Тёмный

SAMATTA AMALIZANA NA GENK AWEKA WAZI MSIMAMO WAKE, OFA ZA SAUDI ARABIA NA TIMU ATAYOCHEZA MSIMU UJAO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 99 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 111   
@OgesaCTale
@OgesaCTale Год назад
Mbwana Samata, hii interview umekuwa muwazi kweli kweli...! Safi samagoal endelea kupambana man!
@elibarickielibarick175
@elibarickielibarick175 Год назад
10:31
@elibarickielibarick175
@elibarickielibarick175 Год назад
11:13
@mbaroukally8655
@mbaroukally8655 Год назад
Huko Saudia saa hivi apate namba Samata,labda daraja la pili
@paulmsape163
@paulmsape163 Год назад
Samata unaongea vizuri sn, pongezi kwako
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML Год назад
Tunampenda msuva cz anajituma sn kulisaidia taifa lake kwenye timu ya taifa
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Год назад
Nilichogundua sisi baazi ya wabongo tuna roho mbaya uchawi kuombeana mabaya chuki fitina majungu ili lipo sana mtu akifanikiwa atupendi kbc ilo lipo wazi kbc watu Wana chuki zao za maisha wanajifanya wanaamishia kwenye mpira
@manyuhawilson4201
@manyuhawilson4201 Год назад
WELL.SAID @SAMA GOAL
@stevenhipolity6198
@stevenhipolity6198 Год назад
Hanakiwango hata kwenye timu ya taifa hanamsaada
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Год назад
Jaman kwa nini comment nyingi mna mlalamikia samata mpeni ushauri anaweza kupitia hizi comment akajifunza kitu
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 Год назад
Me nakukubali to haijalish uko na kiwango gn🔥
@JoseMulungu
@JoseMulungu Год назад
Hongela jemedar wetu utakuwa wameanza milele endelea kupambana
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Год назад
Woow amazing sana
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy Год назад
Hilo swali la kuhusu kuhama hama inaweza kuchangia kushuka kiwango ni zuri sana. Nadhani Samatta alikosa motivation baada ya kuondoka Aston Villa.
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw Год назад
binafsi namkubali sana sama goal lakini kusema jambo frani halitatokea ikiwa maisha bado yanaendelea hicho kitu sikubaliani nacho ninacho amini tuombeane kheri hakuna mkate mgumu mbele ya chai vijana sasa hivi wanauwasha sana moto
@bobwhite9252
@bobwhite9252 Год назад
Jamaa mtu wa tofaut sana... Na mafanikio yake yote hayo ila very humble
@Adeen.1
@Adeen.1 Год назад
Mtu kuwa humble wampima kwa nini? Kuongea? Kutovaa hereni? Kutochora tattoo? Au? Naomba unisaidie
@gervasbahingayi
@gervasbahingayi Год назад
Jitahidi sana usiende warabuni sisi watu weusi wanatubangua sana kua makini sana nibora ubaki kwawazungu naupewe pesa ndogo kuliko kwawarabu kupewa hela nyingi watakupaki benchi kwakue kibaji kama watanzania tupata hazara kumbuka tunakutemea kama nchi
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Год назад
Mesi akiletwa kikosi Cha mtibwa suger watamchukia, samata wanamuona ana kiwango kidogo kwasababu ya wachezaji anaokutana nao team ya taifa Wana uwezo mdogo ndio maana wanamuona anawaangusha taifa
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 Год назад
Hana mpango huyu angekuwa angalau anafunga kama msuva ili kutuziba mdomo
@kaisarimbisso5011
@kaisarimbisso5011 Год назад
We unavyomuona, ana nafasi ya kucheza Simba au Yanga? Ukweli Ni kwamba kiwango chake Ni kidogo kwa sasa. Anaweza akawa Ni sababu ya team ya taifa kudumaa. Kuna umuhimu akaachwa ili kuenda kwenye direction nyingine
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
tukubariane bana uwezo wake.ndo huo hapo alipo
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Год назад
Samata ukisoma comment temana na wahuni wanao kupa mawazo madogo
@idrisasalum8013
@idrisasalum8013 Год назад
Huyu jamaa hana mpira wowote
@kaisarimbisso5011
@kaisarimbisso5011 Год назад
Kuna umuhimu akaachwa team ya taifa ili kujenga team yenye ushindani zaidi. Anaweza akawa ndio sababu kubwa hatuna muelekeo sahihi. Sioni tukijenga future ya stars wakati tunaendelea kumkumbatia.nahodha asiye na mchngo wowote
@kakasteve7117
@kakasteve7117 Год назад
Kwani kabla ya samata ni lini taifa stars imekua na matokeo mazuri?
@theCashmanier
@theCashmanier Год назад
Atleast wkt wa Samatta wamecheza AFCON.
@gusonyusto9740
@gusonyusto9740 Год назад
Hebu tupe mhongo wako tuone unatupeleka wap
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 Год назад
well said...........ata kuwapa vijana wa u23 fursa awezi.......arudi simba
@shukranitv2971
@shukranitv2971 Год назад
Nenda kacheze ww
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Год назад
Hana mpango Hana msaada Kwa taiga anajikubali mno alafu ni mchezaji wa kiwango Cha kawaida sana Bora timu ya taiga aitwe kichuya.
