Тёмный

RICH MAVOKO: DIAMOND / NI NYOKA KWENYE SHIMO / TISHIO 

LilOmmyTV
Подписаться 545 тыс.
Просмотров 543 тыс.
50% 1

EXCLUSIVE INTERVIEW YA RICH MAVOKO, KUHUSU KUTOKA WCB, na SAFARI YAKE MPYA.
Fatilia mahojiano ya moto na mastaa unaowakubali kujua kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yao, #LilOmmy #THEMVP #KingOfInterviews anakukutanisha nao hapa hapa kwenye #LilOmmyTV
Let's Connect
/ lilommy
/ lilommy
/ lilommyfanpage
lilommy.com/
Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter..... enjoy!

Развлечения

Опубликовано:

 

30 сен 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 469   
@ajheemclassicaltv7608
@ajheemclassicaltv7608 5 лет назад
Katika maishaa. Kuna vitu vitatu muhimu udhubutu, akili, kujiamini so big up @Rich mavoko so hapo ndo utasikiaa mzungu akisema try and fail but never fail to try .... Jaribu lakini imeshindikana ilaa usiogope kujaribu.,. Like hapa Kama wewe una accept
@amanzingena5388
@amanzingena5388 5 лет назад
Very respect Rich mavoko unajua xn kucheza na maswali ya Omary tambwe, Wamejitaid xn kukutega ili ujichanganye ktk kujibu lkn jamaa upo vzuri xn.
@djyun8109
@djyun8109 5 лет назад
MVP mavoko anajua sana akazee tuuuu anaweza sana
@lennardmallya8280
@lennardmallya8280 5 лет назад
Wa pili kuview nataka like zangu na Mimi Leo jamani khaaa
@moshishukurani6010
@moshishukurani6010 5 лет назад
Richiumepoteabiaza
@masubogabriel8268
@masubogabriel8268 5 лет назад
Lennard Mallya umetisha kamanda
@estylsamu8960
@estylsamu8960 5 лет назад
Hahaaha
@shomaribakari7510
@shomaribakari7510 5 лет назад
Lennard Mallya ili iweje
@athumanngapaliji7691
@athumanngapaliji7691 5 лет назад
pw
@blackboy896
@blackboy896 5 лет назад
Maamuzi ya kiume sana Mavoko
@emmanuelimaxxaka754
@emmanuelimaxxaka754 5 лет назад
B gap xana mavoko kwa kazi zako unazo zifanya jamii ina kuelewa kinoma noma respect xana 👊👊👊👊👊👊👊👊👊
@mercychebet3502
@mercychebet3502 3 года назад
We love you Kenya tunakupenda na tunakutambua rudi kwenye mziki dear we miss your voice
@Emmy22655
@Emmy22655 4 года назад
Unaniwka imani sn 😥 Mavoko Mungu yuko na ww utasimama tena .tumkumiss sauza africa😘😘😘😘
@SolobizzTV
@SolobizzTV 5 лет назад
Mavoko..nakuaminia sana Kizazi sana
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 5 лет назад
Interview ya kizazi sana twende sawa #mavoko kenya twakupenda sana
@ashaherzog4488
@ashaherzog4488 5 лет назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 For Mavoko 💥💥💥🚀
@haibahassan1244
@haibahassan1244 5 лет назад
😍😍tunakupenda @richmavoko🙌🙌🙌
@rajabupangala951
@rajabupangala951 5 лет назад
Kwa kifupi umepanik braza' ulitakiwa kutulia then uachie ngoma zile za mavoko anaejulikana sio mavoko anae anza upya kwa hz ngoma ulizoziachia hapa kati zimekurudisha kama under ground
@norahmangah5364
@norahmangah5364 5 лет назад
Anajikuna balaa umepatwa na nn mavoko😥😥
@jayrosjjr4926
@jayrosjjr4926 5 лет назад
Kwa mm binafusi nakukubali sana hata kipindi unaingia wsb tuliona umebugi sana ingawa ww ulidai uliangalia biashala lakini kiukweli ulijishua thamani yako lakini kwakua ushajua na umeamua kumuvu piga kazi Mzee babu tunapenda mziki wako birionea mbona kama wap tuu gonga like kama unamkubali mavoko.
