Тёмный

ROMA - Derby (Paka & Panya) Feat Latifah 

VIVAROMA
Подписаться 616 тыс.
Просмотров 268 тыс.
50% 1

Видеоклипы

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 995   
@IddiMbwambo
@IddiMbwambo 3 месяца назад
Makonda aliivamia mawingu,(Claus media) na panya wa kigoma zitto kabwe,na mtoto wa kambo ni makonda ,kama umemuelewa kama nilivo elewa Mimi gonga like
@MBEZICL
@MBEZICL 3 месяца назад
Kama tungesema SU New york ingehamia Chato dah Roma nomaaaaa
@ErickMwendwa-md2cz
@ErickMwendwa-md2cz 3 месяца назад
Rest in peace JPM tulio wengi tunakuombea 😭😭😭😭😭
@MapatoJovenary16
@MapatoJovenary16 3 месяца назад
Mtu mmoja alike comment yang ili badae nirud
@bramzymedia4553
@bramzymedia4553 3 месяца назад
Fala kweli ww
@MussaDhahabu-l5b
@MussaDhahabu-l5b 3 месяца назад
kwesha
@mohoniajoseph9067
@mohoniajoseph9067 3 месяца назад
Huyo Dada kwenye korasi amevua vibaya mno! Roma umetoa majibu ya maswali mengi sana tuliyokuwa nayo tangu ulipotekwa
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 3 месяца назад
Ndomaana katika mabojiano alikwepa kujibu kila alipofanya interviw
@subirafelix7413
@subirafelix7413 3 месяца назад
Uyo Dada 🎉🎉🎉🎉🎉ametenda haki🎉🎉
@geofreyhilmary9450
@geofreyhilmary9450 3 месяца назад
"Mtoto wa kambo akapewa Toyi la Dar alichezee" Huu mstari bana
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 3 месяца назад
makonda
@JonathanLugna
@JonathanLugna 3 месяца назад
Mtoto wa kambo kapewa tena Arusha
@hakeemlionafrica6870
@hakeemlionafrica6870 3 месяца назад
Ngoma kali sana brother wachane hao mwanangu wewe kweli ndio mwanahalakati kama 2pac unachokisema kwa Wale waelewa huyu mtu ni kichwa sana sio hadi Afe ndio muone umuhimu wa roma salute you my homie fight for us bro👊👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@JamesKing-s9s
@JamesKing-s9s 3 месяца назад
Kama umekubali Latifah kapiga kolasi kali gonga like twende Sawa
@TazamaelLuka
@TazamaelLuka 3 месяца назад
"Bado vita havina Suluhu na Kupona ni Majaliwa " Kama Umeikubali hii gonga like twende pamoja
@frankkotte117
@frankkotte117 3 месяца назад
Sikuweza kuisema pombe nilijua ningepaliwa...
@athumanfuko199
@athumanfuko199 3 месяца назад
​@@frankkotte117😂😂😂😂Majaliwa labda Mwenyezi Mungu anawezajalia.
@ouweydalton7732
@ouweydalton7732 3 месяца назад
WALIO JIONA WAZALENDO WALISOMA NAMBA YA KIRUMI UKIKOSEA MIUNDO MBINU TU UMEHUJUMu UCHUMI 🔥 🔥
@mkombozimkinde7554
@mkombozimkinde7554 3 месяца назад
Ukikosoa sio ukikosea
@mkombozimkinde7554
@mkombozimkinde7554 3 месяца назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@MICHAELEDWIN-fh5nq
@MICHAELEDWIN-fh5nq 3 месяца назад
kama una mkubali roma gonga like hapa
@victoramin-o6q
@victoramin-o6q 3 месяца назад
MKALI WA RAP
@kingmawese
@kingmawese 3 месяца назад
Dahhh mr president tutaanzisha chama cha wanaharakat tukupe uraisi amini utashinda uchaguzi❤❤❤
@worldrapamako3960
@worldrapamako3960 3 месяца назад
😂😂❤Demu wangu ashazoea hip-hop sababu Kila akija geto playlist yangu ningoma za Roma round Moja naanza na mathematic, viva Roma, 2030 alafu nakojoa kwa Zimbabwe dk kama 20 Sasa naongeza albam my jmoc tare 8/6/2024 njoo ujipakulie pumbu na albam kama kifungashio😂😂😂
@dheGamingking1
@dheGamingking1 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@MeshackKajela
@MeshackKajela 3 месяца назад
Mathematics mwisho kaka😂
@NasfaOmary
@NasfaOmary 3 месяца назад
Mbn akija Kwang anapenda afroest🎧🤣
@3malis
@3malis 3 месяца назад
😂😂😂😂
@KishoraKishoralimbu
@KishoraKishoralimbu 3 месяца назад
Tisha saana mtaalam ikibidi funga na booster kbsaa yaan mpka asemeeee🎉🎉🎉🎉
@melomusictz1079
@melomusictz1079 3 месяца назад
Huyu Latifa kaka nampa maua yake mapema 🌹🌹🌹🌹🌹
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 3 месяца назад
Kweli huyu latifa ni mtu na nusu yan kiitikio ni kikali san
@MongooFabre-yg6xp
@MongooFabre-yg6xp 3 месяца назад
Tayar nshaambiwa nihame uku maana tangu asubh n derby inapigwa tu volume 80. Sina tatizo na Ngoma zako maana zinataka utulivu kusikiliza.❤❤ 🌺 🌹 🌹
@tmagoti
@tmagoti 3 месяца назад
Mwanangu Ibra umeunguruma sana humu ndani. SOLIDARITY!!
