Тёмный
No video :(

STAMINA: "NINA USHAHIDI HADI WA VIDEO | NILIKATA TAMAA YA KILA KITU" | Kuhusu KUMRIDHISHA KITANDANI? 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 844 тыс.
50% 1

STAMINA: "NINA USHAHIDI HADI WA VIDEO | NILIKATA TAMAA YA KILA KITU" | Kuhusu KUMRIDHISHA KITANDANI?

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@shirwaelibakari410
@shirwaelibakari410 4 года назад
Dah jamaa anaonge pwet inauma Sana kwa mtu mwelewa ata mwelewa stamina kama upo sawa like
@shanteldelicious2617
@shanteldelicious2617 4 года назад
Daah asee pole stamina kw yote,unaonesha una mengi san moyon lkn mung atakutia nguv na maish mengin yanaendelea
@festojaribu7711
@festojaribu7711 4 года назад
Pole xana broo hata mm yamenikuta kama hayo na mwisho wa siku nmemchukua mwanangu naishi nae na life inaendelea vzur xana tyuuuu
@hamadisanifu7342
@hamadisanifu7342 4 года назад
Pole sn kaka sn chakukushaur ila muachie mungu ndoa zakiswahili ngumu sn kk
@johnsimon5895
@johnsimon5895 4 года назад
Daah kumbe kwel
@elishabayo4111
@elishabayo4111 4 года назад
What
@eginokimario9637
@eginokimario9637 4 года назад
Ndoa inapaswa kuheshimiwa sana na watu wote. Jiepushe sana na uvunjaji wa ndoa iwe yako au ya mwenzio. Kwa maelezo haya ni wazi kuwa kweli Stamina hakumjua vyema mwenzie ambaye naye hakuwa anajitambua. Asante kwa kuwa mfano na somo kwa wengine.
@makombaatv3311
@makombaatv3311 4 года назад
Hili jamaa linajitambua sana,,, respect to u stamina
@triphonechuma2195
@triphonechuma2195 4 года назад
Hapa ndipo unapoambiwa kwamba ukiona ndoa imedumu basi kuna mmoja kajifanya Bwege. Hata mimi nilishakufa moyo kupenda tena basi.
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 года назад
Tatizo bikira
@fadhilsaidina6547
@fadhilsaidina6547 4 года назад
Sana
@triphonechuma2195
@triphonechuma2195 4 года назад
Kwa sasa kuzungumzia bikra ni sawa na kuuliza bikra kwenye wodi ya wazazi
@pendomrosso3197
@pendomrosso3197 4 года назад
Triphone Chuma jaman
@arafataliomar431
@arafataliomar431 4 года назад
baba mm kila mwanamke nampenda na kila mwanamke namkataa cmtaki kabsa
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 года назад
Pole sana stamina, hakuna alie jasiri kwa hili, mda wowote kwa mtu yoyote linaweza kumfikia, tuombe sana wenye ndoa Mungu asimamie
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 4 года назад
If u look in his eyes,stamina is so damn serious he speaks from his heart.be strong bro💪🏾
@mathiasboniface6414
@mathiasboniface6414 4 года назад
Nadhani kama mlitongozana wawili mngeyamaliza wawili sasa cc ukituambia inatusaidia nini zaidi ya kujianika madhaifu yako je mwanamke haki sema huna pumzi kitandani ndo mana akamkumbuka mpenz wake wa zaman c utaonekana kiazi
@winifridashoo410
@winifridashoo410 4 года назад
Anaumia bado
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 4 года назад
@@winifridashoo410 inaonekana alimpenda sana
@winifridashoo410
@winifridashoo410 4 года назад
Seriously kabisa yan tunaopenda huwa hatupati nafasi mafunga embe yanaongozwa kwa kuolewa
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 4 года назад
@@winifridashoo410 😂😂 life skuzote haliko fair mwngne analalamika hana viatu while kuna mwngne anataman awe na miguu atembee ata peku
@JimmyJeff-sp5dp
@JimmyJeff-sp5dp 4 года назад
Live inauma Sana Kama unaimani mshkaji limemkwaza hili na anaongea kwa uchungu Kama mwanaume piga like kwaajiri ake
@mashauriandrew2874
@mashauriandrew2874 4 года назад
Isee stamina umenitouch sana brother hakika inauma saana
@eliayona9058
@eliayona9058 4 года назад
Dah
@eliayona9058
@eliayona9058 4 года назад
Hata mm ni mhanga mmoja wapo inauma sana Ila ikishatokea hamna namna temana nae broo Fanya yako maana huyo sio ngugu yako
@fredinyamba1251
@fredinyamba1251 4 года назад
Pole kaka stamina mlugulu mwezangu kwa changamoto ulizo pitia
@sitashaban4007
@sitashaban4007 4 года назад
Czdc
@soundlab4557
@soundlab4557 4 года назад
I HAVE LEARNED SOMETHING FROM STAMINA TODAY...I RESPECT THIS DUDE ALL DAY ANY DAY
@ashleywilliam7856
@ashleywilliam7856 4 года назад
Pole Sn bro wanawake wengi wana akili kama za kuku ukifunga mlango anataga nje,
@erastomushi3954
@erastomushi3954 4 года назад
Ila Jomba umetoa fundisho sana. Na ulichokifanya ni sahihi kabisa psychologically, Big up Bro. Mwingine angekunywa sumu au angemdhuru mtu.