@shabaankassimomarysarehe4786
@shabaankassimomarysarehe4786 5 лет назад
Kabisa
@filbertrichard6979
@filbertrichard6979 5 лет назад
Ukiwa naloho yazalau kama yakiba kiukweli unakuwa kikwetu sisi tunasem huyu mtu anaiva kitondwe ikiwa namana kwamba! huyu mutu anaumia ndani kwandani hiyo nihatali sana kwanza unakuwa nachuki sana pole najua hata wewe kwakuwa unaiva kitodwe pole sana simamia ukweli nani yupo juu
@optatustengeneza9847
@optatustengeneza9847 5 лет назад
Wish all the best brother mavoko
@sooitslilerick7931
@sooitslilerick7931 5 лет назад
noma sana...Kenya tunamtambua Rich kwa sana...Lil ommy dope interview
@sooitslilerick7931
@sooitslilerick7931 5 лет назад
+Fraidid Hassan your opinion counts
@chenjeucomedy31
@chenjeucomedy31 5 лет назад
Najua mavoko ni msanii bora, kama wewe unamkubari mavoko like na ku comment ili twende sawa
@logathngalola884
@logathngalola884 5 лет назад
tatizo lp wapi wewe lichi mbona unajuwa sana au ndo bahati auna#yani wewe na Baraka ata sielewi kuna nini Au muna mikosi ?
@aliimwachiti102
@aliimwachiti102 5 лет назад
Richi yuko juu
@givenmwikanu5527
@givenmwikanu5527 5 лет назад
Naunga mkono hoja..
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es 5 лет назад
ni kweli tumekuelewa mavoko lkn kutka wcb mmmmh kwako ni mtihani sana
@salumsaadi6162
@salumsaadi6162 5 лет назад
Smart boy vip
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 5 лет назад
- mungu akusimamiye Mtihani ni vitu vya kawaida kwa mwanadamu kwa mwanadamu Rch upo vzr komaa
@joedimnazi1473
@joedimnazi1473 5 лет назад
Kama unakubal hik kipaji gonga like twende sawa
@mwaasamwene3084
@mwaasamwene3084 4 года назад
joe di Mnazi
@tahrinkessy7119
@tahrinkessy7119 5 лет назад
Lilommy we love u show za kibabe sana mzazi 😉😉
@marywairimu2386
@marywairimu2386 5 лет назад
All the best @rich mavoko
@phil_kioko_
@phil_kioko_ 5 лет назад
Wasafi walitekeleza nia ya kukumaliza and they achieved. Sasa angalia ulishuka kimziki. But God will guide you bro.
@ahmedymahamudu8905
@ahmedymahamudu8905 5 лет назад
nimechunguza neno #biashara limetumika sanaaa na #richmavoko wasoma comments udugu udumuu kama unakubali team wasoma comments gonga like twenede sawa
@ahmedymahamudu8905
@ahmedymahamudu8905 5 лет назад
Nouma sanaa
@ombeniibawa4481
@ombeniibawa4481 5 лет назад
Umekonda
@evaristisdor3016
@evaristisdor3016 5 лет назад
I've u
@vicentmgaya2056
@vicentmgaya2056 5 лет назад
To gether
@felixmalenda5668
@felixmalenda5668 4 года назад
Ulikuwa tishio wsb ww mwenyewe umejilost kuondokaaa
@agu7tv286
@agu7tv286 5 лет назад
nakubali sanaaaaa 💪💪💪
@keithochieng8805
@keithochieng8805 5 лет назад
Kumbe wewe ndo mavoko hhhum! Mtoto wangu amechange jina shule, mtaani anaitwa Mavoko jina kamili ilibakia sisi kama familia.
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 5 лет назад
nakupa mwaka wew umejichanganya
@dsway607
@dsway607 5 лет назад
nakukubali brother 👊 🎵
@msauzsanob1217
@msauzsanob1217 5 лет назад
jamaa anajua namkubali balalaa
@annaupendo4768
@annaupendo4768 5 лет назад
Siku ya kwanza niriposikia Mavoko kajiunga na Wcb ndoo nikajiuriza anatafuta nini mbona kama mziki anaweza kujurikana kashajurikana nirimdharau sana katuonyesha kama hajiamini vile 😏😏
@hoseanobocka4533
@hoseanobocka4533 5 лет назад
Anna Upendo kashajulkana bongo labda ila kwa Africa bado sana,
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 5 лет назад
Anna Upendo
@generallydangote7629
@generallydangote7629 5 лет назад
sikia usiixh kwa ku. crem wcb awaingii wasiojua kuimba
@hamadrashid3111
@hamadrashid3111 5 лет назад
Anna Upendo Niliposikia* Nikajiuliza* Kujulikana* Kashajulikana* Nilimdharau*
@majutomshukuludaimodelias2639
@majutomshukuludaimodelias2639 5 лет назад
Bonakimya
@pauljohn1450
@pauljohn1450 5 лет назад
so amazing !!!