@dismashaule1631
@dismashaule1631 3 месяца назад
Huyu ndo msanii Bora wa Hip hop na mwana harakati kma Nay wa mitego. Ngoma kali na ujumbe mzuri lakini bdo saa paka shume kaondoka ssa ivi tuna paka jike
@lubokatimotheo
@lubokatimotheo 3 месяца назад
Ukikosoa tyuu miundo mbinu umehujumu uchumi
@sefoo8084
@sefoo8084 3 месяца назад
Paka aliyemteka Roma sii ndiye aliyevamia MAWINGU (clouds fm)🔥🔥
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 3 месяца назад
😂😂😂😂
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 3 месяца назад
Fact 👍
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 месяца назад
Rest in peace Magufuli ulitenda vema na wema wako tuta ukumbuka zaidi, washenzi washenzi ndo hawajui wema wako
@Dannny690
@Dannny690 3 месяца назад
Tuliomjua Paka aliyevamia mawingu, tugonge likes hapa.
@laurent993
@laurent993 3 месяца назад
Huyo paka alivamiwa clouds fm😅
@TmKt-kx7pq
@TmKt-kx7pq 3 месяца назад
Wanaharakati walimsaka Ben hadi saa nane
@danielluvunzu553
@danielluvunzu553 3 месяца назад
Ni wale wahasibu wa Daladala Asa hivi yuko na Wadudu wa A City😂😂😂😂😂
@kingsanya6860
@kingsanya6860 3 месяца назад
ila roma ni moto wa utunzi
@EmanuelMrisho-gb5tt
@EmanuelMrisho-gb5tt 3 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-66Qq6RjxAjI.htmlsi=7eCqqIH_rV_cTze3❤
@alexlucas1571
@alexlucas1571 3 месяца назад
Wimbo Bora wa mwaka huu 2024 Ila aliemteka Roma au baaaaas😂😂😂
@onesmongenzi3471
@onesmongenzi3471 3 месяца назад
Aliyevamia mawingu (maana yake aliyevamia clouds FM)
@user-pb3ub3gl4q
@user-pb3ub3gl4q 3 месяца назад
Hhh kasema aliyeenda kuvamia mawingu(clouds media) ndiye aliyemteka inamaana Makonda
@innocentchristopher7571
@innocentchristopher7571 3 месяца назад
Ndo alieteka mawingu hahaha
@athanaskimaro9664
@athanaskimaro9664 3 месяца назад
😂😂😂😢😢 alie vamia malindi Bana 😅😅
@DishonCharles-ue1vv
@DishonCharles-ue1vv 3 месяца назад
ROMA ume pigaje hapo Yaan tungesema SU ..........?tumalizie jaman maana mistari ya huyu jamaa ina utata kama mafumbo ya YESU😅
@PoulFred
@PoulFred 3 месяца назад
Hii nchi ngoja ninyamaze tu lakini niseme magufurification of Africa haitasahaurika na hakuna atakayejitokeza tena nchi hii kuwapigania wanyonge kama alivyokuwa magufuri never rip mzee baba
@ZjNesto
@ZjNesto 3 месяца назад
Skiliza Album Mpya ya Roma(Nipeni Maua Yangu) link ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-xMwumdCecoM.html
@UswegeHamza-d8z
@UswegeHamza-d8z 3 месяца назад
Huu wimbo umefanya nimefuta nyimbo zote za harmonize
@tato8979
@tato8979 3 месяца назад
😂😂😂
@wa-mbeyaTv4725
@wa-mbeyaTv4725 3 месяца назад
😂😂😂😂 subir comment ya harmonize kwa comment yako
@Gersah
@Gersah 3 месяца назад
😂😂😂
@kadmc9124
@kadmc9124 3 месяца назад
😂😂😂😂
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 2 месяца назад
😂😂😂
@themoneytimetv666
@themoneytimetv666 3 месяца назад
ROMA KAKA, KAMA SERIKALI ISINGE KUEPO SIJUI UNGEKUA UNAIMBA NINI MAANA ,UNAJUA VICHAMBO NA MICHAMBO NAISI UNGEKUA UNAIMBAA TAARABU TU KAMA MAMA ZUCHU , ila Sio Mbaya Kwakua Ndio Njia Ya kutafuta ugali wako .HONGERA.