@eliamathius7472
@eliamathius7472 4 года назад
Muosha huoshwa kama kampora kwako nayeye ataporwa anaekubali tupia lyk apa
@denisimateru4709
@denisimateru4709 4 года назад
Sholo bwenzi umeongea point Sana Brother
@babayao3791
@babayao3791 4 года назад
Wapo wengi wana majanga kama haya,lakini hawana platform ya kusemea Pole sana brother, watoto wa mama ni shida hata ukimwambia naomba maji ya kunywa anatangaza amenyanyaswa
@georgelyimo4411
@georgelyimo4411 4 года назад
😄😄😄
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 года назад
Sanaaa,vimeo
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
😭😭😭😭sana yaani mimi raitingekuwa na uwezo ningeweka iwe tamthilia
@yahayafotta8373
@yahayafotta8373 4 года назад
Pole sana bro. Kwa sisi watu wazima tunakuelewa sana
@khalfankitenga3130
@khalfankitenga3130 4 года назад
Yahaya Fotta
@abdallahyahaya9760
@abdallahyahaya9760 4 года назад
waislamu tuemachiwa melekezo na Mtume kuwa tuogope vitu viwili 1.Dunia 2.Wanawake Ahsante. Shikamoo Mapenzi.
@MightyLumber
@MightyLumber 4 года назад
abdallah yahaya mbona mtume mwenyewe alikuwa haogopi wanawake bali alikuwa anawabaka?
@johansenrauben6166
@johansenrauben6166 4 года назад
Mimi na muelewa sana stamina maumivu anayo yapata Mimi nime experience hiyo hali sasa tangu 2016 hadi sasa ijapokuwa huwa ni ngumu sana kuzoeleka ila jipe moyo mungu ni mwaminifu sana atatufuta machozi karibu home morogoro
@nicksonmariki6661
@nicksonmariki6661 4 года назад
Pole sana
@emmanuelnyangasa6441
@emmanuelnyangasa6441 Год назад
DHA pole sanaa
@tanzanianchiyangutaifalang8376
@tanzanianchiyangutaifalang8376 4 года назад
Dunia ya sasa kuna wanawake wa kuoa, pia kuna wanawake wa kutumiwa tu kwa ajili ya starehe. Huyo hakuwa mwanamke wa kuoa, ni mwanamke wa kutumia tu.
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 года назад
Tatizo bikira
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 4 года назад
Mnyonge mnyongen haki yake mpeni..sijapenda mwanamke alichofanya.(unahaki..uwimbe stamina )
@aloycemvula645
@aloycemvula645 4 года назад
Pole kaka
@mwidinijuma8214
@mwidinijuma8214 4 года назад
Stamina uko sahihi,wanawake waheshimuni waume zenu michepuko haifai
@nancybarnabas2351
@nancybarnabas2351 4 года назад
pole stamin wengi wanaocoment ovyo hawaelewi nini maana ya ndoa and hawafahamu maumivu but chukulia powa yamepita and mungu atapooza nafsi
@mwariksamson585
@mwariksamson585 3 года назад
Noma xan mwamba
@ephesongailo8564
@ephesongailo8564 4 года назад
Wasio jua ndoa watasema stamina umetusemea wengi!
@samymdundu
@samymdundu 4 года назад
Machizi haoo
@gidionsukuru4421
@gidionsukuru4421 4 года назад
Kweli ndugu
@angelerick8668
@angelerick8668 4 года назад
Mh
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 4 года назад
Kabisaa
@saidsukaliyaosaidsukaliyao3579
@saidsukaliyaosaidsukaliyao3579 4 года назад
Wanyabi
@benitoxavery1802
@benitoxavery1802 4 года назад
Ndoa inahitaji: 1.God 2.Maturity (Financial,Physical and Mental) Ukijichunguza ukaona kuna kitu bado kimepungua hapo,usioe,usiolewe. Hata kama una hamu vipi!
@andrewmwakibolwa8600
@andrewmwakibolwa8600 4 года назад
Facts
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 4 года назад
Love is blind
@samymdundu
@samymdundu 4 года назад
NOTED 200%
@happybalama3591
@happybalama3591 4 года назад
na ndoa nyingi za vijana siku hizi hazidumu sababu kuna kuwa na mahisiano ya haraka hawajuani.wazee wetu walianza kuchunguzana muda mnajuana ndio maana ndoa zilidumu sio sisi mnatongozana wiki kajitambulishe mara ndoa ndio maana hazidumu
@petronzengelele7137
@petronzengelele7137 4 года назад
@@happybalama3591 kabisa watu hatuchunguzani vizuri
@capeafricatourssafari175
@capeafricatourssafari175 4 года назад
Stamina, you’re the man i tell you you’re the man. Ulichofanya ni sahihi mwanaume afanye. Man siwezi ongea you’re the man. Keep it up fanya mziki fanya maisha, tafuta pesa .
