@@user-gs1ef7rv6p akuna cha devil worshippers wasafi...simba anajituma tu kwa bidii...umewahi ona nani kwa familia yake akifa ama kutolewa kafara..ww endelea kufikiria ujinga na watu wanakesha wakifanya kazi ilihali ww na iyo akili yako mbovu unakesha ukila mkewo...fanya kazi na ujiamini kila kitu kitakuendea sawa....acha wivu kwa mafanikio ya watu wanaopeperesha bendera ya dunia mzima...ambia Richard ukweli..alikataa kulipa faini ya mukataba ndio maana account yke ilitolewa ikarudishwa wasafi...ata nyimbo mingi alitoa akiwa wasafi hapati hela....wasafi ndio wanapata hizo hela... so dnt judge someone who's overworking to make his family rich and happy ..
Nop mnamcingizia tuuh mond jmn hii Dunia tatizo wengi wetu elimu hatuna so tunaposign mikataba nawatu kidogo wenye upeo njaa huwa haitukumbushi kusoma vizur maelekezo namashart yake ukitaka kujitoa...