Тёмный
No video :(

Rostam - Kaolewa (Official Video) ft Riyama Ally, Atan, Magic 

VIVAROMA
Подписаться 613 тыс.
Просмотров 3,9 млн
50% 1

Rostam (ROMA & STAMINA) - Kaolewa featuring Atan, Magic, Riyama Ally.
Audio produced by Bea (Killi Records),
Video directed by NiCKLASS in Dar Es Salaam, Tanzania.
ALL RIGHTS RESERVED.
Now You Know ► • KHALIGRAPH JONES x ROS...
Kibamia ► • Video
HIvi Ama Vile ► • Rostam (Roma & Stamin...
Zimbabwe ► • Roma - Zimbabwe [Offic...

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3,1 тыс.   
@OfficialJoel07
@OfficialJoel07 4 месяца назад
Kama upo 2024 tujuane bc 🙏🏿
@kapolesyaba3133
@kapolesyaba3133 5 лет назад
Rostam are very creative.... Dondosha like nying hapa kwaajili yao, twende sawa
@omaryhusseinlibenanga6134
@omaryhusseinlibenanga6134 5 лет назад
Muna gan yule baba wawili km umesikia icho kipande like kwa kas
@gastonmbarila7302
@gastonmbarila7302 5 лет назад
Aise nimekusoma
@leahjoram7693
@leahjoram7693 5 лет назад
AHAAAA NIMEPASIKIA
@husseinmfinanga1542
@husseinmfinanga1542 5 лет назад
Mwajuma anaonekana fundi
@anatorychongolo7459
@anatorychongolo7459 5 лет назад
unabinyabinya nyanya unanunua bilinganya
@jamaltz1780
@jamaltz1780 5 лет назад
A
@mukakathejoker6504
@mukakathejoker6504 4 года назад
Wee una wivu au umetumwa.......alivunja ndoa ya baba. Bwana tufinye Cha mtume haya mengine hayatuhusu. #those are my words nikifika kwa wedding
@lashymreal6555
@lashymreal6555 5 лет назад
Ndoa yenu Rostam idumu milele msitengane mna balaa hatari we love you frm +254
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
Daah hawa jamaa nitabu
@amosmsigwa9862
@amosmsigwa9862 5 лет назад
Kama naiona itakavosumbua kwenye harusi za uswaz🏃
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
Hahaha hahaha sana tu umejuaje
@mariamchikoko5498
@mariamchikoko5498 5 лет назад
nashindwa hata cha kuandika mm nawakubali sana rostam like twende sawa
@chaudryramos7397
@chaudryramos7397 5 лет назад
Nawakilisha +254, Namba one fan Wa ROSTAM...
@fikikenya1745
@fikikenya1745 4 года назад
Number one nimimi
@PIGANGOMA
@PIGANGOMA 5 лет назад
Mmesababisha nimekoswa kugongwa na gari! Muwe mnatuambia kama video hii tazama ukiwa home au kitaa! Thanks ngoma imetulia na itasumbua sana mtaani.
