Тёмный

Rosa Ree amuita Khaligraph mtoto wake wa Pili "make me proud" Octopizzo aingilia"huku ni kulia lia" 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@hassanswaleh8720
@hassanswaleh8720 Год назад
Rosa ree amshukuru OG amemrudisha kwenye game
@davidkalela8
@davidkalela8 Год назад
Acha ujinga wewe bhana Roza ree ni noma bhana nynyi kenyans hakuna kitu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Una akili wewe?? Rosa Ree Tuzo Gani zinatoka asiwe nominated?
@hassanswaleh8720
@hassanswaleh8720 Год назад
Mpaka sasa hakuna rappa mwenye awards nyingi east Africa kama interview za babalevo kama OG🤣🤣🤣
@hassanswaleh8720
@hassanswaleh8720 Год назад
Mimi binafsi ni shabiki wa Rosa ree upande wa rapa wa kike tz lakini sema kapoa sana isee ngoma ni kali sana lakini hawezi kumfikia OG
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e Год назад
Khaligraph ni no1 kisha hakuna hadi no10 maana khaligraph ni hatar sana kwenye game ya hip pop hao wa Tanzania 🇹🇿 niwa dogo sana kwa hip pop kwa khaligraph jones
@badisalim4250
@badisalim4250 Год назад
Rosa ree lea mtoto wa timmydat shemegi 😃😃😃😃
@jumanneyassini
@jumanneyassini Год назад
Nimesikiliza hizo Diss trackback zao zilizotoka yani #SONGA #LUKAMBA #CHINDOMAN ILA KALI KABISA NI YA @ROSAREE 🔥 🔥 🔥
@dennisodote5581
@dennisodote5581 Год назад
Goddess aliua yni omolo dady anaongea haraka atulie au anyolewe mavuzi
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Год назад
Rosa Ree Ni mtu mbaya Sanaa 🔥🔥
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Rosa Ree kabisa katutoa kimasomaso na tulikuwa hatutegemei hilo 😂😂😂🎉🎉
@alvinpoel-kd9ck
@alvinpoel-kd9ck Год назад
Octopizzo all day
@hafidhali4336
@hafidhali4336 Год назад
Rosa ree ameuwa sana kwenye mama omolo ila khalph jones kweli ni rapar mkali napenda sana ngoma zake
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
😂😂😂Rosa Ree kamkalisha huyo mpiga vyuma , kiukweli kafanya kitu kikubwa tunapaswa kujivunia Tanzania nzima kaka zake wamekaa kimya lakini Rosa Ree kampiga nyundo kichwani😂😂😂❤❤🙌🙌🙌🔥
@godsfavorite8135
@godsfavorite8135 Год назад
🔘Bongo Kwisha Kazi❕
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 Год назад
Hii itsaidia kuwafahamu marapa wakenya kuna Dem kajibu safi Sana watokeze na wakenya wengine wengi TZ wamecoment rapa wengi
@ray45king84
@ray45king84 Год назад
Khali amerudi studio ku-edit ngoma yake ,mbona bado hajatoa?Huku Tz kuna manzi anaitwa Goddess ana hasira sana,utasema mama mzazi wa Omollo.
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys Год назад
Hatari
@mbomo4321
@mbomo4321 Год назад
😂😂😂😂
@berthatz
@berthatz Год назад
😂
@Ndayishimiyeismail-cz9wh
@Ndayishimiyeismail-cz9wh Год назад
OG ni 🔥🔥🔥
@hafidhali4336
@hafidhali4336 Год назад
Giant man✌✌naipenda hii chalenge
@owenmutale8686
@owenmutale8686 Год назад
Una maneno mengi story unaifanya ndefu unaboa
@babunyau2749
@babunyau2749 Год назад
Kwahio khaligraph àmemshindwa OCTOPIZZO THE KING ataweza bongo MBWA huyu
@hassansela1393
@hassansela1393 Год назад
Wewe unakili timamu octopizzo kunakitu gani anaimba halafu fanya tafiti nani alichukua award ya best rapper ya African ndo utajua OG ninani
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
​@@hassansela1393wewee Rosa Ree hakuna Zaidi yake kwa Sasa ni ile tu wanamuona WA kike
@hassanswaleh8720
@hassanswaleh8720 Год назад
OG ako studio hawezi shindwa na mtoto wa kike alafu octopizo ndio amesanda kabisa kwenye game la kurap bado avishwe sanda sasa 🤣🤣🤣
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Oya Octopizo ni msindikizaji hamfikii Omollo hata kidogo 😂
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 Год назад
Wakenya Wanaanza kujitetea huko Et mara Roser lee kasoma Kenya Mtakuja kufa na presha za kuwaita watanzania kuwa ni Wakenya
@berthatz
@berthatz Год назад
😂😂
@hellennjeri2431
@hellennjeri2431 Год назад
Rosa ree kasomea Kenya 😅😅
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Год назад
So wat
@hellennjeri2431
@hellennjeri2431 Год назад
@@KassimAlly-xp4dz mwanaume mzima umeleta mafeelings kwa comment yangu pussy wewe!!
