Тёмный

RIP King Zilla: Hii ni interview ya mwisho na Godzilla, alikuwa na furaha kubwa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 117 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 247   
@isayangwahi9251
@isayangwahi9251 5 лет назад
"labda maneno yangu wataelewa siku nikifa mi ni mfalme labda nahitaji queen strong ka latifa... machozi mashavuni pass a tissue...muda mwingine nachoka natamani ku run away natambua hawana mabawa so i gotta...STAY" REST EAZY KING #ZIZI 😭😭😭
@mic-keymichael6630
@mic-keymichael6630 5 лет назад
Isaya Ngwahi deep
@benardmwaibabile776
@benardmwaibabile776 2 года назад
Mtaan kuna sister duh ana bwana na mapene pia handsome tu
@zaynsalma3466
@zaynsalma3466 5 лет назад
Hakuna kitu nilichokuw nikkipenda na kukuangalia san ten san Kama Hilo jino lako lililokatik kipande 😭😭😭pumzik salam #Zilla# weeee Tutakukumbuk Daima 🙏🙏🙏🙏🙏
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Du pole sana sky polen watz wote mungu ailaze mahali pema pepon roho ya marehem king zilla
@diamondplatnumznewsajm2053
@diamondplatnumznewsajm2053 5 лет назад
REST IN PARADISE #GODZILLA May your Soul Rest in Peace 😥😥😥🙏
@diamondplatnumznewsajm2053
@diamondplatnumznewsajm2053 5 лет назад
Tumempoteza Shujaa wa Rap
@fettamidu2503
@fettamidu2503 5 лет назад
R I p
@shedrackmussa5903
@shedrackmussa5903 5 лет назад
kwel d
@godfreymushi5125
@godfreymushi5125 5 лет назад
Mbele yake Nyuma yetu
@zakariangese3826
@zakariangese3826 5 лет назад
@@diamondplatnumznewsajm2053 bro, na wewe nenda kimala b, kwa Bishop Paul BENDERA yule ni mwisho kk, mimi yule Bishop ndie alinisaidia acha kuishi kwa mateso na mashariti kibao, kwani hukuumbwa na shetani bali uliumbwa na Mungu, yule mzee atakutenga na free national, tena nendeni na lebo yako yote kk, ucijekuwa kama kanumba, maisha ni mafupi tena yenye laha sn, ila kilio chake bro, ciku ukikata, ndio utaona, nakupenda kaka nasibu ndio maana nimeamua kukuandikia na kukushauli ila ukiona vip potezea, ila one day itaukumbuka hii sms yangu poul Bendera yule ni mtumishi wa Mungu hata mimi kaniepusha bila chenga na jamaaa wakakata kabisa kuni fatilia, nasema hivo bro, kwani nawajua vizul ila kwa yule mtumishi ni moto bro, na wala cio utani na cijawai kukuandikia mahara, nakupenda na ndio maana nimeona ikupendeze kk nasibu
@hadijapazia684
@hadijapazia684 5 лет назад
Eeh M'Mungu binaadam si chochote, Hakika kwako 2tarejea..
@ikopoaprospa9929
@ikopoaprospa9929 5 лет назад
Pumzika kwa aman tutakumisi
@nasramnyambo9651
@nasramnyambo9651 5 лет назад
duh jaman kilanafs itaonja maut ka ndoto vile
@b12chomolla62
@b12chomolla62 5 лет назад
*Kiukweli nilipooiona taarifa ya kifo cha GODZILLA niliumia mnoo jamaa way back nikiwa shule nikizipenda kazi zake za mziki Mungu akuangazie mwanga wa milele ameni*
@jacklinekatandula6534
@jacklinekatandula6534 5 лет назад
Niliambiwagwa kuna cku 40 before kufa ya kumjua matendo ya marehemu mtarajiwa yy peke yake ndio anajua ilo na anahic lkn mdm haufunguki anakuwa muoga mpole uso unainama aibu akuangaliii moja kwa moja anakwepesha macho huyu jamaa alipoteza tyr nuru uson
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 лет назад
Ana tungo za hapo na hapo. bila kupepesa..Allah akurehemu
@idrisasalum8013
@idrisasalum8013 5 лет назад
Usi subir ufe uombewe dua mtandaoni nduguzanguni kama amalizako mbovu dua hazita kusaidia tujitahid kufanya ibada ndio lengo tulioletewa hapa duniani
@Aaa-nh7gw
@Aaa-nh7gw 5 лет назад
Kabisaa my
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Tuishi kwa upendo duniani binadam tuko kama ua halikawii kudondoka 😢😢😢😢😢inalilah wainalilah rajium 🙏🙏🙏🙏
@rashidyrashidy3923
@rashidyrashidy3923 5 лет назад
True....Give my roses when I'm still alive, tell me how much you love me now that I'm alive....Don't wait till i die and start saying how much u love me
@yusufumbwene8949
@yusufumbwene8949 5 лет назад
To be sincere, ,,,,this Zilla was a genius of freestyle maana hata Nikki hapa katagishwa . See you in a heaven broo!