@JoshuaGodifreyJoshua
@JoshuaGodifreyJoshua 3 месяца назад
Haya wale mashabiki wa Ile Album ya kumsifia Chifu Hagaya njoon hapa mtoe povo 💪💪💪 Roma
@Danny254
@Danny254 3 месяца назад
Huyo mtoto wa Kambo aliyepewa toy la Dar kulichezea ni nani,,ndio yule pia amepewa la Arusha kulichezea pia.😂
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 3 месяца назад
Huu wimbo mpaka uwe umepata A ya mathmati. Ndio utaelewa
@erricquejohansen
@erricquejohansen 3 месяца назад
achana na hao wapenda michuzi... utakuta mtu anatoa macho eti wimbo mbovu.
@Tesha2000
@Tesha2000 3 месяца назад
💞
@godfreynoya6670
@godfreynoya6670 3 месяца назад
Hakika
@richardjoseph2921
@richardjoseph2921 3 месяца назад
😂😂😂😂😂 Sikuiweza kuisema pombe nilijua nitapaliwa.... ila Roma dah ni hatari sana
@DerekMshabaha
@DerekMshabaha 3 месяца назад
Duuh
@hhurbert
@hhurbert 3 месяца назад
Paka paka tu mapaka Afe ndo Panya waongee. Ndo umejitokeza kumfunga Marehemu paka kengele. IZZO B ALimwambia Ridhiwan aongee na Mshua. Sasa ongea na mtekaji aongee na mama
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 3 месяца назад
Ipo siku nyimbo za Roma zitatumika kufundisha historia ya Tanzania.
@saluuhans
@saluuhans 3 месяца назад
Sure
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 месяца назад
Labda somalia
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 2 месяца назад
@@vincentcharles4385 Kwanini ndugu?
@philipedward6090
@philipedward6090 3 месяца назад
Hii Ngoma hatari sanaaaa keep it up broo Roma ww ni kama lenzi Kwa wasioona
@samwelmeela8384
@samwelmeela8384 3 месяца назад
Oyaaaaa Mwanangu Roma Mkatoliki umeua umemaliza kila kitu bablaii Huyo Panya wa kigomaaa 😂
@stylishgenius9886
@stylishgenius9886 3 месяца назад
Tukaskia kidoti ndio 🤱. Baby 😮😮😮 ,kama nawewe uliskia weka like
@chrispinally2420
@chrispinally2420 3 месяца назад
wale tunao mkubali Roma gonga like 👍🏾 tukisonga mbele 🤲🏾🤲🏾😅🔥🔥🔥
@WiliamuNjimbwi-yr4xu
@WiliamuNjimbwi-yr4xu 3 месяца назад
🎉🎉🎉 sijawai pata like ATA 10 kwenye Ngoma ya Roma naomba like apa🎉
@tusomebibliapamoja
@tusomebibliapamoja 3 месяца назад
chukua na yangu
@heryharoub3728
@heryharoub3728 3 месяца назад
Sasa Ngoma ya Roma alafu like vip zombie unazingua ujue
@godsson5954
@godsson5954 3 месяца назад
ww like zinakusaidia nn zikakupa mke hela au chakula?
