Тёмный
No video :(

Best Naso Ft Nay Wa Mitego - Hellena (Official Video) 

Mr Nay
Подписаться 624 тыс.
Просмотров 2 млн
50% 1

Tazama wimbo mpya wa kushirikiana BEST NASO na MR NAY (NAY WA MITEGO) - HELLENA ulioongozwa na Director Deo Abel.
Mfuate kwenye mitandao ya kijamii.
/ bestnasotz
/ naytrueboytz

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@Dee-mb9jn
@Dee-mb9jn 6 лет назад
Yaani 254 hamjafika hapa???????kama mko like tukijibambanga
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 6 лет назад
Baada ya ALIKIBA ni best naso Nyimbo kali hiii gonga like twende wanaMUSOMA tumewakilishwa vzr na NASSO
@robertmmugi3814
@robertmmugi3814 4 года назад
napenda goma zake mm
@adamlovderulojoseph7995
@adamlovderulojoseph7995 4 года назад
hatar musoma moja io
@jacksonsabana9953
@jacksonsabana9953 4 года назад
Kabisa nyimbo za kuish hz sema jamaa anaga bahati
@bensondaud513
@bensondaud513 3 года назад
Kama Mimi tuuuuuuu😂😂😂😂😂
@jonaselias7729
@jonaselias7729 6 лет назад
nampenda kwanzia mtoto best Naso umeuaaaaaaaaaa Ila angeimba MTU mmoja hapa Tanzania ungevumaaaa Ila kwakua kaimba Naso wala mtajifanya hamuekewi....
@khadijakhadija6547
@khadijakhadija6547 6 лет назад
Jonas Elias hhhhhhh umeonaee tatizo hawajui vitu vizurii
@muimipeter2944
@muimipeter2944 6 лет назад
Namkubqli sana naso ft true boy kama uko +254 gonga like
@princeaspenace1450
@princeaspenace1450 6 лет назад
Kuna kitu #Ney kafanya hapa,, na wasanii wengine wakifanya hv bongo fleva haitakuwa ya watu fulani tu. Kama umeelewa gonga like
@danielswalala5357
@danielswalala5357 6 лет назад
we best noma uwa nakukubar sana kza broo lazma paeleweke big up sana
@hasinasadan8195
@hasinasadan8195 6 лет назад
LAZARO KAMBA kweli
@winluckmassawe6217
@winluckmassawe6217 6 лет назад
LAZARO KAMBA p
@aminaamin9885
@aminaamin9885 6 лет назад
Saf
@eliasmsabi689
@eliasmsabi689 6 лет назад
👌
@wamburaogunya2251
@wamburaogunya2251 6 лет назад
mtoto wa mara wana mara mko wap like hapa twende sawa
@mbisorashidi8176
@mbisorashidi8176 6 лет назад
Tupo
@athumanmsauzi1565
@athumanmsauzi1565 6 лет назад
umeuaaaa ney broo
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 6 лет назад
Tupoooooooooo
@frankjully5457
@frankjully5457 6 лет назад
tupo
@jamesraphael2205
@jamesraphael2205 6 лет назад
Ogunya Tv achaaaa umara wewe just support kama sisi mara mtampaa nini just Toa support umeboa
@shimitamukandama3130
@shimitamukandama3130 4 года назад
Sherehe TWA jivunia Tanzania na nyimbo zetu wa Tanzania mko wapi nipe like Hapo chini
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 6 лет назад
my best Nasso yani we ni nouma kuliko baba yaga
@pearltz
@pearltz 6 лет назад
weeeeeee kitu hicho no hatarrrr. naso tulikumic ciku nyingi
@jamesmoses5625
@jamesmoses5625 6 лет назад
kama umengalia hii ngoma zaidi ya mara mbili gonga like
@PatsonIkula
@PatsonIkula 6 лет назад
liked
@hasinasadan8195
@hasinasadan8195 6 лет назад
James Moses good
@sajoniyohana9200
@sajoniyohana9200 6 лет назад
kila siku nasikiliza
@mashamwiga6188
@mashamwiga6188 6 лет назад
the nice song
@mariamkaburu7468
@mariamkaburu7468 6 лет назад
Cartoons
@basamtz8674
@basamtz8674 6 лет назад
Kama umeiludia mala nyingi like apa💥💥💥💥💥💥💥
@alibilali396
@alibilali396 6 лет назад
Zr
@giventimothy1042
@giventimothy1042 6 лет назад