@claudialupimo4468
@claudialupimo4468 5 лет назад
Alikua mcheshi.. Dah,udongo huu.. Mungu tuhurumie,alikua kijana bado,nguvu ya taifa
@kadejahoe6543
@kadejahoe6543 5 лет назад
Mauti ni mlango bloo kila mmoja atapita kwa muda wake ukifika haigarishi una umri ganii
@claudialupimo4468
@claudialupimo4468 5 лет назад
Mii sio bro
@kadejahoe6543
@kadejahoe6543 5 лет назад
@@claudialupimo4468 oky claudia sorry nikajua mwaumee
@ashamreu1819
@ashamreu1819 5 лет назад
Ishi ulaumiwe kufa usifiwe
@hyasintakundy369
@hyasintakundy369 5 лет назад
He was strong man hata hapo anaonekana hakua sawa but alikua anajikaza na kujitahidi kuonyesha furaha daah maisha yetu ya kuishi hapa duniani ni mafupi tupendane rest in peace zilla see you again
@baeastkephajr4429
@baeastkephajr4429 5 лет назад
Aisee yan jamaa kanigusa mpka moyon R.I.P king wa salasala
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 5 лет назад
Yaallah tujalie mwisho mwema
@gb-one6435
@gb-one6435 5 лет назад
R. I. P bro nilikua naku kubali sana kitambo nilikua nashawishika sana kuwa mzee wa freestyle kama ww Pumzika kwa amani brother 😭😭
@berthalutifrid515
@berthalutifrid515 5 лет назад
GB- One
@gb-one6435
@gb-one6435 5 лет назад
Yes Betha
@streetkidonline4777
@streetkidonline4777 5 лет назад
Dah huyu jamaa alikuwa na plan kubwa sana juu ya Hip Hop Music... Jamaa alikuwa mcheshi sana yan. Dah #NikkiWaPili yuko too stressed,dah Godzilla.... Jamaa alikuwa anajua sana but walimbania kinoma yan
@4a9tr-msigwa
@4a9tr-msigwa 5 лет назад
R.I.P #ZILLA THOSE GUYS WALIKUWA CHARMING SANA
@DennyMathematic
@DennyMathematic 5 лет назад
Duuuh shikamoo pombe....shikamoo bangi...shikamoo hip hop 🙌
@jescamakyao9465
@jescamakyao9465 5 лет назад
Kwa kweli kifo ni kibaya Sana hakina huruma kabisa.
@raymondkazungu6261
@raymondkazungu6261 5 лет назад
kusema kwel Nik humuez Godzilla kwa kuchana we ata unaanza kufikiria mwenzao anatiriria kama maji mtoni R.I.P KING GODZILL
@yasirdahasra3186
@yasirdahasra3186 5 лет назад
Raymond Kazungu Unazungumzia freestyle au Kuandika?? be specific Nikki sio mtu wa mchezo mchezo kama unavofikiria
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 5 лет назад
Raymond Kazungu sio kwasababu kafa ndo tumpe sifa. zila mkali Ila niki kichwa kingine balaa huyo ni real hardcore mc
@yasirdahasra3186
@yasirdahasra3186 5 лет назад
Timoth Mwakakusyu Aise ni bora Umwambie huyo mdau nazani current situation ndio inamfanya aseme hivo sidhani kama ana uhakika na ushahidi kutoka moyoni kuwa Zila alikua bora kuliko Nikki all in all R. I. P Godzilla umetutoka jembe kwenye tasnia ya Hip Hop na bongo Fleva kiujumla
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 5 лет назад
Yasir Emcee ukweli haufichiki mkuu, maana mi mwnyw nawakubali wote ila niki hayumbishwi na commercial kabaki na msingi wa ueMC kwa muda mrefu mpaka sasa. kama ni marekani basi niki ningemfananisha na nas escoba katika misingi ya kihiphop
@yasirdahasra3186
@yasirdahasra3186 5 лет назад
Timoth Mwakakusyu na hicho ndio kitu pekee kinachomtofautisha Nikki na wasanii wengine Kwakweli yupo kwenye misingi Sana na katika uandishi kwa sasa ndio sioni kabisa Kwakweli ukiacha kizazi cha wakina Hashim dogo na wakina Saigon kwa sasa bhana Nikki sitokosea nikisema ndio rapper bora wa muda wote kikubwa kwamba Wenda wapo wengi bora rakini Nikki hayumbishwi na mainstream kama plastic Mcz wengine tunaowaona
