Тёмный

Hii ni moja elimu nzito za sayansi ndani ya Quran iliyowafanya wengi wasilimu- Abdillah Kitota 

Kalamutz
Подписаться 131 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube Месяц назад
Dini ni Imani katika Imani ambazo Zina ukweli basi uislamu ndio unafanana na ukweli anaotafuta binadam
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Месяц назад
Shukran kwa maoni yako lakini kimantiki kitu kinapofanana na kingine hakiwi kitu hicho. kwa hiyo UISLAMU HAUFANANI NA UKWELI BALI UISLAMU NDIO UKWELI WENYEWE
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube Месяц назад
Izi Imani ukizifatilia kisayansi au kwa ufahamu wa mwanadamu hupati majibu ila katika dini kabisa ambayo inaelekeana na uchunguzi wa kisayansi Quran pekeake ndio Ina majibu
@salemaliy1963
@salemaliy1963 Месяц назад
Dunia inazinguka ,jua linazunguka pia mwezi unatembea pia hakika ametakasika mfalume WA dunia hii na akhera yake
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Месяц назад
upo vzr sana kaka mashaAllah, Allah akulipe kheri
@ShamimHassan-qm1et
@ShamimHassan-qm1et Месяц назад
Allahu akbar❤
@a.856
@a.856 Месяц назад
Jazakallah khayran
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Месяц назад
ALLAH IS GREAT
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r Месяц назад
Baaraka llahu fik
@user-mu3lb7gx1r
@user-mu3lb7gx1r Месяц назад
ماشاءاللہ❤
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Месяц назад
Ni kweli. Wanadamu wajibu wetu kutii kama mfano wa jua , lenyewe kila siku linatoka mashariki linaenda magharibi, lenyewe halihitaji chakula wala maji wala petroli wala dizeli lakinii linamtii MOLA wake, iwaje wewe unaye hitaji chakula ili upate uhai barafu unakisa kumtii Mola wako. Binadamu tubadilike.
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad
@AbujadiAbdalaAbujadiAbujad Месяц назад
Masha allh
@rayyanothumanmohammed8261
@rayyanothumanmohammed8261 Месяц назад
Amazing
@jumajuma8263
@jumajuma8263 Месяц назад
Allah akulipe sheikh nilikua naomba hizo Aya ue unasema nisura gan na Aya yake ilitukinote badae tupitie vzr elimu nzur sana hiyo
@hassannasibu678
@hassannasibu678 Месяц назад
Mbona ametaja ndugu
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r Месяц назад
Surat Yassin ndo inaongelea kutembea kwa jua
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt Месяц назад
Mashallah ❤️ ❤️
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Месяц назад
Allahu-akbar
@munaafaraj9683
@munaafaraj9683 Месяц назад
ماشاء
@RajabKondo-bj5op
@RajabKondo-bj5op Месяц назад
Asante kaka Mchambuzi
@salemaliy1963
@salemaliy1963 Месяц назад
Sura tul Yasin
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy Месяц назад
Mashallah
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Месяц назад
Sub-hanallah
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Месяц назад
Kwa kukazia Allah SW anasema ;Vinamsabbih (vinamuabudu)M/MUNGU vilivyo mbinguni na ardhini na yeye ndie mwenye nguvu na hekima.
@salumhaji3207
@salumhaji3207 Месяц назад
Asalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh, BARAKALLAHU FIIKUM. Kaka Kitota vitabu ulivyo viandika twaweza kuvipataje? Tujuze ama twaomba mawasiliano
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Mwenyezi mungu ndio engineer mkuu hakuna yeyote anaweza hata jua yote tuna gusa gusa ujanja ujanja tu
@MrBandari12
@MrBandari12 Месяц назад
Mashaa Allah .. Ila samahani dunia haitembei
@aboukar69m
@aboukar69m Месяц назад
Kaka dunia inatembeya
@MrBandari12
@MrBandari12 Месяц назад
@@aboukar69m kutokana ulivyofundishwa darasani ila you can't prove it..earth is stationary and its flat.. Do research on it
@abuubakar7594
@abuubakar7594 Месяц назад
​@@MrBandari12 dunia inatembea na sio tambarare kuna ushahidi mwingi tu soma boss
@MrBandari12
@MrBandari12 Месяц назад
@@abuubakar7594 nipe ushahidi kutoka katika qur an unaosema kwamba dunia inatembea Na ni round
@chingychingy2066
@chingychingy2066 Месяц назад
Somo lako ni zuri ila kitu unakosea unaposema kuwa uislam ndo dini ya kweli..tambua kuna wa kristo pia tunaangalia kama mm binsfi uwa nakufuatiliaga sana kwaiyo mm pia nina iman yangu ya kikristo na ndo naamini dini yangu ya kweli..
@allybobsaith
@allybobsaith Месяц назад
hakukosea yupo kweli, dini iliokua sahihi ni moja tu ambayo ni uislam ukweli wote upo katika quran kitabu cha waisalmu
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Waingo sayansi hasa mambo ya Africa wametudanganya mnoo
@othmanali4938
@othmanali4938 Месяц назад
Sayansi ni uongo, Qur an ni haki
@California9451
@California9451 Месяц назад
😂😂😂😂😂 Uislamu ni bandia ya Shetani
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Месяц назад
Allahu-akbar
Далее
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
03:28
Просмотров 12 млн
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 28 млн
Kisa Cha Mfalme na Nyoka wawili
16:06
Просмотров 28 тыс.
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
Просмотров 85 тыс.
MAISHA NA HISTORIA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM
45:49
Просмотров 81 тыс.
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
03:28
Просмотров 12 млн