Basam Tv nasso nakuku baki sana
@ajiliabdalah5246
@ajiliabdalah5246 6 лет назад
ngoma iko vizur sana best naso
@mwahijamkwinda3041
@mwahijamkwinda3041 6 лет назад
Nece
@nuryamussa7367
@nuryamussa7367 5 лет назад
Siomchezo chukuchuku
@glendadequeen8070
@glendadequeen8070 2 года назад
My favorite song 💓💓💓💓 yaaani nangoja ile siku bae atarudi Kenya 🇰🇪nieke huu wimbo..eti akasema tukutane Kenya, weekend turudi Mombasa..😌😌💞💞💞
@idayakey6886
@idayakey6886 6 лет назад
best naso upo kalibu mofayaaa iko juuuu
@aishaabdj8913
@aishaabdj8913 5 лет назад
toka nianze kukufahamu nakupenda sana na nyimbo zako
@mwanahawarutona7582
@mwanahawarutona7582 6 лет назад
Dahh nmeipenda hii rumbaa......nl mith kumckia best naso yule wa miaka hioo.....hapa sasa ndo umerudi vzr bg up💞
@marcomwaimu3979
@marcomwaimu3979 6 лет назад
Bonge la ngoma big up Best Naso na Nay
@japharimandalafamily6868
@japharimandalafamily6868 6 лет назад
Good song my brother kama unamkubali best nasso
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
Video kali nzur mnasemaj wadau.
@doricaszephania9632
@doricaszephania9632 6 лет назад
mkali wenu original please subscribe iko bombaa
@dannysharma5109
@dannysharma5109 6 лет назад
nay wamitengonapendanimujuwe
@edwingwesso129
@edwingwesso129 5 лет назад
Sanaaaaaa
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 6 лет назад
dude kaliiiiiiii
@KK-wf9fz
@KK-wf9fz 6 лет назад
Daaaah ipo vizur sana
@Nickojunior
@Nickojunior 6 лет назад
Number 1 here 🤗 hakuna mshindani 🤝 gonga like kama umeikubali ngoma hii👍🏿
@evervisent4692
@evervisent4692 5 лет назад
duuuuuuuh hatali hi ngoma imebamba San kitaa mmeitendea haki kaka zangu!!
@jildow4533
@jildow4533 6 лет назад
Mungu akubaliki Mkubwa @Nay kwa kuikubali collabo hii na Mkubwa Best Naso. Najua kuna baadhi ya wasanii wamekuja na vitu tofauti kwa ajili ya kuwapoteza wengine. Big up to you ma Brothers.
@judithnyagawa4197
@judithnyagawa4197 6 лет назад
Jamanii jamaniiii nyie huyu mkakaa m mwenzenu namuelewa kuliko maelezo Kama na w unamuelewa baba Helena embu twende sawa
@lukakaumatiku8350
@lukakaumatiku8350 4 года назад
Judith Nyagawa nawe unamwndo Wa malingo??
@amospetro9528
@amospetro9528 4 года назад
@@lukakaumatiku8350 b
@maltears
@maltears 4 года назад
mi nasikiliza mara kumi kwa siku tena hapo kwa helena kamuimba dada angu
@halfanshemwanza72
@halfanshemwanza72 3 года назад
Best naso twenty pasent wacheni Hawa jamas
@chipokah1288
@chipokah1288 6 лет назад
Ngoma Kali sana pia nasso ana sauti fulan iviiii ila duh! tatizo nyota mungu akufungulie milango yako.like kwake jamaniiiiii!
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 лет назад
Asante Mr nay kwa Kumrudisha Kwenye Gemu huyu Jamaaa 🙌🙌🙌
@chene6184
@chene6184 5 лет назад
nasema
@samwelthomas6939
@samwelthomas6939 5 лет назад
Prince Wa Wazigua TZ nice
@janetcharles4991
@janetcharles4991 6 лет назад
woyooooooooooooo,,,we love you nasooooo,,,gonga like kama unamkubal naso
@damianlucas5345
@damianlucas5345 6 лет назад
Mnakosea sana mnao sema Naso kaludi hakuwahi toa ngoma ikawa kimeo nyie semeni tu ukwel midia zetu zimejaa rushwa na majungu km usipo kubal kuwatumikia hupewi saport hata uwe unajua na ukapewa max zote na malaika wa Mungu
@errymtanga4492
@errymtanga4492 6 лет назад
Ni motooooo!
