Тёмный

Roma & Stamina Feat Monarch Tz - Mke wangu (Official clip Video) 

Monarch Tz
Подписаться 12 тыс.
Просмотров 419 тыс.
50% 1

Roma & Stamina ft Monarch Tz - Mke wangu Video ( Rostam ) #roma #stamina #monarchtz

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 303   
@NtinyariEvalyn
@NtinyariEvalyn 6 месяцев назад
Mimi mkenya Ila wabongo nawapa 💯💯💯kwenye utunzi wa nyimbo Hadi movie mpo juu
@solomonmutua5447
@solomonmutua5447 29 дней назад
Hapo kweli
@FestaPaul
@FestaPaul 11 дней назад
❤❤Asante
@victormariita9553
@victormariita9553 6 месяцев назад
Eti ,,, Pole dahh, umeongea kwa uchungu hadi najiona mkosaji kwako na mbele za Mungu -- vibwagizo vyenu tu, ah wacha tu, ubunifi upo juu juuuu tu saaana
@sarangasaid9334
@sarangasaid9334 5 месяцев назад
Noma sana kama unawapenda Rostam gonga like
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 5 месяцев назад
Ebwana hauwezi kuelewa upana wa haya mashairi yaliyoimbwa km haujapitia hicho kilichoimbwa Daaaah Rostam Heshima yenu wakuu
@dicksonmwenyembegu2523
@dicksonmwenyembegu2523 5 месяцев назад
eti kuna li mtu linasema Stamina ana verse za kitoto!!..kwel watu hawajui mziki!!🔥🔥🔥
@DekelvaSoujaboy
@DekelvaSoujaboy 5 месяцев назад
Ngoma Kali Sana naikubali kinoma Love from Drc Congo Lubumbashi ❤❤❤
@mashabaraka4306
@mashabaraka4306 2 месяца назад
Team ROSTAM. HAWA NDIO WALIMU WA DARASA HURU. SALUTE KWENU👏👏👏👏
@sammymutiso6758
@sammymutiso6758 6 месяцев назад
Kama ushawai pitia haya lazima umerudia hii nyimbo mara kumi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@RavvenThomas
@RavvenThomas 5 месяцев назад
Kweli siyo siri adi nime download ngoma hii
@Maswagasign
@Maswagasign 2 месяца назад
we acha tu nimerudia mara zote nalia tu mchozi unanitililika huwezi amini
@KulwaSam
@KulwaSam 2 месяца назад
Vp
@MichaelGarama
@MichaelGarama 6 месяцев назад
Wakenya mko wapi nipeni hta 10 likes 🇰🇪🇰🇪💪💪💪
@Tumaini_gil
@Tumaini_gil 6 месяцев назад
Subscribe
@kizitokasian3258
@kizitokasian3258 6 месяцев назад
Wivu hawawezi kukupa kiswahili hawajuwi
@Vj_Tally_47
@Vj_Tally_47 6 месяцев назад
Tunampa❤❤
@Mkatashombo
@Mkatashombo 6 месяцев назад
Roma Si wenu😂😂 wenu ni embaramba
@khalidmwakabuta5045
@khalidmwakabuta5045 5 месяцев назад
Wasomali nae tupo huku Tz
@felixochiengomondi6189
@felixochiengomondi6189 5 месяцев назад
Duh!! Inauma inachoma .wacha nipande ndege nirudi nyumbani Kenya kwa mke wangu. Sije yakanikuta haya duh!!😮.
@Muchirikelvin
@Muchirikelvin 3 месяца назад
Wee mzee😂😂, piga hustle bro
@copperbee7002
@copperbee7002 5 месяцев назад
Hii ngoma Iko na hisia kweli wakenya mpo wapi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JohnKyalo-n9y
@JohnKyalo-n9y 5 месяцев назад
The creativity is on another level 🇰🇪
@JordanSolomon-dy9pv
@JordanSolomon-dy9pv 6 месяцев назад
😮😮😮 hilidude noma yaani naomba kwanza niulize swali kama 😊😊😊 au basiii.
@DelachanceKiza
@DelachanceKiza 5 месяцев назад
Nakubali dhaaaa Rostam 🔥♥️ hadi nasikiya dhaaa 😭
@bernardboniphace1380
@bernardboniphace1380 2 дня назад
Mme uwa du! Mpaka machozi
@mbandedenis575
@mbandedenis575 6 месяцев назад
Shida yako ukituma kodi na ada umemaliza mi wanao wananiita mjomba na wanunulia piza.....
