Тёмный
SHARE & HEAL
SHARE & HEAL
SHARE & HEAL
Подписаться
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 05
38:50
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 04
41:16
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 03
44:05
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 02
42:11
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 01
48:18
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 10
39:51
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 09
44:28
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:09
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:06
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 07
42:52
10 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 06
42:09
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  ESSAU VOLUME 05
39:37
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 04
41:40
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 03
40:59
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 02
42:10
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO MOHAMED VOLUME 10
34:12
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME  09
42:54
11 месяцев назад
RIPOTI YA LE  MOHAMED VOLUME 08
36:13
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 07
41:06
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 06
36:41
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO   MOHAMED VOLUME 05
33:55
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO   MOHAMED VOLUME 03
38:24
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 04
40:34
11 месяцев назад
RIPOTI YA LE0  MOHAMED  VOLUME 02
40:03
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME 01
36:18
11 месяцев назад
RIPOTI YA LEO  ESSAU VOLUME 08
42:50
Год назад
RIPOTI YA LEO  ESSAU VOLUME 07
43:00
Год назад
Комментарии
@joycemetili3876
@joycemetili3876 6 минут назад
Kumgawa mkeo kama mkate??!!
@fifiminani8372
@fifiminani8372 20 часов назад
👨🏿‍🍼❤❤❤❤❤❤❤
@fifiminani8372
@fifiminani8372 20 часов назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@joycemetili3876
@joycemetili3876 День назад
Hongera sana Johnson kwa kusimama imara hata ukaiokoa familia yako..Mungu aendelee kukupigania maishani mwako
@joycemetili3876
@joycemetili3876 День назад
Hongera Johnson..kumgeukia Mungu ni ni uamuzi wa busara sana❤❤
@joycemetili3876
@joycemetili3876 День назад
Johnson pole kwa yaliyokusibu ..lakini jifunze kunyamaza..sio kila kitu unaongea, unachukua tu hatua kimyakimya
@joycemetili3876
@joycemetili3876 2 дня назад
Bwana Yesu ni mshindi siku zote hajawahi kushindwa wala haitatokea ashindwe...Yeye ni kimbilio na msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso
@joycemetili3876
@joycemetili3876 2 дня назад
Yaani hilo jini laghai kweli, ungerudi tu lingekuua..kazi ya shetani ni kulaghai..likishindwa linatoa matisho pale mtu anapotaka kufuata njia ya Mungu
@joycemetili3876
@joycemetili3876 2 дня назад
Mungu ni mwema sana Agatha, huyo jini hakuweza kukuzuia kwa kuwa malaika wa Mungu alikuwa amesimama pembeni yako tayari kukuvusha. Hakuna jini au pepo lolote linaloweza kupingana na nguvu za Mungu
@joycemetili3876
@joycemetili3876 2 дня назад
Agatha, itakuwa ulikutana na malaika wa Mungu
@joycemetili3876
@joycemetili3876 2 дня назад
Baba yake Agatha alikuwa na maagano gani na haya majini??!!
@joycemetili3876
@joycemetili3876 2 дня назад
Agatha, nyumbani kwao ni kwenye mapagale...jini hana uzuri wowote! Hayo ni mapepo tu
@hadija_makange
@hadija_makange 2 дня назад
Daaah😢 mungu atukuzwe sana
@joycemetili3876
@joycemetili3876 4 дня назад
Mungu ashukuriwe kwa ajili ya huyu dada alifanyika mkombozi kwa Benson Pole sana Benson naamini wengi tumejifunza (hasa vijana wa kiume) kupitia mkasa wako.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 5 дней назад
Khaaa!! Lazima binti ana mpelelezi wa siri aliekuwa anampa taarifa
@joycemetili3876
@joycemetili3876 5 дней назад
Weee! Huyu mama atakuwa mchawi au anaenda kwa waganga...ameanza kumkamata Benson kimazingara. Hakuna shetani anafurahi kuona mtu anafunguliwa kutoka vifungo vya giza...ndicho anachofanya huyu mama. Benson hiyo ndoto ndio ushamuoa huyo mama..haikuwa ndoto bali ni uhalisia wa kilichotokea ktk ulimwengu wa roho. Wengi tunaudharau ulimwengu wa roho lakini kila kitu kinaanziaga ulimwengu wa roho kabla ya kutokea ktk ulimwengu wa mwili.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 5 дней назад
Dezo imekuponza Benson...Mwanamke malaya ni shimo reeefu lenye giza ..ukitumbukia huko jua umekwisha. Mithali 23:27 Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni mtego wa shimo jembamba.