@deborahjm8890
@deborahjm8890 4 года назад
Dhuu sina mengi yakusema ila pole sana kaka , Mungu azidi kukuonesha njia zuri 🙏🙏
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 года назад
Atafute mwanamke ambae hajaguswa bado ndo amuoe
@alshakizmwongesh8624
@alshakizmwongesh8624 3 года назад
@@akshaydavid159 kumbuka uyo mke bado n mke wake hawaja peana divorce
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 4 года назад
Pole sana Kaka wanawake inatakiwa wasome sana Bible Waefeso 5-22.
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 4 года назад
Waefeso ngap na mstar wangap had?
@brytonrenatus4886
@brytonrenatus4886 4 года назад
Dah ngoja nisubiri subiri kama mambo yenyewe ndo haya 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️ pole bro mwachie Mungu tu
@mimimwenyew361
@mimimwenyew361 4 года назад
Usisubiriiii we oa tuuuu maana kila MTU na changamoto zake
@sarahlyanga3766
@sarahlyanga3766 4 года назад
Bryton Renatus 😂😂😂😂😂😂😂
@denisimateru4709
@denisimateru4709 4 года назад
Alaf babaaa johni una Mambo za kiwaki ila sio kesi b dazen 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍
@ommarnduru8253
@ommarnduru8253 4 года назад
stamina kma mimi ayo madudu na mimi nimeyafanya najuta! Sijamjua mwanamke nikaoa..iyo mbaya sana ...upo vzr brooo
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 4 года назад
Ulioa mdangaji stamina.pole Sana bro.though wengi tupo kwenye ndoano
@coxtrixherboy4062
@coxtrixherboy4062 4 года назад
hahahhaa... ila n kwel
@princesjouse6436
@princesjouse6436 4 года назад
Mambo
@kapesekapese7167
@kapesekapese7167 4 года назад
Moyo hupenda mara moja tu, ukishaumizwa basi tena ndoa utaisikia tu. Kama hujui maumivu hayo don't comment just like or share.
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 4 года назад
Umeongea vzr sana mkuuu nimekuelewa Sanaa brooo mm yamenikuta Kama stamina
@kapesekapese7167
@kapesekapese7167 4 года назад
@Andrew Magwila pole sana kaka
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 4 года назад
umeongea fact, mpaka naskia hasira
@augustinkimati9713
@augustinkimati9713 4 года назад
Diamond
@kapesekapese7167
@kapesekapese7167 4 года назад
@@emanuelmoshama3899 kaka wote Ni wahanga haya Mambo sijui yaliletwa ya nini
@immadeprince3978
@immadeprince3978 4 года назад
Pole Sana stamina haya maisha ya ndoa yaache tyu yanaumiza kwelkwel stak Tena kpenda
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 4 года назад
Pole sana mkuu fanya yako hao wanawake pasua kichwa fungua ukrasa mpya na maisha ya endelea
@bramoajibu5058
@bramoajibu5058 4 года назад
Yesss sirrrr,nmekubali bonniveture Allah akuzidishie hiyo Ni kweli umeongea sahihi hata mungu atakulipa hapa hapa duniani mwchie Allah aufnyie wepesi mwnangu,Yes sirrrr
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 4 года назад
Kwa tunaojua ndoa stamina uko sahihi sana.tena hongera umekuwa mfano kwa wengine
@kimbalisaid2760
@kimbalisaid2760 4 года назад
Ulivumilia kwamuda mrefu hatahivi
@fatumakatembo4218
@fatumakatembo4218 4 года назад
Pole kaka achananae malipo dunian ico siku 1 atakukumbuka ata mimi ni mwanamke sifagirii ujinga alioupitiliza mwanamke mwenzg
@noahngogo4334
@noahngogo4334 4 года назад
we acha tu!!
@tonganekwizayo9642
@tonganekwizayo9642 4 года назад
Kumbe wengi washa tendwa kama stamina 😫😫 gonga like 👉
@johncharles7951
@johncharles7951 4 года назад
Pole brother angu mungu atakuongoza, Me nimejifunza kwa stamina.
@mrs.eileenvahaye8669
@mrs.eileenvahaye8669 4 года назад
mhhh Mungu huyu anajua kupoz moyo
@ComradeMokiwa
@ComradeMokiwa 4 года назад
Good Interview. Funny fact. Nimeupenda wimbo, ila hadi sasa sijafuatilia wala sijui mke wake ana sura gani. Wimbo mzuri na wengi mjifunze.
@ameyashey3174
@ameyashey3174 4 года назад
Dah sotry yako km yangu 😥😭😭😭😭sema mimi mwanamke wewe mwanaume. mwaka wa 3 huu kila nikijalibu kupenda MOYO hautaki kabisaa dah😥pole
@sirsajj2091
@sirsajj2091 4 года назад
pole pia
@salimzaidi9203
@salimzaidi9203 4 года назад
Pole sana dada angu
@ntalarukadereva2504
@ntalarukadereva2504 4 года назад
Unaweza nipa namb yako
@ismailfrenchchannel3469
@ismailfrenchchannel3469 4 года назад
Pole pole
@johndunia716
@johndunia716 4 года назад
Daah Kweli umejaribu kupenda lakini wapi kama mimi YAN UNAJARIBU KUPENDA LKN WAPI..
