Тёмный

Salama Na Madee Ep 18 | MPAKA MSHALE Part 2 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Mara zote ukiwaza Manzese kama wewe ni mpenzi wa Bongo Flava basi utawaza Madee tu. Waliosema au alipojiita Rais wa kule sidhani kama kulikua na upinzani wowote, najua kulikua na mtu mwengine ambae alikua anataka hiyo title ila tayari ilikua na mwenyewe ambaye inamkaa haswa.
Busara zake za miaka ya karibuni na haswa niseme zaidi mwaka huu ni moja ya vitu vilinivutia kutaka kuongea nae. Maana si mara nyingi kwa kijana ambaye amekulia maisha ya ‘ki gangster’ kuwaza watu wengine au hata kuonyesha kuguswa na kitu flani. Ili mtu afikie kufikiria suala la umri kwenda na kuanza kujijengea kwenye maisha ya baadae siku Muumba atakapotuita ni jambo ambalo tunatakiwa kujifunza kutoka kwake. Na pia ni moja ya idea maridhawa nimeskia mwaka huu. Na kubwa kabisa ni kuwa mimi na yeye hatukuwahi kuwa na maongezi ya aina hii, wakati muafaka kabisa...
Seneda yeye haswa alizaliwa wapi? Ametokea kwenye familia ya mziki? Wazazi wake ni watu wa aina gani haswa? Kule Manzese ndo kwao? Au ilikua maskani tu? Na kama si hivyo aliwezaje kujikita mpaka akawa rais? Suala la elimu je? Wakati anakua kuna makashkashi yoyote alipitia? Na muziki? Na Babu Tale? Na Abdu Bonge aliwatoa wapi? Na TipTop Connection nayo chimbuko lake ni wapi?
Niliongea naye kuhusu hayo na kuwa ‘chawa’ ili yake yamuendee kwenye suala zima la kujijengea empire yake... Muziki umemfanyia nini? Kama Baba ni kitu gani ambacho watoto wake wanapenda kuhusu yeye? Yuko na hao Mama za watoto wake? Ki ukweli kuna mengi tumezungumza naye lejendari huyu wa Bongo Flava ikiwa pia pamoja na wimbo wa ‘Pombe Yangu’ ambao nao pia una story yake ya kipekee.
Yangu matumaini uta enjoy kama nilivyo enjoy mimi na wenzangu wakati tuna film hii.
Love,
Salama.../
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 93   
@frankissaya2578
@frankissaya2578 4 года назад
Madee ni moja ya wahojiwa bora kabisa kupita katika hiki kipindi pendwa.. nimekubari sanaa aliyo ya Sema.
@aminahassan3588
@aminahassan3588 4 года назад
Salama ni ktk waandishi bora zaidi sijui kwa nn hawajawahi kukupa tuzo kuna wengi umewainspire mzanzibar mwezangu nakusifia ukiwa hai
@honestyerasto
@honestyerasto 4 года назад
Tangu Salama umeanzisha hichi kipindi sijawahi kuruka hata sekunde moja. Bonge la interview yahni muda wote smile imekuwa usoni mwangu na kwa zaidi ya dakika 50. Big up sana Salama wewe ni mtangazaji bora wa muda wote kwangu.
@KMLotin
@KMLotin 4 года назад
This is the best interview,madee na vijana wote wa MMB ni big thinkers🤗🤗🤗
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 года назад
Chelea man alizingua sana, yaan alimkera chawa wa boss ooops! Ila Madee your so fun, nimecheka peke yangu kama chizi. 😂
@harmonymattondo4042
@harmonymattondo4042 Год назад
Madee ni Inspirational Kubwa....Umeamsha vilyokuwa vimelala ndani yangu....Big up bro
@babayoria9181
@babayoria9181 4 года назад
Salama hapa leo umenikosha sana haki yaani madee anaongea vizuri story ya life yake nimejifunza mengi kupitia huyu mwamba,huwaga naangalia show hii ila namaliza ndani siku mbili lakin leo sijaikatisha nimecheki show mpaka imeisha
@omarymziray9109
@omarymziray9109 4 года назад
Madee you are mastermind bro nimejifunza vingini sana asante dada salama kwa interview zuri nakubali unachokifanya
@nasraiddy9678
@nasraiddy9678 4 года назад
Mashallah madee muongeaji kweli mcheshi
@amanimushi1466
@amanimushi1466 4 года назад
Point sana hiyo hao wanahabari ndio wanaozingu wanapaisha upuuzi kuliko vyemaana. Respect made✌✊
@Love4Ril
@Love4Ril 4 года назад
Moja ya interview kali sanaaa. Big up Madee. Wamekuelewa
@latifamadaha4377
@latifamadaha4377 4 года назад
😂😂 Madee we msemakweli thats Y maelezo yako hayascrach kbsa,nice story umetuchekesha sanaa,umetuhuzunisa na kutufundisha pia Allah akupe umri
@aidabernard6325
@aidabernard6325 4 года назад
Hii ndio interview kali toka dunia iumbwe 🔥
@samwelalphonce6326
@samwelalphonce6326 4 года назад
dah ety yule mwengine siyo mkali😂😂😂😂😂
@2116-n
@2116-n 2 года назад
Ogopa Sana chawa😂😂😂
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣mecheka kinoma
@princemujuni9803
@princemujuni9803 4 года назад
interview hii noma sana full kucheka yan
@asueddy1465
@asueddy1465 4 года назад
YULE MWINGINE SIO MKALI KABISAAAAA..... DAAAAH RIP ABDU BONGE
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 года назад
Nime enjoy sana nimejifunza pia madee una hekima sana
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 4 года назад
Natamani muwe mnatoa nafas na sisi mtupe nafasi ya maswali kwa wasanii mtakawahoji in future. Mana nlitamani atoe story deep kwenye wimbo wake wa MY STORY na ishu zake za Tanga. Ila interview kali sana
@mariamjumaswalehe635
@mariamjumaswalehe635 4 года назад
Sana yan tena hapahapa youtube
@hashtagdarling4738
@hashtagdarling4738 4 года назад
Salama mi mkenya ila nakufagilia sana mshikaji wangu.