@hadija_makange
@hadija_makange 6 дней назад
Aki malipo nihapahapa duniani nimeamini
@joycemetili3876
@joycemetili3876 7 дней назад
Boni Boni Boniii!!...angalia Boni! Mjini hakuna mzee hata mmoja
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 7 дней назад
Omega karubuniwa
@joycemetili3876
@joycemetili3876 8 дней назад
Hii story imenipa kuukumbuka huu mstari wa Bibilia kutoka kitabu cha Yeremia 17:9-10 ...Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 8 дней назад
Pole sana Flora kwa yaliyokupata, asante pia kwa ku-share story yako. Naamini itakuwa ni fundisho kwa mabinti wengi wanaotaka kuolewa, watajihadhari na wanaume matapeli kama hawa. Na siku hizi ndio wamejaa...wanapenda kulelewa hawataki kubeba majukumu
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 8 дней назад
Wachawi hawapendi nuru...ni watu wa kukwamisha kwamisha mambo tu😭😭
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 8 дней назад
Huyo bimkubwa anapaa, maana anaonekana mkwamishaji mambo
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 8 дней назад
Mama kamtaftia mshirika mwenzake
@TheresiaMyalla
@TheresiaMyalla 9 дней назад
Iyo alipata laana ya walio msomesha wametumia gharama kubwa kukusomesha wew una acha kaz????
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 10 дней назад
Kumbe unaimba tu sio simulizi pekee🎉🎉🎉
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 11 дней назад
Kuna wanawake ni Mkosi mkubwa sana🙌 kamrudisha nyuma sana Mwenzake.
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 11 дней назад
Tamaa mbaya sana😮
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 11 дней назад
Hakika Tamaa mbaya sana.
@QueenRemigi-xk4vu
@QueenRemigi-xk4vu 11 дней назад
Duuuh we mwanamke ulaaniwe
@QueenRemigi-xk4vu
@QueenRemigi-xk4vu 11 дней назад
Zawad un rohi Mbaya san kaah😮
@zayabdala-ky9dg
@zayabdala-ky9dg 12 дней назад
Imeniumaa hii story 😢😢😢 tuwe tunamuomba mungu kila siku kwenye maisha yetu😢😢😢
@joycemetili3876
@joycemetili3876 13 дней назад
Modesta, mume wako alikuwa mshirikina sana halafu Mungu akawa anakuonyesha mambo yake ..na kukuwekea mkono kwenye utosi itakuwa alitaka kukutoa wewe kafara lkn Mungu alikulinda
@zayabdala-ky9dg
@zayabdala-ky9dg 13 дней назад
😢😢😢😢inatia hasira unafungwa miaka yote bila kosa haki iko wapi😢😢 nchii inatia hasira hii
@joycemetili3876
@joycemetili3876 13 дней назад
Asante kwa hii simulizi..nakumbushwa neno la Mungu linalosema.. Kutii ni bora kuliko dhabihu...1Samweli 15:22 “Naye Samweli akasema, je! Bwana huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihu Sawasawa na kuitii sauti ya Bwana? Angalia, KUTII ni bora kuliko dhabihu, Na KUSIKIA kuliko mafuta ya beberu. Yaani Modesta unapendwa sana na Mungu. Vitu vingi Mungu anasema na wewe waziwazi, jifunze kutii.
@twilumbamalipula648
@twilumbamalipula648 14 дней назад
Jamani kumenoga sehemu ya 10 vipi
@NeemaYohaness
@NeemaYohaness 15 дней назад
Duuuuuh Nina miaka 23 bado sijampata mtu sahihi kwangu na sikati tamaa
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 17 дней назад
Kuna watu wakikupitisha kipindi kigumu maishani sio wa kuwakaribia tena....Mama Zamda kamtambulisha mwanae kwa mtu hatari.
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 17 дней назад
Zamda angemuambia shangazi kama anataka kumpeleka hiyo shule amuombe mama yake kwanza
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 17 дней назад
Mashetani wakat mwingine wanakuja mithili ya Malaika.
@zayabdala-ky9dg
@zayabdala-ky9dg 18 дней назад
Nyie mna uhakika huy mtoto akubadilishwa leba aisee nilijuag move kumbe yapo kwel wa mama wenye roho chafu kwa kizaz chao😢😢
@zayabdala-ky9dg
@zayabdala-ky9dg 18 дней назад
Mama shetani nyie 😢😢
@twilumbamalipula648
@twilumbamalipula648 19 дней назад
Mbona sikiliza naogopa kabla hata sijamalizq
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 19 дней назад
Huyu Binti Kuna tatizo mahala....inakuwaje hivi...
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 19 дней назад
Binti anapitia Mateso sana, yaani kama yupo kwenye Dunia ya peke yake😭😭😭
@TheresiaMyalla
@TheresiaMyalla 21 день назад
Ukatir WA Hali ya juu😅
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 22 дня назад
Hii kitu anayofanyiwa Agatha Mungu huwa na hasira nayo sana.....na huleta matokeo mabaya sana
@hadija_makange
@hadija_makange 24 дня назад
Daaah sema dada nae kaharibu angetulia kwanza
@jescajames9844
@jescajames9844 24 дня назад
Huu wimbo jaman😭😭😭😭😭🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🫶🫶🫶🫶🫶