@sharmilatkandawe1015
@sharmilatkandawe1015 4 года назад
Kama kuna mwenzangu aliyemuhukumu #Stamina bila kujua sababu dondosha like yako. Maana dah imenigusa japo kuwa mi ni mwanamke, mahusiano yako kama yangu ndo magumu ninayoyapitia Mimi. Inauma jamani😭😭😭😭😭. Mungu tusaidie🙏🙏🙏
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 4 года назад
Wanawake wa kizazi chetu sisi tuliozaliwa kuanzia 1990 mpaka 2050 ni mtihani mkubwa Nakwambieni kazi tunayo
@omarybuhoro7878
@omarybuhoro7878 4 года назад
Daaaa kaka ww unamoyo sana ningekua mm sijui ningemfanya kitu chaajabu ila nakubali sana maazi yako unabusala na hekima kaka angu
@nelsonmataba1426
@nelsonmataba1426 4 года назад
Hiyo takugombana na mwanamke wako sababu ya jamaa,halafu anatoka anaenda kwa jamaa tena anakwambia tuachane kisa ya jamaa ishanitokea,jema ni nilishapona namshukuru Mungu sanaa 🙏🏾
@alh2875
@alh2875 4 года назад
Pole kaka stamena hio nimitahani inayo kumba jinsia zote kuna wanaopat wake watulivu lakn wanawachezea nawapo wanaopat waume watulivu wanawachezea
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 4 года назад
Mhhhhhhhhhhhh aiseeee shikamoo ndoa bora ukoseee kujenga kuliko kukosea kuoa au kuolewa ni jambo la kumwomba Mungu2 pole sana stamina
@charlesmaziku9297
@charlesmaziku9297 4 года назад
Umeongea ukwel stamina,👍👍👍
@abrahameliasgabriel568
@abrahameliasgabriel568 4 года назад
Dah mzeeee baba stamina umetimiza kanuni ya mwanamziki ni kioo
@hawahassan4018
@hawahassan4018 4 года назад
Yaani kaka this is my story sema mm ni mwanamke ila mume anauma mke pia anaumwaa balaa
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 4 года назад
Nyie mnatutesa sana
@patrickmgata9574
@patrickmgata9574 4 года назад
Hawa njoo kwangu basi hutoumia
@issazakaria9704
@issazakaria9704 4 года назад
@Hawa Hassan pole sana na Mungu akufanyie wepesi
@mashimbadeograthiasmathias8583
@mashimbadeograthiasmathias8583 4 года назад
Hawa Hassan pole sana Dada tupo wengi sana
@catherinekayamba5304
@catherinekayamba5304 4 года назад
Pole my
@lifeisgood4242
@lifeisgood4242 4 года назад
Stamina pole sana. Kama ndivyo mruhusu ale maisha tu. Mtafute mwingine uendelee na maisha yupo wa ndoto zako. Yawezekana yupo mdada ulishamchumbia ukampotezea anaweza kukuchezea kiaina. Kaa tafakari chukua hatua.
@noelrichard9077
@noelrichard9077 4 года назад
Ebwana mm nimejifunza kupitia #STAMINA💪
@habibanarogwanarogwa6768
@habibanarogwanarogwa6768 4 года назад
Pole stamina sha jifunz kupia ww
@jumajuma9211
@jumajuma9211 4 года назад
Amazing
@oliviermarambo2587
@oliviermarambo2587 4 года назад
To be honest I stand with you, I’m a victim of the same problem.. inauma kaka.
@markmush3028
@markmush3028 4 года назад
Pole jamani
@oliviermarambo2587
@oliviermarambo2587 4 года назад
mark mush man it’s not an easy situation... I swear.... it’s so painful.