@wemakalam9415
@wemakalam9415 5 лет назад
Duuu mweenyezi mungu atujalie mwisho mwema yarrab.🙏 🙏 🙏 allahuma ammeen
@elizasingano8482
@elizasingano8482 5 лет назад
Poleni sana mama muzazi kiukweli inauma sana kipezi wetu
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 5 лет назад
Mungu akupe kauli thabiti bro Ameen 🙏🏿
@smartmussadozen3535
@smartmussadozen3535 5 лет назад
R.I.P Zilla mlikuwa mnazinguana fresh sana
@neema_mollel
@neema_mollel 5 лет назад
We are savaiva We pass like a shadow Rip Nigga
@fatmaramadan995
@fatmaramadan995 5 лет назад
Diamond mrudie baba yk unaona wenzako wanavyokufa ipo.siku utajutia
@mohagyaruben9193
@mohagyaruben9193 5 лет назад
we umeisha mrudia au unajiona wee mkamilifu kuliko wenzako
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 5 лет назад
Walazimisha wenzako kuishi utakavyo .do you know what people go through with their families ndio wafike kutowaongelesha, wachekesha sana if u got two parents walikulea vizuri shukuru n mind ur own biz pambana na hali yako. Sasa chanzo chake kufa ilikuwa baba???
@fallymetoo191
@fallymetoo191 5 лет назад
INNALLILLAHI Wainna ilaihi rajeuun
@hildaedson7054
@hildaedson7054 5 лет назад
I loved this guy.rest easy KING
@ashab2537
@ashab2537 5 лет назад
Usoni aonysha kama alikuwa aumwa, jamaniii poleni sana
@janesuma2193
@janesuma2193 5 лет назад
Asha b hata mim nimeona hakua mzima uyu kaka aonyesha kabisa akua mzima
@nurathabduly435
@nurathabduly435 5 лет назад
Uso unaonesha umejaa itakuwa ugonjwa ulikuwa unamtafuna uku anatembea jaman
@janesuma2193
@janesuma2193 5 лет назад
Nurath Abduly kabisa kabisa bt nazani alikua anajua anaumwa sema ndio kuvumilia tu nakutafuta maisha
@fredmankaingu4172
@fredmankaingu4172 5 лет назад
Apo kweli hakua mia mia
@nurathabduly435
@nurathabduly435 5 лет назад
Jane suma wote umaskini uhu jaman na tukizingatia maneno ya wahenga #MASKINI_AUGUI mtu unajituma mpaka dakika ya mwisho r.i.p goden Jacob mbunda mbele yako nyuma yetu. Allahmdulilaih allah atupe mwisho mwema in shaa allah
@mdsaid4562
@mdsaid4562 5 лет назад
Nikki mbish na zilla walikuw ma Best freinds
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 лет назад
Innallillah wainnaillah rajiun Allah akupe kauli thabiti mbele yake amina yarabi allamina
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 5 лет назад
R. I. P the best freestyler in East Africa
@lujobilz7482
@lujobilz7482 5 лет назад
Ulimwengu huu zila mimi nipo na wewe sababu sikuwahi kuwa pamoja na wewe paradise pia nikija nahisi itakuwa hivi show zaidi ya huko zaidi ya huku
@lujobilz7482
@lujobilz7482 5 лет назад
God zila amezila kunipokea under ground music niliwaza kumfikia sasa nasikia hivyo sawa nitamfukuzia pia nikienda paradise
@zaharaaliy6658
@zaharaaliy6658 5 лет назад
Nakumbuka had my brother anaitwa God but akamalizia Godzilla Kwa jili yako mungu akupokee Kwa khery
@mussaagrey5679
@mussaagrey5679 5 лет назад
ndo hivyo 🙏
@francisndillah8409
@francisndillah8409 5 лет назад
R.I.P Zilla u live with us....!!!!