@Zanijasy-hy7vm
@Zanijasy-hy7vm 3 месяца назад
”Panya wa Kigoma haeleweki, hatabiriki. Kuna muda Wenzie wanagoma, ila yeye anasaliti..” Dalali Zitto na ACT mkuje Kuna ujumbe wenu huku😂🙌🏾
@MwanduMagida-gv9od
@MwanduMagida-gv9od 3 месяца назад
Walio jifanya wazalendo wakukosoa Maendeleo Walipewa kesi ya uhujumu uchumi🎵🎶🎶🔊🔥🔥
@chogondizi7758
@chogondizi7758 3 месяца назад
Bado vita vina SULUHU na kupona MAJALIWA....kama una D 2 huwezi kuelewa huu mstari
@HadijaallyAlly-vb2ui
@HadijaallyAlly-vb2ui 3 месяца назад
Nyimbo 1 albam tatu za mr korosho kama unakubaliana namim gonga like twende
@rashidally6642
@rashidally6642 3 месяца назад
Ok nyau nyau nyau atamfunga nani paka kengere😢
@naimunaimu2312
@naimunaimu2312 3 месяца назад
Vita vinasuhu kupona nimajaliwa. Kama umeelewa gonga like👍
@byamungurashidi85
@byamungurashidi85 3 месяца назад
Congratulations to you my brother Roma tu nataka urudi tena Afrique. This is king byam's from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 i'lk you so much my brother
@uthaymgalax181
@uthaymgalax181 3 месяца назад
Code tumeni decode😅😂, tumeiuncode... Code nyepesi kabisa hii we panya😅
@moodyramadhan336
@moodyramadhan336 3 месяца назад
Ukiacha mashairi mzee flow's n hatar
@mugocomedy
@mugocomedy 3 месяца назад
NAOGOPA HADI KUICHEZA HII NGOMA MAGETONI🙌
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 3 месяца назад
😅😅😅😅😅kwann tena😅😅
@Kinqbenson
@Kinqbenson 3 месяца назад
Inaelewekaa vizuri 😁😁🔥🔥🙌
@GivenMgani
@GivenMgani 3 месяца назад
Icheze tu kaka mbona frshi tu
@yusufuyunusu7145
@yusufuyunusu7145 3 месяца назад
Uwe na mwanasheria🎉
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 3 месяца назад
Kwa kweli 😅😅😅😅​@@yusufuyunusu7145
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 3 месяца назад
Panya wa kigoma waliyemjua wa like twende sawa😂😂😂😂
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 месяца назад
Zitto Zuberi Kabwe😂
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 3 месяца назад
😂😂😂😂😂​@@abdulmohd6880
@godblessluvanda9808
@godblessluvanda9808 3 месяца назад
Jepesi Kabwe😊
@Siitak-ccm
@Siitak-ccm 3 месяца назад
Zitto mwinyi
@swillazello
@swillazello 2 месяца назад
Zt
@NestymwampambaMwampamba
@NestymwampambaMwampamba 3 месяца назад
Niyeye ROMA alie toa Album kali sana tumusapoti 💪💪💪💪🤝🤝
@exclusvetztv9011
@exclusvetztv9011 3 месяца назад
the number one song in 2 days mrejee hapaa 1 in treding....
@CulbertFaustin
@CulbertFaustin 3 месяца назад
Hiki kichwa hatariii😂 mungu akupe miaka mingi roma
@AkiezyTz
@AkiezyTz 3 месяца назад
#vivaroma lakini kaka si ulikufa haya tupe mastori ya mbinguni vipi ulibahatika kupita ile mitaa aliokua akiishi zumaridi? 😂😂😂😂😂👇👇
@bakarmsangimsangi7757
@bakarmsangimsangi7757 3 месяца назад
😊😊😊😊😊😊 noma sana
@chumizola1847
@chumizola1847 3 месяца назад
Aahahhaha😂😂😂
@triphonechami1037
@triphonechami1037 3 месяца назад
Mpk wamvamia Mbingu????
