Тёмный

Sababu ya Kisayansi inayoifanya Quran kuwa ndio Kitabu Pekee kinachoweza hifadhiwa 

Kalamutz
Подписаться 131 тыс.
Просмотров 4,5 тыс.
50% 1

Maajabu ya Quran

Опубликовано:

 

11 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@user-kn5bv3qj8p
@user-kn5bv3qj8p Месяц назад
Swadakta sheikh wangu , mwalimu wangu,
@a.856
@a.856 Месяц назад
Jazakallah khayran
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Месяц назад
Asante bro
@mwinyimashaka5758
@mwinyimashaka5758 Месяц назад
Mansha Allah
@yusuphomari569
@yusuphomari569 Месяц назад
Mashaalah
@user-pb2zf7zj7k
@user-pb2zf7zj7k Месяц назад
❤❤❤ Allah Akbar
@ShamimHassan-qm1et
@ShamimHassan-qm1et Месяц назад
Allahu akbar uislamu ni mzuri alhamdulillah for islam❤❤❤
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Месяц назад
Allah akuhifadhi
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Месяц назад
Allahu-akbar Al-hamdulillah
@twalibmavumba
@twalibmavumba Месяц назад
ALLAHU AKBAR
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu Месяц назад
Allah is great for all people ❤❤❤❤
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Месяц назад
POLENI SANA MAKAFIRI WA KIYAHUDI NA WAKIRISTO. NJOONI KWENYE DINI YA MWENYEZI MUNGU
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Месяц назад
Shuklan sana
@raibashaha8816
@raibashaha8816 Месяц назад
Allahu Akbar
@nehemiaayo9527
@nehemiaayo9527 Месяц назад
Apa nikunadi dini tu ushabiki kila mtu uvutiya kwake kwaiyo unafananisha Mungu na wanasayansi uhuni msiba
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Месяц назад
Hahaaaa😂😂😂
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze Месяц назад
Q.raani nidiyo kila kitu duniyani tena kimepambika aya zake
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Месяц назад
Rapa huelewi kitu usichanganye kahawa na ugolo kwamba vinafanana
@AllyHussein-so1hr
@AllyHussein-so1hr Месяц назад
Stevenmponzi tupe ukweli Nani kaihifadhi bible yote?
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE Месяц назад
Waisilam nikatoto kashetani, kaiisilam kaongo kama nini, koroani imeubwa kabla ya dunia? Silkiliza baba sisi tumekua waisilam, ukitaka kujua angalia vipofu namna anavo kalili jambo lolote sasa ninyi nivipofu wa ufaham wa Mungu mnakililishwa tu mandiko, kibibilia andiko huua nanyie mmekuta tu mandiko mkashika, kwani sule sia amaandiko kibao kichwani mwake je yanamsaidia sihewa.
@abdallahngoe
@abdallahngoe Месяц назад
Nimemueleza mwenzako kukariri ni jambo 1 na uelewa ni kitu kingne kabisa na uelewa ndo umesababisha madhehebu mengi katika dini tofauti si ukristo wala uislamu.. Na uelewa wa sule ndo umemfikisha hapo alipo.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