@markmush3028
@markmush3028 4 года назад
Its not easy but u need to accept it coz one of the best option to solve problem is to accept it
@isabellamrutu3571
@isabellamrutu3571 4 года назад
@@markmush3028 fact brother
@robby1agustino121
@robby1agustino121 4 года назад
@@markmush3028 point
@mtweveandrew1861
@mtweveandrew1861 4 года назад
Daaaah aseee pole sana mwanangu stamina
@sumadashsumadash7342
@sumadashsumadash7342 4 года назад
Saaaf sana mzee baba,hiyo mijanamke yaivyo yapo mengi sana.Hata mm nilikumbwa na hali Kama hiyo yaani nahis yakwangu ilikuwa ngumu zaid na nilikuwa safari cku moja jianamke lile likabeba kiiila kitu ndani sio vyangu tu likaiba vyote na nilikuwa Nina Evidence full, bas nikalikaushia tu wala ckulitafta wala ckuliuliza kwasasa lishafamba na halina tena soko naliliishatemwa nakila mwanaume limebakza kudanga danga tu apa mjini kwa Makonda mm walaaa..! Nshatilaxy
@wilsonedward3976
@wilsonedward3976 4 года назад
Pole brother kweli ndoa ndoano sasa ivi stamina umesha jifunza alafu usitake mwanamke staa chukua mwanamke wa kawaida
@margrethsalvatory1359
@margrethsalvatory1359 4 года назад
Jaman mimi nilie msikiliza huyu kaka he is damn hurted, Alaf hata kama huyoo dada angeazilishwa ni sawa tuu amemkosea huyu kaka jaman tupo kwenye ndoa ila sio poa kumsemea maneno nje
@alexmwalingo5120
@alexmwalingo5120 4 года назад
Bola kayaweka peupe, angeyafungia moyoni huenda angejinyonga, mi nampa hongela kwa maamuzi aliyoyachukua pia inaweza ikasaidia kuwajenga wanawake wengine wasifanye kama alivyofanya mke wake, na yy ni kioo cha jamii kiujumla kafanya vzr kuyaanika
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
😭😭😭😭stami wee umenitonesha mwenzioo. Japokuwa mimi ni mwanake.nina miaka 7 sasa sitamani tena mahusiano na niliyopitia nihayo. Kablaya ndoa mume wangu alikuwaga na msichana wakaachana. Baada ya kinioa mimi wakaludisha mahusiano. Na mwanamke kumwambiabwana kuwa kipindi walichoachanaga alikuwagana mimba ya wiki. Cha kushangaza wakarudisha mahusiano kwa mpaka bwana akawa aniaga asafiri kumbe enda tawishwa ndani😭😭😭hebu ngoja tu niishie hapa
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 года назад
Pole sna dear
@karanidicky4489
@karanidicky4489 4 года назад
Bro We Ni Mjasiri Sana,Wanaume Wachache Sana Ndo Wanaeza Funguka Hali Ya Halisi Ianayotukuta Sisi Tulio Ndani Ya Ndoa..
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 года назад
Karani Dicky yani ukiona hivyo huyu jamaa alimpenda sana mwanamke halafu alamsaliti kwahiyo ana maumivu sana sana sana haya yametukuta wanaume wengi sana jamaa kaumia kiukweli halafu jasiri unaweza kuuwa wallah
@karanidicky4489
@karanidicky4489 4 года назад
@@zumbeshauri8114 Kumbe Umemsoma Bro,Yani Fikra Zako Ziko Sahihi Kabsaa..Inauma Sana I Sei
@silviagustavo416
@silviagustavo416 4 года назад
@@zumbeshauri8114 kweli
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 4 года назад
Mwana hiphop huyo hiphop inaongea real life hawanaga kupinda
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 года назад
Mungu ninusuru mimi namume wanguu😭😭😭😭😭😭
@amrimzeru2913
@amrimzeru2913 4 года назад
Pole sana stamina,hii broo inaonekana imekuuma sana
@gidionsukuru4421
@gidionsukuru4421 4 года назад
Kama haijawahi kukutokea unaweza kusema
@jizomontana1899
@jizomontana1899 4 года назад
Stamina kaka huku oa mwanamke ulioa msichana haiwezekani mgombane aseme muweke mapumziko😀😀😀
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 4 года назад
Pole sana kaka kifupi mahusiano kwa ujumla yakiharibika huwa yanaumiza sana aise
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 4 года назад
Duh, shikamoo mapenzi, doggy man aliimba "ivi mapenzi ni kitu gani?" mimi namjibu mapenzi ni utamu wenye maumivu makali sana! Period!
@ramaccr7525
@ramaccr7525 4 года назад
Eneo Latukio 😂😂😂😂😂
@aureliebeatrice5952
@aureliebeatrice5952 4 года назад
Period 😂😂
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
😂🤣😂🤣😂
@allyshafih4913
@allyshafih4913 4 года назад
Teh teh
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 4 года назад
Eneo Latukio makali SANA TU!
@azizaalmas9624
@azizaalmas9624 4 года назад
Kwanza ukioa mwanamkee ambae mkigombana kidogo anakimbilia kwao nawazazi wanampokeaa wanakaanaeee bila hata tatizo nduguyake jiepushe mapema umeoa mabomu,
@dallasmoon653
@dallasmoon653 4 года назад
👍
@emilwaziri6489
@emilwaziri6489 4 года назад
VERY VERY TRUE
@elinikomniko4411
@elinikomniko4411 4 года назад
Hii Ni kweli kabisaa imenitokea
@ussyussy5
@ussyussy5 2 года назад
Kabisa kabisa
@epifaniamponda2443
@epifaniamponda2443 4 года назад
Wanawake mambo mengine usenge yani umeolewa hafu bado unatoka nje ulikubalije kufunga ndoa????
@rachaelseth7923
@rachaelseth7923 4 года назад
Yaan ni aibu. Mungu atusaidie sana, sisi wanawake. Ukiolewa inabidi uache makolonii yoote.
