Тёмный

"Nilianza Kujitegemea Nikiwa Na Miaka 17" AY Afunguka Maisha Kabla Ya Umaarufu | SALAMA NA AY PT 1 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 68 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
THE ARCHITECT
Sasa ule usemi wa ukitaka kujua tabia za mtu waangalie Rafiki zake pengine unaweza kuanzia hapa kwa mtu ambaye atakua anataka kunifahamu mimi vizuri, maana hakuna mtu ambaye hajui ukaribu uliopo kati yangu na Ambwene Yessayah, kabla hatujakua na vitambi na kutambulika kwa majina yetu mawili sisi tayari ni marafiki, na pengine sasa tumeshakua ndugu.
Yeye kazaliwa Mtwara huko nami nimezaliwa Unguja, wazazi wake ni kama wazazi walonilea mimi, mara nyingi kulikua na transfer za kazi kwao kwahiyo kuhama kutoka mkoa mmoja na kwenda mwengine kila baada ya miaka kadhaa ilikua jambo la kawaida tu, ingawa lilikua linakera haswa kwa kina Kaka na Dada zetu ambao tayari wao walishakua wakubwa kiasi na washajichagulia marafiki zao, ilikua tafrani tena kuanza kutafuta marafiki wapya na kuhamia shule mpya na mazingira mapya kabisa. Ila hili ndo pengine limemfanya Rafiki yangu Ambwene Allen Yessayah awe mbunifu na muerevu katika maisha yake na kazi zake ambazo amekua akizofanya kwa umahiri kwa zaidi ya miaka 18 sasa.
Miaka ya karibuni AY atatimiza miaka 40 toka amekuja hapa duniani na kwa bahati mbaya wazazi ambao wamemleta duniani walishatangulia mbele ya Haki na Mwenyezi Mungu Awarehemu, ila AY anakumbuka mahusiano yake na Mzee wake, wakati anakua, ukaribu wao, kazi ambazo alikua anazifanya na pia alikua Baba wa aina gani. Mahusiano yake na Kaka yake na Dada zake wawili (Dada mmoja mkubwa na mwengine mdogo wake wa mwisho) ni ya karibu sana. Yeye alichukua jukumu la kuwa ‘Baba’ mara baada ya kuanza kutengeneza pesa kwenye fani yake na mpaka Marehemu Mama yake anatangulia mbele ya haki alikua anakaa kwenye nyumba ambayo Ambwene alikua anaiangalia.
So nini kilimfanya achague muziki? Mama yake alikua radhi na hili? Kuhusu shule je ambayo alikua yuko vizuri nayo tu? Aliachana nayo vipi? Mahusiano yake na East Coast Team? Mwana FA? Muziki na pesa? Yeye kuwa wa kwanza kurekodi na kufanya shows nje ya Tanzania? Vipi kuhusu industry hii na maendeleo yake? Je tuko sehemu salama? Sehemu nzuri? Future yeye hasa anaionaje?
Kuna mengi yalifaa kuongelewa humu ila kuna na mengine ambayo wakati wake wa kuyazungumza haukua muafaka, lakini suala la yeye kuwa Baba kwa mara ya kwanza hatukuweza kuliacha liende bila ya sisi kutoa hongera zetu. Aviel ndo jina la kijana wake wa kwanza, experience ya kupata mtoto kwa mara ya kwanza nayo hatukuiacha kuizungumzia.
Yangu matumaini kama ilivyo ada, utayaelewa maongezi yetu haya na kutakua na mawili matatu ya kujifunza ndani yake.
Nakutakia uangaliaji/usikilizaje mwema.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

29 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 2 года назад
Dada Salama kweli una watu wengi,nafuatilia sana najifunza sana halafu unaleta watu ninao wakubali sana Mungu akupe umri mrefu ndugu yangu
@wanzakleruu8648
@wanzakleruu8648 2 года назад
👍👍
@lelamakenya1914
@lelamakenya1914 2 года назад
Wasanii wengi wazamani wanaeshima
@africanlife2331
@africanlife2331 2 года назад
Salama i like the party always you want to let the one know that you love them. I didn’t get to hear that from anybody else. Salama I really want to let to you know that “nakupenda sana sana dada akee”na I really appreciate hiki kipindi chako. Hope utatuletea mama (Her Excellence) mwenyewe kabla hajaondoka madarakani. Nitakuwa hapa kukushukuru 🥰
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 2 года назад
AY pesa ndio solution ya vitu lakini sio kupata furahaaa
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 2 года назад
Of course pesa inaleta furaha ktk maisha mm nikiwa na elfu tano tu bas amani ya moyo na furaha inapatikana
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 Год назад
Ay anakaundugu na JAY Z angalieni vzuri
@michaelchilonwa0511
@michaelchilonwa0511 2 года назад
