Yan kuna watu hata neno la shukran linawashinda kama mna haraka si mngekua mnasikiliza radio? Kila siku malalamiko mnakeraa kuchelewa kuchelewa , muwe mnasikiliza radio punguzen makasiriko bhana
🎉🎉 chukuwa mauwa Yako mama tusaidiane kuwaakumbusha Hawa viumbe wasio na shukrani na kulalamika TU utasema wamemuajirii dada wawatu achenii bana haipendez
Nuru na giza hazichangamani. Hapo essau ndani yake kuna kitu cha kiMungu halafu mama yake alimkabidhisha kwenye uchawi yaani ni vitu kugongana tu, waganga wenyewe hawawezi kuelewa kilichopo ndani ya Essau maana wao ni wa gizani na kilichopo ndani ni cha Nuruni.