Тёмный

Roma asimulia kisa cha rafikiye aliyegongwa gari na kuwa kichaa miaka 16 na kupona kwa kugongwa tena 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Rapper Roma Mkatoliki amesimulia mkasa wa rafiki yake waliyesoma pamoja huko Dodoma alipogongwa na gari mwaka 2004 na kupata madhara kwenye ubongo yaliyopelekea awe kichaa hadi mwaka 2020 lilipotokea tukio la kushangazaa..

Опубликовано:

 

12 июн 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@nevermind4789
@nevermind4789 Год назад
Roma is a good storyteller
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 года назад
Romaaa una historia sana kwenye maisha yako pole maan unakutana na mambo makubwaaa sana mara mtu afie safarini mar mtu agongwe na agongwe tena mara boda umtume afe pole sana
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 года назад
Story za ROMA huwa nazipenda sana na zinauzunisha mno
@mwasonkambi7207
@mwasonkambi7207 2 года назад
Narudia Tena Kaka ,,ukiweza msaidie Sana Jos mtambo ,usichoke.🙏
@yusufutomass-br3fr
@yusufutomass-br3fr Год назад
roma nime anzaga kuku fatilia toka ilesafari ya kwenda mbeya yule dogo alie fiwa na kaka ake kwenye bass alf dogo akawa wa mbuzi hadi stendi hii nayo imaniliza sana my broo mungu wetu ni wa ajabu sana roma
@edsonjumbe879
@edsonjumbe879 4 года назад
Huyu mwamba anajua sana ku narrate story
@shahamtindo
@shahamtindo 4 года назад
Dah! Mungu ni mwema siku zote
@esterjimmy7573
@esterjimmy7573 4 года назад
Mungu ni mkuu 🙏
@omarykalla2605
@omarykalla2605 3 года назад
Nakukubari Sana broo
@alberttarimo
@alberttarimo 3 года назад
Roma unajua kusimulia
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌 🙌🙌 hiz comments roma sijui km unazisoma unaambiwa unatunga Stori mara wimbo mpya
@stevenojambo6396
@stevenojambo6396 4 года назад
Roma Roma
@mgenihamisi1212
@mgenihamisi1212 4 года назад
Tupe jina la hii ngoma acha kutuzuga brother😃😃😂
@bahongilivingstone6792
@bahongilivingstone6792 2 года назад
Mkatooooooo uishiwagi story Mwanangu sema tunajifunza kitu kwenye story zako Mwanangu
@samsonmaswi966
@samsonmaswi966 3 года назад
Kweli kabisa kaka nakupata vizuli sanaa mungu nimwema
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 4 года назад
Mungu mkubwa aiseee....!
@tzoneboy9760
@tzoneboy9760 Год назад
Hii story imenikumbusha movie ya kihindi niliangaliaga kitambo sana nkiwa dogo janja daaah noma
@shamsalulanje4151
@shamsalulanje4151 4 года назад
mistar hiyo ngoma inakuja soon but hongera kaka tunaisubiri
@rademm8924
@rademm8924 4 года назад
Safi
@pillyomary6127
@pillyomary6127 3 года назад
Akuna km km mungu duniani
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
Allah Akbar
@user-ki3bk3lc8k
@user-ki3bk3lc8k 6 месяцев назад
Ipo powa
@fatmadevd8072
@fatmadevd8072 4 года назад
Yeeeeeh syo kila tatzo ntatzo kna matatzo mengine huja na neema mbele yake
@zakariathomas8569
@zakariathomas8569 4 года назад
Pamoja sanaa SNS
@carencaren4914
@carencaren4914 4 года назад
God is good
@kapembarashidi7210
@kapembarashidi7210 3 года назад
Nimekubali Sana roma
@fatmadevd8072
@fatmadevd8072 4 года назад
Mm nmekuelew sn kwass 2liosoma sayansi nnafaham 2nafaham
@mikapecta6021
@mikapecta6021 3 года назад
Roma unastory nying xn najua unacreat tu ila nakupongeza unavaa vilivyo uhuxk uko vzr
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 4 года назад
Aisee hii story inagusa sana hasa katika familia duni zisizo na uwezo kutatua jambo
@mkiwamkiwa3570
@mkiwamkiwa3570 3 года назад
Duduu mungu nimwema
@leahmajaliwa6575
@leahmajaliwa6575 2 года назад
Mungu anaweza
@joycemakungwa1307
@joycemakungwa1307 2 года назад
Grorl to god
@youngnoyn4119
@youngnoyn4119 4 года назад
MUNGU wetu ni mwenye nguvu
@lydiaakimana7988
@lydiaakimana7988 4 года назад
