Тёмный

ROMA - Nitasimama Tena Feat Abiud 

VIVAROMA
Подписаться 618 тыс.
Просмотров 206 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 520   
@edwinntabwa5451
@edwinntabwa5451 4 месяца назад
Huu wimbo umenigusa Sana mimi niliezaliwa katika familiar ya kimasikini. Lakini Leo Mungu kanijaalia riziki nimekuwa mkombozi na WA familia kiuchumi
@CosimasEdward-o9o
@CosimasEdward-o9o 4 месяца назад
🙏🙏
@brucerashfordke5102
@brucerashfordke5102 4 месяца назад
🙏🙏
@jumastephano2688
@jumastephano2688 4 месяца назад
🙏🙏🙏🙏
@dastopadady2402
@dastopadady2402 4 месяца назад
Ina uma kweli 🎉
@PeterJohn-yp6bs
@PeterJohn-yp6bs 4 месяца назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@davidmwandalima2389
@davidmwandalima2389 4 месяца назад
"huwezi chagua mzazi wa kukuzaa" nimependa hiyo nipen like sayansi ya Mungu🇹🇿🇹🇿
@chumkhamis8924
@chumkhamis8924 4 месяца назад
Album ina madini yote mpaka inakera .Wanangu wa VIVA ROMA Njooni kwa like mzigo ukae on TREND.ROMA fans From Zurich 🇨🇭
@Eizyme
@Eizyme 4 месяца назад
SAYANSI YA MUNGU UTAIKUFURU KISA NJAA, ILA HUWEZ CHAGUA AINA YA MZAZI ATAE KUZAA, JILAN KAZALIWA NA WAZIRI WEWE MAMAKO KICHAA BABA MLEVI ALAFU KOND WA DALDALA KIBAHA. LIKE NYINGI SANA KWA LINE HII
@Manoni693
@Manoni693 4 месяца назад
🔥🔥🔥🔥🔥 Kama unaamini Roma Mkatoliki anajua like nyingi....
@GREATTRADERSUNION_GTU
@GREATTRADERSUNION_GTU 4 месяца назад
From Kenya I love this song.. nipeni likes za Roma kindly
@Danny254
@Danny254 4 месяца назад
Huyu Mwana!!!jamani anafanya kazi nzuri sana..Tukianguka lazma turudishe mpira kwa kipa na tutaanza tena,ntasimama tena nina imani sana..🇰🇪🇰🇪🇹🇿
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 4 месяца назад
Hakuna rapa anayemzidi Roma kwa hapa bongo 🎉🎉🎉🎉🎉
@Manjalino
@Manjalino 4 месяца назад
Kama umeguswa na hii kazi like nyingi team romaaa❤❤❤😢
@SoomaSoma-t8x
@SoomaSoma-t8x 4 месяца назад
❤❤❤❤❤
@JimmyByamungu
@JimmyByamungu 3 месяца назад
Tunakukubal roma
@ferdinandlazaro15
@ferdinandlazaro15 4 месяца назад
Wanaosikiliza hii nyimbo tena 2065,Huu Wimbo Ulibadili mtazamo wa vijana Wengi Sana Kupambana Kwa ajili ya ndoto zao na familia zao..
@mboscinho
@mboscinho 4 месяца назад
Kama wewe ni team rostam tumpeleke trending #1 Boy from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏🙏🙏
@abduladinane
@abduladinane 4 месяца назад
🎉🎉
@penueldjuma2845
@penueldjuma2845 4 месяца назад
Kama hii ngoma imekugusa basi nipe japo like 🎉🎉🎉❤
@mwamposaa65
@mwamposaa65 4 месяца назад
Kijana anayeaso ludia ii goma mala 5 utamshklu roma kuludisha mpira kw kipa so ushamba
@ChakaEmmanuel-l7i
@ChakaEmmanuel-l7i 4 месяца назад
Wakwanza kutoka kenya ...Roma big up ...moto sana
@eliahswai1607
@eliahswai1607 4 месяца назад
Sante kaka wimbo mzuri hujawai kosea endelea hadi wale vichwa ngumu watingushe vichwa japo watakua wamechelewa kukuelewa one love
@franklukazula
@franklukazula 4 месяца назад
from Burundi❤ Malawi heshima kwako roma
@carl-donald
@carl-donald 4 месяца назад
Yaani huyu mwamba ndio soldier alobaki wa kuimba ukweli pekee. Much respect all the way from Mombasa Ke.