@nizfamous3665
@nizfamous3665 4 года назад
One of the best interview, Madee
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 4 года назад
Asante Sana Kw Elimu..
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Ujawahi kuharibu salama, uko vizuri sana katika hii sekta salute kwako Salama 💕😘
@MegaPhage
@MegaPhage 4 года назад
Salama natamani uje na mwamba wa kaskazin siku 1. Nakumbuka nikiwa form 5 au 6 2004 au 5 kama skosei hv benja mkapa, jmosi flan uliintroduce goma lake la kwanza planet bongo, nilimwambia mchz wangu hili dide litablow up..i am curious to go back in time, u and Joh. Pls, a humbe request...
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 4 года назад
Leo story zimenoga had hujatutajia jina msosi. Ila Marco Chali anaimba sana
@hanifamallya1589
@hanifamallya1589 2 года назад
Nmeinjoi hii na madee balaaa😘
@ambestambest9165
@ambestambest9165 4 года назад
Intervew nzuri sana
@hurumampesha5005
@hurumampesha5005 4 года назад
Fantastic interview. 👏🏿👏🏿 Salama 👏🏿👏🏿Madee
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 Год назад
Buku 80 tu ikaleta sugu kwenye moyo pesa noma sana 😃😃😃😃😃😃😃😃
@henrytawa1191
@henrytawa1191 4 года назад
Ukojuu sana 🙌💣💥💥💥👍
@rohityalsina5972
@rohityalsina5972 4 года назад
Ndo kwa mala ya kwanza leo madee kamtaja ALIKIBA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nahdamohammed6201
@nahdamohammed6201 4 года назад
duhhh nimecheka kwenye stayle ya kuzima sim mpk utowe betri hahahah dahh zilipendwa hizi sio poa.
@mussamohamedi8322
@mussamohamedi8322 4 года назад
Aisee Madee ametishaa sana, and Salama Umetisha big up kwa kazi nzuri.
@2116-n
@2116-n 2 года назад
3:24 😂😂😂, kukata simu hadi utoe betri😂😂
@moseskarima3824
@moseskarima3824 4 года назад
S/O salama interview Bora kabisaa
@abdulrahimahmed4545
@abdulrahimahmed4545 4 года назад
Tisha saana madee
@mwasitiiddy7425
@mwasitiiddy7425 4 года назад
Madee anajielezea mwenyew kabla hata ajaulizwa
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 4 года назад
Bonge moja ya interview.
@mtanzaniamwenzangu181
@mtanzaniamwenzangu181 4 года назад
Interview kali sanaaaa
@marykalavo9410
@marykalavo9410 4 года назад
Huyu anafaa kuwa commedian nimecheka sana
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 4 года назад
Saafiii sn..show saf kabsa na nme enjoy wallah..Madee umenfanya nacheka tu
@ramadhanimrisho5532
@ramadhanimrisho5532 3 года назад
Salute kwako madee
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 3 года назад
Salama una heshimiwa saaana katika tasinia hii maana watu wanafunguka hadi wivu
@devicegaspar1431
@devicegaspar1431 4 года назад
Best I ever heard
@sadamsuleiman8484
@sadamsuleiman8484 4 года назад
jamaa ni bonge la msimuliaji
@juliusjustice9170
@juliusjustice9170 4 года назад
Madee ur great now bro big up
@Ali_Manzu
@Ali_Manzu 4 года назад
Dakika ya 7' sekunde 22! Hamadi Mkorofi sana! Lol..
