa umemiss rich mavoko
@qualityquartzmusic
@qualityquartzmusic 4 месяца назад
Mavoko...io speed ya mguu King ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hmZG5LmlQY0.htmlsi=UTJ8LbmbUyJpB9PQ
@hemarokcrown.
@hemarokcrown. 4 месяца назад
Mbongee la mziki ❤❤❤❤❤
@karimutovuge7941
@karimutovuge7941 4 месяца назад
Baba hataree tupu hii ngoma
@jayruffkenya
@jayruffkenya 4 месяца назад
Kama umeiskia kalamu kontawa humu ndani gonga like
@wadakewake8474
@wadakewake8474 4 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-frW0q1uEg6E.htmlsi=F0BOBTvL6Rs2TMrP wewe Rayvany ft Wadakewa
@stephanomnyonaki1724
@stephanomnyonaki1724 4 месяца назад
Nyimbo kali sana kaka kaza humo humo
@The_Hu.
@The_Hu. 4 месяца назад
Deadly sana⚡ Remix na Konde boy pia itaweza sana. Showing love from Kenya
@kipukatz
@kipukatz 4 месяца назад
My G🔥🔥🔥
@VincentTonui-q4x
@VincentTonui-q4x 4 месяца назад
Hapo sawa kaka ,,endelea hivo na uwache kukimnya ,shout out from Kenya kazi nzuri
@mohammedcutstv700
@mohammedcutstv700 4 месяца назад
Kwaiyo like kumbe mwisho moja dash😥😥😥😥😥😥. Naingoja better day 😆
@JoshuaManyisa
@JoshuaManyisa 4 месяца назад
Mwanangu Mavoko nakukubali sana,swag zako ,ngoma zako,Kama hii unanimotivate sana dogo.nlikua nauza Mitumba mitaani,sahi nina shop nne za kwangu kila siku sijawahi kosa maana najituma kwa sana, mob lov from 🇰🇪
@abdulazyzmaxoud6458
@abdulazyzmaxoud6458 4 месяца назад
wa kwanza kuview naombeni like zanguuu
@AyubHaji-j9b
@AyubHaji-j9b 4 месяца назад
Shida sijui nana alio kushauri kujiunga kwenye kile kikundi cha wachawi umetoka wamekupoteza kabisa yani bora ulivyo kua solo tu had leo ungekaza
@chenge3223
@chenge3223 4 месяца назад
oyaaa kuna huyu mwamba na konde boy miaka buku
@comedy7937
@comedy7937 3 месяца назад
Yani Richard mavoko unajua sijui kwanini ulienda wasafi dah ila usijali mungu wao ndio mungu wetu one day trending
@kidrizhandysuguofficial1280
@kidrizhandysuguofficial1280 4 месяца назад
Nipe like kama unampenda rich mavoko🥰💙
@BimkubwaMohd-ef6hr
@BimkubwaMohd-ef6hr 4 месяца назад
Mavoko uo. Muonekano wako wa sas. Ni kistar zaid. Sas. Unaend kujkwamua na mukosi Big up. Broo
@dariusmghanga
@dariusmghanga 4 месяца назад
My g richmavoko me hupenda ngomaa zako ata kama mambo hayakuendei poa but trust the process
@Billioneakid312
@Billioneakid312 4 месяца назад
MWAMBA AMERUDI TENA BASI KAMA UNAKUBALI RICH MAVOKO NI FOLLOWER LEO 😂😂😂😂
@balabaigadol22
@balabaigadol22 4 месяца назад
Billionea kid ni noma sana Moro town stand up
@salimramadhani740
@salimramadhani740 4 месяца назад
Number one beautiful thanks you very Good from Burundi 🇧🇮 Lives in cape Town ❤❤❤❤
@MageriMageri
@MageriMageri 4 месяца назад
Mungu awe nawe mavoko weka like kama umekubali hii ngoma
@ztvonline2523
@ztvonline2523 4 месяца назад
Kaka hii Ngoma ni Kali Sana itengee bajeti ya promo tu kwenye media mbalimbali, vilevile challenge ziwe nyingi Kaka itaenda hii bado kipaji unacho Kaka 🔥🔥🔥🔥
@CHIDY_ACTOR
@CHIDY_ACTOR 4 месяца назад
Bonge la ngoma aisee 🇹🇿 tuko na international musicians💪
@CHAKAYES
@CHAKAYES 4 месяца назад
Of course director wa video ametisha sana kwa kifupi tz sijaonaa wakumfananisha
@JayJuma-rf2gt
@JayJuma-rf2gt 4 месяца назад
Ningeomba ufanye rmx n kontawa 🎉❤
@alexelieza8802
@alexelieza8802 4 месяца назад
Oya umejuaje mwana, itakuwa ni balaaa
@JayJuma-rf2gt
@JayJuma-rf2gt 4 месяца назад
Huyu mwamba mkali sana
@DusssaBoy
@DusssaBoy 4 месяца назад
Rich mavoko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@official_vanchaz
@official_vanchaz 4 месяца назад
Oya mwanetu Rich, drop madude Team kiba tupo tutakusupport hadi mwisho
@evanvenaa1679
@evanvenaa1679 4 месяца назад
My favorite artist from Bongo TZ, thanks for respecting the OGs 🇰🇪🇰🇪
@flavourboyke
@flavourboyke 4 месяца назад
Thank you for bringing this hit,,, usikuwe unanyamaza sana
@biyongajuvenal
@biyongajuvenal 3 месяца назад
Kama ujumbe ukukufikia, basi usipiti bila ku like!!