@mbussotv5056
@mbussotv5056 5 лет назад
Walio rudia kuangalia zaidi ya Mara 100, kama Mimi gonga like twende sawa #kaolewa
@goodlucknaseer6660
@goodlucknaseer6660 5 лет назад
mbusso Tv ggrt
@mbussotv5056
@mbussotv5056 5 лет назад
Goodluck Naseer Big up sir goodluck
@brownjustin2924
@brownjustin2924 5 лет назад
Je wajua unaweza ingiza Tsh 150000.kila mwisho wa mwezi bila kuathiri shughuli zako za kila siku 🙄🙄🙄🙄. Maisha yamebadilika tena sana huitaji kutumia nguvu ni akili tu.🎉🎉🎉 Phoneforex ni wafanyabishara wa ubadilishaji wa fedha za kigeni kupitia soko la mtandao .wanakupa fursa ya kuwekeza kwa kianzio kidogo cha Tsh 300000. Na mwisho wa mwezi utapata 50% ya kiasi ulichowekeza mfano:Tsh 300000 utapata Tsh 150000 kila mwezi kwa mwaka mzima. Unaanzaje kukosa wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi simu no. +255673785944
@leahkisendi1965
@leahkisendi1965 5 лет назад
Mimi nimeangalia mara2000
@Salima-ws1ze
@Salima-ws1ze 5 лет назад
noma sana
@maggiechege2523
@maggiechege2523 Год назад
Am from Kenya bt I am in love with this music
@justinkb6693
@justinkb6693 3 года назад
+61 from Australia 🇦🇺 ziko wapi like zangu jamani
@geofreykupenda2147
@geofreykupenda2147 5 лет назад
Hii mara ya 12 naiangalia video ya kaolewa yani sihamini km mwajuma yuleeee 👉💃mcharuko kaolewa 👫💚 daaaah! 🙆 ngoja nifinye tu mchele
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
😀😂😂😀😀😂😀mwajuma nchokonoe
@geofreykupenda2147
@geofreykupenda2147 5 лет назад
@@amiriramadhan7753 😀😀😀
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
@@geofreykupenda2147 noma na nusu hili song Mzee baba 😀😀😂😂😀😂😀
@macmax7767
@macmax7767 5 лет назад
Daaaaah Mamae kutukana si tabia kwangu lakini Wasenge nyie MNAJUA SANA... By Far hawa ndio wasanii bora sana kwasasa Tanzania. Wanachagua CONTENT na kuichambua kiufundia kwa lugha ya Muziki. Parapanda still ni FIRE Mara Paap kuna HII. Asanteni. Gonga Like hapa kwa ROSTAM na NICKLAS
@PIGANGOMA
@PIGANGOMA 5 лет назад
Safi sana madogo wametisha mbayaaaaa!
@MwalughaBura
@MwalughaBura 5 лет назад
Sio Bora Tanzania pekee natoka Kenya na nawakubali Rostam
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
@@MwalughaBura hawa majamaa ni homa ya jiji
@tadeygerphas8885
@tadeygerphas8885 5 лет назад
noma sana
@swahiliuniverse9328
@swahiliuniverse9328 5 лет назад
hatari sana kama unawakubali hawa jamaa gonga like. kwa filamu za bongo nifuate ziko filamu kibao
@meshackpastory3880
@meshackpastory3880 5 лет назад
mh
@aidonchiuter2959
@aidonchiuter2959 5 лет назад
sio pouh ..wanajua
@swalehcassim2439
@swalehcassim2439 5 лет назад
Swahili Universe - Latest Bongo Movies strong
@mwitaantony8400
@mwitaantony8400 5 лет назад
noma sana
@baboubelarminoghamboa4871
@baboubelarminoghamboa4871 5 лет назад
Safi xana.kumbe wema kaolewa
@runiemzungu9495
@runiemzungu9495 5 лет назад
Fatuma enyewe kaolewa? acha nikalewe mie.....nimalize kreti....dope dope piece of artisan there....kudos to this guys.
@christophajaphet2291
@christophajaphet2291 5 лет назад
Muna gani yule baba wawili. ...... Like hapa
@fetyjoseph8203
@fetyjoseph8203 5 лет назад
😂😂nimecheka
@khadijaabdallah7991
@khadijaabdallah7991 5 лет назад
😂😂😂😂😂nimechekaa hatariii muna
@munamuna414
@munamuna414 5 лет назад
Jamani wametisha muna baba wawili
@dissartv4806
@dissartv4806 5 лет назад
Oyaa kama Kuna mwana kairudia mara kazaa,, like mwana twende sawa
@aliomi4525
@aliomi4525 5 лет назад
poa
@annabulele4896
@annabulele4896 5 лет назад
asee hv kucomment RU-vid hadi unaomba like ? LOL ,,kama MTU anakubaliana na mawazo uloandika atakusupport tu CIO had uombe ugongewe like...This is too much wabongo wenzangu # justpeaceofinfomation....nice song
@earthm0ney
@earthm0ney 5 лет назад
'bhana tufinye cha mtume hayo mengine hayatuhusu' patam hapo 👌
@dennicjude
@dennicjude 5 лет назад
From USA 🇺🇸 Aiseee bonge la ngoma ndo nimeamka nalo hivi Weka like yako hapa kama umewaelewa ROSTAM
@polycarpmunishi2775
@polycarpmunishi2775 5 лет назад
Denis VEVO Can you find me on whatsapp via +255 715 033
@DIweni
@DIweni 5 лет назад
Kama kuna kicheche kitaan kwako,weka like tumwombee aolewe kama mwajuma.