@meshack2559
@meshack2559 6 месяцев назад
Kichupa kipo square, vipimo vipo sawa!!! Big up RoStam
@AlexTweve-b3v
@AlexTweve-b3v 6 месяцев назад
Daaaaah 🙄 bonge la ngoma ma brother good job ❤❤❤❤❤❤🙌🙌🙌
@mwanamisakulembwa1147
@mwanamisakulembwa1147 6 месяцев назад
Hii imeenda kwa mtovu wa tabia😂❤🎉
@danielmwakibibi7578
@danielmwakibibi7578 5 месяцев назад
Hii imeendaaaaa,, the return of champions
@richardkirongo4835
@richardkirongo4835 6 месяцев назад
Bro, naona kipara kinawakaaaah ..... safi sana Bonge moja la nyimbo @2024
@RaphaeliRaphaeli
@RaphaeliRaphaeli 5 месяцев назад
Ndo yalivo wazee wenzangu ...bg up sana rostam
@Nassor_Storetz1
@Nassor_Storetz1 6 месяцев назад
Mmetisha sana 🙌🙌 nyinyi ni watu wamaana sana❤❤
@saiddhahabu9759
@saiddhahabu9759 6 месяцев назад
Dah hawa jamaa wanajua asee ❤️❤️♥️♥️❤️♥️❤️💪💪💪💯🇹🇿💛💚💛💛
@StephenSaigilu-yd2ym
@StephenSaigilu-yd2ym 6 месяцев назад
The Tanzanian Woo 🐯..wanajua ni mazishi
@diffrenseofficial440
@diffrenseofficial440 5 месяцев назад
From kariobangi South Nairobi ,this song is real.
@RamosiKambowa
@RamosiKambowa 5 месяцев назад
Nakubar sana romstam. 🇲🇿🇲🇿
@MB_GANG_
@MB_GANG_ 6 месяцев назад
Nakubali sana rostam mumeachiya kitu chakuniuwa mungu awabariki
@BEASTMASTERCorrector
@BEASTMASTERCorrector 6 месяцев назад
Nawakubali sana. Ngoma ni nzuri ila mmekawia kutoa kichupa! Hata hivyo, sio mbaya sana.
@LabbanPaul
@LabbanPaul 5 месяцев назад
😭😭 sio pow Inauma sana aiseee mkewe ndo awe hivo halafu unatoboka kidume unalala nje unalalia mawe halafu Kuna kenge anakuja kupakua asali...Ah sio pow
@nathannduwamungu9049
@nathannduwamungu9049 6 месяцев назад
Kaka zangu hongera sana kwakazi nzuri haha yapo sasa vijana wadogo nishida wanajita majembe
@mahamudyomary2475
@mahamudyomary2475 6 месяцев назад
ngoma Kali sana naombeni like zenu
@IsakaMagarja-mb1id
@IsakaMagarja-mb1id 6 месяцев назад
Jama hawa wanatkisa sana
@Shebbytvs
@Shebbytvs 6 месяцев назад
Umeiimba ww
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 5 месяцев назад
Hii lazima ni story ya kweli. Mungu akupe nguvu kaka pambana.
@IsakaMagarja-mb1id
@IsakaMagarja-mb1id 6 месяцев назад
Dah haowajama wawili wakkutana huwa wanapga vitu kweli kweli nakubar sana
@BadiAmar-e6i
@BadiAmar-e6i 5 месяцев назад
😢😢😢daaaaah hii nyimbo imenigusaa snaaa aiseeee
@eddywhite_official5123
@eddywhite_official5123 5 месяцев назад
One love from Kenya
@sheriltalu8194
@sheriltalu8194 4 месяца назад
Love love from KE🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Bitika-wo7cg
@Bitika-wo7cg 5 месяцев назад
Ngoma kali kama unakubaliana na Mimi dondosha Like yako hapo chini
@MedyKigwama
@MedyKigwama 6 месяцев назад
😢😢dah ngoma kali sana hii
@MosesLawrence-tc1ck
@MosesLawrence-tc1ck 4 месяца назад
Nawakubali sana rostam🎉🎉🎉🎉
@kifojimwalugeni-tg6br
@kifojimwalugeni-tg6br 5 месяцев назад
Hii Ngoma imetoka kk romah....ndo kipindi ambacho yamenifika nilikuwa nasikiliza hii tu now nasikiliza Amerud
@ARAFATSALUMABDULLA
@ARAFATSALUMABDULLA Месяц назад
Yani huyu Roma na stamina. Wanakipaji tu mungu amewapa . Achambali kazi wanayoifanya , kuimba kwao nikipajitu. Tuache ubishi Wamakabila, dini, siasa nachochote. Hawa jamaa hatarisana Sana. Ningekuwa Mimi raisi , Hindi ninavompenda mashairi Yao, ningewaajiri kunitungia mashairitu nikainjoi . Mana Wana maneno mazito nayakipekee .. nirimix lakini nikamanyimbo mpya.