Mimi napenda interview zenu sana na ninafatilia sana nashauri tu kwenye upande sounds muweke mitambo freshi sauti inakua na mwangwi flani ivi! But all in all nice work & good energy 👍🏿✅🔥
@ndizeyeradjabudillan2954
@ndizeyeradjabudillan2954 Год назад
Mwanangu nimemuita ambwene yesaya
@khamishaji9224
@khamishaji9224 2 года назад
Dada salama mambo vip tunaomba tuletee prof.Abdul-razak Gurnah
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 2 года назад
This man is very smart
@skulfees5453
@skulfees5453 2 года назад
Interview ya Sallama na AY hukuwa sio kama Interview iko kibeste sana 😀😀
@edinamkubwa2629
@edinamkubwa2629 2 месяца назад
Tunashukuru kwa interview nzuri!!! Tunaomba utuletee Jimmy mafufu
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 2 года назад
I love this dude, a good thinker
@abduly.snootie
@abduly.snootie 2 года назад
#SalamaNaAY ZEE" I'ts a Big Big "CONVERSATION" S/O Kwao ni "MADINI" TU.📌💯🔥🔥🔥🔥🔥
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 2 года назад
Zee When he' is Around..It's a good vibes🙌🏾❤️🙈❤️Nice show Auntie kiduchu
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 2 года назад
kweli AY ni rafiki mkubwa wa SUGU..mpaka unajua jamaa ni mtu wa Songea...ni wachache sana wanalijua hilo
@nancyg8664
@nancyg8664 14 дней назад
😂😂sio wachache, kama aumfatilii mtu uwez kujua asili yake lakin ukisikia haule moja kwa moja unajua ni wangoni
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 года назад
ila salama et vipi nywele za sehemu zingine fresh lakini au uko umepunguza 😂😂😂🙌🏻
@LeJayTai
@LeJayTai 2 года назад
Unyama mwingi sana #SALAMA #MZEEWAKOMESHO BONGE LA SHOW!
@wanzakleruu8648
@wanzakleruu8648 2 года назад
Salama na Eiwai 💪🙏
@erastomwakalukwa3946
@erastomwakalukwa3946 Год назад
One day I wish I can be having an interview with Salama,🙋🏻‍♀️ and these are the following questions about salama,1. Hu is your Dude 2.What is your level of education?3. What do you think is the place of originality in tanganyika
@amribihoga5127
@amribihoga5127 2 года назад
ay ndio mwana muziki namkubari sana anavutia kwa kilanyanja
@husseinchai1133
@husseinchai1133 Год назад
Safi sister salama mungu akupe heri zake Engineer
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 2 года назад
Big up A-y 😍🔥🔥🔥💯
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Legendary AY
@ednamwakalundwa7895
@ednamwakalundwa7895 2 года назад
Neno la shukrani, nimependa AY anavyomshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yake🙏🙏🙏
@issazalala4907
@issazalala4907 2 года назад
Ay ft salama Jabiri duuh akiri nyingi Sana hapo
@msafirikilongo7429
@msafirikilongo7429 2 года назад
Naamini bro..... Life is about hardworking and creativity
@speciozapius1115
@speciozapius1115 2 года назад
Refreshing
@UgandanAllstarTales
@UgandanAllstarTales 2 года назад
My Dawg ALLEN the GREATEST
@yonas.johnson
@yonas.johnson 2 года назад
Best show in tz
@KilimoNaBiasharaTz
@KilimoNaBiasharaTz 2 года назад
Something wrong with the audio... still enjoyed but not salama quality
@abdulnuruhassan8611
@abdulnuruhassan8611 2 года назад
salam, nimeipenda hiii
@kaisamjunior3692
@kaisamjunior3692 2 года назад
BARBERIAN PARK GO KART @ DAR ES SALAAM TZ
@user-tl6nf9bn2v
@user-tl6nf9bn2v Год назад
Salama mungu amekataza kuweka nywele shm za siri kwa muda mrefu ikifika siku40 hajanyowa unapata dhambi lkn yale malika hutakiwi kutowa
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 года назад
Masta
@georgeludakulo4750
@georgeludakulo4750 2 года назад
Master
@msuag3754
@msuag3754 2 года назад
Yessayyah
@bhaleeali8459
@bhaleeali8459 2 года назад
daah leo wamekutana watu wawili wenye majibu ya mkato hahaaa
@michaelmallya5622
@michaelmallya5622 2 года назад
Such a nice interview with my all-time favorite Tanzanian emCee
@wellbrand3415
@wellbrand3415 2 года назад
Hellow. Pongezi sana kwa kipindi hiki kikubwa sanaaa... Nawakubali mnoo... My question is... "That SendTip MPESA LIPA NO...." What is it for....? (Seems we have to work on it through your muongozo) Thanks...