@jumakuambiana7710
@jumakuambiana7710 5 лет назад
Kiukwel hawajamaa wkovzur
@justinmandela2845
@justinmandela2845 5 лет назад
Kila mtu anataka like kama nyie ndio Rostam,🤗🤗
@whitneyrobbin2763
@whitneyrobbin2763 5 лет назад
Jamn huu wimbo sichoki kuuangalia kweli mzurii big up ROSTAM
@mcdadedady7777
@mcdadedady7777 5 лет назад
kilasiku napata like moja tu,,Leo nioneeni huluma nipate like nyingi nyingi
@lefrakibuu2301
@lefrakibuu2301 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣
@ashuradaniel161
@ashuradaniel161 5 лет назад
john demedhwy
@josephselestin3698
@josephselestin3698 5 лет назад
Pooollllll
@hamadiaweso1250
@hamadiaweso1250 5 лет назад
Znakusaidia nn? 😆😆😆😆😆😆
@fababindawood8363
@fababindawood8363 5 лет назад
Oyaaaakazeni buti kiba asiikamte namba 2 leo twenden tuangalien mara nyingiiiiiii
@mathiaswambua7643
@mathiaswambua7643 5 лет назад
Ila Ndoa Bwana kama utani bwana Una minya Minya Nyanya Halafu Unanunua Bilinganya.#Mwajuma Kaolewaaaa Aiseeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥Hamfai Kabisa ROstamu
@samwelsimon9138
@samwelsimon9138 5 лет назад
ngoma kali balaa
@kinawari9944
@kinawari9944 5 лет назад
Kama umesikia sauti ya mwanaume ANAMEREMETA wap like zangu
@harningtoneochieng2719
@harningtoneochieng2719 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@Madamlizzytz
@Madamlizzytz 5 лет назад
Kama umeipenda saut ya Riyama Ally gonga like hp
@irmgardsamia1827
@irmgardsamia1827 5 лет назад
Kimewaka Tena ROSTAM💥💥💥..GONGA LIKES
@millenmlay526
@millenmlay526 5 лет назад
Haaahaaaaa Tishasana rostam
@frankkanyatuka8598
@frankkanyatuka8598 5 лет назад
Irmgard samia
@irmgardsamia1827
@irmgardsamia1827 5 лет назад
@@frankkanyatuka8598 vipi mzee
@issamohamed9199
@issamohamed9199 5 лет назад
Kama unaamini na wewe watu watakuja kujiuliza kama hivi siku ya ndoa yako Gonga like hapa 🤗🤗
@issasaidiprince8354
@issasaidiprince8354 4 года назад
Isa Mohamed Amina
@stevenbinery
@stevenbinery Год назад
Hee
@jeimypierce9408
@jeimypierce9408 5 лет назад
narudia hii ngoma kila siku, kali sana ROSTAM represinting kenyans weka like yako hapa...