@DismasPhidason-vu6bt
@DismasPhidason-vu6bt 4 месяца назад
Kweli ila mpe sikio DIZASTA VINA NI🔥🔥🔥
@serengetimediacentre
@serengetimediacentre 4 месяца назад
Bado huyo dizasta na ndugu yake wa oh mahii
@EliasLukas-xc1bo
@EliasLukas-xc1bo 4 месяца назад
Sawa mwanangu Roma minakupa mauwa yako chukua Aya apa💐🌹🥀🌺🌷🌸💮🏵️🌻🌼💪nisubilie kidogo naenda kuleta mengine
@sharifuahmed8340
@sharifuahmed8340 4 месяца назад
Daaaaaah kumamake jmn jmn, hii ngoma daaaaaah, eeeeeh Allah niongoze jmn
@besteva499
@besteva499 4 месяца назад
Roma mupendwa WANGU jana niriona picha yako yakifo yasamba mitandaoni wana habari waki urizana vip roma amekufa NIKAWA NAHOFU 😢😢😢KUMBE IRIKUWA CONTENT yahii ngoma big up Roma and more love❤❤❤❤❤
@herrynkinda6589
@herrynkinda6589 4 месяца назад
Twendeni nae mpaka mwisho..... Jamani hatari.... Kwa vizazi chipukizi.... Huyu jamaa funga kazo❤❤❤❤
@ShabaniRashidi-z3o
@ShabaniRashidi-z3o 4 месяца назад
Ni hatari sana bonge la ujumbe
@RaulentJackson
@RaulentJackson Месяц назад
Roma noma san 🎉🎉🎉🎉
@RadjaboyKubita
@RadjaboyKubita 4 месяца назад
Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu ✌️
@AngelstarBen-nv8bp
@AngelstarBen-nv8bp 4 месяца назад
Ningeshangaa Roma asimame na Abiud af waharibu 🔥🔥🔥🔥
@MICHAELEDWIN-fh5nq
@MICHAELEDWIN-fh5nq 4 месяца назад
kama una mkubali roma gonga likee hapa
@mathiasfrancis8047
@mathiasfrancis8047 4 месяца назад
bigup kaka ngoma nikali kaka roma heshima sana ila abiud usimuache kaka muinue na yeye atoke ata kidg maan hiphop ninguma sana kwa underground kutoka muwek kwenye chati asaidie familia yeka na yeye ajiinue kaka maisha mema
@GabrielAmede-h8d
@GabrielAmede-h8d 4 месяца назад
Hii ngoma special kwa mahasira tuliotekea maisha Fulani ya kimasikini nyumbani hakuna hata kiti Cha kukalia
@saidbakari2408
@saidbakari2408 4 месяца назад
Oya mwanangu Abiud yumo na anajua sana VIVA ROMA
@kiawambui606
@kiawambui606 4 месяца назад
Yani mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe.. Tambua sanh mwambah #254...
