Тёмный

SALUM MWALIM APOKELEWA IKUNGI KWA KISHINDO 

Chadema Media TV
Подписаться 214 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 132   
@josephmukasa6754
@josephmukasa6754 4 года назад
Hii mechi mmeisuka kweli kweli, Mungu aendelee kuwatangulia ndugu zenu tulio nje uku Marekani tunaendelea kusali na kumshukuru Mungu👏🏻💪✌️
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 4 года назад
Mungu wetu ni mkubwa saana tumuombe mungu sana akiamua kinafanyika
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 года назад
Amen
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 4 года назад
Eloquent and touching speech by Salumu Mwalimu!
@henrymushi8340
@henrymushi8340 4 года назад
Mungu ni mwema sana jina lake lihimidiwe. , , Amina .
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 года назад
CHADEMA CHADEMA CHADEMA Peoples Power ❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲.Wa Tz wameaza kuzinduka toka kwa dikteta magufuli Mhe Tundu Lisu anatosha kutuongoza kwa misingi ya haki sheria na utu Mwenyezi Mungu mkubwa.
@reginaldtemu6305
@reginaldtemu6305 4 года назад
This boy is a very powerful politician..
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 года назад
Exactly! cio kama wakina peter lijua likali kutangazaaa njaaaa tu!
@fredyjonaa4053
@fredyjonaa4053 4 года назад
Mungu amsimamie Lissu
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 4 года назад
Lisu Mungu akutangulie
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 года назад
temboo mwenyewe risasi 1 tu anakwenda chini sasa binadamu 16 duhhhhhh mungu n mkubwa sana
@greenzabron5107
@greenzabron5107 4 года назад
Mungu in mwema
@brobabuu3973
@brobabuu3973 4 года назад
Kwa yeyote anayesoma hii.. nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
@chumilamanyama5078
@chumilamanyama5078 4 года назад
Ubalikiwe baba
@kinglabanziku9100
@kinglabanziku9100 4 года назад
Risu unasababu ya juu ya Tanzania ,Tanzania inakuhitaji xn
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 года назад
TUNDU LISSU MCHE MUNGU SANA HASA KATIKA SAFARI ZAKO ZOTE ZA KAMPENI. MUNGU AMEKUTETEA SANA NA WATANZANIA TUTAKUPA KURA KWA UTUKUFU WA MUNGU UANDIKWE KWENYE GUINNESS BOOK.
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 4 года назад
Mtukuzeni Mungu pamoja nami kwa kumponya Lisu. Si tuliomba Mungu akajibu
@mtaninjegere6060
@mtaninjegere6060 4 года назад
Umeugusa moyo wangu kwa maneno haya
@sistajeremiakalinga5436
@sistajeremiakalinga5436 4 года назад
Hahaaaaa wamepata sela za lisasi poleni mnsomba huluma
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 года назад
Siginda Tumeapa hatutapenda CCM na Viongozi wake Hadi tunakufa, hatipendi CCM na Viongozi wake milele
@fabiolapanga8680
@fabiolapanga8680 4 года назад
Hakika hamstail kuipenda ten
@noelbabuya
@noelbabuya 4 года назад
Kweli Mungu yupo asiyeamini ni mchawi
@geoffreyjeff5135
@geoffreyjeff5135 4 года назад
Mungu azidi kukutukuza Lissu
@bullasambiga8301
@bullasambiga8301 4 года назад
mngu yu mwema cku zote walika kumuua kwan wao ndo walimuumba
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 4 года назад
Pole Sana Lissu karibuni Sana Tz tuendelee na harakati za kisiasa
@reginaldtemu6305
@reginaldtemu6305 4 года назад
Salum Mwalim...