@tunguizengo5996
@tunguizengo5996 6 лет назад
wa pili kutizama like ngoma Kali 👏👏👏
@kinjeathuman2350
@kinjeathuman2350 6 лет назад
Nasso naona kaanza muzik sasa, huu ndo muzik alitakiwa kuimba
@dicksonnoel1900
@dicksonnoel1900 6 лет назад
Imekaa poa safi sana
@francewimbe1824
@francewimbe1824 5 лет назад
Hehehehehe we balaa
@jumaigoti3666
@jumaigoti3666 6 лет назад
sichoki kuingalia hii ngoma best naso nakukubari miaka yote
@princeuzieri4548
@princeuzieri4548 6 лет назад
Ngoma imekubalika hii like from best naso ft ney kama unawakubali gonga like ndugu
@josephthobias2056
@josephthobias2056 6 лет назад
hapa ndo jamaa ananikoshaga best maso huko very
@paschalmaengela1304
@paschalmaengela1304 6 лет назад
Nibonge langoma
@braisonmbata8109
@braisonmbata8109 6 лет назад
ngoma nzuri best nasso unajua
@makondapius7873
@makondapius7873 6 лет назад
Beka
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 6 лет назад
Iko poa sana
@josephswai5822
@josephswai5822 6 лет назад
Kwanza napenda kukushukuru nay kwa kumpa sapoti best naso enderea ivyo ivyo big up sana wazanaki tunaweza by matonge musoma moja
@gadielshedrack499
@gadielshedrack499 6 лет назад
joseph swai noma xana
@damianlucas5345
@damianlucas5345 6 лет назад
joseph swai ....mzee hii co nzur sana kwa kuchangia kwa kabila
@magoriwambura4439
@magoriwambura4439 6 лет назад
Damian Lucas mbaba sion kama ni vizr xana kuchangia hoja ktk social kwa kuzungmzia kabila!!! Japo ndyo uwezo wko wa kufklia cwez kukupnga xana!!!
@magoriwambura4439
@magoriwambura4439 6 лет назад
Damian Lucas mbaba sion kama ni vizr xana kuchangia hoja ktk social kwa kuzungmzia kabila!!! Japo ndyo uwezo wko wa kufklia cwez kukupnga xana!!!
@heribwana7846
@heribwana7846 6 лет назад
namkubali ney wamitego kiukweli jaman
@thearrowbandchanel1298
@thearrowbandchanel1298 6 лет назад
Yeah ngoma nzuri sana vp manasemaje bas kila mtu aweke neno apo Alie ikubali
@aishamohamed9868
@aishamohamed9868 6 лет назад
Nakupenda sana best nasso mungu akuzidishie kipaji chako ufke mbali
@charlesgmwinuka6269
@charlesgmwinuka6269 6 лет назад
Bestnasoo Hapo umepoint Collabo na Mr.ney, #kizazisana
@likimaro6
@likimaro6 6 лет назад
Best Nasso na Mr Nay i am your number one fan. Wimbo mzuri sana
@dillisalum2384
@dillisalum2384 6 лет назад
Kawimbo kanabembeleza kinoma,nimekapenda asee
@jafariosujack7183
@jafariosujack7183 6 лет назад
Nasso umeuwaa
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
Ngoma nzur like zote hap.