@bizomc_tz
@bizomc_tz Месяц назад
Goes around come around😔 never give up👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽✊🏽💥💥
@Ybmusic_tz
@Ybmusic_tz 4 месяца назад
🎉🔥🔥🔥🔥 bro unajua saana
@Tanzania_Ya_mama
@Tanzania_Ya_mama 4 месяца назад
Sisi tunakupenda mbaka kifo mkali wa Music mkali wa sauti
@Mshihiiriboy
@Mshihiiriboy 4 месяца назад
Nyota imekuwa haina mvuto ngoma Kali Ila kuhiti ndio tatizo
@THEE-TURK-KING_023.K
@THEE-TURK-KING_023.K 4 месяца назад
Wrlcome back to the game maze my g to the world🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@alhadikisaka1132
@alhadikisaka1132 4 месяца назад
Kaka unajua fanya limx na cantr boy ngoma itakimbia sana kaka
@ShazzyMaswaga-jb4wd
@ShazzyMaswaga-jb4wd 4 месяца назад
Mavoko kajitaidi ndugu zangu ila usimsau shazzy maswaga
@ChrissRebon
@ChrissRebon 4 месяца назад
This is a hit bro🔥hapa Mombasa tulikungonja Sana.
@Primerezby-mm1qe
@Primerezby-mm1qe 4 месяца назад
Nakubali bro♥️❤️♥️❤️ Sina shaka nawewe
@mquare7406
@mquare7406 3 месяца назад
Tukona wewwe kinaraa nyota itangaa kama kitambo
@maxdesignspro
@maxdesignspro 4 месяца назад
wwe jamaa unanikatisha tamaa sana,kila nikifikiria kwenda kurekodi nyimbo yangu ya kwanza ,naweza ntaweza kucompete na uandishi mkubwa kiasi hki,,,🔥🔥🔥
@maxdesignspro
@maxdesignspro 4 месяца назад
siimbi tena kka imba wwe ntakuskiliza
@salomecomedyofficial
@salomecomedyofficial 3 месяца назад
From 254 tumeikubali hii ni hit,, Rich mavoko to the world
@glizzi
@glizzi 4 месяца назад
June 1, 2024. Today im dropping this comment to let you know that im gonna be a big shot artist soon. My songs will be bangers shortly. And when that happens, I'll make sure to slide back here and leave a comment, so that all you guys who believed in me can be proud. I wish you all the best and don't mistake my confidence for arrogance. Peace out 🙏🏼
@muhammadkhamis5798
@muhammadkhamis5798 2 месяца назад
Umetisha Mwanaa
Далее
Rich Mavoko  - Wamoto (Official Music Video)
3:06
Просмотров 1,6 млн
Harmonize - You Better Go (Lyrics Video)
3:18
Просмотров 1,4 млн
Mr Blue - Jina Hili (Official Video)
3:57
Просмотров 136 тыс.
Rich Mavoko   Roho Yangu Video   Swahili Music
3:27
Просмотров 963 тыс.
B2k Mnyama feat. Vanillah - Oweeeh (Lyrics Video)
3:48
Darassa & Harmonize - Mazoea (Visualiser)
3:22
Просмотров 2 млн
Rich Mavoko - Naogopa (Official Video)
3:27
Просмотров 2,3 млн
Nay Wa Mitego  -  Bachela ( Official Music Video )
3:42