@kasimuyahaya4010
@kasimuyahaya4010 5 лет назад
Mavoko salute Sana komaa wewe ni tishio Ngoma zako hata domo unakubaki
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 года назад
😂😂😂😂😂😂Eti domo da nimekukubali sana
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 года назад
Nampend uyu dada anajiereww sana uy mtangazaji
@Aidansimwanza
@Aidansimwanza 5 лет назад
Saafi Bro Rich, tunawachafuwa
@nsolachalo
@nsolachalo 5 лет назад
tuliza akili ondoa stress,rudisha imani na ujiamini unaweza,pia jifunze kusamehe na kusahau yaliyopita uishi kwa nyakati ili upige hatua
@georgeleemo3334
@georgeleemo3334 5 лет назад
Nandy musik raha tupu kupendana na wewe
@saidselemani2732
@saidselemani2732 5 лет назад
Mavoko we mwanangu ila japokuwa cjaijua sabbu ni nini ila sio siri umezngua kutoka wcb lakini safi tu still bado nakufatilia blood keep it up
@suleimanrahil4601
@suleimanrahil4601 5 лет назад
Mavoko ww ni fundi tangia haupo WCB nakukubali ile noma yani bige up kaka mavoko
@athumanirey2342
@athumanirey2342 5 лет назад
noma sana mavoko
@jeremiahmasunzu3437
@jeremiahmasunzu3437 5 лет назад
Uko sahihi sana mzazi changamoto sio tu sehemu ya maisha yetu ila changamoto ndo maisha yenyewe
@saidikambimbaya6739
@saidikambimbaya6739 5 лет назад
yess
@gloria6401
@gloria6401 5 лет назад
mavoko napenda sauti yako ukiimba lakini Leo mbona mikono ndani ya Mifuko ungali umekaa swag gani hiyo sasa
@diamondplatnumz8462
@diamondplatnumz8462 5 лет назад
All the best friends
@danielyohane9441
@danielyohane9441 5 лет назад
This man is gonna be another Alikiba ..mark my words wasoma comments
@rashidiismaili847
@rashidiismaili847 5 лет назад
Umesomeka king kiba..mavoko frexh mavoko
@sistersade9039
@sistersade9039 5 лет назад
Mavoko Kuwa Na uwezo wakuimba vizuri sio pekee inamtajirisha Mtu bila yakuwa Na management nzuri yakukung’arisha kama ulivo kuwa WCB. Pia kuwa Na confidence yakujibu masuala unayoulizwa bila kuonesha khofu! Mbona husemi chochote Na sauti yako haingurumi kwa furaha? Unapotaka kusimama lazima miguu iguse chini mwanangu! Sema usikilizane watu wakujue wewe nani
@majimoto75
@majimoto75 5 лет назад
Rich you have lost lots of weight , what's up. Believe and love yourself. I Love your music
@davidwambura5915
@davidwambura5915 5 лет назад
Mavock upo sahihi sana kutoka WCb, hilo hata mimi lisha nikuta kwenye kazi yangu, Nilifanya kazi chini mtu, lkn nilipo achana nae kuanza kazi zangu mwenyewe niliona mafanikio makubwa sana. piga kazi mashabiki wako tupo tutakusapot
@evaristmrope
@evaristmrope 4 года назад
Niceee interview
@mwinyimkuumwimbe8235
@mwinyimkuumwimbe8235 5 лет назад
Bro nakukubal sn hunaga maneno mengi big up
@saidkulwa1251
@saidkulwa1251 5 лет назад
Mwinyimkuu Mwimbe huoni kama kapotea kiasi flani huyu
@rogerslugose6352
@rogerslugose6352 5 лет назад
Kenya tuko
@erasmusnzibonela5151
@erasmusnzibonela5151 5 лет назад
Uliomba mwenyewe kuingiaWCB leo unasema Daimond ni nyoka sijajua tatizo nini make ngoma3 ulizo toa azina viwango kama ulizotoa ukiwa WCB
@rodgerzdangote8629
@rodgerzdangote8629 5 лет назад
Nakubali
@majaaliwasalum9462
@majaaliwasalum9462 5 лет назад
Mjinga sana huyu saizi ndoo atoki tena
@destojpizoh3132
@destojpizoh3132 5 лет назад
Wewe potelea mbali... Huna la kusema... Za kwako zi wapi???