@mohamedlugongo330
@mohamedlugongo330 6 лет назад
atari
@braymhewa693
@braymhewa693 6 лет назад
mkali wenu original please subscribe nakubali sana mkaliii
@giftjuliass6002
@giftjuliass6002 6 лет назад
Safiiiiiiiiiiii naso
@stanislastv3786
@stanislastv3786 6 лет назад
Best nasso we love you so much my broooooooo like for him my nasso
@rashid4real197
@rashid4real197 6 лет назад
Bonge la video
@paulojonathan5437
@paulojonathan5437 6 лет назад
Habari Zote Tv bessa
@eliusmaduhu2102
@eliusmaduhu2102 6 лет назад
Tusua naso
@abdulhafidh724
@abdulhafidh724 6 лет назад
Habari Zote Tv iko poa
@abdulhafidh724
@abdulhafidh724 6 лет назад
Habari Zote Tv
@enockkitomarys4909
@enockkitomarys4909 6 лет назад
kitu Helena saut ya kinanda....... bonge la song
@juniormadini124
@juniormadini124 6 лет назад
Ngoma Kali naso na mzee baba mmekuja kivingine
@badboy2577
@badboy2577 6 лет назад
Kali sana Kaka Nay mchukue best naso awe chini ya Free Nation
@gasperseverin4038
@gasperseverin4038 6 лет назад
Penda sana best nasoni... Penda Wewe nyimbo zako... Nazpenda sana
@allympili6704
@allympili6704 6 лет назад
GASPER Severin ngoma Kaliisana best naso sasa tunaanza kumfaham apambane azid kufanya kolabo
@kaymokskevins
@kaymokskevins 6 лет назад
Haiya huyo Helena anakaa mkenya tu...Nice hit there...
@alexmwita9837
@alexmwita9837 6 лет назад
kaz nzuri sana aisee mtoto wa MARA umejitahid like hapa kwa best nasso twend sawa
@justiceromanusmlyuka7611
@justiceromanusmlyuka7611 6 лет назад
Jamaaaa namkubali sanaaaa, nimefurahi kaka umerudi tena kwa game big up bongo la ngomaaaaaa🤗🤗🤗
@gintezcabayser
@gintezcabayser 6 лет назад
Bonge LA hit!!! Hii ndio tuna sema sio bora mziki Ila mziki bora ...big up best Naso ...Nay umeuwa hii
@jamesraphael2205
@jamesraphael2205 6 лет назад
love you boi sanaaaa pray to the God never give up afuu piga kityuu Na Bell 9
@sisihaogroup1538
@sisihaogroup1538 6 лет назад
namkubali sana naso kama naww unamkubali gonga like hapa
@elizabethathuman724
@elizabethathuman724 6 лет назад
nakupenda buree best naso ulipotea sana
@nasraissa8716
@nasraissa8716 6 лет назад
Kama unaikubali gonga like 👇
@Lucas-ek7li
@Lucas-ek7li 6 лет назад
Nasra Issa Nasra
@johnvenasa.k.awazamansana8025
@johnvenasa.k.awazamansana8025 6 лет назад
Iko poa sana
@aaaaaah290
@aaaaaah290 6 лет назад
Nasra Issa SAWA SAWA
@barakajoseph6510
@barakajoseph6510 6 лет назад
Unaimba vzr best but badirisha studio you are going to be liplutnumz
@selemanjuma1782
@selemanjuma1782 6 лет назад
Nasra Issa aje
@sillaskelly6135
@sillaskelly6135 6 лет назад
kijana best nasso karudi na nguvu zote mambo ni hviiiiii 🔥 🔥
@georgesanga965
@georgesanga965 6 лет назад
Penda Sana Hii Ngoma. Best Naso Piga Ngoma Kama Hizi.
@abdulkadirnare9558
@abdulkadirnare9558 6 лет назад
Nakubal best naso pamoja na true boy ney wamitego
@asumwisyemwajeka8126
@asumwisyemwajeka8126 5 лет назад
Naipenda sana hii ngoma
@peterkimwaga8725
@peterkimwaga8725 6 лет назад
Ney ni 🔥🔥🔥
@danielolewavii7908
@danielolewavii7908 5 лет назад
philipo
@luteking
@luteking 6 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥 nakubarii
@DianaNasimiyu-df2ht
@DianaNasimiyu-df2ht 3 месяца назад
Kama unaamini hii ngomq ni kali❤❤ kwa mara ingine unaionabaada ya miaka mitano 2024 tafadhali usipite bila like
@alexplatnum4762
@alexplatnum4762 6 лет назад
best naso x ney wa mitego haka kaNGOMA #kizazi sana