@selestinomasasa8043
@selestinomasasa8043 3 года назад
From 🇲🇼Malawi,,,I personally like the song though I don't even understand the language,,,,keep it up legend
@abibumlotwa2722
@abibumlotwa2722 5 лет назад
Mnaosoma comment uku mnaangalia nyimbo acheni like zenu apa tupo pamja,
@aishajankaa3273
@aishajankaa3273 5 лет назад
😂😂
@devidichangula3867
@devidichangula3867 5 лет назад
Good
@dottobarid2338
@dottobarid2338 5 лет назад
Saf sana
@barytz5977
@barytz5977 5 лет назад
Kama umerudi kuangali hii ngoma acha #like
@florianjovenary8850
@florianjovenary8850 5 лет назад
bary Tz htri sans
@barytz5977
@barytz5977 5 лет назад
Omg
@AmCool_
@AmCool_ 5 лет назад
Huu wimbo walikuwa wamshirikishe TundaMan kwenye Chorus asee ingebamba sana .... 🔥🔥🔥
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 5 лет назад
Nan mwingne kapenda ile sehemu Roma anasukumwa mlangoni, hapo wameicheza reality sana, 0:59
@meronstudioz
@meronstudioz 5 лет назад
Watufungie tena na Huku🔥🔥🔥 Ba-sa-ta Mwajuma ndo kashaolewa ex wenu huyoo😂😂😂🙊🙊🙊
@edreezybaybz7885
@edreezybaybz7885 5 лет назад
ROSTAM 🔥🔥🔥pia mimi 🇰🇪 nawapa miaka mia nane mtadumu watashangaa
@barnabasjosephu8578
@barnabasjosephu8578 5 лет назад
Number one on trending, ngoma kali sana na ubunifu mkubwa sana "" ""ROSTAM 🔥🔥🔥🔥🔥
@wilsonmcs3369
@wilsonmcs3369 5 лет назад
Tarumbeta zimepigwa vizuri saana Hongera kwa rihama Rostam NA Hugo jamaa Wa Anamelemetaaa
@husseinyogopen8751
@husseinyogopen8751 5 лет назад
Tangia ROSTAM ianze kila ngoma watakayo iachia lazma ishike NO#1 on trending..
@stevensimbeya2548
@stevensimbeya2548 5 лет назад
Rostam mungu awape maisha malefu ili tuzidi kupata burudani kama hizi ngoma iko poa sana asanten kwa kazi nzuri weka lke zako hapo rostam
@malkiawafizi2394
@malkiawafizi2394 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣ongereni ngoma nzuri sana nimeipenda sana 😍😍😍😍😍😍asiye ipenda hii ngoma ni zombi.tunaitaji ngoma kama hizo.siyo za mapenzi
@magrethmkumbo2069
@magrethmkumbo2069 5 лет назад
Yaan huu wimbo naupenda mpaka sio poa viva roma, viva rastom mpaka 2030
@mgayamgaya
@mgayamgaya 5 лет назад
Kama umepapenda pa "Si bora angemuoa Muna" Fanya kugonga like afu tukutane baSata
@shabansalum162
@shabansalum162 5 лет назад
Muna gani yule wa baba wawili
@mgayamgaya
@mgayamgaya 5 лет назад
Jamaa wamechora
@yoram_5838
@yoram_5838 5 лет назад
BABUKA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we chizi
@habbievara9934
@habbievara9934 5 лет назад
Kama unakubalian na mim kuwa hiii ngom unaweza kuombea mkopo benki pia ina tibu tez dume gong like tujuane
@fabiankasu8138
@fabiankasu8138 5 лет назад
Habil Saidi Hahahaaaa!dah!
@habbievara9934
@habbievara9934 5 лет назад
Hmn bana
@yohanamaugila743
@yohanamaugila743 5 лет назад
Hahahahahahababahaaaa
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
😂😂😂😂😀😀😀😂😀😂we jamaa nishida
@raphaelmsigwq7562
@raphaelmsigwq7562 5 лет назад
Nice
@Dimzmediake
@Dimzmediake 2 года назад
this guys are really talented one love from Nairobi kenya
@bajunbajun4278
@bajunbajun4278 5 лет назад
Team Rostam kwa xana shabiki wa ukweli from mombasa fire
@kifarusongeaolg9726
@kifarusongeaolg9726 5 лет назад
🙌🙌🙌🙌🙌mmetisha rostam sasa ukisha like hapa arafu comment kwasauti kubwa kwamba #ANAMEREMETA 🔥🔥🔥🔥🏃🏃🏃
@privinusdecroshan135
@privinusdecroshan135 5 лет назад
Team rostam dondosha like from USA lov Tanzania
@majidmajid8009
@majidmajid8009 5 лет назад
guysssssss, ROSTAM mmekill it wakuu, TURN UP, all the from MALAYSIA
@user-zp9ui7ys7b
@user-zp9ui7ys7b 4 месяца назад
Ukweli nakubali''' funzo iloo '''burundi Bujumbura tunakubali Roma sana 🎉🎉🎉🎉
@felixjessejuniour5224
@felixjessejuniour5224 5 лет назад
congrats wazee mnajua kwenda na trend za midondoko inayokamata vibe za raia....hii ni hit song!
