Тёмный

RICH MAVOKO: NIMEPUNGUA / NATESEKA SANA / TIME YA KUACHIWA BADO 

LilOmmyTV
Подписаться 547 тыс.
Просмотров 68 тыс.
50% 1

EXCLUSIVE INTERVIEW YA RICH MAVOKO, KUHUSU KUTOKA WCB, na SAFARI YAKE MPYA.
Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp, Facebook au Twitter.
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea www.lilOmmy.com

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 181   
@hannahnganga161
@hannahnganga161 6 лет назад
Wakenya likes za Rich mavoko.Nyimbo zako zote ziko on point #TEAMKUJIAMINI
@andrewmallya6455
@andrewmallya6455 6 лет назад
asee mavoko nakukubali ata wakinichukia wengine powa tu....🇹🇿we love u so much kipaji chako nikikubwa katik bongo flaver💪
@mbarakahmed3305
@mbarakahmed3305 6 лет назад
salute mavoko hao wanaiga2... alafu we nimbayaaa😁
@andrewmallya6455
@andrewmallya6455 6 лет назад
mbarak ahmed noma sama uyu mess
@mohammedjuma6736
@mohammedjuma6736 6 лет назад
Mavocooo jibebe tu mzee,
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 лет назад
RICH MAVOKO BONGE MOJA LA MSANII YAAAN..!!! LIL OMMY UMEULIZA MASWAL KONKI SANA BRO! BLESS UP 🙌
@Da_crisy
@Da_crisy 6 лет назад
Mavoko anajuaaa kama unamkubali gonga like hapa
@monicabrighton4590
@monicabrighton4590 6 лет назад
kizazi sana
@mwaulingoandrewmbinda2077
@mwaulingoandrewmbinda2077 6 лет назад
Makini
@hubertpaschal1954
@hubertpaschal1954 6 лет назад
Rich mi nakukubali sana
@inspectoraronreal5623
@inspectoraronreal5623 6 лет назад
Mavoko big up sana ukustahil kukaa na watoto wale we jikate sis tupo nyuma yako mzazi
@mshambaflan
@mshambaflan 6 лет назад
mnyaaaaaaama LilOmmy na Messi mkamiaji messi mwenye ligi yake MAvooooko🔥🔥🔥😉
@sizzaamiri3668
@sizzaamiri3668 6 лет назад
elisha nassary97 yhani nitaila
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 6 лет назад
Speed Ya Wcb hukuiweza ww...mavoko msanii mzuri ila umeshawishiwa na maadui wa mondi uondoke wcb...ila Wcb ni Meli Ya rahaa🔥🔥🔥Mbosoo ashakuachaa mbali sanaa🔥🔥🔥
@betiluoga3805
@betiluoga3805 6 лет назад
nakukubali sana mavoko unaweza
@fatmarashid9941
@fatmarashid9941 6 лет назад
Lil ommy nakukubali sana 😆 mwaaa
@asadholland7157
@asadholland7157 6 лет назад
Mavoko 🇹🇿🔥from Nairobi westland 🇰🇪
@themanwithnoname5824
@themanwithnoname5824 6 лет назад
Mtoto Wa mama Richard... Nakukubali sana moroboy
@wilsonwizzo2483
@wilsonwizzo2483 6 лет назад
.👏👏👏👏 maisha yanaendelea haimaanishi kutoka WCB et ndo muwe na vita
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 6 лет назад
Eti wanasema jibebe, Jibebe2 C unaweza game,, big up Mavoko nakuelewa sana, Acha waseme2 kama ni game unaweza.
@j.samathewzhaqj.samathewzh2159
Nakupenda kaka songa mbele kila kitu mipango ya mungu
@tahrinkessy7119
@tahrinkessy7119 6 лет назад
MVP aya yaaaaaaaaaaah kizaz sana i like ur show 😍😍😍😍💃💃💃
@spicegal2517
@spicegal2517 6 лет назад
Amazing guy ur voice joo!u kili it men big up I like ur music too🙌🙌🙌
@ttec9431
@ttec9431 6 лет назад
Mavoko mkali toka zamani ....akitoka WCB au hata akiwepo Bado yuko pale pale ....kipaji anacho .....