@annautenga9136
@annautenga9136 6 лет назад
nakukubaly sana best nasso cjui kwann
@majidmangara1617
@majidmangara1617 5 лет назад
À 💻💻💻📲😘🔓💻💵……🔓 A🔓💵🍏♥🍏♥📲📠😘💻💻
@antonmwaila8183
@antonmwaila8183 6 лет назад
Safii sana kaka ngoma nzurii
@pendomassawe2854
@pendomassawe2854 6 лет назад
Hata hivo haukoseiagi naso nakupenda bure
@johnvenasa.k.awazamansana8025
@johnvenasa.k.awazamansana8025 6 лет назад
Kaja on fuer nas iko poa sana kama unaungana Na Mimi weka like yako hapa japo kdg
@movie_zone254
@movie_zone254 6 лет назад
Wakenya leteni izo likes zenu hapa muache ujinga
@neemamghanga384
@neemamghanga384 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂
@princekaartik5754
@princekaartik5754 6 лет назад
Buda ukona ufala 😹
@labanijr5195
@labanijr5195 6 лет назад
Ken tezy 😂😂😂😂
@roseshiombo1450
@roseshiombo1450 6 лет назад
Dogo Ndio hizooooooo
@Dee-mb9jn
@Dee-mb9jn 6 лет назад
😂😂😂😂Tumeacha
@josimo7083
@josimo7083 6 лет назад
Nay and Nasso kazi nzur sana mabroooo
@kitatakitata8678
@kitatakitata8678 6 лет назад
Best nass #handsome Boi cna km #Mimi daah move kali Imepangwa cna saloot Jambazi zng
@kitatakitata8678
@kitatakitata8678 6 лет назад
duuh Best nass amelud Km Unamkubali Best nass Gonga #LIKE hp Bila kumuonea Jamaa anajuwa
@dominicuschavallah3773
@dominicuschavallah3773 6 лет назад
Kama umekubari Ngoma Gonga like To Show Love%%
@abdulnyerere
@abdulnyerere 6 лет назад
Fireeeeeeer mr turch
@Steve-gk3gz
@Steve-gk3gz 6 лет назад
Ngoma ni 🔥🔥🔥 balaaa sijui kwanini views hazijafika M
@thomsonmarwa1770
@thomsonmarwa1770 6 лет назад
Duh bro best naso big up kwa ngoma kal uloimba we noma nakukubali sana king
@verohgershom61
@verohgershom61 6 лет назад
Ngoma kali kinomaaaa nakukubar sana Best naso na ney Like kwao
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 6 лет назад
Yaaani Msanii halisi Kama nasso hapo bongo hamna 👏👏👏👏👏💪😂
@brunobaragomwa5611
@brunobaragomwa5611 6 лет назад
Iko poa sana ,, big up to you all,, mmefanya vizuri
@isackisack6703
@isackisack6703 6 лет назад
ahaaa uyuujamaa anaimbaa wewe ngoma kali iyooo wee
@rahimajuma688
@rahimajuma688 6 лет назад
dah best nasso kaka uko vizuri braza nay mpe saport ndugu yako video nzuri sn yani kila mtu ataicheza 🙋🙋
@maksipalachu1372
@maksipalachu1372 5 лет назад
Rahima Juma uko vzr
@ramahasanip3642
@ramahasanip3642 5 лет назад
naso ameweza kupiga hatua kwa kusimamia kaz yake
@mussamzonge2657
@mussamzonge2657 5 лет назад
Wazee kwa vijana.. Inachezeka.. Rahima unajua nyimbo..halafu hizi hata kwa liveband ..inakubali..
@salimdesash
@salimdesash 6 лет назад
best naso Toka kitambo huniangushi... hii ngoma ni 🔥🔥🔥ney kaitendea haki zaidi....
@Mjingafaki
@Mjingafaki 6 лет назад
Baba hujawahi imba vizur iv toka uzaliwe hongerA sana bro
@ysupacha7259
@ysupacha7259 6 лет назад
brother we ni noouuuuma hujawahi kuniangusha hata kidogo hili ni bonge la ngomaaaaaaa
@kingkiwango1435
@kingkiwango1435 6 лет назад
Alaa kumbe mnaweza kutunga mashair mazur paxpo matusi na wimbo ukabamba??asante balaza la sanaa wizara na tcra kwa kaz mnayoifaya sasa namwona nay nlompenda cku ya kwanza anaanza kutoka... Yan cye mashabk sio kwamba mkiimba bla matus et ngoma hatuikubal noo cye tunapenda wimbo ambao hata ukpga akat mkwe yupo inakua poa sio unaplay huku remote umeweka kdole kwe FF ama next
@muddymwakatika8659
@muddymwakatika8659 6 лет назад
best nasso nakujua toka kwa tuma ringa.