@epifaniamponda2443
@epifaniamponda2443 4 года назад
Rachael Seth ndoivo yani dah ungese sana
@halfahalfa9728
@halfahalfa9728 4 года назад
It's very heart Anongea kama ni jambo la kawaida lakini usiombe yakukute Mimi naomba mungu yasinikute hayo maana naweza kuua au kuuliwa mimi na huyo anayechukua mke wangu 😢😢😢
@situnayenge2292
@situnayenge2292 4 года назад
Uyo ni malaya tu kwani mpaka kutoka na mwanaume mwengi 😆.sema stamina wewe mpole angekuwa mcongo ange mufunza adabu kweli.
@shebbygangster9241
@shebbygangster9241 4 года назад
Ambao Tusha Umizwa Ndo Tunaelewa Binafsi Sitaki Ushaur Wa Kipumbavu Wowote Kuhusu Mapenz
@allyseba172
@allyseba172 4 года назад
Daaah stamina umenigusa duuuh inauma nyie haya mambo yaskie kwa mwenzio... Mm nilifunga office nikawa ndan nalala
@zuhuraabdul9383
@zuhuraabdul9383 4 года назад
Pole saana Stamina hao ndivyo walivyo hata mimi imenifika hiyo mpaka nimeamuwa kuachia kabisa wana tuchiti saana tena mno sasa majuto mjukuu dawa chukuwa kingine brodher
@jjm4583
@jjm4583 4 года назад
Kaka stamina nmekuelewa sanaaaaa
@dominicmawala5614
@dominicmawala5614 4 года назад
Upo sahihi sana Boy!! We kweli mwanaume
@annabalenga7637
@annabalenga7637 4 года назад
Pole sn Stamina hayo mambo yametukuta wengi jipe moyo tuu mungu atakutetea .kama mwanamke ndo mwenyeshida mungu atakulipia.
@adefunmioluwadamilola605
@adefunmioluwadamilola605 4 года назад
Doooooo pole sana wanawake sisi vivuruge sana inaonekana ulimpenda sana ulikuwa hukat tamaa unapigania penzi lako ila hiyo sio ridhiki yako ulifanya maamuzi muda ambao haukuwa sahihi..ila usijali kitu chochot kinachokuja kama hakijakutoa uhai,,bhas ni pito tu yataisha hayo..God bless stamina awe strong tena. Napenda sana nyimb zak
@peterfestor822
@peterfestor822 4 года назад
Ila niseme ukwel hawa ma X sio wazur SNA maan unawez ukaoa mwanamk had kum be hajaachan na mtu wake wa zamn yaan hii huwaga naiepuk sna ndo maan najitaid sna kutafuta dem bikira Ila hawa kumuoa dem am bay kashakuw na wanaum kibao hiy ni ishu kubw sna pol sna stamina umevumilia meng sna ila ndo uanaume huo big up sna
@duniayakijani7868
@duniayakijani7868 4 года назад
Kweli aiseh zinaa sio nzuri
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 года назад
Yaan bro unafikra km zangu Bora bikra
@vanessamagezi6986
@vanessamagezi6986 4 года назад
@@shaabanramadhan6770 hahaaaaa hi kweli lakini bikra wengine wakishazoea,huwa wanakuwa vivuruge baadae.
@mpajiramadhan3507
@mpajiramadhan3507 4 года назад
Bikra ndio nini kaka😂😂🤣🤣🤣😂😂
@peterfestor822
@peterfestor822 4 года назад
@@mpajiramadhan3507 bikira ni mwanamke ambaye hajawah kufanya mapenz ama kushiriki tendo la ndoa tangu anzaliwe.na ndo maan unaambiw mke wa kwel dunian ni yule uliye mtoa bikira kwakia ulimfunza kila kitu.lakn ukioa mwanamke ambaye hana bikira huy umeoa mwanamke wa mtu ama mke wa mtu.maan popote mtako kutana lazm mkumbishiane kwakua ww ndo mwalim wake tu kwahy hakun kit kizir kama kumtoa bikira mwanamke kwanz ni bonge la bahat sna kwa sasa.
@kirupyseleman582
@kirupyseleman582 4 года назад
Wale mnaudharau wimbo wa ASIWAZE mungu anawaona yaani
@jescajames9448
@jescajames9448 4 года назад
Mzur sana
@luciamathias8585
@luciamathias8585 3 года назад
Pole Sana Kaka aiseee njoo njooo nikupe hata mdogo wangu msukuma
@machetebogota4218
@machetebogota4218 4 года назад
Asojua ndoa asiogpe wapo watu wanapenda kwdhati ila usiombe uingie ndani yandoa na mtu usomjua Tabia 🙏Alhamdulillah Nimesahau Kila Kitu maisha yasonga ndo Maana kwa sisi waisalm mungu anatuambia katika Qur'an tukufu tuolewe na mwenye dini na hofu yamungu atahofia kufanya ubaya kwa kumyogopa Allah lakini ukiokota tu ndo unapojutia Wapo wenye Mapenz kwa Dhati
@bulugulubuga2201
@bulugulubuga2201 4 года назад
Ndoa bwana, unaminyaminya nyanya unanunua bilinganya! Shout up to Roma mkatoliki
@bakaribakari_
@bakaribakari_ 4 года назад
Mkatoliki ashamalizaga haya kitambo.