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 6 лет назад
Ya kizazi sana #richmavoko u are the best wellcomr back, nice interview
@shadiluck9015
@shadiluck9015 6 лет назад
all da best mavoko! ...,
@paskaziapeter1914
@paskaziapeter1914 6 лет назад
Interview mbayaaa yan cjui umekuaje rich mavokko
@amiria.mustafa9859
@amiria.mustafa9859 6 лет назад
Umechukua idea wcb jinc ya kujiendesha nawe umeamua kujaribu,, good bro, muhimu usije ukadharau ulipotoka,🙏
@markosirikwa3874
@markosirikwa3874 6 лет назад
Mavoko kmzik imekwixha kbixaaaa, Uxhaur wang bez kwenye biaxhara 2, Achana na Dai atakupoteza kabxaaa, God bless u Mavoko
@ltlmedia8480
@ltlmedia8480 6 лет назад
noma san mavoko 🔥🔥
@kelvinkelvin_tz3983
@kelvinkelvin_tz3983 6 лет назад
aisee @lilOmmy unajua kufanya interview,,, rich umembana hafurukuti
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 6 лет назад
hiii ni mimba mavoko kimya nayoo ndo maisha yenyewe haya ,kikubwa punguza panic huwezi pambana na team bado sana labda ukasome
@relativedensity6071
@relativedensity6071 6 лет назад
nakukubali mavoko
@florandetei5211
@florandetei5211 6 лет назад
Voko riiii nakuamini Mara million +go boy go.
@sooitslilerick7931
@sooitslilerick7931 6 лет назад
interview moja ngori... Rich love from Kenya....
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 лет назад
Mbona kigugumizi king by the way well good Mavoko
@juxbouy4685
@juxbouy4685 6 лет назад
Dada etu maswali Leo kama yote van vicker anarudi wiki ijayo😍😍
@lareineminah1353
@lareineminah1353 6 лет назад
Mchokoziii😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@gsmartboe9965
@gsmartboe9965 6 лет назад
Jux Bouy 😂😂😂😂😂😂
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@juxbouy4685
@juxbouy4685 6 лет назад
😆😆😆
@yusoboy_tz
@yusoboy_tz 6 лет назад
🤔🤔 Rich Mavoko kigugumizi kingi leo inaoneka umejikoroga na #wcb wamegoma kukunywa
@paschalfrancis7674
@paschalfrancis7674 6 лет назад
DAAH ILA TUNATOFAUTIANA SANA YANI NAANZAJE KUTOKA WCB HAPA BONGO??? YANI BRO WCB KILA KIJANA AMBAYE ANAFANYA SANAA APA BONGO ANATAKA KWENDA WCB...WEWE UNATOKA KWELIIII TUNATOFAUTIANA !!!! DAAAH😊😊😊
@davidkilolelo8212
@davidkilolelo8212 6 лет назад
Pascal Francis utumwa wa fikra huwezi jua yaliyomo
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Pascal Francis wasioujuaUsiku Wa giza acha waende ,wapenda miteremko
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Ukiingia ndio unakutana nayo ,chagua ,kusuka au kunyoa,we uko nje ingia nawe kaone ndani
@justinemico1871
@justinemico1871 6 лет назад
Sasa kama sisi unaotuomba support unatuona watoto ndio mazoez gan haya jaman mtu unakonda kama kuruta wa jkt wew una tatzo usipokuwa MAKINI utapotea kama darasa
@yasinimnyonge5947
@yasinimnyonge5947 6 лет назад
Wcb ni freemasons..! Tayari wamesha muharibu kijana Wa watu. Mavoko hivi ni kitu gani kilicho kupelekaga huko wcf????
@umojamedia4167
@umojamedia4167 6 лет назад
Jieleze vizuri wakuelewe mbona mwarabu alifunguka
@davidgaruc8330
@davidgaruc8330 6 лет назад
msaidie
@Hovyoo
@Hovyoo 6 лет назад
Nga nga ngaaaa Baddest Mavooko
@KINGSTON256
@KINGSTON256 6 лет назад
Like hapa Kama rich mavoko anasime ukweli
@yusoboy_tz
@yusoboy_tz 6 лет назад
Itabidi Rich utumie nguvu nyingi kutuaminisha unavotaka tuamini maana umeenda kuanza upya na sidhani kama umeangalia ulipojikwaa bali unaangilia ulipodondokea kwa mtindo huu ukifika kwenye kisiki utajikwaa tena
@dichodaplaiza
@dichodaplaiza 6 лет назад
Ukihojiwa na lily ommy uwe unakumbukumbu kwamba diamond alisema uwe unatoa ngoma
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 лет назад
Love u mavoko
@mropeamadeus5445
@mropeamadeus5445 6 лет назад
Mbona anajikuna Sana
@adnanabdalla696
@adnanabdalla696 6 лет назад
🤔😳isiwe ni coc. Du
@mropeamadeus5445
@mropeamadeus5445 6 лет назад
Eddie Eddie hahaaaa
@rizikinash5187
@rizikinash5187 6 лет назад
Mrope Amadeus ulitaka umkune wewe?