@eddydben
@eddydben 4 года назад
Sio mbaya si alikua hawajui alikosea..mbona kawaida sana mtu kukosea kufanya uchaguzi. Watu mpaka uishi nao ndio utawajua
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 3 года назад
@@eddydben da nimekukubali san una mawaz ya mbali san mtu uwez kumjua mpka uish nay ujue domo anaonekan ana mambo ya kipuuz san a 💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@The_blackcastro
@The_blackcastro 5 лет назад
This guy is good
@helenamsula9162
@helenamsula9162 3 года назад
Hongera sana , binafsi nimefurahi kurud kwako
@funsimple_ke3034
@funsimple_ke3034 5 лет назад
Mavoko zile swaga za kale rudiaaaa .vyenye wajuchaaa vocalsss zako
@sefagomez6883
@sefagomez6883 5 лет назад
Mavoko unajua Sema kaza bro Weka Na kamba
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Show yakizazi sana
@wambatv2344
@wambatv2344 5 лет назад
mavoko kutoka wcb umejichanganya bongo hakuna asiye kufaam ila kufika nje ni kolabo na ulishaanza kufika kdogokdog lakin sasa ni kama umejiludisha nyuma mwenyew
@saidisaleh2131
@saidisaleh2131 4 года назад
Djaribu kusame rich mavoko naweye mungu atakusame rudia washabiki wako
@feliciankazimoto8888
@feliciankazimoto8888 5 лет назад
Mavoko vp Mbona umekonda xana??
@amoskatura9439
@amoskatura9439 5 лет назад
Umesha potea bro
@jaykaris
@jaykaris 5 лет назад
Mavoko mafans wako ndo ngao yako jikaze tupe vitu poa mengine mwqchie Mungu.
@pasuabrand
@pasuabrand 5 лет назад
Bad Man Rich mavokooooo
@yohanakadere9156
@yohanakadere9156 5 лет назад
Mavoko ni kichwa cha kazi huwa namuelewa sana
@solanuskomba82
@solanuskomba82 5 лет назад
saaana sana mwamba rich mavoko
@emmanuelkivenule875
@emmanuelkivenule875 5 лет назад
What i understand from Rich Mavoko kwanza amejua thamani yake pili ametamani mafanikio ya mshikaji tatu anafanyia Kazi ushauri wa mshikaji and you will see him in wasafi festival #WCB4LIFE
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 5 лет назад
Huyu alitegemea kwenda wasafi akashikwe mkono ndo maana anasema diamond akikutana naye anaongelea kazi tu kazi tu,alitaka waongelee nini?
@saidkulwa1251
@saidkulwa1251 5 лет назад
JACOB MWALITUKE sindo hapo akumbuke hata hapo alipo ni kwaajili y kaz zake pia
@lixelrols
@lixelrols 5 лет назад
Big up bro... Fight for what is right even when they say its not.
@kidphantom142
@kidphantom142 5 лет назад
Con Boi true
@antonyagustiny7471
@antonyagustiny7471 5 лет назад
sana mavoko nakuelewa sana nyimbo zako
@raphaelgadau2783
@raphaelgadau2783 5 лет назад
Lilommy mm na mwelewa sana huyo mtoto voice mm hoi
@yohanvistsonger4745
@yohanvistsonger4745 5 лет назад
Keep it up budaaa
@friendsofpeopleorg1157
@friendsofpeopleorg1157 5 лет назад
Rich big up sana kama umepona na umerudi ktk game
@khadijamusaabdulrahman2069
@khadijamusaabdulrahman2069 5 лет назад
Uko sawa kaka
@chenjeucomedy31
@chenjeucomedy31 5 лет назад
Msanii namba mojaa tz, upende usipende yeye ni uniq artist
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 лет назад
rich mavoko..alikua mkubwa sana zamani
@the_real_guccigirltv4987
@the_real_guccigirltv4987 5 лет назад
Jamani wa kina dada au mama kwa wanao taka kukata tumbo na matako kuongezeka ondoa stress kwa mda mfupi ntatuma mafanikio na hata before and after na ata nilivopitia vyote kwa kupunguzs miili susbcribe plsss na open notification...
@jabirawadh9800
@jabirawadh9800 5 лет назад
Umekosea sana kutoka kule wezio tunalilia
@josewaathi
@josewaathi 4 года назад
kali sana baba
@frankmfikwa1942
@frankmfikwa1942 3 года назад
Naomba uje king plz mavoko
@vinnymally2453
@vinnymally2453 Год назад
Noma
@akyootv3898
@akyootv3898 5 лет назад
Nomaa
@winnieesther1423
@winnieesther1423 5 лет назад
Nampenda sana richi anajiamani
@stevenisack6815
@stevenisack6815 5 лет назад
Ebwanaeee kizazi sopoa huyu mshikaj hakamatik
@wakalitanzaniawtzsivamusic6738
Mungu akutie neema ila chunga izo luka luka zako. Maana utuliiiiiiiii by Siva music
@tinabrown5753
@tinabrown5753 4 года назад
🔥💛🔥
@bleahmahenge963
@bleahmahenge963 5 лет назад
MA bilionea kid 2like hap
@johnpaule1419
@johnpaule1419 5 лет назад
mavoko hawezekani bhana.