@mtaalamu_255
@mtaalamu_255 2 месяца назад
Dah! Hio mpya
@michaelochieng-n1s
@michaelochieng-n1s 2 месяца назад
Stamina, we need part 3 of this song
@danielndilili7525
@danielndilili7525 5 месяцев назад
Bila shaka hii niayakwel kabsa history yenyewe kabsa
@ChamboSaid
@ChamboSaid 10 дней назад
Hii ni siri kali hawataki tujue ukweli na MWENYEZI MUNGU atawaadhibu kikwelikweli, 😭😭😭😭😭😭😭 wote vibalaka
@StarBwoiyz
@StarBwoiyz 6 месяцев назад
Fireeeeeeeeeeeeeeee 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JosephMaganga-wl3cn
@JosephMaganga-wl3cn 5 месяцев назад
Roma napenda sana ngoma zak ludi bc ushilikiane na wenzio huku bongo bifu lilishaisha broo
@jesusbahati
@jesusbahati 5 месяцев назад
Dah yameshanikuta hayo siombe tena kupenda 😢😢😢😢
@jamesmagonji7302
@jamesmagonji7302 5 месяцев назад
Really life happening hii ndio tunaiita fasihi
@almasinillan
@almasinillan 6 месяцев назад
Keep going brother 🔥🔥
@johanesgeorge1958
@johanesgeorge1958 6 месяцев назад
Mkato upara umekujia,, Miaka imeenda aisee,, since Tunaishi changanyikeni those days
@officialneshahiddi
@officialneshahiddi 5 месяцев назад
Stamina had to complete what he started if you know you know😂😂😂😂
@Vj_Tally_47
@Vj_Tally_47 6 месяцев назад
Creativity 💯🔥kama umeelewa hii ngoma ...big up guy's
@AllyAssa-cf3vp
@AllyAssa-cf3vp 2 месяца назад
Daaah et tuyamalize kiume mwana mamae
@sammymichieka1394
@sammymichieka1394 5 месяцев назад
Bro you got lots of love from 254
@LaurantMziho
@LaurantMziho 6 месяцев назад
Wew nijuaa Mimi tu kumbe nanyieee
@djcheedlux222cheedlux
@djcheedlux222cheedlux 5 месяцев назад
bonge la ngoma broo
@maulidichongoe5192
@maulidichongoe5192 5 месяцев назад
Mshamaliza round ya kwanza au sio bna
@MohamedMohamed-ki5ym
@MohamedMohamed-ki5ym 5 месяцев назад
Creativity on another level
@adamsjulias6781
@adamsjulias6781 6 месяцев назад
Les congolais vous êtes où ? Vos likes svp🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@LambertOmalanga
@LambertOmalanga 4 месяца назад
Jama mwendeleye musiache rostam
@WilliamAmandus
@WilliamAmandus 6 месяцев назад
Akuna ngoma mutakaeimba ukawa chafu akunaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@abuubakarkh4772
@abuubakarkh4772 6 месяцев назад
Bgp... 🤜🤛🏽 song 🎵 💯💯
@erickndelwa8288
@erickndelwa8288 6 месяцев назад
Kula chuma hicho hapo Kaz nzur sana
@RashidyKassim-u9k
@RashidyKassim-u9k 6 месяцев назад
Vp brother roma kimekukuta kitu kizito😂
@Codeman_bland
@Codeman_bland 6 месяцев назад
💯💯💯
@UradyIssa-td8hz
@UradyIssa-td8hz 6 месяцев назад
Uyu lazma agongewe😂
@ThomasMkude-bt5mw
@ThomasMkude-bt5mw 6 месяцев назад
nakubali xna hii ngomaa
@AdamJking5
@AdamJking5 5 месяцев назад
Kwel hii Ngoma ni balaa
@jittamannicko9139
@jittamannicko9139 6 месяцев назад
Dah! Ngoma kali sana hii yaan❤❤❤
@OfficiallyMwangobele
@OfficiallyMwangobele 5 месяцев назад