@masumbukochilo2111
@masumbukochilo2111 4 года назад
Kweri kaka
@nestorymsacky6838
@nestorymsacky6838 4 года назад
Sio shout up bhana 😂😂😂😂
@malicksiambiri3584
@malicksiambiri3584 4 года назад
@@nestorymsacky6838 hahaah
@bulugulubuga2201
@bulugulubuga2201 4 года назад
@@nestorymsacky6838 shout out😀😀😀 Uko makini sana, umegundua hadi hiyo??
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 года назад
Mm nimeipenda na lzm wanawake tujifunze kujiheshim
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 4 года назад
Inawabidi mjifunze kweli yani siyo utani
@prospermsanzi8815
@prospermsanzi8815 4 года назад
Na kuwaheshimu waume zenu
@arafataliomar431
@arafataliomar431 4 года назад
wanawake nyie hee mtakuja kujuta tu mm mwenyewe yashantokea mara saba yaani kwa wanawake saba tofauti
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 года назад
Arafat pole ila kila MTU kapitiachayo
@salummdemu8520
@salummdemu8520 4 года назад
Ni kweli tunaomba tuwe kitu kimoja jamani,mapenzi ya dhati yanaumiza sana,hasa pale unampenda asitambue umuhimu na kusudi lako, Stamina ameniliza mno........
@rajlovechild8134
@rajlovechild8134 4 года назад
Kweli kabisa Kakaa. Waambie... Ndio Maana NDOA Yaitwa CHAMA CHA WAJINGA.. kwa Sababu usipokua mjinga Hauwezi Kaa Nae
@happyhamza1895
@happyhamza1895 4 года назад
Watu tunazitaka ndoa wengine wanazichezea Aya maisha bhana!!!!....
@nicholasshukuru4928
@nicholasshukuru4928 4 года назад
"...inauma nyi acheni." Enyewe stamina namfeel Sana.
@miriammichael8113
@miriammichael8113 4 года назад
Kaka jipe moyo mungu yupo tatizo sio kukaa sana kwenyeausiano huyo dada alikua Malaya tu ila piga moyo konde wanawake tupo ukihita nitafute naamini hutojuta kaka angu nimekupenda toka hujaoa njoo baba tuyajenge
@saunakatauyanawausufanyeni9504
@saunakatauyanawausufanyeni9504 4 года назад
Stamina we mwaume bwana achana na uzalilishaji.
@hassantulila7812
@hassantulila7812 4 года назад
mwanangu usijali stamina tupo wengi tulio tendwa
@petywoiso4639
@petywoiso4639 4 года назад
Pole kakangu Mungu atakupa ubavu wako huwez amin utampata mwanamke atayekupenda kwa dhati.Najua unachokipitia ndoa inauma vibaya mno coz yalishanikuta .Tuliza akili potezea japo itakuchukua muda piga magoti mwombe Mungu utasahau kila kitu jitahidi kujiweka busy
@ashnaomi2385
@ashnaomi2385 4 года назад
Duh ukiolewa shida usipo olewa shida. Wote nikasheshe yadunia. Stamina kaka mpotezee uyo . anza upya maisha. Uyo Dada ana umaskini waakili. Hakujaliwa fungu lariziki . mwache atapata anacho kitaka. Ana asili yakuku
@gwakisakallenge9620
@gwakisakallenge9620 4 года назад
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
@wamburachibura5471
@wamburachibura5471 4 года назад
Huyo hakuwa mke bro
@MightyLumber
@MightyLumber 4 года назад
Na ndivyo walivyo mademu wengi wa kibongo, hawana mpango. Yaani demu ana acha mume wa ndoa anakwenda kutoka na mchezaji wa ligi ya kibongo, hivi ana akili kweli huyu demu? Gwakisa Kallenge
@georgemichael3209
@georgemichael3209 4 года назад
Gwakisa Kallenge kweli
@salminwilliam9270
@salminwilliam9270 4 года назад
Sawa
@hassankiluwa1317
@hassankiluwa1317 4 года назад
Gwakisa Kallenge Umesema kweli kaka,huyu jamaa akubali matokeo ajipange tu upya mungu atamsaidia asichoke kuomba mke mwema
@revinastephen7621
@revinastephen7621 4 года назад
Huyo mwanamke alikuwa anatafuta uhuru ,na sio mwanamke ni mtu wa viwanja sana na kama ulimkuta viwanja basi huyo alikuwa wa viwanja alikuwa sio wa kuoa ,huyo alitakiwa kufanywa mchepuko
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 года назад
Tatizo vijana mnaokotana sana, wengine mnaoa kwa sababu ya sura, shape, msabwanda. Mwisho wa siku wengi mnaishia kuoa malaya, madanga haipiti mwaka au miaka michache mnashindwana. KUNA MWANAMKE WA KUOA NA MWANAMKE WA KUPIGA MITI, NAWASILISHA!.