@johanesmachela
@johanesmachela 4 месяца назад
Mwamba anachana msamba kwenye dili 😂😂😂😂😂 album ni nzuri mno Hats off bro
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 4 месяца назад
Umaskin nitabu, nilishindwa kuendelea namasomo ya chuo kisa karo, lakin Mungu nimwema naona Mwanga japo kwambali,
@MashakaShobo-cs5wj
@MashakaShobo-cs5wj 4 месяца назад
Roma MUNGU akutunze sana jamaa unatugusa wengi mno Abiud ana voko aisee ipo siku tutamuona mbali
@inkurushow2827
@inkurushow2827 4 месяца назад
Kutoka Bujumbura Burundi, kaka hongela sana kabisa, nyimbo zako zinanijenga
@neemavitalis9098
@neemavitalis9098 4 месяца назад
Roma Asante kwanyimbo nzuri sana ❤❤
@FadhilaMuddy
@FadhilaMuddy 4 месяца назад
Kaka hii nyimbo imenifanya nilie namuomba mungu baba angu arudi home yanii km umesikia kilio Cha mama angu I like
@piasonNicholas-us1wh
@piasonNicholas-us1wh 4 месяца назад
Roma hajawai kosea hata kidg bc kama unakubaliana na mm gonga dondosha like apa
@johnjohnjoseph9728
@johnjohnjoseph9728 4 месяца назад
Kweliih mwamba upewee maua yakooh ❤️❤️
@bushbabytz
@bushbabytz 4 месяца назад
huyu jamaa ana best chorus kila siku achana na mashairi ambayo ni motoo
@norregaraper5383
@norregaraper5383 4 месяца назад
Abyun hajawahi fanya nyimbo mbovu nawewe💯💯💯
@WiliamuNjimbwi-yr4xu
@WiliamuNjimbwi-yr4xu 4 месяца назад
🎉🎉 tutasimama tena Kila mipango inajamba 🤝🤝🤸
@dycemullah3254
@dycemullah3254 4 месяца назад
You are “”Roma Mkatolic “”💪🏿🌹🌹💐
@arnoldrwekaza2265
@arnoldrwekaza2265 4 месяца назад
Safi sana, nyimbo hizi ndo vijana wasikilize wachape kazi
@FelixMatiabo-cn9qm
@FelixMatiabo-cn9qm 4 месяца назад
Kichwa cha Tanzania kimeximama tena 2024🎉
@Issamkwizu-bh3io
@Issamkwizu-bh3io 4 месяца назад
Kaka unajua mpaka unakera nakukubali sana miongoni mwa wasanii ninao wakubali ww namba moja kaka hongera sana
@jamiinaafyanjema2966
@jamiinaafyanjema2966 4 месяца назад
Yes nitasimama tena ngoma imesimama sana Yani kinoma noma
@VenanceGilbert
@VenanceGilbert 4 месяца назад
mwanetu ROMA chukua maua yako na vikonyo, chukua matawi na miti ya maua na mizizi yake
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr 4 месяца назад
Jaman huyu abiudy xio mtu mzuri kabxa maana yangu anajua xana
@Tigerprocessworldwide
@Tigerprocessworldwide 4 месяца назад
Kama kuna rapa mi namkubali east africa basi huyu mwamba❤❤tumpeni maua yake🎉
@derdeedomedia
@derdeedomedia 4 месяца назад
Nakutambua sana kaka
@fra_nyuki
@fra_nyuki 4 месяца назад
Naona kama hii ndio Ngoma inayogusa wengi zaidi 🔥🔥🔥
@wingstarmsanii9862
@wingstarmsanii9862 4 месяца назад
Hii ngoma Kali yenye mafunzo makubwa Kwa watoto wa ghetto ❤❤❤
@ContentLobster-vi6dq
@ContentLobster-vi6dq 4 месяца назад
Roma katoa kazi nzuri hasa imemgusa abiud ambae amemshilikisha maana maisha aliyopitia mpaka kufika sasa ni magum alikua hana pakuishi akawa anafanya kazi kwa watu ili tu apate chakula na malazi Mungu zidi kumbalik abihud afike mbal
@abubakarsaid8509
@abubakarsaid8509 4 месяца назад
Umetisha sana broh
@hajimandisatz
@hajimandisatz 4 месяца назад
ngoma kali kama auna D mbili auwezi kuelewa mpumbavu ww
@musanyami285
@musanyami285 4 месяца назад
Hakuna artist kama wewe roma, u'r the perfect one ,,I love u bro and God bless u more.