HAPPY KAMA KUKARIRI NI RAHISI KI HIVYO MBONA HAKUNA MTU YOYOTE DUNIANI ALIYEWAHI KUIKARIRI BIBILIA YOTE?! PIA KAMA INGEKUWA RAHISI KUKARIRI MBONA WEWE UMECHEMKA KUKARIRI MASOMO YOTE DARASANI?! KWENYE HOJA LETE HOJA SIO POROJO ZA CHUKI, MWENZIO KALETA HOJA NA WEWE LETE HOJA. KWA TAARIFA YAKO SAYANSI YA SASA INAYOENDESHA DUNIA ILITOLEWA KWENYE QUR'AN KTK TAFITI MBALIMBALI KUTOKA KWA WANASAYANSI WA ZAMA HIZO KIPINDI CHA DOLA LA MABARA MATATU LA OTTOMAN LILILOTAWALA DUNIA KWA MIAKA ZAIDI YA MIA NANE. DOLA HII NDIYO ILE HISTORIA ZAKE MBALIMBALI AZAM TV HUWA WANAZIONESHA SAA NNE USIKU KUPITIA MOVIE ZAKE MBALIMBALI. MFANO SULTAN, ERTUGRUL, OTTOMAN AU OTHMAN BEY, BARBAROSA, NA SASA NI ALPASLAN. ACHA CHUKI JIFUNZE UELEWE DUNIA IMETOKEA WAPI, IPO WAPI NA INAELEKEA WAPI?! WAZUNGU WALITUDANGANYA SANA WAAFRIKA KUPITIA DINI WAKATUMEZESHA CHUKI ILI KUTUFUMBA AKILI NA WAKATUTIA UPOFU KWA KUHARIBU HISTORIA ZA MABABU ZETU KIASI CHA KUTUAMINISHA MABABU ZETU WALIISHI KAMA MANYANI PORINI NA WAO NDIO WALIOWALETEA USTAARABU WAKAANZA KUJENGA NA KUISHI KTK MAJUMBA JAMBO AMBALO NI UZUSHI NA UONGO KABISA KWANI KUSINGEKUWEPO MAGOFU YA YALIYOJENGWA NA WAZEE WETU KABLA YA WAZUNGU KUWAVAMIA NA KUWAHARIBIA MFUMO WAO WA MAISHA, NENDA KILWA UKAONE MAKASRI YA KALE YALIYOJENGWA NA WAZEE WETU NDIPO UTAKAPOJUA MWAFRIKA ALIISHI VIPI ZAMA HIZO, NA MBAYA ZAIDI HATA NYANI WANADAI ALIKUWA BINADAMU WA KWANZA TOKA AFRIKA HAPA TANZANIA YANI HUU NI UPUUZI MTUPU SISI WANATUITA MANYANI NA WAO NDIYO BINADAMU HALISI. ZINDUKA NA FUMBUA MACHO NDUGU.
@FridayMwassa
@FridayMwassa Месяц назад
Kumbe kisayansi nilidhani kimuujiza
@goblinepoah195
@goblinepoah195 Месяц назад
Mtabeee 💪🏾
@HasanSadala-rh5re
@HasanSadala-rh5re Месяц назад
Allah Akbar
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 Месяц назад
hahah acha uwongo
@user-gk3wz8wb3t
@user-gk3wz8wb3t Месяц назад
Hata ww umeumbwa kupitia mfumo wa Quran na huwez kubisha hata kidogo
@stevenmponzi8168
@stevenmponzi8168 Месяц назад
wadanganaye waislam wenzako hahahahahaha
@stevenfrancismayengo8830
@stevenfrancismayengo8830 Месяц назад
Inakuuma nn
@salimmbwana3385
@salimmbwana3385 Месяц назад
Sawa kikubwa sisi tuna dini yetu na nyinyi mna dini yenu sasa mnakasirika na nn jieleweni basi
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 29 дней назад
Kitabu Cha ukweli ni Quran tu ,kwani injili hakipo tena Kuna bibilia na bibicheka vyote ni feki ni maneno ya mpumbavu paulo
@RapaFata
@RapaFata Месяц назад
Hiyo ndio akili ya kiislam. Haki ya Mungu kweli uislm ni mzigo. Sasa kwa akili za kiislam quran ndio ya kwanza kuahifadhiwa. Someni habari za watu wenye maarifa ya kweli acheni umbumbumbu wa kuwa ndani box moja. Think out of the box. Mnakariri sana ndio mana mtu asipokuwa anajikumbusha abasahau. Hiyo danganya msikitini huku nje utachekwa
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Месяц назад
mwenye afya mbaya ya akili hubisha jambo pasina ushahidi, tungekuelewa kama ungetoa kitabu chochote akilicho hifadhiwa aya kwa aya au neno kwa neno kama ushahidi wako wewe ambaye kwa ujuha wako unajiona uko nje ya box usio unabisha kijaziba na utindio wa ubongo lete kitabu hata HIYO BIBLIA ndio kitabu kinachosomwa pia ulimwenguni tuambie wapi na nani alisha wahi kuhifadhi hata 1/4 ya bible neno kwa neno kituo kwa kituo. kwanza kuna utata mjapani akisoma biblia msukuma hajuwi kinachosomwa