@abdfattah883
@abdfattah883 Год назад
Wakenya bhna kwaio Mkenya ama ni vp
@simbok6468
@simbok6468 Год назад
​@@abdfattah883😂😂😂😂😂
@HAshimHamdani-dg1ws
@HAshimHamdani-dg1ws Год назад
Rosa rEeeee atamripua kaligraph jones
@samirmswahili
@samirmswahili Год назад
Sky ukipata mda tufanyie kitu na ww kuhusu ngoma ya rosa
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Год назад
Nakuunga mkono cz sky anatufafanulia kila kipande ata zile za vita za urus ikiwezekana awe anazipitia na yeye. Tunawakubali wote wa sns ila bro turizishe na sie
@samirmswahili
@samirmswahili Год назад
@@mweusiasili8345 kabisa
@stevewanga957
@stevewanga957 Год назад
rosa kizungu kakijulia kenya😂
@mswahbeka4668
@mswahbeka4668 Год назад
Huyu atamalizwa na Rapcha
@ibraheemSaeed-wi8px
@ibraheemSaeed-wi8px Год назад
Mm nawaambia Akiachia ngoma Rapcha Khaligraph atajua hajui ila wa2 awampi promo
@silageorge1638
@silageorge1638 Год назад
Mtoto wa Timmy kwa mimba sawa ila kwa rap OG
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Omollo amerudi studio to make his momma proud 😂😂😂
@hassansela1393
@hassansela1393 Год назад
Octopizzo chenye anaeza shinda OG nkuvaa nakusuka nywele tu😂😂😂😂😂
@antoniledama5611
@antoniledama5611 Год назад
kwani wewe ni mtoto wa cbc your thinking capacity is lower than your ball
@hassansela1393
@hassansela1393 Год назад
Kuna rapper wa Tz ashawai chukua award ya best rapper ya African sababu OG alichukua so mkae mtulie
@nyunyaboy9523
@nyunyaboy9523 Год назад
Asa Kam ndo kachukua tuzo east.. asa mbna yeye ndo anamaneno mengii😂..kuliKo wasio na tuzo
@marrypius576
@marrypius576 Год назад
​@@nyunyaboy9523mwambie😂😂😂😂 maan anamdomo sana
@jofreykabobe
@jofreykabobe Год назад
Kwaiyo unataka kusema mziki wa kenya ni mkubwa kuliko wa Tz? Wendezi kweli
@dennisodote5581
@dennisodote5581 Год назад
Ay ashawai wee naona wa juzi
@hassanswaleh8720
@hassanswaleh8720 Год назад
Watachukua vp tuzo kama wamekuwa waimbaji wa singeli na amapiano
@surusuru1994
@surusuru1994 Год назад
Hapana huyu jamaa anazarau saaan aja wamjibu
@davidkalela8
@davidkalela8 Год назад
Mimi khaligraph ndo nimemjua leo
@gimdatdee1812
@gimdatdee1812 Год назад
PIZZO THE KING
@samirmswahili
@samirmswahili Год назад
Ata Yuzzo mwamba kakaza sana katka dis yake
@bensonpeter4692
@bensonpeter4692 Год назад
JACOB TOA LISAUTI LAKO HILO 🗣
@kukuzambawazambanga
@kukuzambawazambanga Год назад
Wadinyane tumalize beef na kababie kakhalikarosa Hawa wanapendana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@samahakihange6421
@samahakihange6421 Год назад
Siwapendi hawa wakenye wana roho mbaya sana hawana upendo wanapenda vita vita tuu wapuuzi hawa😊
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys Год назад
Usituchukie jamani,sisi wote ni binadamu vita iko dunia nzima,hii ni kuchangamsha game,hakuna inchi zinapenda kama🇰🇪🇹🇿
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys Год назад
Mbona Wakenya tunawasuport nyimbo zenu,Acha presha dada tupendane kama AFRICANS ❤
@isaacamani145
@isaacamani145 Год назад
Mpuuzi mwenyewe With this ndio wengi wataamka. Acha kubeba mambo personal nkt!
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k Год назад
Rosa nakupenda ila huwezi kua mm w omolo wakati kingereza n sheng umekipata uku 🇰🇪wewe ni moto w omolo alafu huyo mtoto wku ni mjukuu w omolo 😂🤣😆 ila nimependa haina makasiriko
@allycruzz3991
@allycruzz3991 Год назад
English is a way of Life Tz😂😂 wake up stop those Amapiano those doesn’t belong to you guys munawekaa South Africa juu jamaaa 😂😂😂😂 crazy things
@Wilsonquotex
@Wilsonquotex Год назад
Rosaa ree kameimba sheng tu apo fanya kiswahali chenu sanifu tukuskie😂
@salimmbarouk6007
@salimmbarouk6007 Год назад
Inaumaeee😂😂
@dfixmoblab
@dfixmoblab Год назад
Tumeamua kutembelea flow yenu ili mtuelewe vizuri😂😂😂😂😂
@salimmbarouk6007
@salimmbarouk6007 Год назад
Nabado hujasema yani mpaka yas😆😆😆mee
Далее
Rosa Ree - MAMA OMOLLO (Official Video)
3:08
Просмотров 976 тыс.
1 Subscriber = 1 Penny
00:17
Просмотров 55 млн
Rosa Ree Feat. Mbogi Genje - Awuoh (Official Video)
3:58
ROSA REE STRIKES BACK AT KHALIGRAPH JONES
7:32
Просмотров 60 тыс.
Ibraah - Mapenzi (Official Music Video)
3:23
Просмотров 2,6 млн
1 Subscriber = 1 Penny
00:17
Просмотров 55 млн