@AugustineokochaKifrebe-yd7cw
@AugustineokochaKifrebe-yd7cw 4 месяца назад
Mwamba unajua sana huwimbo hakika umenigusa sana pia unatufundisha kua na confidence grade ya taifa
@Justinndalama01
@Justinndalama01 4 месяца назад
Rafiki zangu ujue tabia zangu😢😢😢😢 acha nibaki peke yangu
@JamesRichard-jk4he
@JamesRichard-jk4he 4 месяца назад
jamani Roma.umenigusa sana kweli huwezi kuchagua mzazi atakae kuzaa goddess❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@OmmyMtaita
@OmmyMtaita 4 месяца назад
Dadeq Roma wewe ndo msanii wangu pedwa for revar
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 4 месяца назад
JIWE TENA JIWE HASWAA...ISHI SANA HOME-BOY
@DAKTARI_PESAZOSI_TV
@DAKTARI_PESAZOSI_TV 4 месяца назад
Album romaaaaa MOTOOOO🔥🔥🔥
@AshaBonifasi
@AshaBonifasi 4 месяца назад
Naiman kwel kaka ❤❤❤Ngoma imenigusa xan Yan Inanihusu
@johnmalale3860
@johnmalale3860 4 месяца назад
Big up sana ROMA wewe siyo mwanamziki tu;! Hata katika maisha wewe ni mwalimu;!.ubalikiwe sana
@businessaccount1904
@businessaccount1904 4 месяца назад
Kaka mm nakupa mauwa yako 🎉🎉 upo nchi ya ugenini lakini bado unatowa hit song 🎵 bro mm 🙌🙌 alafu wewe ni ✍️mnzuri sana oneday i will meet you ❤
@Ibraah_Tk
@Ibraah_Tk 4 месяца назад
Viva Roma ako sawa sana❤❤
@Hamisi-cc5mj
@Hamisi-cc5mj 4 месяца назад
Fact 🌹🌹🇹🇿🌠
@Habarugiraisaie
@Habarugiraisaie 4 месяца назад
Much respect brother Roma 🎶✍️👍💕♥️♥️✊💪
@MisheckRanda
@MisheckRanda 4 месяца назад
Hili goma ni nomaaaaaaaaa Roma ni. Mkali kweli fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nitasimama tena
@DionisKisinga
@DionisKisinga 4 месяца назад
Namkubar sana mwamba huyu 🔥
@animationtz5
@animationtz5 4 месяца назад
Usimtegemee ndugu atakupa msalaa 🙌🏾🙌🏾 ...hii ni ukweli mtupu
@emmanuelayall5029
@emmanuelayall5029 4 месяца назад
Baba Roma babaaaa nimepata nguvu ya kupambana balaaaa❤❤❤
@djsmodash
@djsmodash 4 месяца назад
Napenda the way Roma anaendelea kuwapa shavu Fresh Artist #NIPENIMAUAYANGUTHEALBUM❤🙌
@VIVA_ROMEO
@VIVA_ROMEO 4 месяца назад
It encourages, heads up gonna fight till the end💪
@ELIAMICHAEL46
@ELIAMICHAEL46 4 месяца назад
Nice kaka ❤❤❤❤❤❤ kabisaaa
@johnsilima1629
@johnsilima1629 4 месяца назад
Tunaoamin tutasimama milele na milele hatutaanguka gonga like hapa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AmedeMassawe
@AmedeMassawe 4 месяца назад
Jirani kazaliwa na Waziri ila we na mamaa àyo kichaa,baba mlevi alafu konda tu dalala kibaha dah.Usiikate tamaa na mute upate amasaa,we ndo wakuibadili Sura ya familia kwanzia sasa,naunawezaaa❤❤❤❤❤❤
@ThomasNgindo
@ThomasNgindo 4 месяца назад
Mwamba ni hatar sanaaaa ❤❤❤
@dinotv1099
@dinotv1099 4 месяца назад
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮MKATO UMEUA SAANA...BEST OF BESTIES 🎉
@natashasaidy.