@RapaFata
@RapaFata Месяц назад
@@maftahmusa9513 sisi hatuhitaji kukariri shekh. Neno la Mungu ni lile lenye kukusaidia sasa hivi si kukariri. Kama kukariri ndio kigezo ni neno la mungu basi hata bongo flavour ambayo mtu hukariri nyimbo 500 ni neno la mungu. Acha utovu wa fikra biblia acha 1/4 wapo walioshika yote. Usidhan ukiwa yutub ndio umejua ulimwengu
@mkarawizemtasher4897
@mkarawizemtasher4897 Месяц назад
​​​​@@RapaFata kuelewa au kutoelewa inategemea na namna taarifa tajwa ilivyopokelewa na akili ya mtu, kwahiyo kama akili yako imechagua kutoelewa na unapinga usichokielewa baada ya maelezo bhasi, hulazimishwi kuelewa ilichokataa akili yako kuelewa, Sio vizuri kuanzisha biashara isiyo na faida, itaumiza kichwa yako tu @Rapafata, na mkitucheka kisa tunadanganywa huko misikitini na waliotuzidi elimu bhasi na sisi tutawacheka pia ili wote tubaki tunacheka😊 ili asiwepo wa kuhifadhi chuki dhidi ya mwenzie, Na kawaida ya chuki humchoma anaeihifadhi.
@RapaFata
@RapaFata Месяц назад
@@mkarawizemtasher4897 unajua mie ninashangaa kwa kuwa hapo haihitaji elimu shekh. Labda kwa kiwango cha uelewa wa kiislam hiyo ni elim. Swali ji hili tu. Kugifadhi kuran ni mujiza? Yani allah wenu hana chakufanya kabisa isipokuwa mujiza wa quran? Kwa kuwa kama ni kuhifadh ni jambo la kawaida si mujiza ndio mana kuna kumbukumbu. Na ndio kama ni mujiza musingewachapa watoto mpaka wawe masugu mkiwalazimisha. Na isitoshe mnahifadhi tu kufurahishana lakini maana hamjui na haiwasaidii mana baro mnahifadhi lakini mnafuga majini, mankuwa wachawi mengine mengi. Sass kuna tofauti gani na mtu aliyehifadhi rhymes bar. Ni mujiza?
@hafidhkhamis
@hafidhkhamis Месяц назад
wacha jazba kijana,huwezi elewa ww ni kafiri
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Месяц назад
Sasa kitabu chenyewe kinasura 114 tu, kwanini usihifadhi ? Kiufupi Quran ni kitabu kidgo sana 👌 endeleeni kudanganyana
@user-nw8jb5tu1v
@user-nw8jb5tu1v Месяц назад
Na kinahifadhiwa kwalughayake usisahau iloo
@kalamuMedia
@kalamuMedia Месяц назад
unaweza hifashi ukurasa mmoja wa Biblia?
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Месяц назад
@@kalamuMedia bible imeandikwa n watu zaidi ya 40, Manabii ,mitume , wafalme , nk, ukitaka kusoma bible shart UWE na akili timam sababu imeandikwa na watu makini na wenye akili wakiongozwa na Roho mtakatifu
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Месяц назад
@@user-nw8jb5tu1v lugha yake ipi , quran imeandikwa uarabuni sasa ulitaka iwe na Rugha ipi?
@kalamuMedia
@kalamuMedia Месяц назад
@@francisjoseph1074 Hujajibu swali ndugu yangu
Далее
вот тебе и бэйбик👴🏻
01:00
Просмотров 323 тыс.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
DR.SULLE ALIVYOPIGWA NA HOJA NZITO NA PST NDACHA
32:54
Utukufu wa siku ya Ghadeer
40:45
Просмотров 227
Kisa Cha Mfalme na Nyoka wawili
16:06
Просмотров 28 тыс.
KIJANA ANAEFUATA VYEMA NYAYO ZA SHK OTHMAN MAALIM
22:21