@julianamushi3392
@julianamushi3392 2 года назад
Cjui hata mamake daimond anasikilizaje nyimbo za mwanae maan duh nyimbo nyingine hadi mtoto akiimba unaona aibu unabakia tu kumwambia usiimbe huu wimbo mbaya😣
@twayzo6207
@twayzo6207 2 года назад
Tuletee interview ya sallam banaaa
@jacobshani70
@jacobshani70 2 года назад
Naomba unandae kipindi cha salama na fetty
@abdulhakimmuhammad2895
@abdulhakimmuhammad2895 Год назад
😂😂 really Nice ❤ from Kenya
@salvinampagama4503
@salvinampagama4503 2 года назад
Profesa j ndio wasongea
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 года назад
Joseph Mbilinyi asili yake ni Songea pia
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 10 месяцев назад
Na sugu ni songea pia haujui
@jrsaid4270
@jrsaid4270 Год назад
Salama mlete Mr Pimbi 😁
@hassanesaide8469
@hassanesaide8469 2 года назад
Salama da
@mmn7480
@mmn7480 2 года назад
😂😂😂😂nawapenda
@beshuuambarali4960
@beshuuambarali4960 Год назад
Ukiwa huna pesa unatamani kua na pesa ila pesa so furaha ya kila kitu
@husseinchai1133
@husseinchai1133 Год назад
Machapion kweli hao
@wedream7506
@wedream7506 2 года назад
Salama naomba umhoji feza kessy ww ni presenter no1 kbs na naamini itakuwa interview ya kibabe
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 2 года назад
Feza kessy beautiful girl "My Papa" was 🔥🔥🔥
@jamesmakame3491
@jamesmakame3491 Год назад
👊👊👊
@bjzee1981
@bjzee1981 2 года назад
Kalasinga hawaruhusiwi kukata nywele zozote
@franktigi1495
@franktigi1495 2 года назад
Zee 🤓
@rrchidy6208
@rrchidy6208 2 года назад
24/04 hao jamaa na share nao
@azzannassor6080
@azzannassor6080 Год назад
Mimi pia asee 24/04
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
😁😁
@josephstephen1079
@josephstephen1079 2 года назад
Salama huo upaja
@sabanajunior9938
@sabanajunior9938 2 года назад
Tangia mkasi mpaka Leo unamuoji mpka Leo kitu kile kile badilisha wengine km akina Nash mc Nikki mbishi p mawenge p funk majani master jay
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
Kakwambia rafiki yake Sasa hao ulio wasema Sio rafiki zake
@sabanajunior9938
@sabanajunior9938 2 года назад
@@kwisa4899 elewa bwn mdgo sanaa ni ya wote sio kikundi fulan
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
@Humai_d8 usinge mjibu
@josephstephen1079
@josephstephen1079 2 года назад
Nawewe andaa kipindi chako uwalete hao akina P mawenge usimpangie kitu cha kufanya
@victornjwango9683
@victornjwango9683 Год назад
Mavi wewe
@salumjumah5648
@salumjumah5648 2 года назад
Mzee wa commercial
@lucyprimi1409
@lucyprimi1409 2 года назад
wa kwanza
@josephk90
@josephk90 2 года назад
Sauti iko chini madam!
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 2 года назад
Hmmm
@azzannassor6080
@azzannassor6080 Год назад
Nina share birthday na ndugu zake AY 🤩😎 24 April
@concesasule6136
@concesasule6136 Год назад
Me too
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
😁😁
@mylesaman1319
@mylesaman1319 2 года назад
😂😂😂😂😂
@prettypretty9745
@prettypretty9745 2 года назад
Yaani mpaka leo sijajua kwanini salama anazifunika ushungi hizi spika wakati yeye havai???
@yahayamjenga1996
@yahayamjenga1996 2 года назад
Dah! umefikiria nn?
@maryshirima1234
@maryshirima1234 2 года назад
🤣🤣🤣
@josephstephen1079
@josephstephen1079 2 года назад
hahahahaha umeanzaje kuwaza hivyo?
@salvinampagama4503
@salvinampagama4503 2 года назад
Dugu mkinga bwana
@batholomeowella2055
@batholomeowella2055 2 года назад
Sugu ni mtu wa Madaba kijiji cha Maweso Songea hata Matehemu Baba yake mzee Osmund kazikwa huko
@m9official685
@m9official685 2 года назад
Unyakyusa mwingi
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 года назад
Unyama sana mwaisa Lol
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 2 года назад
Ila pua ya A.y inanipa wasiwasi sana ni sample ya Rwanda, pia kuna msiba tulienda kuzika mrwanda sinza makaburin A.y alikuwepo, 3, A.y kaenda kuolea kulekule Rwanda huyu jamaa sema basi tuu.
@owenmutale6691
@owenmutale6691 2 года назад
Mama yke kwao Rwanda
@wanzakleruu8648
@wanzakleruu8648 2 года назад
Mama ake ni Mrwanda pia kapata mtoto huko huko Rwanda
@patraychriss5723
@patraychriss5723 Год назад
Think tanks. Powerful. 🔩Millard , January M.K, H.Bashe, J.kusaga, Kaligraph. just thinking
@hunchotv2011
@hunchotv2011 Год назад
amna kitu apo anajifanya tom boi kaenda marekani wakamla😂
Далее
His reaction 😳 (via @kaitlyn.b0506/TT) #shorts
00:10
Mkasi | S13E10 with Ruge Extended Version
40:28
Просмотров 531 тыс.
Жалко эту собаку 😥
0:34
Просмотров 3,5 млн
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38