@lujobilz7482
@lujobilz7482 5 лет назад
Da nimeumia sana fleva za huyu jamaa paradise wata enjoy kibabe
@latifaabdulla1429
@latifaabdulla1429 5 лет назад
R,I,P mungu akupe kauli thabiti
@hawasalum8735
@hawasalum8735 5 лет назад
Niki una msiba mkubwa!!! Pole Sana broo r I p king zilla
@officialsquizy
@officialsquizy Год назад
daaaah kizaz saana 2023 sa hii
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 5 лет назад
Dahhhh mungu yupo jamani rest in peace bro
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 лет назад
kutoka new school nakirusha bruck hewani gengstar🙏🙏#ripkingzila
@jescamakyao9465
@jescamakyao9465 5 лет назад
kwa kweli hatuna namba ya kukimbia kifo tusubiri tu kwa uvumilivu mpaka hapo mungu atakapoondoa kifo milele.
@shedrack01ilomo68
@shedrack01ilomo68 Год назад
Zillah hapo , alisha anza kuona njia ya akhera
@royemceewamichano5342
@royemceewamichano5342 5 лет назад
Zizi mic you master kng zz
@swalhaprettyswalha7154
@swalhaprettyswalha7154 5 лет назад
Jamani tuishini kwakupendana kwani duniani nikama mapito2 inalilahi winalihi rajiuni mungu katoa na mungu katwaa
@hamismbekae3050
@hamismbekae3050 5 лет назад
Pombe sio chai either way you are in a better place now. RIP
@johnsonmichael7888
@johnsonmichael7888 Год назад
Pumzika mwamba 🙏
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 5 лет назад
😥😥😥inna lillahi wa inna ilaih rajiun. kumbe alikuwa mcheshi namna hiyo
@b.k.ymusic55
@b.k.ymusic55 5 лет назад
Dah siamin kabsa
@magangakayola4175
@magangakayola4175 5 лет назад
Am gangster ninja am solder daah inauma sna MUNGU akulaze mahala pema peponi kingzillah wasalasala.
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 5 лет назад
zizi alikua genius yan nterviews zake hazifany uchoke kisikiliza paw na nikki mbish meanwhile jamaa angekua tv presenter hakuna ambaye angemshinda coz alikua open charming na kingne alikua anakwepa unafiki! r.i.p zz
@veveveve6811
@veveveve6811 5 лет назад
Mungu tupe mwisho muzuri r.i.p Zilla
@teclaaidan755
@teclaaidan755 5 лет назад
R I p bro we will always remember you.
@themanwithnoname5824
@themanwithnoname5824 5 лет назад
Nataka kabuli langu liwekatikati ya ngwea na Zizi.. Nile freestyle kwa pepo
@davidamukowa2428
@davidamukowa2428 5 лет назад
😂😂😂itatimia
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@zaharadaffa6851
@zaharadaffa6851 5 лет назад
Rest in peace Zilla
@sadasaid4408
@sadasaid4408 5 лет назад
Duh kweli kama yupo vile
@ezeckielobed4429
@ezeckielobed4429 5 лет назад
Rip king zillah
@hassanjabdallah1772
@hassanjabdallah1772 5 лет назад
Nick mbishi utakua mbishi ukibishana na late kingzyllar alikua ni fullstailer kukuzidi wewe Nick mbishi 😭R.I.P ziz wa salasala
@rahmakhassani4148
@rahmakhassani4148 5 лет назад
Yani kama.si alikufa yani daaah
@princehancesam9892
@princehancesam9892 5 лет назад
daaah mmeandika historia
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 5 лет назад
Kila wakati mungu ni mwema
@mohamedathman3310
@mohamedathman3310 5 лет назад
R.I.P JIBABA MBELE YAKO NYUMA YETU 🙏🙏
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 5 лет назад
Alikua ana penda utaani... Rip
@salumanadsalumanad5900
@salumanadsalumanad5900 5 лет назад
zilla akuwa sawa kama kadata hivi OK any way r.i.p
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Innalilah Wainnailah Rajiun, Allah akuhifadhi maali pema peponi
@faudhiaramadhani4675
@faudhiaramadhani4675 5 лет назад
Inalilah waina ilayhi rajiun
@pascleshayo2512
@pascleshayo2512 5 лет назад
mlkuwa mnaendana sana ase mlitiaha rip zillah
@marydamian1967
@marydamian1967 5 лет назад
Alafu hapo km vile maji ya ilala yalikuwa kwa kichwa, yani burudan RIP
@hamzaselemanlikananowe217
@hamzaselemanlikananowe217 5 лет назад
kaz yake mola ainaga makosa zilla tangulia tutakuta kesho ulisema kila wakati mungu ni mwema kwaiyo mungu ametimiza wema wake
@youngloyclassic3173
@youngloyclassic3173 5 лет назад
R i p blood Zila najua umetangulia Nyuma yako tunasogea kwa Mola tutarejea
@AminaAmina-ul3cp
@AminaAmina-ul3cp 5 лет назад
Nashindwa hata niandike nini jamani mungu wangu weeee 😅😅😅
@ashminhaabdullah4963
@ashminhaabdullah4963 5 лет назад
Hata uso ulikua kama mgonjwa R.I.P. yng broo
@brigitanicetas3201
@brigitanicetas3201 5 лет назад
Ashminha Abdullah true
@ahmedgascan9297
@ahmedgascan9297 5 лет назад
Yeah kuna kitu nakiona siongei kilamtamtu amuangalie kwa makini
@stevemelodiaz7574
@stevemelodiaz7574 5 лет назад
uso huo uso upi wewe au kuna uso mwingine??