@wasajo
@wasajo 5 лет назад
Nyie jamaa kwa marapper wote bongo nyinyi ndo the best rapper mnaokwenda na wakati , congrats to you
@eddynando2522
@eddynando2522 5 лет назад
umeonaeeee
@shebankenya4913
@shebankenya4913 5 лет назад
Tufinye cha mtume,hayo mengine hayatuhusu😅,nawakubali xanaa majita.
@octanelyrics284
@octanelyrics284 5 лет назад
Staminah ana wivu sana katika wimbo huu... lakini wimbo mtamu kama kawaida... super duo....R♡ST☆M
@barakalonare1164
@barakalonare1164 5 лет назад
Xijawah kujuta kuwa shabiki wa rostam gonga like Kama una wakubali
@princeuzieri4548
@princeuzieri4548 5 лет назад
Ngoma Qaaali saana kama unamkubali hiyo roma star gonga like
@adelinahsangah1049
@adelinahsangah1049 5 лет назад
Duu sigara nawasha mbele na nyuma haatareeee rostam keep it up
@kashambanange6843
@kashambanange6843 5 лет назад
Huuuuuwi nimerudia² mpaka Naona aibu..... Duh the bst song.... I like it 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@majirani7157
@majirani7157 5 лет назад
Uchumi huku kwetu kenya umetulemea lakini kwa mapenzi ya duo kubwa east Africa rostam lazima tuwakilishe...nipo kisumu kenya
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 лет назад
Pamoja man mimi niko Mombasa TZ home land
@shuubebz5585
@shuubebz5585 5 лет назад
Nipo Mombasa upo nyonyo,nipo titi hahaha
@markosamuel6490
@markosamuel6490 5 лет назад
idea za hawa rostam unakuwa hujazitarajia kabisaaaa
@mariamukajiru1898
@mariamukajiru1898 5 лет назад
Aaahaa yaani nikihitaji kuvunja mbavu naangalia tu hii video, nimeipenda sana mana Mwajuma kapinda balaa.
@happyelibarick5625
@happyelibarick5625 5 лет назад
Wew una wivu au umetumwa. Aliyesikia hayo maneno twende sawa
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 5 лет назад
Wapo wangapi wanaoangalia huku wanasoma comments kama mimi Gonga like tujuane #Kaolewa
@richardwalesi5913
@richardwalesi5913 5 лет назад
Misalaba Charles tupooopo
@marynon6033
@marynon6033 5 лет назад
Misalaba Charles mimi hapa 😂😂😂😂😂😂
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 5 лет назад
@@richardwalesi5913 nakuona kamanda tuko pamoja
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 5 лет назад
@@marynon6033 hahahahaaaa tupo wengi kumbe 😂😂😂😂😂😂
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 5 лет назад
Daah nimeikubali hii ngoma kaolewa
@jacksonkilagalila6045
@jacksonkilagalila6045 5 лет назад
Kama unamkubal rostam gonga like hapo kaolewa na nimekikubal hk kipande'''upo nyonyo npo titi,,,
@aishahamismabugmashaalluh3255
@aishahamismabugmashaalluh3255 5 лет назад
Mabus yote yao
@judidhmosha7995
