Тёмный

RUTO AMEAPA KUPELEKA JESHI MAANDAMANO YA ALHAMISI HATAKI KUJIUZULU 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@CoudraOmari
@CoudraOmari 3 месяца назад
Mwalim Congo imepata mushezakarata muzuri sana tena sana boss muku président kiseked
@AbubakarKassim-lj3cl
@AbubakarKassim-lj3cl 3 месяца назад
Mungu wangu saidiya Gen z na uwalinde . Naomba mungu wangu utu saidiye kuondowa huu utawala wa ruto . RUTO MUST GO insha'Allah Amiin 🤲🤲🤲
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 3 месяца назад
Jeshi la kulinda inchi yeye anataka lilinde cheo🤣🤣🤣🤣🤣
@thabitsalim7914
@thabitsalim7914 3 месяца назад
Kenyan Zelenzsk must go
@KandidaMtitu
@KandidaMtitu 3 месяца назад
Afrika yangu tu hoi taabani... Tatizo viongozi wetu wanashirikiana sana na maadui zetu kuliko kuliko kushirikiana na wananchi wake... Kwenya wanateswa na na mfumo wa kibepali. Naiona tz nayo miaka michache ijayo itatumbukia katika hali kama hii. "#matutu"
@mansakan9719
@mansakan9719 3 месяца назад
Nimekuelewa sana hapo kwenye Makaratasi,
@imammwangauri9326
@imammwangauri9326 3 месяца назад
Huyu jamaa ameshindwa nauongozi ajielewi
@mwamudmohamed5566
@mwamudmohamed5566 3 месяца назад
shida yetu kenya si kuwa tunakataa kulipa ushuru ..shida yetu ni hiyo pesa serikali ikishakusanya hatuoni inafanyiwa nn ya kumsaidia mwanainchi....wanakusanya kisha wanaiba ndio shida yetu
@hbdina
@hbdina 3 месяца назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Tanzania tukome kuwapa maliasili zetu wanaojiita wawekezaji,wazawa hasa vizazi vyetu watakuwa tabaka la mwisho kama South Africa.Viongozi wenye utashi na maono chanya ni muhimu sana
@KandidaMtitu
@KandidaMtitu 3 месяца назад
Itapita miongo kama si karne kupata tena viongozi wenye utashi na maono.
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 3 месяца назад
Kumbe sababu nikusipo kopeshwa tena hela , ndo sababu matozo yanakua juu!???
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 3 месяца назад
Ndiooo
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 месяца назад
Ruto must go. Wakenya wa mechoka nae huyu kibaraka wa mabepari.
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 2 месяца назад
Sawa kabisa mpok.. haya ndo mambo ambayo tanzania inatikiwa tujifunze.. kila kitu tunawapa wagen..sasa pesa tutapataje? Kama kila kitu tunampa mgen
@JustineWangi-j2t
@JustineWangi-j2t 3 месяца назад
Ruto hafai hafai nipo pamoja na ndugu zangu wakenya na nyinyi wanajeshi wa kenya waacheni wananchi wadai haki zao za msingi ndio mabosi wenu hao mnalipwa mishahara kwa kodi zao sio hela za ruto izo uyo zakayo tu mnaemsikiliza anaishi kwaodi za wakenya acheni ujinga.
@hbdina
@hbdina 3 месяца назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 ninawasiwasi huyu America anaitumia Kenya na Rwanda kuipeleleza Africa Mashariki haha kuleta matatizo kama ya wakimbizi ndio maana Africa hatutaungana kamwe sio karibuni
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 3 месяца назад
Kkkkkkkkk
@uwimana6533
@uwimana6533 3 месяца назад
Wazungu wanapenda kumtumia mtuasojitambua , Tanzania na uganda iwemakini sana najirani zao
@nicksonmusa3457
@nicksonmusa3457 3 месяца назад
Hayoo ndo mambo yakujadiliii
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 3 месяца назад
Kumbe ndo hivyo!? Siri za kenya zimefichuka!!!!!
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 3 месяца назад
Ruto ameamua kudanganya wanaichi kwakuzuga eti hata weka sign huo mswada, wakati katiba yaichi ina sema iwapo raisi ruto ata kosakuweka sign hio finenc bill iki pita siku 21 auto matical ina kua sheria bila ata kuwekwa sign naraisi, wakenya wengi wana ona kama wana chezewa mzecho wanyuma geuka😊😊
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 3 месяца назад
Nakubali sana mpoki
@musanike3079
@musanike3079 3 месяца назад
Hao sio Jeshi wa Kenya ni Polisi wa Utawala (Administration Police)
@YaseerNuraiz
@YaseerNuraiz 3 месяца назад
Oya muda mwengine munakera sjui nani anazungumza apo emu kuwen watu wazma sie wapemba uku kwetu tunakufatilieni sana
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 3 месяца назад
Kwani. Umeitwa kwa , channel,hii, suhamee,
@MonicaRaila-tn5rb
@MonicaRaila-tn5rb 3 месяца назад
Mungu tukombuwe njo umchukuwe ruto ana tuteza Sana amenunuwa wabunge sasa wabunge wetu tulio wa Wapigia kura wakuwa mungu Watu wanaona wanchi kama Kinyezi wabunge wanakiburi Wanadharau majibu machafu Sababu wanaiba Hela za kodi Wagawana ruto sisi tukiteza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SamuelFemmy
@SamuelFemmy 3 месяца назад
Munapenda sana kuchukua pesa za ulaya kisha munasema mutapeleka askari kongo juu waibe mandini ya kongo 😅😅😅😅kisha munasaulika kama kongo ayiko ile yazamani 😅ivi kongo niawazaledo kwasasa akuna kuchua tena mandini😂 kisha izo deni mulichua ulaya 😅ivi sasa munahaza ndaiwa 😅munahaza toza wanainch sasa kondi
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 3 месяца назад
Ni kam tanzania tu wameingia kweny mtego w wazungu wamekopa chakulipa hawana wanaengez makodi tu na kutuletea ushoga yaan hio TRA itkuwa kheri ikiunguzwa moto
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 3 месяца назад
Ruto Nipigon LA mungu achunguze utawala wake je upo sahii
@BenikikoYacob-u1b
@BenikikoYacob-u1b 3 месяца назад
Mpoki Leo wameingia ikulu fiatilia utujuze
@PekeKayumbe
@PekeKayumbe 3 месяца назад
Mwalim nauliza swali kwann Ichi yetu Kodi zimekuwa nyigi Sana nn tatizo 😢😢😢😢😢
@alexmwanioti6390
@alexmwanioti6390 3 месяца назад
Tatizo manyang'au wanawaweka mafisadi madarakani ili waibe na kurudi kukopa na wazidi kuwa tegemezi sio RUTO tu hii ni tatizo la Afrika yote
@NshimirimanaSeleman-u5y
@NshimirimanaSeleman-u5y 3 месяца назад
Hawa vibaraka wa mabeberu nyakati zao zimeisha wanatakiwa kung'olewa madarakani haraka iwezekanavyo
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 месяца назад
God bless putin ni mkombozi wetu.
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 3 месяца назад
Atajiuzuru tyu ,mda ,si,mrefu
@BakariOmari-tr8cy
@BakariOmari-tr8cy 3 месяца назад
Tuna wapata vizur
@KandidaMtitu
@KandidaMtitu 3 месяца назад
Ananitafakalisha sana Ndg. Mpoki...
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 3 месяца назад
Ruto ni kama zeleiskis ni vibaraka
@CoudraOmari
@CoudraOmari 3 месяца назад
Mwalim twambiye kuhusu Rwanda naye gisi wakowanaliya,panabaki Uganda nawo
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 месяца назад
Ruto kayakanyaga
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 3 месяца назад
Kama misukule😂😂😂😂
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb 3 месяца назад
Pesa wanachezea hawazitumii vizuri. wamejiwekea ma ofisi haziko kwa katiba ubdhirifu wa FINACE BILL ya mwaka Jana hatujui pesa zilifanyiwa nini
@alexmwanioti6390
@alexmwanioti6390 3 месяца назад
Kaka about his ni mifumo ya kibepali wanaweka madarakani mafisadi ili ili waendelee kukopa na kuishia kuwa tegemezi
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 месяца назад
Sasa sisi watanzania tunajifunza nini kutoka kwa wakenya?au sie kazi yetu uchawa,kusifu,kusema mamaa,mamaa,yaani watanzania kwetu kuna mambo ya hovyo mno,ila kazi kusema ya wenzetu
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 3 месяца назад
Alafu mpoki wewe😂 kama misukule
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb 3 месяца назад
Bunge limetekwa nyara halishuulikii maslahi ya mwananchi
@hamadimziraymziray-ry4vi
@hamadimziraymziray-ry4vi 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@AlexKimani-jt6pe
@AlexKimani-jt6pe 3 месяца назад
Taxes from cancer treatment
@champion-dz6kr
@champion-dz6kr 3 месяца назад
M😂
@issakhalid1098
@issakhalid1098 3 месяца назад
Tatizo la viongozi wa afrika niwanafiki wakati anaomba kura ana ahidi kuwaletea maandeleo amepata badala yakuwaletea alicho ahidi wananchi anawakandamiza
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 месяца назад
Uko nyuma sna ya mtandao raisi amesema amefuta Finance bill 2024 so kesho akuna kitu ata sain pia akuna maandamano demonstration 😅😅😅😅
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 3 месяца назад
Ruto ameamua kudanganya wanaichi kwakuzuga eti hata weka sign huo mswada, wakati katiba yaichi ina sema iwapo raisi ruto ata kosakuweka sign hio finenc bill iki pita siku 21 auto matical ina kua sheria bila ata kuwekwa sign naraisi, wakenya wengi wana ona kama wana chezewa mzecho wanyuma geuka😊😊
Далее
How Many Twins Can You Spot?
00:17
Просмотров 23 млн
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56
The Science Hat Podcast
38:01
Просмотров 3,5 тыс.
How Many Twins Can You Spot?
00:17
Просмотров 23 млн