@mropeamadeus5445
@mropeamadeus5445 6 лет назад
Riziki Nash hapana yani anajikuna kila wakati , au nimekosea kusema hivyo
@marthalufingo7303
@marthalufingo7303 6 лет назад
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@shabanjuma6730
@shabanjuma6730 6 лет назад
Sio mazoez Bob sema tyu ukwel nakauka 7bu ya stress za music yan hata kuongea kwko tyu bado haupo comfortable mnyooooonge
@tolilahnathalie2658
@tolilahnathalie2658 6 лет назад
Rudi Nyumbani kumenogaaaa#WCB
@ellychugasmati5866
@ellychugasmati5866 6 лет назад
Naombeni lek jamani
@frenkmushi686
@frenkmushi686 6 лет назад
Mia mzazi nakukubali mavoko we mwamba uburuzwi kifala kama ao mapimbii
@husnamarandu8380
@husnamarandu8380 6 лет назад
Hivi mavoko anakuaga na kigugumiz hadi kwenye nyimbo au ni kwenye interview tu?
@joakimjohn1035
@joakimjohn1035 6 лет назад
izo swaga na ww mbn kama mgeni
@jumaaramadhani7819
@jumaaramadhani7819 6 лет назад
ushawah kumckia GK akiongea na akiimba vnafanana
@musamkude
@musamkude 6 лет назад
Kalii brooo lilommy
@mudyramadhani3020
@mudyramadhani3020 6 лет назад
hakuna mtangazaji mkali na muuliza maswali ya msingi kama lilomy
@minhokid
@minhokid 6 лет назад
😂😂😂Et ni biashara asa utuelekezi ukweli tukuelewe vipi tunamsupport vepeeee mtu atuambii nn SHIDA
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 6 лет назад
Mtoto mnafiki huyu, sasa kama huna tatizo na WCB Basata ulienda kufanya nini?😇😎
@yasinimnyonge5947
@yasinimnyonge5947 6 лет назад
Mavoko kaza boy. Achana na hawa Mabwege...!
@michaeljeremiah634
@michaeljeremiah634 6 лет назад
Mchiz anakijiuvivu flan pale kaz juu ya kaz,lazma aone ananyonywa....ana jipya
@rogermwanawahunda4041
@rogermwanawahunda4041 6 лет назад
LilOmmy kizazi sana mzee baba
@alsadymateke8695
@alsadymateke8695 6 лет назад
Mavoko mtu alio kushauli utoke wcb si mtu mzuri
@jovinamrosso6978
@jovinamrosso6978 6 лет назад
Hahahahaha
@saidahj2543
@saidahj2543 6 лет назад
Mavoko hataki kubebwa..
@richboss1143
@richboss1143 6 лет назад
namkubari Sana bad man
@gbbuku4714
@gbbuku4714 6 лет назад
hapo kwenye media ndo sidhan kama watagonga kideo chetu dah mavoco we komaa mzee mziki hauna mwenyew alikua marijan rajabu lemy ongala saiz hawapo play party yako halaf pita hv
@mirajifikirini6305
@mirajifikirini6305 6 лет назад
Fresh rich
@simonmtuka8473
@simonmtuka8473 6 лет назад
kizazi xana mzee
@elijahkenya5509
@elijahkenya5509 6 лет назад
Big up mess
@juvenalymnyama735
@juvenalymnyama735 6 лет назад
Badman mnyamaaaaaaaaaa
@jacoblusana1082
@jacoblusana1082 6 лет назад
Umepungua Mzee !! Wasafi ulitoka mbona bro ulikosea
@erastodominick831
@erastodominick831 6 лет назад
Mbona kijikuna Kwingi, kama hayo unayoongea yana ukweli kwani unajing'atang'ata nyoosha maelezo huo ni unafiki tu tu.