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
MUNGU awatunze milele
@gerardyoung1707
@gerardyoung1707 4 года назад
Natamani ukute lisu kasha ichukuwa nchi
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 4 года назад
Mungu ndo muamuzi wa yote
@yusuphkitainda9799
@yusuphkitainda9799 4 года назад
Tundulisu NABII
@fadhilafaraja7582
@fadhilafaraja7582 4 года назад
Wewe nakuelewaga mno,kwani uumuungwana na mstaarabu sana unajitambua sana zaidi Bwana akutunze
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Aisee Lissu nyumbani unakubalika kweli Lissu ni Nabii
@korshenramadhan6047
@korshenramadhan6047 4 года назад
Ikiwa hivyo basi hawa au yeye ni wale tuliombiwa watakuja manabii wa uongo
@jacksonjoel6724
@jacksonjoel6724 4 года назад
Nabii wa mashoga
@lusianajonas7684
@lusianajonas7684 4 года назад
Sindida amken jaman.huy makamo wa rais anawasii vizur sana.tumchague jaman
@lusianajonas7684
@lusianajonas7684 4 года назад
Singida juuuu
@lusianajonas7684
@lusianajonas7684 4 года назад
Lisu kaleta heshima singida walai tena
@rdmjeshi
@rdmjeshi 4 года назад
Kiu ya tundu lissu ni kuitumikia nchi tumpe kura ili atekeleze matakwa ya nchi na ninaamini maendeleo yatakua makubwa maana wapinzani hawatakubali kuachia nchi hivyo watajitahidi kufanya maendeleo tuwape kura isitoshe
@jjm4583
@jjm4583 4 года назад
Hata mimi natabasam kwa kwer
@justinematungwa3727
@justinematungwa3727 4 года назад
Mungu ni mwema wakati wote
@jjm4583
@jjm4583 4 года назад
Nawakubari sana
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Huyo ni MUNGU Risasi 18 huyo ni MUNGU
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 года назад
Risasi 16 sio 18 ndugu yangu
@mohamediddi8179
@mohamediddi8179 4 года назад
Fafa nua sentes yako ,huyoo simungu nilisu kapona kwa uwezo wamungu .ila kama umekusudia hivi nilivyo sema mm samahan
@korshenramadhan6047
@korshenramadhan6047 4 года назад
Allah Akbar
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 4 года назад
Hata ingekuwa risasi moja ukipigwa moja unakufa
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 4 года назад
Hata risasi moja inaua
@023gstan6
@023gstan6 4 года назад
Tupo pamoja makamanda
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Tuko pamoja
@rajabuomary3258
@rajabuomary3258 4 года назад
Chadema mpiga picha hamna hajui kabisa. Mukutano wa siasa inatakiwa uwe una onesha watu sio kuonesha anae utubia tu
@gizakazeno1688
@gizakazeno1688 4 года назад
Watu wachache aibu kuwaonesha
@rwegoshoramwemezi3420
@rwegoshoramwemezi3420 4 года назад
Kapige wewe
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 года назад
Hahaaaaa
@alphamunicy9650
@alphamunicy9650 4 года назад
Fungua macho
@stellamassae4331
@stellamassae4331 4 года назад
@@gizakazeno1688 peleka ukoo wako ukajaze
@gerardyoung1707
@gerardyoung1707 4 года назад
Maneno yenye akili
@juliasmtundu6727
@juliasmtundu6727 4 года назад
UMI MWALIMU HUYU MHESHIMIWA LISU APUNGUZE MAKOMBORA MAKUBWA MAPEMA MUNO
@stellamassae4331
@stellamassae4331 4 года назад
Wasojielewa wanashangilia sbbu hawajaguswa ktk familia zao cku ikiwatokea nao wakapata maumivu cdhan kama wataendelea ongea upuuz!
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 года назад
Wakamnyima matibabu, Wakamnyang'anya Ubunge na Wakamfungulia kesi nyingi, Halafu bado Watanzania tunawaita watesi wake kuwa WASIOJULIKANA , Kweli hata kama hatujui Kusoma hata Picha sasa tusijiongeze. Au Tunasumbuliwa na Uogaaaa! Nani Amfunge PAKA kangereee!
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 года назад
ww unaaakil sanaaa unafikir sanaaaaa umelimikaaaaa ww n mtz unayojitambua !
@stellamassae4331
@stellamassae4331 4 года назад
KWELI INAUMIZA SANA,Wa
@yassiniferuzi2867
@yassiniferuzi2867 4 года назад
Salimu Zwazwa wa Mazwazwa Kiongozi gani Wewe huna mvuto kaimbe Taarabu na Mzee Yussuf ndio saizi yako
@atiliogisanganga3964
@atiliogisanganga3964 4 года назад
Viongozi bora kabisa ndo tunao wataka
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 4 года назад
Siasa isikufanye ukufuru, lkn lisu sio nabii
@rogermiller1489
@rogermiller1489 4 года назад
Tumeambiwa Magufuli ni kama Yesu.....Ninyi CCM mna kiburi sana. Kuna manabii wengi sana Africa, wakiwemo Shilla na wengineo. Nini maana ya Nabii?