@judidhmosha7995 5 лет назад
Jackson Kilagalila ngoma iko powaa sana awajamaa wametisha
@jacksonkilagalila6045
@jacksonkilagalila6045 5 лет назад
@@judidhmosha7995 sanaaaa
@finderboy3758
@finderboy3758 3 года назад
Bana tufinye cha mtume hayo mengine hajatuhusu😁😁😁😁🔥🔥🔥Rostan for life
@tausihasheem5051
@tausihasheem5051 3 года назад
Bwana tufinye cha mtume mengine hayatuhusu 🔥🔥
@kbjuomaly8466
@kbjuomaly8466 5 лет назад
Simuamini mwajuma hata km leoo kaolewa😍😍 nampa wiki tu talaka lazima atapewa...... 😈 Like km umepnd hyoo
@teddymeela2791
@teddymeela2791 5 лет назад
Hlo dongo nn
@kbjuomaly8466
@kbjuomaly8466 5 лет назад
Nahis mt wng
@bettynaluguhwa322
@bettynaluguhwa322 5 лет назад
Safiiiiiiiiiiiiii nmeikubaliiiiii hiiii ngoma umetisha cnaaaaa rostam
@estersule8972
@estersule8972 5 лет назад
Iddy kali
@wilsonwizzo2483
@wilsonwizzo2483 5 лет назад
😁😁😁😁😁 upo nyonyo Nipo titi Rostam nyie kuma mnatisha mamakhe
@aishaawadhi3021
@aishaawadhi3021 5 лет назад
Hahaha
@raphaelally2365
@raphaelally2365 5 лет назад
Wanangu ROSTAM mnajua mpaka mnaboa hiv kwa nn msingezaliwa mbele kama unawapenda rostam gonga like kwa sanaa🙌👍👍👍👍
@juliusmatalotv5996
@juliusmatalotv5996 5 лет назад
Tangia nakomenti napata like 0 jamani huluma nioneeni liki BA's KWA iman
@ramilegendestedi2211
@ramilegendestedi2211 5 лет назад
Bana tufinye cha mtume Hayo mengine hayatuhusu
@sakinapili8299
@sakinapili8299 5 лет назад
Ymt Forever hahahahaha haki nimecheka kwa sauti
@mango.jayzo.
@mango.jayzo. 5 лет назад
tunaoangaliaa huku tunasoma comment like apaa
@emmanuelyonazan8764
@emmanuelyonazan8764 5 лет назад
Woooooza tunapga chabo mpka comment sitaki like ya mtu Kama unakubarka ngoma hii sema kaolewa
@faithyfrank3242
@faithyfrank3242 5 лет назад
Hahaahahha
@ummun8763
@ummun8763 5 лет назад
@@faithyfrank3242 ☺☺
@adoniahosea2203
@adoniahosea2203 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@imanuelfelex6449
@imanuelfelex6449 5 лет назад
Oyooo
@queenseptember4640
@queenseptember4640 5 лет назад
Nimeusikiliza huu wimbo naona kabisa kaimbiwa Wema Sepetu, ROSTAM mmetisha sio kwa Fasihi hii.
@carolinewangui7846
@carolinewangui7846 5 лет назад
The funniest music video ever..you guys came up with a very creative concept. Whenever am feeling low I just watch it n laugh my ribs out.
@mzeebaba1386
@mzeebaba1386 5 лет назад
🔥hapo nimewakubali Amjawai kosea #Kama umeikubali Gonga #like twende sawa
@judithmaziku4525
@judithmaziku4525 5 лет назад
mzee baba umetisha
@judithmaziku4525
@judithmaziku4525 5 лет назад
Jaman tupunguzie doz
@islamsadiki3590
@islamsadiki3590 5 лет назад
mzee baba.