@sadamkyando1207
@sadamkyando1207 2 года назад
Haaa
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 4 года назад
nimekuelewa sana mwamba umeumizwa sana mpaka sasa bado unaumia pole sana
@joshuaviwanjamwanza8061
@joshuaviwanjamwanza8061 4 года назад
Daaaaaaahhhhhh!!!!!! Ukwel ni kwamba kuna X, na Neutral X huyu Neutral X hua anaendelea kula PENSION had uzeeni. Take it from me
@ismailuzabihullah8926
@ismailuzabihullah8926 4 года назад
Tunawaumiza wanaotupenda...,Tunawapenda wanaotuumiza🙆‍♂️
@mariammadad6804
@mariammadad6804 4 года назад
Nikweli kabisa
@asiakomba7837
@asiakomba7837 4 года назад
Ismailu Zabihullah 👏👏umona eeh
@livepuretanzania5260
@livepuretanzania5260 4 года назад
Hakika
@ismailuzabihullah8926
@ismailuzabihullah8926 4 года назад
@@mariammadad6804 ni shida hy mahusiano haya
@ismailuzabihullah8926
@ismailuzabihullah8926 4 года назад
@@asiakomba7837 yan ni hatar
@musakhamis6906
@musakhamis6906 4 года назад
Sema kweliii kaka alitaka kuolewa na wewe apate fulsa Kama hvi ilivyotokea teyali ameshapata umaarufu kwa sasa kila mtu anaangali interview yake 😁😁😁😁😁😁😁pole Sana kaka
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 года назад
Pole sn stamina kweli inauma na ww ni dume haswa shababi pia maana ht kukonda hujakonda mungu atakulipia daah hd damu imeniccmka 😢😢
@agustinojuma9566
@agustinojuma9566 4 года назад
Kama kuna kiumbe mwenye jinsia ya kiume hajamuelewa huyu jamaa basi elewa hiyo jinsia yako iko kwako kimakosa ulipaswa kuwa other side100%
@salimkalulu373
@salimkalulu373 4 года назад
Upo sahihi damu yangu
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 4 года назад
Big point broo
@jacksonstephano3971
@jacksonstephano3971 4 года назад
Ahahaha n kweli brother
@kondokibugula6551
@kondokibugula6551 4 года назад
Kama yule mtangazi choko aliyekuwa anataka kumdis mshikaji hapo. Hakui hawa ma.... wanavyopoteza mielekeo ya watu.
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 4 года назад
Kabisa mwamba upoo sahihii kabisaa nduguu
@maxesh5135
@maxesh5135 4 года назад
The best interview kwa mm ambye sijaoa nimemwelewa sana Stamina
@papamgolo2835
@papamgolo2835 4 года назад
Bro maamuzi yk yapo sahihi
@amirikoshuma7476
@amirikoshuma7476 4 года назад
Stamina mm nakuubali 100%%% kweli vijana wengi tunakosea kwenye kuoa huwa hatuna kawaida ya kuwapeleleza wanawake lakini pole Sana kaka lakini naimani hutakosea tena hata mm mwezi wa pili naingia kwenye ndoa lakini namuomba mungu aniongoze kwenye ndoa
@lusekeloemanuel5313
@lusekeloemanuel5313 4 года назад
Brother hiyo story Ni kama unasimulia ya kwangu isee Ni shida kama mzazi anakibuli na anajifanya haelew sheria za ndoa Pole sana kaka 🙏🙏🙏
@jameskanyala3618
@jameskanyala3618 4 года назад
Jaman Hi story ni yangu imeshanitokea japo sikuwa nimeingia kwenye ndoa its real pain wadada hata sielewagi huwa wanataka nini maana ukijaribu kufatilia wanaume wengi tunaumizwa ndio maana kuna mda unakuta mtu nae anafanya visa hamuaminiki wanawake sasaivi sijui nani kawaloga
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 4 года назад
Wanaume mapenz, huruma, na care tumejaaliwa lkn wenzetu wanasiri nzito sana... 💔 heart
@mohamedsadiq2398
@mohamedsadiq2398 4 года назад
kaka yamenitokea hayo pole sana
@franklwehela7595
@franklwehela7595 4 года назад
Kwa Sisi Vijana ambao hatujaowa,take care Kwa last born na first. Hata Chris Mauki amewahi lisema hilo.
@alexmwalingo5120
@alexmwalingo5120 4 года назад
Kweli kabisa last na first ni shida, umejuaje, ukimgusa tu kakofi halaka sana amepiga cm kwa mama yake
@noahngogo4334
@noahngogo4334 4 года назад
kama ndio kuoa tunapaswa kuoa mwanamke asie pendwa kwao.
@halimarajabu6964
@halimarajabu6964 4 года назад
Pole saana kaka ndoa inauma sana asoingia aelewi kabisa unayo ongea ila wenye ndoa au walotoka kwenye ndoa wanajua
@salumkibiki7539
@salumkibiki7539 4 года назад
Pole Kaka Kwa wanawake wa Sikuizi Unaweza Ukapiga Ukauwa Maana wanaleta hasira hatali Ndiomana Sitakigi Shobo na ivi Viumbe
@gospotv
@gospotv 4 года назад
Kweli NDOA Kazi
Далее
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 161 тыс.
Mke wa Stamina Kumbe na Yeye Yumo, Mtazame hapa.
19:38
Просмотров 406 тыс.