Тёмный
No video :(

SALAMBA: RATIBA HII YA SIMBA CAF NI KAMA TEMBO DHIDI YA SUNGURA? MPANZU... 

Data Sports Tv
Подписаться 100 тыс.
Просмотров 2,9 тыс.
50% 1

#daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #TIGO #PESA #chama #pacome #caf

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@musajulius3667
@musajulius3667 Месяц назад
MUNGU ibariki timu yetu
@SerafiniAxweso
@SerafiniAxweso Месяц назад
Salamba ww ni shabiki wa yanga Simba watakuwa wzr sana
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y Месяц назад
Simba ile na ya sasa watu eatafurahi ni mda tu ❤❤❤ mambo yatakua moto Vijana hao ni kama Simba mwitu wanakuja kwa juu sana kaeni na kujidanganya kocha hana uzoefu watanzania umbea na watu walio na miwabi wambea sana hao wachezazi wapya Simba wametoka ktk team zao si walikua tu mitaani
@HamuViatu-gw5jd
@HamuViatu-gw5jd Месяц назад
Wewe salamba hayo maneno utayatapika siku Moja
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l Месяц назад
Salamba ni yanga kila siku anatusema vibaya sana choko haya chukua taarifa upeleke yanga fala wewe wewe mchambuzi au mlamavuzi tuache na simba yetu
@godsonmolla1594
@godsonmolla1594 Месяц назад
Huyo salamba atawaharibia, Ushabiki wa Yanga umemjaa
@AntoniMtulagwa
@AntoniMtulagwa Месяц назад
Mungu ibariki simba ifike fainali caf
@user-cj4dh7hy8c
@user-cj4dh7hy8c Месяц назад
Hapo kwenye amekosea sana, Azam walianza na project Yao na wanakiwasha Simba hawashindwi
@KennedSangson
@KennedSangson Месяц назад
Huyo ni yanga
@user-cj4dh7hy8c
@user-cj4dh7hy8c Месяц назад
Yanga msimu juzi walianza kidogo kidogo na wachezaji ambao hawana experience hio ya Michuano mikubwa ila walifika fainali CAF confederation cup
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 Месяц назад
Salamba unaweza jisuta baadae,usiwakatisha Simba tamaa wewe siyo mtabiri ngoja tuone nia Yako ni nzuri au mbaya.tuwape moyo.
Далее
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн