Тёмный

Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 1 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 178 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Riyama Seleman Ally, malkia wa kazi aifanyayo na kila alitilialo msisitizo hulifanya kwa asilimia 100, hata kama akichelewa kama pengine alivyochelewa kupata heshima yake na malipo yake anayostahili, kama ambavyo anapata sasa au ambayo anapata maana safari bado ni ndefu. Na kwa mazungumzo haya nilofanya naye huo ndo muelekeo na ndo nia na madhumuni. Sote tunajua PENYE NIA PANA NJIA, so kazi ni kwetu.
Mzaliwa wa Unguja Tanzania, kakua katika familia ya kidini na malezi bora ila kwa mujibu wa maongezi yetu haya yeye alipenda zaidi kuwa muimbaji, kitu ambacho Mwenyezi Mungu mtoa vipaji hakumjaalia kipaji hicho na uzuri ni kwamba aligundua mapema na akafanya ustaarabu wa kutafuta kitu chengine cha kusogeza maisha yake.
Ule usemi wa Mungu anakupa unachostahili na sio unachotaka hapa umetulia mahala pake. Imagine kutoka kutaka kulazimisha kuwa Khadija Kopa (ndo muimbaji anayempenda zaidi) na kuwa mmoja wa wasanii wa filamu hodaaari kabisa hapa kwetu na kama SI NDIO MUIGIJAZI BORA WA KIKE WA FILAMU hapa Tanzania.
Heshima zangu za dhati zinaenda kwake kwa kukubali kuja kuongea nami na kunielezea kinaga ubaga juu ya ukuaji wake, maamuzi fulani fulani ambayo ashawahi kufanya maishani mwake. Elimu yake, alisoma? Shule ipi? Alikua mwanafunzi wa aina gani? Kuhusu familia? Ana mtoto? Na pia tulizungumzia filamu na maisha yake kama kioo cha jamii. Majibu yalikua mazuri na marefu na kwa hilo namshkuru sana yeye kwa kuweza kuja na kuongea nami huku mume wake mpendwa akiwa anamgojea kwenye parking lot.
Yangu matumaini uta enjoy maongezi haya kama nami nilivyo enjoy kuongea naye.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Развлечения

Опубликовано:

 

4 сен 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 271   
@z.shondezshonde5663
@z.shondezshonde5663 3 года назад
Huyu mwanamke nampenda mpaka najishangaaaa hakika namuombeaga kilaa mala #riyama nakupenda dadaang😔😔😔
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 года назад
riyama mm nakupenda sana pia napenda unavyo ongea mashallha rafuzi mzuri pia watu wengi wananiambia nimefanana na ww natamani siku moja tuonane
@universenurity776
@universenurity776 3 года назад
Fungu la kukosa best movie ever! 🙌🙌🙌
@rahmaothuman4819
@rahmaothuman4819 3 года назад
Riyama nampenda jmn huyu dada anajua kuigiza mpk anakera awee anajua asee ila bongo move mnafeli wapi soko lenu linazidi kushuka kila siku pls mnatuangusha jmn tunawapenda mno
@mussamsella5801
@mussamsella5801 3 года назад
Hivi kwa majibu ya huyu dada Riyama una haja kumuuliza Elimu yake ??? Binafsi naridhika sana namna anavojibu
@amoschacha2885
@amoschacha2885 3 года назад
Salama muite shekhe mazingeeee
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 3 года назад
Nimechelewa ila nimefika kw wapendwa wngu ❤️❤️❤️💓💓🇰🇪
@stellamamiro6553
@stellamamiro6553 3 года назад
Kazi nzuri sana salama natamani siku moja na wew ukae upande wa kuhojiwa tukujue my sister i love
@G.S985
@G.S985 3 года назад
Salama you're number one kwenye interview, nampenda sana Da Riyama umefanya vizuri
@rosemofuga6313
@rosemofuga6313 3 года назад
Mama mateso best wife ,jamani, mm kiukweli nakukubali sana Rihama, wewe salama ndo hata usiseme, you the best man trust me
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 3 года назад
Na kupenda sana dada Riyama uko vizuri mama mungu akupe mutoto na mumeo..inshaa Allah..mupende mutoto wamumeo jombaraka may
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 года назад
Salama jamani nakupenda, miss you kwenye bongo star search na ile mikuki yako unayo choma watu ukweli kama hawajui kuimba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani I really miss such moments
@firdausgreen1391
@firdausgreen1391 3 года назад
Wallah Wabillah Da.Riyama huwa nakuiga unavyo ongea mpaka nimekuwa addicted ....na watu wanapenda ninavyo ongea hawachoki kunisikia
@khalidshabani7600
@khalidshabani7600 3 года назад
Yani I feel you namna ulivyotoa hizo hisia kutoka moyoni kabisa...
@firdausgreen1391
@firdausgreen1391 3 года назад
@@khalidshabani7600 kwenye kutoa hisia mie nipo vizuri hahahahhaha
@khalidshabani7600
@khalidshabani7600 3 года назад
Hahaaa... Nakubali yan I feel you... kutoka kwny uvungu wa moyo kabisa
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 3 года назад
Napenda Sana nyote hamukupaka makeup wala mawig inapendeza sana
@ilhamsalum6815
@ilhamsalum6815 3 года назад
Ao ndo wazanzibar bwana
@zainabzainab2422
@zainabzainab2422 Год назад
Kweli riyama fungu la kukosa ni film bora.from kenya
@nasrahsamwely6871
@nasrahsamwely6871 3 года назад
Nampenda Riyama saaaana pia napenda ndoa yake na bwana Riyoo 💝💝💝💝💝💝💕💕💕🤝
@teddymahawe670
@teddymahawe670 3 года назад
Love u much more Ryama Ally😘😘😘God bless u abundantly
@hanifahkhatib5780
@hanifahkhatib5780 3 года назад
Nakipendaa sana hiki kipindii....nakuenda sana salamaa unafanya kweli hatari
@zeekumchaya4280
@zeekumchaya4280 3 года назад
Honestly watu wengi wanafanya interview na celebrities ila salama ur giving us the best ur questions are interesting to me and many,ur the best....... love u riyama ur the girl am looking up to
@yusuphsaid8920
@yusuphsaid8920 3 года назад
True
@anitakamene5073
@anitakamene5073 3 года назад
True
@alipqasse9967
@alipqasse9967 3 года назад
Ur correct zee
@sharoombay8997
@sharoombay8997 3 года назад
Safi ,Kiswahili safi. Mungu awabariki mnajielewa mpaka raha.
@ofmae-thebrainstech3501
@ofmae-thebrainstech3501 Год назад
One day I will be there if Allah wishes on SalamaNa
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 3 года назад
Nilikuw naipend hyo fungu la kukosa, mama mateso
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 3 года назад
Riyama angejitahidi sasa nae akawa producerdirector wa swahili movies,miaka yake kwenye industry amefikia kua nae aongoze wenzie especially wanawake wenzie. Interview za Riyama hazichokeshi
@aisharamadhan1692
@aisharamadhan1692 3 года назад
Yaani dah! Riyama tunakupenda mno mungu akuhifadhi my dear
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 года назад
Riyama nakupenda
@husseinsongambele3771
@husseinsongambele3771 3 года назад
this is my best interview.
@crelincharles9358
@crelincharles9358 3 года назад
Nashukuru kwa kuleta riyama nimefurah sana
@encernstudios3745
@encernstudios3745 Год назад
Mwamba MUSSA BANZI 🔥Long time snaa sjaskia ili jina
@manirambonabelysemanirambo5619
@manirambonabelysemanirambo5619 3 года назад
Nawapenda sana salama and riyama from
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 3 года назад
😂😂😂😂😂Leo komando ! Gonga like team komando
@elizabethwoga5140
@elizabethwoga5140 3 года назад
Mbio mpaka kwa fungu lakukosa 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@tantineuseni9669
@tantineuseni9669 3 года назад
Nakukubali sanaa
@eunicemussa5883
@eunicemussa5883 3 года назад
Nakupenda sana Riyama
@ndojes711
@ndojes711 3 года назад
Hupewi mtoto hospitali mpaka alie
@shanishosho911
@shanishosho911 3 года назад
Odo wangu riyama
@rahmasaid5432
@rahmasaid5432 2 года назад
Nampenda rihama walah kwanzia uigizaji mpaka uongeaji love u
@benedictraphael5711
@benedictraphael5711 3 года назад
Nafurahia sana interviews zako Salama, na kuna wakati nakuona wewe mwenyewe unazifurahia kabisa, Mungu akuzidishie
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 3 года назад
When pure talents meet,what you have seen is what just happened,beyond dopeness INTERVIEW
@burger53backyard18
@burger53backyard18 3 года назад
Salama he is not man she is a girl
@saunakatauyanawausufanyeni9504
@saunakatauyanawausufanyeni9504 3 года назад
nakupendaga sana liama
@nurudovino288
@nurudovino288 3 года назад
Naipenda sana hio mama mateso
@SamiraBhazizane
@SamiraBhazizane 5 месяцев назад
Nakupenda saana mashallah
@deograssymwavipa6887
@deograssymwavipa6887 3 года назад
Nakubari sana rihama
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 3 года назад
Thank you guys.. for inviting Riyama , she's a legend and very good entertainer we love her so much ...❤️💚💛
@thomaslinda3713
@thomaslinda3713 3 года назад
Nakupenda Sana pacha wangu
@Manlike96
@Manlike96 3 года назад
Tuletee na diamond
@elnabilbentaleb7008
@elnabilbentaleb7008 3 года назад
SALAMA INTERVIEW ZOTE AMEVAA BLACK ⚫ 🔥🔥🔥 Kama CASTO DICKSON na Vipensi Kwny SIZ KITAA
@davidnchoji
@davidnchoji 3 года назад
I love both of you,😍
@anitakamene5073
@anitakamene5073 3 года назад
Nice
@omaryjoseph2523
@omaryjoseph2523 3 года назад
Nawakubal sanaaaa
@kalengemochi1306
@kalengemochi1306 2 года назад
Riyama nakukubali sana
@ruhumakhadija8772
@ruhumakhadija8772 3 года назад
Assalam aleikum salama uko na sauti poa sana una umakinifu wa kuuliza maswali Mimi na kukubali sana
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 3 года назад
Heshima yako Dada salama tu naomba. Umuhoji inspector Haroon, . Juma nature, ferooz.
@moshdiv3716
@moshdiv3716 3 года назад
love u guys your the best
@idizuberi9572
@idizuberi9572 3 года назад
Nakupenda riyama Allah akuongoze
@naimamaina8767
@naimamaina8767 3 года назад
ninakukubali sana riyama ally
@princesbimkhamis6446
@princesbimkhamis6446 3 года назад
Nakupenda da salama
@user-un3df1sl2h
@user-un3df1sl2h 3 года назад
Nampenda uyu dada riama
@dorotheafredy7043
@dorotheafredy7043 Год назад
Hongera lihama
@crewsonchacha8959
@crewsonchacha8959 3 года назад
Hata me xntokata tamaa ndoto yangu niingie kwenye tansinia ya filam naipenda ila mazingira ndiopo yananivunja nia Dada lyiama kaanzia mbali nimependa alivyo ingia hongera dada salute kwake
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 3 года назад
Salama mzurii
@alexkilumile1689
@alexkilumile1689 3 года назад
We dada nakupenda bure🥰🥰🥰 hvyo tyu
@alipqasse9967
@alipqasse9967 3 года назад
Sasa nyinyi wawili vile nawapenda buree na sana😍😍😍
@burhanmbezi107
@burhanmbezi107 3 года назад
Show haikuwa nzuri sana....tofauti na tulivyotegemea,, ingawa dada Tizama ni muigizaji nguli Lkn c mzuri katika Interview,ukilinganisha na wasanii wali wahi kufanya kipindi na salama... Kama vile Gabo, Monalisa, zilikuwa suspense,lkn hii ya Riyama haikuchapuka ukilinganisha na umaarufu wa Da Riama
@lovenessrobert9815
@lovenessrobert9815 2 года назад
Nakupenda riyama jaman
@rauhiyarauhiya2971
@rauhiyarauhiya2971 3 года назад
Jamani uyu riama namppendasana nitampata wap nnampenda kama mama angu
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 3 года назад
Nakupenda jamani unahekima sana ungechaguliwa mbunge au mkuu wawilaya unafaa kabisa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
My lovely sister 😘❤️
@davidkimario9601
@davidkimario9601 2 года назад
Kiukwer nampenda sana jesika yaani nikiwa naangali salama afu nichelewe kumuona jesika yaan nalalamika mbka kwa baby wng namwambia baby jesika kachelewa kuleta chakula
@vailethsospeter750
@vailethsospeter750 3 года назад
Salama utuletee Dr. Kumbuka pls
@VailethJonathan
@VailethJonathan 7 месяцев назад
Nimexhelewa sana jamani kukijuwa iki kipindi
@kelvinbanoth3013
@kelvinbanoth3013 3 года назад
Salama Huyu jamaa mi namkubali sanaa
@zildatwahid6526
@zildatwahid6526 3 года назад
I love salama bila sabb ♥️♥️♥️
@zicomgravity4897
@zicomgravity4897 3 года назад
🔥
@moshdiv3716
@moshdiv3716 3 года назад
umenifurahisha kwenye kuimba adi mimi napenda lkn pumzi sina😀
@mercymatolla6089
@mercymatolla6089 3 года назад
🔥..... Nakupenda mgeni
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 года назад
Salama na Dudu Baya
@oliveirsuarez8826
@oliveirsuarez8826 3 года назад
Sista yupo fact kabisa tena yupo vzr kabisa
@aminahamis9377
@aminahamis9377 3 года назад
Nice interview 👏🏻👏🏻👏🏻❤️love her
@mohdmohd2722
@mohdmohd2722 3 года назад
salama tunataka na ww
@gladnessnourdin6921
@gladnessnourdin6921 3 года назад
I love riyama....beutiful
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 3 года назад
Yani Salama unanichekesha sanaana daah
@happinessakim2889
@happinessakim2889 3 года назад
🙏🙏🙏😍
@abuuahusa6459
@abuuahusa6459 3 года назад
Salama umekamatika
@bahatimmependezamwanginda5202
@bahatimmependezamwanginda5202 3 года назад
Salama nimependa umebadilisha style yanywele, pendeza
@paulinaprotas6014
@paulinaprotas6014 3 года назад
Sura nzur rihama bila make up ww n mrembo👌
@zaitymaganga1322
@zaitymaganga1322 3 года назад
Hongera mama riyama
@mussamsella5801
@mussamsella5801 3 года назад
Hongera sana dada Riyama ...uko vizuri sana
@khayraathassan9915
@khayraathassan9915 2 года назад
Naomba nAmba ya da riyama
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 2 года назад
Nakupenda. Bure.mam
@kulwapaul8820
@kulwapaul8820 3 года назад
Salama na chidbenz
@namnyakiabell3818
@namnyakiabell3818 3 года назад
❤️❤️♥️❤️
@maryamsimai6263
@maryamsimai6263 Год назад
tuleteeeni sabahi muchacho
@scolambisso9254
@scolambisso9254 2 года назад
Scola mpole nipo hapa
@hassanissa4792
@hassanissa4792 3 года назад
Eti Leo komando
@joycematson4350
@joycematson4350 3 года назад
Nimekupenda sana rihama
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 3 года назад
Sijawahi kucheka interview nakuoendaga sana riyama kwa kila hali
@wardawarda4515
@wardawarda4515 3 года назад
Mother of Bongo Movi👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👌👌👌nakupendaaaaaa Aunt Riahamaa nakupenda Sanaa mama na heshima zake
@saidjuma9782
@saidjuma9782 3 года назад
Leo Kiswahili Safi sana
@fahadfahmy
@fahadfahmy 3 года назад
Wazenji wamekutana
@friedkinglyimo8207
@friedkinglyimo8207 3 года назад
Nampenda Sana huyu dada
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 3 года назад
Nawapenda wazanzibari wanaustaarabu wa kuonea hasa kiswahili chao
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 3 года назад
Ahsanteee nasi twakupenda
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 3 года назад
Shukrani karibu zanzibar
@veeJesus
@veeJesus 3 года назад
Wabaguzi hao hatar usiombe
@dadasim2749
@dadasim2749 3 года назад
Tunakupenda 100%
@saidjuma9782
@saidjuma9782 3 года назад
@@veeJesus.... Nani amekubagua wewe!!??
Далее
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
Վարդավառը Գյումրիում
00:15
Просмотров 141 тыс.
What turned out better to repeat? #tiktok
00:16
Просмотров 2,4 млн
Fungo la Kukosa  2003 #RIYAMA Ally
1:00:03
Просмотров 245 тыс.
Salama Na MAVOKO EP 49 | WINGMAN PART 1
39:31
Просмотров 128 тыс.
Salama Na Khadija Kopa Ep 9 | ALIYEPEWA KAPEWA Part 1
29:21
Salama Na Shilole Ep 5 | MAMA Part 1
30:50
Просмотров 233 тыс.
Найди Влада на стадионе
0:26
Просмотров 3,4 млн
мы в телеге - hahalivars
0:52
Просмотров 4,2 млн