@natashasaidy. 4 месяца назад
Nipen like zangu kama umekubali hii ngoma ya mkatoliki
@leonardebumbuli1768
@leonardebumbuli1768 4 месяца назад
Roma mkatolic🔥🔥🔥
@AbdulHakim-bt1wg
@AbdulHakim-bt1wg 4 месяца назад
Kakangu Roma unatisha huu mchezo kweli unaujua #ako wapi Khali graph Jones mkatoliki ashainuka
@fredfwanga3577
@fredfwanga3577 4 месяца назад
🔥🔥🔥 zaidi ya dawa uu mziki
@feaklasty
@feaklasty 4 месяца назад
Rudisha MPIRA kwa kipaaa (Sio Dhambi)✅
@garamasaid6631
@garamasaid6631 4 месяца назад
Hii nyimbo inanigusa mahali kwakweli nampa💯💯💯
@hclever7731
@hclever7731 4 месяца назад
Mungi mi nakosea wapi,, 😭😭
@chizcom4229
@chizcom4229 4 месяца назад
WAPO PANYA NA PAKA. PANYA NAO WALA KEKI YA TAIFA ,PAKA NAO WANAJIONA SIMBA WA TAIFA
@AlexNgavanga
@AlexNgavanga 3 дня назад
Safi sana kazi nzuri imenigusa aise , mungu akubariki sana roma
@enezacleopa6272
@enezacleopa6272 4 месяца назад
Mm huyoo najionaaaa🤘
@PeterDanson-ps9iq
@PeterDanson-ps9iq 4 месяца назад
Roma wa kwanza nitasimama tena toka 🇨🇩🇨🇩 congo 🎉🎉
@Glorygkaman64
@Glorygkaman64 4 месяца назад
Utasimama tena ❤
@philemonkiungo69
@philemonkiungo69 4 месяца назад
Respect Roma
@HusseinMbaya
@HusseinMbaya 4 месяца назад
Tafuta chako haina furaha hiyo pesa ya manyanyaso# kazi Good
@ConsciousBNB
@ConsciousBNB 4 месяца назад
Kama Maua Yangu Nishakupatia 🙌🙌🙌
@Edson_John
@Edson_John 4 месяца назад
Hii nyimbo noma sana 🔥🔥🙏
@serengetimediacentre
@serengetimediacentre 4 месяца назад
Wimbo sio nyimbo
@musakaki3516
@musakaki3516 4 месяца назад
Ila Roma unaimba kaka🎉🎉🎉🎉🎉
@FurahaNgomango-zr3bz
@FurahaNgomango-zr3bz 4 месяца назад
Wewe jamani unajua mbaka unakela mungu awe nawewe Mzee unaweza unatapika dar
@Delightson48
@Delightson48 4 месяца назад
Nguvu Ndy mtaji wa akili! My NO 1 Tanzania artist nakubali sana ROMA! Naimani Unanafasi yako kwenye Taifa hili
@AminJuma-fb2pn
@AminJuma-fb2pn 4 месяца назад
Kuna fd q kuna roma kuna young killer kuna darasa full stop hip hop life tz Thuglife
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 4 месяца назад
Mziki akili🎉🎉
@DazlayanLukas
@DazlayanLukas 4 месяца назад
Hii ngoma verse ya kwanza imewahusu wanawake verse ya pili imehusu wanaume 🔥
@malikzafarani172
@malikzafarani172 4 месяца назад
Daah nouma sn nitasimam tena 💪🇶🇦
Далее
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
BREAKING NEWS: Roma Mkatoliki asimulia walivyotekwa
50:28
ROMA -  Story ndiyo Itakayobakia Feat One Six
3:54
Просмотров 130 тыс.
Bando MC Feat Daway - Sir God (Official Music Video)
4:04
ROMA - Derby (Paka & Panya) Feat Latifah
6:01
Просмотров 279 тыс.
Nitasimama Tena
3:43
Просмотров 36 тыс.
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu
7:00
Просмотров 71 тыс.