@pasover-furahamrema601
@pasover-furahamrema601 4 года назад
Ramadhani Mmana mbona unalia, tulia usi panic
@mussahuyya7775
@mussahuyya7775 4 года назад
Wadau tutor maoni ya kuelimisha kutukana na kudhihaki kama jinsi baafhi yetu tunavyofanya haisaidi sana kutoa mwelekeo wa siasa za nchi hii tukitoa maoni tukumbuke sote ni watanzania tusifike kujengeana chuki ,kwa mwelekeo wa sasa wanaomhitaji LISSU waseme yakwake mazuri na wanaompenda magu waseme ya kwake mazuri ili tupate kuchambua ngano na magugu.
@stellamassae4331
@stellamassae4331 4 года назад
Sahihi ndg
@emmanuelmamelela7786
@emmanuelmamelela7786 4 года назад
Lisu ni mkombozi
@samwelsimon9278
@samwelsimon9278 4 года назад
Najuwa shetani aliye taka kumua Lisu yuko Tanzania anapata shida sana na malaikawake hadi kuzimu aimtaki
@jameswerema3037
@jameswerema3037 4 года назад
Hivi msiba ninani hapa tanzania
@taifafitina6547
@taifafitina6547 4 года назад
Msemaji wa taifa
@ramadhanimahongole8764
@ramadhanimahongole8764 4 года назад
@@taifafitina6547 musiba ni msemaji wa ccm inayo mlisha pumbavu zake
@rdmjeshi
@rdmjeshi 4 года назад
Unaombea msiba kwa mwenzio mungu kamlinda lisu
@shigundacosmas5236
@shigundacosmas5236 4 года назад
Rais wa chadema
@muselematiku2100
@muselematiku2100 4 года назад
Ila lisu ni noma Kwan police wapo wap au hawapo nchi hii
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 4 года назад
Polisi wa nn wewe bogas
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 4 года назад
Acha kufuru damu ilimwagika ili aje aikomboe nchi sasa subiri huo ukombozi labda hapo ikungi si tz yaani mnachekesha eti nabii mweee na Mungu atawafutia hiyo kauli eti damu ilimwagika ili aje aikomboe nchi hatari
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 4 года назад
Lazima damu yake iwe ukombozi mfia.haki
@korshenramadhan6047
@korshenramadhan6047 4 года назад
Kweli kabisa wanakiuka mipaka ya kidunia na dini
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 года назад
Sheikh imesikia ilo naona kazungumza mengi tu, hapa siasa tu hatutaki watu wenye choyo na ubinafsi, siasa sio ugomvi
@ambasonkalenga2047
@ambasonkalenga2047 4 года назад
Kwaani Tanzania niyakwenu tu. Sisi niwatanzania wala sio Mali ta ccm
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 4 года назад
@@ambasonkalenga2047 mimi nawaambia huwa hamjitambui nani kasema nyinyi si wa tz?mweee yaani hiki chama cha cdm ni shida sana hamjielewi kabisa
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 4 года назад
Unaweza kuongoza lnd wilaya au tarafa ataa kata inakufaaa Ilaaa umakamu Rais mmmmh magufuri
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 4 года назад
Kama salum shetani atakuragai ukaja kuwaumiza Chadema Kwa kuamia Kwa walio mpiga lisu lisasi utafika mbari Sana nyota yako inatabili uku wako Wa badae Mungu na asimame nawe Mimi ni mwana CCM Ila nakukubali Sana
@mwitagabriel7854
@mwitagabriel7854 4 года назад
Mara risasi 16 mara 18 mara 26 nashindwa kuwaelewa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 года назад
Oh risasi oh risasi mtaifanyia nini nchi. Waliokufa wangapi.Yaani nimecheka kweli risasi gani 18 zisizogusa popote jibu mnalo kuwa hazikuwa risasi
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 года назад
acha ukuma ww
@iddykanani3311
@iddykanani3311 4 года назад
Imekuingia hio
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 4 года назад
Blandina acha ulembukeni
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 4 года назад