@frenkjastin2843
@frenkjastin2843 5 лет назад
Ebwana eeeh ngoma umeipanga na imepangika mpaka raha kuitazama mzee baba big up sana kwa mzee nay
@romwaldoamsi2783
@romwaldoamsi2783 6 лет назад
Great voice in the world wide. Gonga like kama tupo pamokooh ngom fireee Sana'a
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 Год назад
We're going into 2023 and the song is still on fire 🔥🔥
@minzajoji7196
@minzajoji7196 5 лет назад
Mung alijuwa kukubaliki kakupa Langi uzur ulef Saut kipaji Mung akuinuwe zaid nakupenda dugu yang njia moja unaniacha lamadi unaedelea na safali kwann nisikukubali
@laurentmakande8268
@laurentmakande8268 6 лет назад
Ngoma kali Sana, hongera sana Best naso
@ommytrueboykimwaga7129
@ommytrueboykimwaga7129 6 лет назад
Huu ndo muda wa mziki mzuri bless up boss#MrNay
@ramadhaniathumanimlenge6641
@ramadhaniathumanimlenge6641 6 лет назад
Hongera ney umemleta best nasso kwa wajanja
@saidmandet8955
@saidmandet8955 6 лет назад
Cute
@hashimumutegomutego142
@hashimumutegomutego142 6 лет назад
namkukubali sana ney wamitego
@bressing8juma755
@bressing8juma755 6 лет назад
hongelasan neiwamitego umetisha
@joshuasadyoya2490
@joshuasadyoya2490 5 лет назад
Anajitahid
@josephphalesi4985
@josephphalesi4985 4 года назад
Xanaaaaaa
@princeallykitambonomaasana1761
Ney umemrudisha jembe kazini hapo ndio msani wa ukweli uliemsainisha sina mashaka nae hongera sana bonge ya hit
@elimasydywaivy7801
@elimasydywaivy7801 5 лет назад
Wau best nasso nalike ur ngoma sana kaa hiyo hellena waaaaaaaa😍😍😍😍😍😍😍🤗inachoma kuchoma bana😍😍😘😘😘
@isayathadayo6509
@isayathadayo6509 6 лет назад
Dah kaka zang nawakukubal sana kaka ney muwezeshe kaka best naso ngoma zake nazikubal
@augustinepaul8739
@augustinepaul8739 6 лет назад
My best song right now gonga fire kama umeilewa
@manjaruujr6504
@manjaruujr6504 6 лет назад
Nasoo huu ndo mziki sasa karibi kwenye dunia ya wapambanaji
@Frankmwesiga
@Frankmwesiga 6 лет назад
Nyimbo Nzuri sana
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 лет назад
Oyoooooooooooll atimeya imefika noma sana wcb mnamuona besti naso
@ezzytz6381
@ezzytz6381 6 лет назад
best nasso hujawah kuniangusha mzee baba,mm fan wako wa ukwel mzee
@barakamasige3852
@barakamasige3852 4 года назад
Wale WA msoma tujuane kwa like
@nurusdachoirkibondo5656
@nurusdachoirkibondo5656 6 лет назад
imetisha
@issaamiri104
@issaamiri104 6 лет назад
saluti kwako mr nay ngoma kalii Sana umefanya poa Sana kumchukua best naso safii sanaaa
Далее
Best Naso FT Gigy Money  -  UTABAMBA
2:52
Просмотров 2,1 млн
D voice-Umenifunza Cover by Jay Katz (lyrics video)
3:34
Construction site video BEST.99
01:00
Просмотров 331 тыс.
Nay Wa Mitego  -  Bachela ( Official Music Video )
3:42
Best Naso - Hadija (Official Video)
4:34
Просмотров 176 тыс.
Best Naso - Fahari (Official Video)
4:39
Просмотров 129 тыс.
Nay Wa Mitego - Hunijui (Official Music Video)
2:51
Просмотров 1,8 млн
Tunda Man Mama Kijacho Official Music Video HD
4:13
Просмотров 2,1 млн
Nay wa Mitego - Alisema  (Official Video)
3:29
Просмотров 2,3 млн
Beka Flavour - Kibenten (Official Video)
3:13
Просмотров 3,4 млн
Construction site video BEST.99
01:00
Просмотров 331 тыс.