@TeamKRX
@TeamKRX 5 лет назад
anaonesha alikiwa mgojwa jamani aliweka maradhi yake itakuwa huyu bila ya kushuhulika hospital duu nimelia
@leylaally3291
@leylaally3291 5 лет назад
Pumzika kwa Amani
@fyumagwasuleiman1729
@fyumagwasuleiman1729 5 лет назад
Daaaaaaaaaaah kuma make kweli duniaan tunapita
@jumakajimba7896
@jumakajimba7896 5 лет назад
Inauma xana ila ndo mipango ya mola R .I.P KING ZILLA
@sethstiven3393
@sethstiven3393 5 лет назад
Daaa pumzika kwa aman godzilla
@totolqabu1967
@totolqabu1967 5 лет назад
Nimeamini kifo twatembea nacho mungu tujalie mwisho mwema
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 5 лет назад
REST EASY ZILLA
@jeyadam833
@jeyadam833 5 лет назад
Salasala won't be the same again...RIP king Zilla..
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Inalillah waiina Ilayhi rajiun hakika njia yetu wote ni moja
@gfrank8750
@gfrank8750 5 лет назад
Jama kama hakua sawa yani kachangamka kupita kiasi
@Amishjuma
@Amishjuma 5 лет назад
R.I.P bro Zilla
@DiCulture
@DiCulture 5 лет назад
Mond,God knows him,we the next.pray pray
@tumajuma6917
@tumajuma6917 5 лет назад
R.I.p Godzilla😭.innalillah wainaillahi rajiun.
@blantonnatembea4254
@blantonnatembea4254 Год назад
Zila was the real g men
@flinchclassic1726
@flinchclassic1726 5 лет назад
Rip kingdzila duh inauma sana
@marymusa3579
@marymusa3579 5 лет назад
Poleni sana let her rest in peace hero
@mourinenekesah4002
@mourinenekesah4002 5 лет назад
RIP Godyzila Waah
@edwinlawi710
@edwinlawi710 5 лет назад
Inaumiza Sana R i p brow
@alinebenja3925
@alinebenja3925 5 лет назад
REST IN PEACE
@herobonheur6455
@herobonheur6455 5 лет назад
Dah ama dunia mapito R.I.P. 😢
@resishansonoresisha3958
@resishansonoresisha3958 5 лет назад
Rest in peace KING Zilla
@joycelameck5990
@joycelameck5990 5 лет назад
R.I,P bro
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 5 лет назад
Kweli duniani tunapita nyuma yetu🙏
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 5 лет назад
R.I.P KingZillah
@thomasmwaijande7278
@thomasmwaijande7278 5 лет назад
R.i.p bro
@nivogee9830
@nivogee9830 5 лет назад
Rip ziziking
Далее
LIVE: Exclusive Interview na Godzilla Kwenye XXL CloudsFm
1:11:15
These Are Too Smooth 😮‍💨
00:57
Просмотров 7 млн
MWANA FA : HUYU MSICHANA/ ANAWEZA AKAKUTOA ROHO
11:10
Просмотров 234 тыс.
These Are Too Smooth 😮‍💨
00:57
Просмотров 7 млн