@jamillaongasiawetiko6044
@jamillaongasiawetiko6044 5 лет назад
Waaaaa😂😂😂😂😂😂 Kali ya mwaka🙌🙌🙌
@ishinasitanzania
@ishinasitanzania 4 года назад
Alierudi hapa baada ya Roma kufikir na kusema kwenye interview kuwa labda ndoa ya stamina imevunjika kwa ajili ya laana ya mwajuma walivyomsema saana, tujuane kwa like
@selinapaul2529
@selinapaul2529 5 лет назад
Wimbo umekuwa mzuri zaidi kwangu kwa kuwepo na sauti ya da Riiii
@epifaniamponda5676
@epifaniamponda5676 5 лет назад
kiukweli nimewapenda bureeee wachanisikilize mashairi tu maswala yakusoma comments hayanihusu 😂😂😂😂😂😂👌👌😂😂😂🔥🔥🔥🔥
@richardsweya231
@richardsweya231 5 лет назад
Si kila mwanamke unayemuona ni chombo cha starehe. wengine ni ufunguo wa mafanikio yako. 😟😟😟
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 года назад
Umenfurahsha
@elimokozimunuo9845
@elimokozimunuo9845 5 лет назад
Noma sana ngoma nimeielewa Mungu awasaidie mtoe kali zaidi ya heii
@rauhiyanyange1335
@rauhiyanyange1335 5 лет назад
Nimeipenda bureeee nyie makaka hamjawahi kosea hongereni nawapenda pia na mm mwakani nitaolewa
@mtumishihewa805
@mtumishihewa805 5 лет назад
kama umeangalia hii video zaidi ya mara mbili gonga #like....
@gloriagabriel8027
@gloriagabriel8027 5 лет назад
Huez amin mm Mara 7
@emxsimba294
@emxsimba294 5 лет назад
%
@yohanamaugila743
@yohanamaugila743 5 лет назад
Mimi nahisi imefika mara 20
@antonykipilipili9603
@antonykipilipili9603 5 лет назад
mtumishi hewa #fireeee
@mtumishihewa805
@mtumishihewa805 5 лет назад
@@gloriagabriel8027 fireee firee
@sizyasb9002
@sizyasb9002 5 лет назад
Sigara nyota unawasha nyuma au mbele kama umesikia huu mstari like twende sawa
@allymohd2123
@allymohd2123 5 лет назад
Si mlimchamba bibi kharuc sasa mbn mnacheza kwaito
@marcelojunr6849
@marcelojunr6849 5 лет назад
sizya sb 😂😂😂
@hopemasawe5049
@hopemasawe5049 5 лет назад
sizya sb nowmaaaa
@Roy-ns2ly
@Roy-ns2ly 5 лет назад
sizya wepesi wa akili nakubali....Hahahaha
@hopemasawe5049
@hopemasawe5049 5 лет назад
Roy Saidi sanaaa jmn
@magehkihwele8274
@magehkihwele8274 5 лет назад
ROSTAM😘 Unaminya minya nyanya wakat una nunua mbilinganya😂😂😂🏃🏃🏃
@hamdanimbish6688
@hamdanimbish6688 5 лет назад
daaaaahh hii ngoma nmeicheck kwa kuirudiarudia kama mara tatu,,,daaaaahhh ngoma sana,,,,kaolewa😁😁😁😁ila Nisha ni noma
@rajabmapui8678
@rajabmapui8678 5 лет назад
uxhauri wangu kwa wanachuo ukiomba mkopo weka na hii ngoma kama dhamana mkopo haukosi kabisaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
@sikujuadee3031
@sikujuadee3031 5 лет назад
😂😂😂😂😂au sio
@rajabmapui8678
@rajabmapui8678 5 лет назад
ndio maaana yake
@almatrashid1812
@almatrashid1812 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂 huna akili
@rajabmapui8678
@rajabmapui8678 5 лет назад
Almat Rashid 😂😂😂😂😂😂😂 kweli aisee
@iddmalya248
@iddmalya248 5 лет назад
Hahaha hatariiiiiii kmmk ngoma ni kali kisengee
@genovevawinga9471
@genovevawinga9471 5 лет назад
daaa mmekuja kivingi ila kivingine hiyo ni nooooooooma , mmetisha Rostam nawakubali na napenda mziki wenu pia💪💪💪
@batulemwamwaja6524