Good job mablood
@ahmadokocha70
@ahmadokocha70 Месяц назад
daaa hiii ngoma hatal sanaaaa
@jaymwadzi6856
@jaymwadzi6856 4 месяца назад
Hii imeua kuliko Original song🔥🔥🔥
@OmaryMbunga
@OmaryMbunga 5 месяцев назад
Roma mziki unaujua broo
@FREDOMONDI-j2x
@FREDOMONDI-j2x 4 месяца назад
Mbuzy roma😂❤❤🎉
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 6 месяцев назад
Mhh hii ngoma apana kishanukishwa tayari
@jacksonkitta7219
@jacksonkitta7219 6 месяцев назад
Kairudia hii ngoma ya stamina na bushoke
@StevenWimbe
@StevenWimbe 15 дней назад
Hakuna kamaroma
@themion4263
@themion4263 6 месяцев назад
The one and only real rappers of all time ..ur work will stay in this word forever ❤❤❤
@JacksonEdward-j7h
@JacksonEdward-j7h 6 месяцев назад
Bonge la mix yaani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JemsMgaya-op7rv
@JemsMgaya-op7rv 3 месяца назад
Dah unankumbusha maumivu ii Ngoma naludia mala 3 tatu
@johnrington3015
@johnrington3015 6 месяцев назад
Mhhhhhhhhhh Noma Sana
@BoniphaceKibwe
@BoniphaceKibwe Месяц назад
Dah hatariii sana
@AbubakaryMaumba
@AbubakaryMaumba 6 месяцев назад
Oya wanajuwa rostam
@JefahOfficially
@JefahOfficially 5 месяцев назад
Inauma eeh inchoma eeh ni noooma
@winniepeter4004
@winniepeter4004 4 месяца назад
Hii Ngoma iliweza
@josephkwai1819
@josephkwai1819 5 месяцев назад
Stamina maneno Yako yamenigusa, umeongea Kwa niaba ya mwanamke pia
@LeilaAsumba
@LeilaAsumba 5 месяцев назад
Rostam ❤️❤️❤️
@RukundoCassie
@RukundoCassie 3 месяца назад
Amazing
@DANGOTE-o1k
@DANGOTE-o1k 6 месяцев назад
Hii,, kazi 🤐 ❤
@shaybmfaume2265
@shaybmfaume2265 6 месяцев назад
salute wanang ngoma kaliii
@kenie_r_depablito.7810
@kenie_r_depablito.7810 6 месяцев назад
Hatarii kaka ❤
@Joelsm-j8r
@Joelsm-j8r 5 месяцев назад
Ngoma kubwa tuseme ukweli tuh
@MutabaziMoses-v1b
@MutabaziMoses-v1b 5 месяцев назад
Roma balla sana hapa kutoka rwanda
@YonaMtweve
@YonaMtweve 5 месяцев назад
Katisha nawakubali sana
@HassanAbdul-xb3dk
@HassanAbdul-xb3dk 4 месяца назад
KAZI mzuri
@salumkisoma1793
@salumkisoma1793 6 месяцев назад
Mkn sana wanangu na wakubali km yanga💛💚
@rukayyaaliy9713
@rukayyaaliy9713 6 месяцев назад
Daa roma
@MenzaSuleiman
@MenzaSuleiman 6 месяцев назад
Noma sana Roma
@iddimwinyimvua9728
@iddimwinyimvua9728 5 месяцев назад
nyinyi wasenge mnajua
@bernardboniphace1380
@bernardboniphace1380 День назад
Hapa ilitakiwa tusikie sauti ya mwana mke anavyo jitetea
@ChadbSmith-n9h
@ChadbSmith-n9h 6 месяцев назад
Mtaniua my brothers❤❤❤❤❤❤
Далее
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20
Просмотров 1,3 млн
ROMA FT ABIUD NINAIMAN
3:44
Просмотров 16 тыс.
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
Alikiba x Founder TZ Mashup | Mnyama x Dar es Salaam
4:54
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20
Просмотров 1,3 млн