@amuraninzeyimana4035
@amuraninzeyimana4035 5 лет назад
John Paule kweli
@pascalyoung6667
@pascalyoung6667 5 лет назад
Daaaah live kaka unawez
@youngboy7818
@youngboy7818 3 года назад
Sana kaka nakubal kinoma
@deogratiusgibson853
@deogratiusgibson853 5 лет назад
haha, eti hauta tena kaakimya ha ha ha ha kiswahili kigumu jamani
@safariadrien8544
@safariadrien8544 5 лет назад
fanya maisha yako bro
@maulidmango1087
@maulidmango1087 5 лет назад
Napenda mziki mzuri,sinaga timu kwenye mziki, Lakini naamini umekosea kujiondoa wcb,ukweli wasanii ni wengi,lakini wanakosa uongozi mzuri wa kusimamia kazi zao.kwa Tanzania ya leo lebo ya wbc ina uongozi bora kuliko lebo yoyote tanzania. Note my words,after one year,you will understand what i mean.
@goldmaster6639
@goldmaster6639 5 лет назад
Haaa bilionea kid ni shidah mzee
@martinrahj8526
@martinrahj8526 5 лет назад
Mavoko you are a great musician..yees lakini ata kama una uwezo najua Simba ni mdogo wake lakini ana ujuzi tazama vile amemlea harmonize ..mavoko angevumilia WCB ndio talanta unayo lakini saa zingine unaitaji support look at them ata kama mnasema ni wabaya simba ana subscribers wengi na mwenyewe anakuuza within a short period ngoma yako ishafikia million moja..kama unapata promotion kama hii mboba uondoke sasa ..kila record label haikosi challenges zake..
@jovinamrosso6978
@jovinamrosso6978 5 лет назад
Thats True wcb inapromotion Kubwa xna.
@martinrahj8526
@martinrahj8526 5 лет назад
..yes this our life needs you to be creative and cunning.ata ukiwa mahali unateseka na pesa zinaingia whats wrong with that..
@saidselemani2732
@saidselemani2732 5 лет назад
Sure man
@marioofans5147
@marioofans5147 5 лет назад
We noma
@ilethwilliam6302
@ilethwilliam6302 5 лет назад
Good
@antonyagustiny7471
@antonyagustiny7471 5 лет назад
sana mavoko nakuelewa sana nyimbo zak
@antonyagustiny7471
@antonyagustiny7471 5 лет назад
sanaa
@wamchomvudedone9873
@wamchomvudedone9873 5 лет назад
Billionare kid tunakiwasha vibya
@noelmangoma6197
@noelmangoma6197 5 лет назад
mavoko amekua kiakiakili anaongea kikubwa simaanishi alikuwa anaongea kitoto kila jambo lina style yake ya kujibu
@mohamedally391
@mohamedally391 5 лет назад
mavoko unajua kaza kamkuba
@mohamedally391
@mohamedally391 5 лет назад
mavoko unajua kaza kamkubwa
@bilioneag2049
@bilioneag2049 5 лет назад
Kunamsada unapewa kumbe ndo unamalizwa before lichi ajaenda wcb alikuwa mkali sana 2)yamoto bend walikuwa wakali lakini dai akawashauli eti kuwa mnategeana kunawengine mnawabeba kilamtu aimbe pekeake mpaka Leo sio watamu kama vile walivyokuwa groop
@godifalsafa6956
@godifalsafa6956 4 года назад
Baba ommy unavyoyapanga hayo maneno dah 🔥🔥🔥🔥
@abdulhassani6310
@abdulhassani6310 4 года назад
Maneliseleman
@yekoniamolel6230
@yekoniamolel6230 5 лет назад
Pambana brother coz maisha inakuaga changa moto
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Tale sio meneja...NI mbebamabegi TU wakawaida 😛😛😛😛 Ustadh J Namusoma
Далее
Отец Проводит Тест с Сыном 😂
00:48
Qizim 58-qism | Anons |Nimaga meni bolam o'ladi ?
00:47
ALIKIBA: WCB NZIMA NAMKUBALI MSANII HUYU, SIO DIAMOND!
12:58
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15
How Many Balloons Does It Take To Fly?
0:18
Просмотров 154 млн