@batulemwamwaja6524 5 лет назад
alivunja Ndoa ya Baba sembuse uyo kapuku. leteni like zenu hapa
@elidabavo2282
@elidabavo2282 5 лет назад
Hahahaha
@elidabavo2282
@elidabavo2282 5 лет назад
Tufinye cha mtume hayo mengine hayawahusu
@mustafahaji2145
@mustafahaji2145 5 лет назад
Kama unawakubari rostamu kama mm gomga like hapa twende sawa
@Baba-mawazo12
@Baba-mawazo12 5 лет назад
Rostam tuko juuuuuuu sana big up my team
@enobyeederaider5662
@enobyeederaider5662 5 лет назад
Nyie jamaa mnajua adiih mnaboa #rostam @kaolewa 👍
@dutchballaka3422
@dutchballaka3422 5 лет назад
Unabinyabinya nyanya unanunua bilnganya.... Nawakuba vibaya ROSTAM
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 лет назад
nicklass moja ya kazi yake nimeielewa sana.,nimependa muunganisho wa matukio + sauti yaani ni 👌🏿👍🏿 #GGSanaaTZ🇹🇿💪🏿🇹🇿
@vitalesmgenge6984
@vitalesmgenge6984 5 лет назад
Jamaa hana shida na chamtume anapiga ulabu, kweli fulu komed, watanga mpo? 🔥🔥🔥🔥
@christinahenry405
@christinahenry405 5 лет назад
Tupo nyonyoo😂😂
@husnamlela1743
@husnamlela1743 5 лет назад
Najua hujachanga ila usiogope cheza mziki
@aishawoooiii2777
@aishawoooiii2777 5 лет назад
Tuuupooooo
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 5 лет назад
Usije kushangaa kesho wanaitajika basata 😂😂sijui rostam wana damu ya kunguni na basata 😁😁
@ethansapili5038
@ethansapili5038 5 лет назад
hahahahaaaahahahaaa
@calvinsanford9496
@calvinsanford9496 5 лет назад
Asia Zuberi Tufinye cha mtume ayo mengne achana nayo😂😂😂
@fredrickmbagala6270
@fredrickmbagala6270 5 лет назад
uxhasema
@albywamandalinho
@albywamandalinho 5 лет назад
hahahah umetisha sana Zuberi
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 5 лет назад
Hapa hawawezi kuitwa basata washaachana na siasa tatizo walikazania sana kutunga nyimbo za mambo ya siasa wakati kumbe kuna nyimbo nyingi tu kama hii waliotoa leo bonge la ngoma Ninauhakika ngoma hii leo leo itakua trending namba1 bongo na itawaingizia mtonyo mrefu
@olepusindawamiagie1092
@olepusindawamiagie1092 5 лет назад
hawa majamaa wasije wakaachana ktk sanaa maana hatutowaelewa tena mazeee
@michaelndutudeleli9564
@michaelndutudeleli9564 5 лет назад
Wametsha sana hawa jamaaa. Kama kwer wewe n I mwajuma itakufaaa sanaaa? Anameremeta
@rastotona9834
@rastotona9834 5 лет назад
Ole Pusindawa Miagie 👨
@taniahsasha3811
@taniahsasha3811 4 года назад
Riyama kapatia pamoja na uyo mlevi
@yusuphally5133
@yusuphally5133 11 месяцев назад
Unyama bado tunaishi zuena za juzi Tupa kule Sijui mmakonde tupa kule gonga like kam bado unaukubali unyama wa rostam
Далее
Rostam - Kaka Tuchati [Official Music Video]
5:00
ROMA ft. Story - 2030 (Official Music Video)
7:05
Просмотров 1,7 млн
NCHI YA AHADI KALA JEREMIAH ft ROMA (official video)
4:47
ROMA FT ABIUD - nipe maua yangu .  official video.
7:00
Rostam Ft Ben Pol  -  Sifa (Official  Video )
3:37
Просмотров 1,7 млн
Nacha x Stamina - Jua Lile (Official Music Video)
4:58
KHALIGRAPH JONES x ROSTAM - NOW YOU KNOW
4:08
Просмотров 3,1 млн
STAMINA Feat MAUA SAMA - LOVE ME (Official Video)
3:31