@jamilaratabu1586
@jamilaratabu1586 3 месяца назад
​@bakarm😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sangimsangi7757
@richardjoseph2921
@richardjoseph2921 3 месяца назад
Lake Gang wakasukuma (.....) na ku~take over...... Sijui kama nimeelewa vibaya, Lake Gang waka.....(R.IP) na ku~take over(yaan kurudi tena kutawala kiuchumi
@miangijunior4358
@miangijunior4358 3 месяца назад
Ishi Sana Bro ALLAH akufanyie wepesi katika Dunia na kesho Akhera Amiin 🤲
@tiv_tv
@tiv_tv 3 месяца назад
Kaka tunakukubali ila kumsema MAGUFULI kwenye nyimbo zako.. unazingua sana
@mbarukally507
@mbarukally507 3 месяца назад
Baada ya kusikiza huu wimbo nilisema kumanina Wallah Ngoma kali wazee
@bizmaterial
@bizmaterial 3 месяца назад
Naomba kwenye katiba mpya hizi nyimbo za Roma zitumike kwenye fasihi (Literature) na History.
@PizzoBeatz
@PizzoBeatz 3 месяца назад
Hapa huyu paka ni nani mniambie tafadhali Watanzania 🇰🇪🇰🇪.. Kama unaamini hii albam ni kali zaidi ya yule muuza korosho like hapa
@johnsilima1629
@johnsilima1629 3 месяца назад
Ruto😢
@user-pb3ub3gl4q
@user-pb3ub3gl4q 3 месяца назад
Kamuongelea marehemu Magufuli kwa 90%, na Makonda kamuongelea kwa 10%(kuhusu kutekwa)
@AsaKazimoto
@AsaKazimoto 3 месяца назад
Li magufuli kudadaek
@triphonechami1037
@triphonechami1037 3 месяца назад
Paka Hayati Magufuli na panya ni Msaidizi wake
@frankkotte117
@frankkotte117 3 месяца назад
Anadiss maiti huyu😂😂😂
@JamesKonga-tn4lm
@JamesKonga-tn4lm 3 месяца назад
😂katoliki for life wachape fimbo s wanashiba waooo paka hawakalibishi wacha watuachie shombo si wanalitafuta Arround the World
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 3 месяца назад
Goma la kwenda hili Roma ila Magufuli atabaki kuwa Rais bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania ❤❤ Chorus ya huyo sister niiii fireeeee
@chumizola1847
@chumizola1847 3 месяца назад
Ni kweli kabisa, RIP JPM
@adamjumaah2679
@adamjumaah2679 3 месяца назад
R.i.p my president JPM😢
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 3 месяца назад
Nimeitafuta hii comment Kwa mda mrefu
@SalminRahis-kd9sv
@SalminRahis-kd9sv 3 месяца назад
Acha unafiki
@YunusYahya-gr6ks
@YunusYahya-gr6ks 2 месяца назад
Unataka kuongea nn ww Nan kama magufuli nyie ndioo wanafki wenyewee Sasa Aya Sasa SEMA raisi wakoo boraa paka ww​@@SalminRahis-kd9sv
@djtrigaa
@djtrigaa 3 месяца назад
Napenda the way Roma anaendelea kuwapa shavu Fresh Artist naamini mimi pia one day #NIPENIMAUAYANGUTHEALBUM❤🙌
@Manjalino
@Manjalino 3 месяца назад
Kali sana like nyingi team roma
@hesaujames8004
@hesaujames8004 3 месяца назад
Daaaaah bro nyimbo imebeba hisia sana 😢 big up sana
@YusuphKayanda
@YusuphKayanda 3 месяца назад
Umetukosea kaka Kumbe kunamda hata saa mzima husema uongo😮
@boniimsokwa8627
@boniimsokwa8627 3 месяца назад
Wenye D2 wameanza na comment kabla ya kuskiliza track
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 3 месяца назад
Roma asipewe tu Maua yake. Ajengewe sanamu kabisa.