Allahu akbar Mungu ni mkubwa saana kwake hakuna linaloshindikana
@professorabdullah2300
@professorabdullah2300 4 года назад
Naaaaaam kwa Allah hakuna kubwa
@RandyMwanaKin
@RandyMwanaKin 4 года назад
Roma Roma naona mulango so bado upo apa America daaaahhh
@m.vmediazawadi4570
@m.vmediazawadi4570 2 года назад
Dah mngu ni mkuu waajabu 🙏
@edennygaudence884
@edennygaudence884 3 года назад
Story zako Roma zinafundsha saaan base
@mudysinga8064
@mudysinga8064 4 года назад
Upo vzr kwa uwongo
@yazidusaidi8843
@yazidusaidi8843 Год назад
Nimekupata kwa ufupi tukio hili linakazia na ujumbe wa nyimbo ile ya Mzee wa Siku ya Ambwene Mwasongwe
@mwasonkambi7207
@mwasonkambi7207 2 года назад
Bro msaidie mwanao Jos mtambo
@neemajoseph3971
@neemajoseph3971 3 года назад
dah nakumbuka
@susanruo8087
@susanruo8087 4 года назад
That's what God can do! He is a mighty God
@paulmillya9155
@paulmillya9155 4 года назад
Mmmh atari xana
@ashabakke4733
@ashabakke4733 6 месяцев назад
Everything happen for a reason
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 4 года назад
Weee Roma hizi story zako tume choka nazo sasa, maan hii ni story ya pili unatupa alaf zote ni za uwongo 😜😜🤣🤣
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 года назад
Umeona bro muongooo huyu sana2 bro 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 2 года назад
@@binaljabirmshihirzanzibar8369 😂😂Mzee wa Bugana my bro
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 года назад
Kama movie vile dah mwili wote umesisimka lakin Roma anastory kwel yan
@francisruambothetechnician
@francisruambothetechnician 4 года назад
Dizaini kama jamaa alipopata ajari kama ubongo wake ulihama time travel na baadae kurudia. Kiujumla ni ngumu sana kuelezea ila kichwani nimeielewa
@scolabahame2214
@scolabahame2214 4 года назад
Duh mungu nimwema
@nlylyn1443
@nlylyn1443 4 года назад
Subhana ALLAH Alhamdulillah ALLAH Akbarc type GOD is name with capital letter dear
@maspro6294
@maspro6294 4 года назад
Ngoma yako itaitwaje.? jamaa kichaa ila hiyo mistari yako usivuke mipaka kuitukana serekali ya JPM
@adamalfred9348
@adamalfred9348 4 года назад
Muongo utamjua kwa vitu vingi, kimoja nilichokigundua anachana sana nywele
@paulmillya9155
@paulmillya9155 4 года назад
Du!!!! Mwanangu wew muongo xana ni ngoma mpya nini
@jayratumaulid582
@jayratumaulid582 4 года назад
Subhannallah 😢 😢 😢
@jackisongirani245
@jackisongirani245 3 года назад
Tonqweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@mpundempunde1722
@mpundempunde1722 4 года назад
Story ya kutungu
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 4 года назад
uyu jamaa nae muongo muongo sana
@fatmakiruwasha2378
@fatmakiruwasha2378 3 года назад
Kila mtembea peku simasikini
@aliseif2691
@aliseif2691 2 года назад
Mimi nimejifunza mungu ni mkubwa zaidi na wewe roma muongo kwa hadithi yako ya kutunga.
@elishamhina4716
@elishamhina4716 2 года назад
Acha wivu wewe wee umejuaje kama katunga
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 года назад
pia kuna jamaa aliwai kupigwa teke kichwani na faransi akawa kipofu pia alipona baada ya kupigwa teke kichwan na punda
@susanlijera.
@susanlijera. 4 года назад
Pamoja kabisa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-qdHJwbEm0uM.html
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 года назад
Story za ROMA huwa nazipenda sana na zinauzunisha mno
Далее
Каха бизнес-класс
00:48
Просмотров 1,1 млн
World Record Tunnel Glide 🪂
00:19
Просмотров 17 млн
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 72 тыс.
Maulid Kitenge uso kwa uso na Roma Mkatoliki Marekani
11:15
Oda Gasinzigwa guteknika amajwi byamunaniye?
24:45
Просмотров 25 тыс.
Каха бизнес-класс
00:48
Просмотров 1,1 млн