@aminahabibug3431
@aminahabibug3431 6 лет назад
Wewe ndo mnafki inabidi tuliza masikio na akili yako napia kama sehemu inawasha asijikune? Komenti cha maana uwezi kakojoe ukalale
@lilianjeremiah2880
@lilianjeremiah2880 6 лет назад
Namkubli san mavoko kizazi san
@richardsweya231
@richardsweya231 6 лет назад
Ulicho kizungumuza kipo sawa 📞
@juvenalymnyama735
@juvenalymnyama735 6 лет назад
Upitwi mkuuu safi sana
@aibonkinya2817
@aibonkinya2817 6 лет назад
Mavoko kazana bro
@yusoboy_tz
@yusoboy_tz 6 лет назад
@lilOmmy ushamuona mtu anaweweseka kujibu unashindilia msumari mwengine mkubwa zaidi kama c.i.a
@emmanuelisaac9763
@emmanuelisaac9763 6 лет назад
Sasa interview ya nini kama maswali hayajibu?
@ayubuswaya9813
@ayubuswaya9813 6 лет назад
Kama haimake sense move on Mavooooooko!!!
@deusmauka9626
@deusmauka9626 6 лет назад
Ameamua atoke kivyake, asimame yeye kama yeye, sawa sawa komaa ila usibeze WCB.
@hakeembandiahakeembandia1959
@hakeembandiahakeembandia1959 6 лет назад
Mavocko □□
@sizzaamiri3668
@sizzaamiri3668 6 лет назад
rich amebugi kutoka wasafi
@hoputusanaamsodokiikasilen3354
Nyote mnaosema Mavoko kafanya blander kutoka wasafi...mbona mnajisahau na kukufuru...mjue Mungu ndie anetoa rizki...sio wasafi...so kabla hamjaingea fikirieni kwanza
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
hopu tu sanaa msodokii Kasilenda hakuna mungu pale wcb,basi bila wao kuwepo watz wote tungekufa njaa ,tusingenunua usafiri,tusingejenga
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Mungu mtoa ridhiki,hakuna kama yy muacheni Na maamuzi yake
@dizoboy8609
@dizoboy8609 6 лет назад
Mnafiki huyo,alivyokua kule alikua anawasifia leo anataka kujifanya alikua anabaniwa,fala tu
@R10_Rajab
@R10_Rajab 6 лет назад
Kaongea wapi anabaniwa wacha kuwa mchocheaji bro
@rynerprince8883
@rynerprince8883 6 лет назад
mjinga sana huyu rich yaani interview mbaya dunia nzima hajui kujibu maswali nimepoteza ,muda mno
@mariamraj538
@mariamraj538 6 лет назад
mbona kukuku nyingi hivyo mtu wangu
@mwalongojames1507
@mwalongojames1507 6 лет назад
Daaah jamaaa anatakiwa awa unfollow woteee
@iddimohamedi6328
@iddimohamedi6328 6 лет назад
Muongo huyu mbona siku ya mwisho anatoka basata kavimba hataki hata kuzungumza na waandishi wa habari......
@isihakanyirenda8474
@isihakanyirenda8474 6 лет назад
Mazoezi gani hata huonyeshi mabadilko ya mwili kuwa na muonekano tafauti na kukonda
@timolawizmkusini.6967
@timolawizmkusini.6967 6 лет назад
aisee nimekuona kwwnye chideo awe chideo
@yasinimnyonge5947
@yasinimnyonge5947 6 лет назад
NYIE MNAO MPONDA MAVOKO. Nyie ni WANAFIKI na WAPUMBAVU wazuli sana. Wakatisha tamaa na WACHAWI ninyi. Kwani nani asiye jua kua WCB ni Freemason..!
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 6 лет назад
Chek Lilivyo konda ww unajipya na kutoka wasafi nisawa nskujiaribia njia
@rehemahussein748
@rehemahussein748 6 лет назад
Tulitaka ufungue roho Interview nzuri..lakini
@gavinotz2429
@gavinotz2429 6 лет назад
N 🔥🔥🔥🔥
@basheer4278
@basheer4278 6 лет назад
Piga like kam unamkubal messi wa bongo
@salumallymngumba
@salumallymngumba 6 лет назад
Mzee rich mbona kigugumizi?
@lifetimecombowithcobby3055
@lifetimecombowithcobby3055 6 лет назад
mavoko biashara ilikua ni biashara tulishindwana kibiashara mm ni mfanyabiashara hahahahahaha tisha bro
@kimyusco6910
@kimyusco6910 6 лет назад
Kumbe weee ndo pacha waoo..mrith wa Bibi,...nouwwwwwmaaaaaaa xnaaaaaaaaaa
@amocnassary7615
@amocnassary7615 6 лет назад
Upo fresh toto wa mama Richard
@emmsnuelmbagaye6322
@emmsnuelmbagaye6322 6 лет назад
Bro ni MTU mwenye busara ya Hari ya juu ajiandae kutusua maisha
@diamondplatnumznewsajm2053
@diamondplatnumznewsajm2053 6 лет назад
Mtoto snitch sana ww stress ndo zinakusumbua ww😂😂😂.