@N.Ricky_Glm
@N.Ricky_Glm 3 месяца назад
This nigga's confidence is on his own levels. Kenya ujaribi hii... Kichwa kinaokotwa Kericho
@ibrahimmkala4336
@ibrahimmkala4336 3 месяца назад
Wakenya nikuimba drugs na matako,hatuwezi imba hivi,
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 3 месяца назад
Sio kenya tu ata bongo wanaokota mwili kesho yake ndo maana mwamba hayupo bongo
@zebdayleonard8599
@zebdayleonard8599 3 месяца назад
Bado vita ina suluhu kupona ni majaliwa skuweza kuisema pombe ningejua ningepaliwa 😊 da
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 3 месяца назад
Hii ngoma mashawa watavunga kuiponda ila majumbani kama si chooni watakua wanaisikiliza mara kwa mara uku wakisikilizia ujumbe mzuru kutoka kwa roma😅😅😅😅
@japhethmwimba4849
@japhethmwimba4849 3 месяца назад
Kwaiy paka ndo mwenda zake panya anatawala 😢😢😢mmd duuuh
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII 3 месяца назад
ROMA me nipo BONGO Asante🙏 kutufikishia 🗨️💬
@theclassicone7470
@theclassicone7470 3 месяца назад
Kwani aliyemteka Roma si ndo aliyevamia mawingu.... Hapo sasa
@onesmongenzi3471
@onesmongenzi3471 3 месяца назад
Clouds FM
@salimsemvua9318
@salimsemvua9318 3 месяца назад
@@onesmongenzi3471 makonda ndo alimteka mwamba
@mwamwajaonline1881
@mwamwajaonline1881 3 месяца назад
Clouds hiyo
@mossiewiser
@mossiewiser 3 месяца назад
Naogopa mimi 😮😮 Arusha mpooo
@Musa-xe1rv
@Musa-xe1rv 2 месяца назад
Happy birthday to you Roma 🎉
@josephtungu8936
@josephtungu8936 3 месяца назад
Roma kaka miaka yote hujawahi kosea nakubali sana
@byamsdorey934
@byamsdorey934 2 месяца назад
Bado nchi haina SULUHU na kupona ni MAJALIWA, sikuweza kuisema POMBE nilijua ningepaliwa
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 3 месяца назад
Big up sana bro Kwanza ujumbe mzuri Pili umetumia lugha ya kisanii Tatu umetoa kwa mda sahihi Nne umemshilikisha mtu sahii Basi gonga like kama na wewe umeyaona haya🥰🥰👍👍👍
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 3 месяца назад
Hivi huyu latifa ni nani yan kajua kuuwa tumpe mauwa yake tu🥰🥰🥰🥰😅👍❤❤❤
@Steyanson
@Steyanson 3 месяца назад
Afuu kuna dogo anajiita ety mbuzi wa HIPHOP ashasikiliza hizi mikwaju zote za roma kwely
@SteveTegemea-fj6de
@SteveTegemea-fj6de 3 месяца назад
Mia Sana ........Hii Na Nitasimama Tena Na Hii ndiyo story iliyobakia Umeua KAKA!!!!!??
@fredkyeyo
@fredkyeyo 3 месяца назад
Daah usanii kazii, IQ kubwa Roma, nmeanza kuchambua verse moja moja na bado hollaaaaa😂 Naombeni summary
@juliusjulius1067
@juliusjulius1067 3 месяца назад
Mawingu. ......CLOUDS FM......
@johnraphaelbocco2260
@johnraphaelbocco2260 3 месяца назад
Ok Panya Alomteka Roma Si Ndiyo Aloivamia Mawingu (Clouds Tv), Je Nani Alomteka Mo Nionyeshe Aliyefungwa Pingu, Bila D2 Huwezi Kuelewa Huu Mstari 😂
@naimunaimu2312
@naimunaimu2312 3 месяца назад
Roma siku moja ufanye colabo na tundu lissu. Mtaua Sana kwenye hiyo ngoma
@official_wjb_tz1589
@official_wjb_tz1589 3 месяца назад
Bado vita vina SULUHU na kupona ni MAJALIWA sikuweza Kuisema POMBE nilijua ningepaliwa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 месяца назад
THIS IS ROMA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@simonjuma2912
@simonjuma2912 3 месяца назад
Mimi namtafuta huyu Panya wa KIGOMA ... kigeugeu haeleweki... anaweza kutuchoma hadi sisi
@Tesha2000
@Tesha2000 3 месяца назад
Zitoo😁😁😁😁
@sulemohammed7820
