Тёмный
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться
CONTACT US +255 787 694 242 OR EMAIL US moseskaleba@gmail.com

Комментарии
@selelilumambo2157
@selelilumambo2157 Час назад
hivi wewe mwl isaya.. nikuulize kitu , askofu gwajima ni baba yako wa kindugu au mjomba mbn mnafanana hadi kuongea😂
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 4 часа назад
Wote hovyo tu hao manyang'au hawafai
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 5 часов назад
Safi mwalimu 💚
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 5 часов назад
Mjnga niww na mamahako fala ww
@HabasuFamily
@HabasuFamily 5 часов назад
Kila kitu mnasingizia waislamu kwa ujinga wenu wa kugombea madaraka na kuikashifu dini wkt watu weupe ndio magaidi wakubwa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 5 часов назад
Bado ufaransa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 5 часов назад
Uk wana njaa sasaivi hawaelewani
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 5 часов назад
Nayakumbuka maneno yenu aisee mpo sahihi
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of 6 часов назад
Magufuli namba 2
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 6 часов назад
Unavyoongelea Yemen au lrag resistance au Hamas au hisbala unaongelea lran
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 6 часов назад
Safi mwalimu 💚
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 6 часов назад
Tumechoka na ukora na ufisadi wa ruto na mtu pepo wa urongo. Anadanganya kila usiku na mchana. Sasa lazima aende na kuenda ataenda
@jkifutu7936
@jkifutu7936 7 часов назад
Oraaaaaaaa Russia 🇷🇺
@MusaJastini-po8hm
@MusaJastini-po8hm 8 часов назад
Nimemkumbuka maguful😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@lucassimon9026
@lucassimon9026 8 часов назад
Viongozi Wendi waafrica ni vibaraka wanatamaa za Mali kuliko uzalendo wa nchizao ila hawa jamaaa Mungu awalinde
@MusaJastini-po8hm
@MusaJastini-po8hm 8 часов назад
Uyu kijana asilimia kubwa kafa Sio kwamalungu aya
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 часов назад
Afrika hatuna viongozi aisee kwa mambo haya wacha tuuawe tu
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 часов назад
Ndo maana mke wake alisepa. Alishindwa kuvumilia ushetani wake
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 9 часов назад
Viongozi wa afrika😅
@georgeogwele6044
@georgeogwele6044 9 часов назад
Broo nimekupa nakufuatilia Sana Kila jambo putini Kenya putini Kila Kona putini naona Sasa unatudanganya uchambuzi wako
@georgeogwele6044
@georgeogwele6044 9 часов назад
Broo nimekupa nakufuatilia Sana Kila jambo putini Kenya putini Kila Kona putini naona Sasa unatudanganya uchambuzi wako
@NshimirimanaSylvain
@NshimirimanaSylvain 11 часов назад
Mwalimu nakubali sana .wambieni
@kessyathuman8095
@kessyathuman8095 12 часов назад
Bill Gate ilitakiwa awawe, sababu yeye ni muuaji,
@Kelvin-sd9gb
@Kelvin-sd9gb 12 часов назад
Ruto ajitasimini sana ktk uongoz wake
@KADALAtv255
@KADALAtv255 13 часов назад
Washindwe kwa jina la Yesu,. Tunamuombea sana IBRAHIM TRAORE HUYU NI MAGUFULI WETU MUNGU AMLINDE,🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@evvyyurek1862
@evvyyurek1862 13 часов назад
Mimi mtanzania nasapoti pia aendelee madarakani
@chancesholdan342
@chancesholdan342 13 часов назад
Wazungu ni wa kuwakatama na kuwananiliu tu😂
@gideongiga3382
@gideongiga3382 14 часов назад
Ubarikiwe
@user-hd8vi1cu7q
@user-hd8vi1cu7q 14 часов назад
watu ya mangaribi niwalozi ya African
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 15 часов назад
Tunaomba aje kwetu tutamlaki kwa kishindo.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 16 часов назад
Waafrica huwa tunajifunza nini nchi yako lakini kuna mijitu unaona wewe sio MTU unahaki ya kuishi kuendesha nchi yako na tuna viongozi vibaraka wa hawa maghalibi lakini ni watu wanatamani waafrica wote wangekufa ndio mawazo Yao jinsi gani kuangamiza Kwa Aina yoyote lakini wakisha shiba na mitumbo mikubwa wanajiona ni madalali wa madini ya Africa hawafikili jamii zao wapate technology
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 16 часов назад
Sio mahindi tu hata mapapai huku bongo yapo makubwa kama fenesi na baadhi vibosile wanayalima hayana hata ladha.ndio maana kansa moyo ,figo na kisukari Tanzania vimezidi kushamiri.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 8 часов назад
Kina kikwete wanahospitali za moyo hamna shida
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 16 часов назад
Mimi nikisia huyu jamaa amepanda ndege yake ikaanguka akafa ,au akafa kwa namna yoyote ile nimeapa kutoa sadaka yangu najua wapi nitaitoa.