@thomascharles9793
@thomascharles9793 6 лет назад
mkn
@TALLUBOY
@TALLUBOY 6 лет назад
Jackson Enos umiona anazingua uyu dogo
@diamondplatnumznewsajm2053
@diamondplatnumznewsajm2053 6 лет назад
@@TALLUBOY mtoto anazingua mno.😂
@diamondplatnumznewsajm2053
@diamondplatnumznewsajm2053 6 лет назад
Kigeugeu xana mtoto uyo.
@bedatv5634
@bedatv5634 6 лет назад
usisahau kulike page ya ujenzi wa kisasa zone.upate ramani za kisasa
@bedatv5634
@bedatv5634 6 лет назад
facebook
@dastanfyondi2159
@dastanfyondi2159 6 лет назад
Hakuna mzoezi ya kupauka ivyo kwanin wabongo hamsemagi ukweli,thats stress brow
@dogoprince6174
@dogoprince6174 6 лет назад
Kaka fanya yako ss tunakusapot kinoma yan
@officialtinnyaltezza9878
@officialtinnyaltezza9878 6 лет назад
Nilikuwa naisubiri kwa hamu hiiiiii..... taaambweeee
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 6 лет назад
wabongo bana kwa unafiki hatujambo,ooooh ondoka wcb uko hawakujali , haya sasa umetoka ona sasa ata wale walokushawishi uondoke wanakucheka sasa , hahahaaaa utakula jeuri yako ,ila ukweli ni kwamba huwezi endena na speed ya wanyama Wa pale wcb ,huna uwezo Wa back to back mzeeee
@godfreyflorence4224
@godfreyflorence4224 6 лет назад
kwn WCB ninin ,unajua c elewi
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Petro Mwinyi wcb mungu?wanalisha watu Tanzania nzima?mbona watu wanaishi Ridhiki ya mtu mungu ndio anayo,ww mwabudu binadam mwenzio ndio uamini atakupa mafanikio
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 6 лет назад
Utaradhimishwa kufanya Na visivyostahiri kutegemea MTU,jiamini ,peke yako pia unaweza kwani wao waliwezaje kwa mungu hashindwi kitu
@gloryjimson8353
@gloryjimson8353 6 лет назад
Wa pili mie, instagram @officialjasminjimson ila #Rich unajielewa Sana.
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 6 лет назад
pwaaaaaaa huyu anaitwa nani jama
@salmadonne6327
@salmadonne6327 6 лет назад
Hahahaha aki nimecheka leo sauti ya shoga nimeisikia anakuja van uoe alafu mavoko leo mbona wajikuna xana
@edrickniwamanya439
@edrickniwamanya439 6 лет назад
Taaaaaambweeeee
@ommydimpoz4391
@ommydimpoz4391 6 лет назад
Kama amepungua ka rogwa na WCB
@amiria.mustafa9859
@amiria.mustafa9859 6 лет назад
Messssssssi
@anodiantoni6639
@anodiantoni6639 6 лет назад
xory naona ka unaelekea kufer
@eliafredy230
@eliafredy230 6 лет назад
Yan huyu level yake ndogo sana mbosso tyu anamtagisha kwa mashahiri alafu ajitambui walah tena kajitahidi kutoa ngoma mfululizo na zote zimebuma aisee dah!! Nyota chafu
@samrankingfire5009
@samrankingfire5009 6 лет назад
Acha wivu fala ww, toa zako km unajua kuimba
@owardsamwely8550
@owardsamwely8550 6 лет назад
Elia Fredy we kuma kweli rich leve za nan jiangaliee wewe fala
@joakimjohn1035
@joakimjohn1035 6 лет назад
uwosio uzalendo ww acha Maneno yakanga
@sebastianituruki1404
@sebastianituruki1404 6 лет назад
kwel mavoko kapoteza muelekeo kabisa na msijipe moyo atakuja kufika sehemu yeyote make my words. kibur kimempoteza baraka da prince na anafata huyu
@juvenalymnyama735
@juvenalymnyama735 6 лет назад
Acha ukuma mtoa post
Далее
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн
RICH MAVOKO: DIAMOND / NI NYOKA KWENYE SHIMO / TISHIO
17:27
RICH MAVOKO : HARMONIZE ANAPENDELEWA SANA WCB!
3:02
Просмотров 807 тыс.