@sulemohammed7820 3 месяца назад
Roma mwanaharakati wa kweli tz
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 3 месяца назад
Roma kwa huu wimbo Mbingu zinafunguka Mungu akubariki sana
@paulmganyizi538
@paulmganyizi538 3 месяца назад
Inawasaidia nini ninyi mnaohangaika kuomba likes? Enjoy mziki mkalale
@DeoLikwanga
@DeoLikwanga 3 месяца назад
Tupo p1 maan watanzania tunavitu vya ajabu
@LilianLilian-bx1ec
@LilianLilian-bx1ec 3 месяца назад
Naombeni like Kama mmemuelewa Roma Kama Mimi nilivyomuelewa🙏
@tusomebibliapamoja
@tusomebibliapamoja 3 месяца назад
alie mteka Roma ndo kavamia mawingu dahh huu mstari bado mgumu
@shakirngondo
@shakirngondo 3 месяца назад
❤❤❤❤Brooo one day navaa kiatu chako nakuja mdogo mdogo naitaji ngoma zangu zwekama hiv by Flasher boy on you Tobe
@othinielmnango4888
@othinielmnango4888 3 месяца назад
Roma apewe maua yake, kama unampa huyu mwamba maua comment hapa au like
@rasheedseleman9779
@rasheedseleman9779 3 месяца назад
Ndomana mondi alifuta uchafu wako,unamsema magu Kwa kujipendekeza Kwa viongoz wanaomchukia unazingua bro
@FredMwanguku
@FredMwanguku 3 месяца назад
one love bruh, msemaji wetu katika harakatii za hip hop
@PaulLameck-o3s
@PaulLameck-o3s 3 месяца назад
Ikumbukwe kuwa mawingu kwa kiingreza ni clouds sasa alievamia clouds hapo jiongezeni😊
@ibrahimmkala4336
@ibrahimmkala4336 3 месяца назад
Kenya njooni hapa,this is now hiphop,si kuimba mapenzi na drugs saa zote,Hii ngoma unafaa kuiskiza kama mara 10 ndo ushike anasema nini,big up Roma,this is why i love Hiphop
@Tesha2000
@Tesha2000 3 месяца назад
Tz wazee wa hip-hop ni roma, nay, dizasta,nacha wengne sijawaelewa ila nay na roma wajengewe sanam paleeeeeee makumbusho😊
@SadikiLogiru
@SadikiLogiru 3 месяца назад
Ata lugha inawashinda wapuuzi wanarudi kuimba kilugha
@PhilipGab
@PhilipGab 3 месяца назад
Nonsense 😢😢, upinzani will never take over this country, cause always hawajui wanachokifanya, Magufuli is dead but you are still fighting him Impact ya Roma inapungua cause anafight na kile wanachokiamini kilikuwa bora kwao, so better you stay quiet or fight with what is going on, Magufuli is already dead ,Unaezaje msema mtu ambaye hawezi kujitetea we utaonekana Chizi, He is gone and so is your revange, Lete mada zenye mashiko mezani tujadili I love you Roma and you are a good protestant, but talking about a dead Man the whole song that is Bullshit,
@KassimMbwana-m6i
@KassimMbwana-m6i 3 месяца назад
Sema huyu dada Latifah ameua sana kwenye hii ngoma 🙌🙌🙌🙌❤
@GoldDolan
@GoldDolan 3 месяца назад
Bonge la ngoma wazee, kama umerudia zaid ya mara 5 tujuane plz
Далее
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
Khali Cartel 3
9:59
Просмотров 2,5 тыс.
ВЫЗВАЛ ЗЛОГО СОНИКА #Shorts
00:38
Просмотров 58 тыс.
Как открыть багажник?
00:36
Просмотров 16 тыс.
ROMA: WALIONITEKA WALINIAMBIA NITATOKA 2030
35:25
Просмотров 797 тыс.
ROMA - Namuachia Mungu Feat Appy
4:00
Просмотров 95 тыс.
Derby (Paka & Panya) ft. Latifah (Lyrics Video)
6:01
Просмотров 106 тыс.
Roma - Zimbabwe [Official Music VIdeo]
4:45
Просмотров 4,3 млн
ROMA -  Story ndiyo Itakayobakia Feat One Six
3:54
Просмотров 125 тыс.
Roma Mkatoliki-BARUA YANGU (Official Audio Mp3)
4:14
Просмотров 457 тыс.
Сигма Бой (Preview)
0:30
Просмотров 274 тыс.
Лилия
3:00
Просмотров 1,3 млн
Davvi x ADAM, 2Pac - Zhurek All Eyes On Me (Mash Up)
6:19
ЛИСА
2:16
Просмотров 50 тыс.
Devona
3:21
Просмотров 350 тыс.