@maase2023
@maase2023 18 часов назад
Huyu kama alivoingia kwa mabavu na yy ataondolewa kwa mabavu tu!
@SoudShuraim
@SoudShuraim 18 часов назад
Putin mpe ulinzi Ibrahim kwa kumpelekea makomqndoo
@user-py3mz6xd2t
@user-py3mz6xd2t 18 часов назад
Katika viongozi mwenyehakili afica huyo mwamba pia anauchungu kukosa maalifa kwaviongozi naona wengi wapo kmya mana uwelewa wao wakufikili mudogo pia wapo kwenyekanuni ya manyawau kazi yao kutesa wanyonge nakudili vitu havina tija nikunyanyasa raia kwanafasi tulizo wapatia
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 18 часов назад
Mwamba uyu baada y Gaddafi uyu hapa sasa
@KASSIMMHILU-oh5ch
@KASSIMMHILU-oh5ch 18 часов назад
Yani hawaishi😀wakipunguza Mwanaarakati mmoja tunazaliwa Mia moja
@DevyMtanza-fc2nn
@DevyMtanza-fc2nn 19 часов назад
Africa kwasasa inanoga dhu!
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 19 часов назад
Wengine waliobaki ni blue print za Tinubu.
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q 19 часов назад
Mzalendo wakweli uyo🎉🎉
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 19 часов назад
Baadhi ya viongozi wengi wana elimu tu lakini akili hawana lakini hao wakina Ibrahim Troure na wenzake mungu amewapa vyote ndio maana wamejitambua kwamba wao ni waafrika.mungu awape baraka
@FatnaMfinanga
@FatnaMfinanga 20 часов назад
Ibrahim twaore asee nikiongozi Bora afrika nikiongozi mwenye fikra yakukombowa afrika twaore nyota yafrika nitata ya afrika akili nyingi umriwake tofauti nautaongoziwake hakika akilinyingi tumuombee sana kwamungu azidi kumweka ulinzi❤❤❤❤
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 21 час назад
Nawapenda sana, ninacho jiuliza baada ya wao wanakiandaa kizazi kitakacho pita mapito yao?
@manmanonline6394
@manmanonline6394 21 час назад
God bless them❤❤❤❤❤
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 21 час назад
Upuuz tu
@oscarmwambwelwa7208
@oscarmwambwelwa7208 21 час назад
Ngueso WA congo kampa madini yote Putin huko... To isolate Russia ni kitu kigumu sanaaa
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im 22 часа назад
Ibrahim traore safi karibu Tanzania
@cidewashington670
@cidewashington670 23 часа назад
Solidarity with 🇧🇫🤝🇳🇪🤝🇨🇬💪💪💪
@willelia2554
@willelia2554 День назад
Amen
@user-jl9nn5dw9x
@user-jl9nn5dw9x День назад
Nawakubali waaadauuu wangu