Sio lisasi kumbe Nini acha ujinga na ushabiki wa kijinga yaliomkuta lisu ni mambo ya kumshukuru mungu
@mcjogopah8513
@mcjogopah8513 4 года назад
Acha upuuzi Lissu aliteseka sana na anatesekisa ss acha tufurahie ukomboz
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 4 года назад
Tunajua yaliyompata leteni Sera sasa za.kujenga nchi. Hakuna huruma kwenye maendeleo
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 года назад
Huruma ndio chanzo cha maendeleo NA baraka zitashuka toka kwa Mungu
@paulminja6345
@paulminja6345 4 года назад
Wew acha haraka wakati wa sera bado saiv ni ushuhuda tu acha kuweweseka bwana mdogo na wakat wa kampen bado mziki bado
@jastinimaganga3927
@jastinimaganga3927 4 года назад
Una akili ya kitoto ujakua ki akili
@paulminja6345
@paulminja6345 4 года назад
Wew ndio akili huna bado wakati wa kampeni kama wewe unaakili nakukumbusha kila kitu na mda wake tulia wakat wa sera utaskia saiv sio kampen
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 года назад
@@paulminja6345 NA ikija sera hawa wajinga watauliza pesa za kufanyia mtapata wapi. Kwaio waangalie tu
@mussamapesa5632
@mussamapesa5632 4 года назад
Jipeni moyo ongeeni sera mtaifanyia nn nchi sio kutaja matatizo ya mtu watu wana matatizo kuliko ya lisu
@eliasjillanga3158
@eliasjillanga3158 4 года назад
Hapo so kampen alienda kusalimia kwao Kuwa mwelewa
@charlesoden8007
@charlesoden8007 4 года назад
Kwani umeambiwa wapo kwenye kampeni Adi wanze kuongea sera kinawauma sana Eee poleni sana miccm
@malingazeboss9351
@malingazeboss9351 4 года назад
Umetoka kugongwa brother???? Kampen bado elewa hivyo
@josephihonde8125
@josephihonde8125 4 года назад
Tuachieni Lisu wetu.. Yaani nyie mnaomuita Lisu Hana akili fikirieni kama sio Lisu nani angesema ukweli bungeni kuhusu mapesa yalioibiwa na ccm acheni upofu. Lisu ni mtanzania ambae Ana haki ya kuwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tz
@tumainisanga3906
@tumainisanga3906 4 года назад
@@josephihonde8125 tena sana tu lisu anatufaa sana
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 4 года назад
Hahahha yaani nyie. Mwingine anasema hajaguswa utumbo. Mwingine akasema utumbo ulikatwa. Yaani nyie nitakataka matapel nyie.
@ambasonkalenga2047
@ambasonkalenga2047 4 года назад
We mchawi tu ulitakakumuua Mungu kamuokoa we we baki na ushetani wako
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 4 года назад
SIASA NA UNABII | MNAKUFURU HUYO SI NABII UWEZO WA MUNGU NI MKUBWA SANA ,MUNGU HUWA ANAFANYA MAAJABU YAKE MENGI SIO HAYO TUU -MUUMBA ANAFISHA NA ANAFUFUA HAYO NI YA UHAKIKA KABISA | KWAKE MUNGU NI JAMBO DOGO SANA | TUNDU LISU HANA CHEMBE YA UNABII NI MTETEZI TUU WA SERA ZA MASHOGA
@triffokelseyandrea7407
@triffokelseyandrea7407 4 года назад
Mungu azidi kukulinda mh.Antipas lisu
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 года назад
Roho inakuuma
@amanisilayo8810
@amanisilayo8810 4 года назад
Mungu ni mwema Sana muhimu atukuzwe yeye aliye juu, tumwage sera
@frankjoely3313
@frankjoely3313 4 года назад
Shoga ni mama yako na ding ako
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 4 года назад
@@frankjoely3313 BABA YAKO AKISHAFIRWA AKUELEKEZE MABASHA ZAKE HANISI MPEVU WEWE
Далее
MDEE: TUTASHINDA KWA KISHINDO UDIWANI, UBUNGE DAR
5:34
Mnyika afyatua kombora la Makinikia kwa Rais Magufuli
11:31
Niko radhi nivuliwe ubunge - Bwege
3:57
Просмотров 88 тыс.
MWAMBIGIJA AMPA ONYO TULIA KUJIITA RAIS WA MBEYA
15:04