@salamamchingama3033
@salamamchingama3033 4 года назад
Haha hahaaa madee nimependa sn
@sharifamfaume9342
@sharifamfaume9342 4 года назад
Sawalama madee kakupa stori tam mpaka juis imepoa
@ujudiabdull9442
@ujudiabdull9442 4 года назад
Kwamazungumzo yalivokua pambe Salama umesahau kututambulisha msosi waleo unaitwaje....
@saidahj2543
@saidahj2543 4 года назад
Watu hutoka mbali kweli
@mzeemakame3734
@mzeemakame3734 4 года назад
Najifunza kupitia kipindi
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 4 года назад
ofisini😁
@suhailaali4175
@suhailaali4175 4 года назад
Part one nishaisaka sana sijaiona
@abdulkhamis6683
@abdulkhamis6683 4 года назад
salama .. jabir bonge la .. shooo
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. 4 года назад
Madee wanamanywelee😁
@devicegaspar1431
@devicegaspar1431 4 года назад
Bonge la interview
@shabankawambwa4397
@shabankawambwa4397 4 года назад
Nimekubali
@samwelimushi5549
@samwelimushi5549 3 года назад
Salama mwambie made iyo nyimbo ninayoo Kama vp anichek nimtumiee
@sharifamfaume9342
@sharifamfaume9342 4 года назад
😂😂😂😂nimecheka kifara
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 2 года назад
Madee hukukosea huyo dogo kumfyeka inafurahisha kweli
@anthonytesha5197
@anthonytesha5197 4 года назад
Madee noma saana
@onpointenterprises4233
@onpointenterprises4233 4 года назад
nyimbo ya mwisho ipo vzur sana inatwaje?
@ramstwaha6416
@ramstwaha6416 4 года назад
Goma nalikubali sana...linanitia speed nikiliskiza"kazi yake mola"ninalo kwny USB yng
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Nimemuelewa sana Madee kwenye suala la kiuchiuchi lazma tukubali kipaji sio story za kijinga
@tomdackis7281
@tomdackis7281 4 года назад
mi naona ungekuwa unawagizia chakula ikiwa zimebaki dakika 10 kumaliza kipindi
@wagonzizi1184
@wagonzizi1184 3 года назад
Hii interview salama umeniibia sana....i wanted more laughs from Seneda 😂😂😂😂...after all tuwaache watu wa enjoy maisha aisee...imagine Tale and Madee were sharing the same phone😰
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 4 года назад
Madee iyo pesa bado ipo huo wimbo nikutumie?
@racheljoseph7620
@racheljoseph7620 4 года назад
mfate istagram ukapige hela
@makulerobert2916
@makulerobert2916 3 года назад
jamaaa ni bonge la mtu aseee
@mohamedhamadi1056
@mohamedhamadi1056 4 года назад
Kwann RU-vid zinachelewa sn.
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 4 года назад
jamaa kaitamka 'Brazil' ki offsir sana😄
@hadijagere
@hadijagere 4 года назад
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
@keifatuke99
@keifatuke99 4 года назад
Nice 😂😂😂
@jasmineally1493
@jasmineally1493 4 года назад
Nice interview❤
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 года назад
Sogy dogy hunter....pia
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 4 года назад
leo bidada umedamshi
@josephineluzango1463
@josephineluzango1463 4 года назад
This is nice
@mohamedzungufya5151
@mohamedzungufya5151 4 года назад
7:22 😀😀😀😀
@majormotivators
@majormotivators 3 года назад
nigga is funny😂😂😂😂,one of my best interviews inline with music celebrities,Madee is easy to go guy👊🏾
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 2 года назад
Shineida unabaya 😂
@joanna_kitchens6402
@joanna_kitchens6402 4 года назад
❤️🙏🏼🙏🏼 nice interview
@mosesbusanya3528
@mosesbusanya3528 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 4 года назад
Madee nicheki Kama bado hujaupata huo wimbo 0658814010 izzo pesa nazihitajia Sana aisee
@warrenchristopher6521
@warrenchristopher6521 4 года назад
Oooooohhhh
@allysingle2446
@allysingle2446 4 года назад
Tuna mtaka bluu naye atuambie kwa nini aliacha kuimba na akaanza kulap
@grorybenson7843
@grorybenson7843 4 года назад
We Bluu kaanza kulap kitambo na pia alikuwa anaimba fatilia nyimbo zake za nyuma
@jilesjames-yb3gm
@jilesjames-yb3gm 2 месяца назад
😂
@Remmy_Remmah
@Remmy_Remmah 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂
@Kibitiyetu1
@Kibitiyetu1 4 года назад
Salama Naomba Uni Unblock Instagram @eliasakitasa
Далее
Salama Na Madee Ep 18 | MPAKA MSHALE Part 1
40:33
Просмотров 68 тыс.
Salama Na Profesa ep 55 | MAPINDUZI HALISI Part 1
41:30
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
28:34
Просмотров 203 тыс.
Madee - Kazi Yake Mola {Official Music Video}
4:59
Просмотров 151 тыс.
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
Просмотров 473 тыс.
Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1
41:27
Просмотров 477 тыс.