@kelsonkenedy6473
@kelsonkenedy6473 Год назад
jifunze kuandika
@shukranitv2971
@shukranitv2971 Год назад
Kam hujui mpira kaa kuuanglia tu syo kuropoka ajitumaje Sasa mpka avunjike ndio useme amejituma
@Muda27
@Muda27 Год назад
Timu ya taiga ndio timu gani mpuuzi wewe
@mkodojoseph-kt8wd
@mkodojoseph-kt8wd Год назад
Lights haziko vzr
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Karibu mashujaa, kigoma
@DejoiceChiko
@DejoiceChiko Год назад
We vio unampeleka team za Burundi
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
@@DejoiceChiko ameshindwa ulaya, mashujaa ni levels yake (inacheza nbcpl)
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Год назад
Wachezaji wengi hawapati muda wa kuendana na mifumo ya timu wanazoamia kutokana na mihemko ya makocha na mashabiki.mpira umegeuka kama wimbo wa mwizi.akionekana teyari taharuki.
@sebastianituruki7673
@sebastianituruki7673 Год назад
Namkubali sana huyu jamaa sema tu mpira na umri, now unamkataaa aisee
@JoshuaJezile
@JoshuaJezile Год назад
Sijakuelewa kabisa samatta sijui unaongea vitu gani
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 Год назад
Samata nimekupenda kuongea ukweli
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 Год назад
Wazo zuri
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 Год назад
Congratulations samagols
@westchugagang5323
@westchugagang5323 Год назад
NI KAMA SIMBA KUMJIA MLETE MZUNGU MJUU MPAKA KUONDOKA BORA ANGEACHWA 🙄
@josephmpunta2662
@josephmpunta2662 Год назад
Mchezaji mkubwa huyo kachaza fanal na man city nakafungu siyo kitu rahisi
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Hamna faida hapo.. ni rekodi yake.. tunataka mafanikio taifa stars
@ramadhanmaisa788
@ramadhanmaisa788 Год назад
@@josephlorri431 kacheze ww ulete mafanikio
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
@@ramadhanmaisa788 nimecheza na dadako,akapatikana mjomba wako
@ramadhanmaisa788
@ramadhanmaisa788 Год назад
@@josephlorri431 mkundu wa mamako
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
@@ramadhanmaisa788 namtaka dadako tu,sikuhitaji...usijipendekeze kwangu
@ferdinandlazaro15
@ferdinandlazaro15 Год назад
Captain Diego....
@salumjuma1236
@salumjuma1236 Год назад
Umechoka samata kiukweli
@wishjrtz
@wishjrtz Год назад
mtangazaj saf san unauliz critical questions
@ellyitete938
@ellyitete938 Год назад
Kwann ckuhiz unapiga tushuti mtoto na minazi?
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg Год назад
Ila jitahd sn team ya taifa Kaka unatuangusha sn🇹🇿
@jumaaman6260
@jumaaman6260 Год назад
Umri ushamtupa mkono mwanetu, moyo unataka mwili unagoma
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
@@jumaaman6260 case closed. Umesema hakika
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo Год назад
Mpira ni hakiri mchezaji mtanzania anayejua hivo ni zimbwe na samatta basiiiiiiiii michezaji mingine yote sijui msuva, mingine kutoka yanga inacheza mpira kwa kutumia nguvu nyingi bila akili hayiwezi ata kukotro mpira et unamulaumu samatta
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg Год назад
@@BADILIJUSTUS-fs3oo hmn team yetu Hain uwez jamb la msing n kujituma tyu
@maase2023
@maase2023 Год назад
Mpira umekwisha huyu arudi asomee ukocha akafundishe namungo tu
@Rachid_Daudi
@Rachid_Daudi Год назад
#LiegeEdward ⚽️
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Год назад
Hana mpira mkubwa. Heri ya Mzize
@Juliusmashauri114
@Juliusmashauri114 Год назад
Mbwa wewe mzize bodaboda au nan😂
@dalalizanzibar9583
@dalalizanzibar9583 Год назад
Sasa akija mwingine akitangulia kufunga magoli 10, si huyo wa 10 atakuwa wa kwanza jamani? Ndugu mwandishi bhana!!
@unknown_9942
@unknown_9942 Год назад
Usiangaike mjomba njoo simba nyota yako ing'ae upewe minyunyizo na triple c tuone kama hujaenda man city
@ndakimanota
@ndakimanota Год назад
Unamambo wew
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo Год назад
Chama Hana Kasi ya kucheza na samatta Kuma ww, huyo chama ambaye ni mzigo kwa kocha na club mara 10 Bora ata saido fundi anaweza cheza na samatta
@unknown_9942
@unknown_9942 Год назад
@BADILIJUSTUS nenda kwa mama ako mwambie akufundishe lugha nzuri za kuongea na watu kabla haujauponzaa.
@mgayan1222
@mgayan1222 Год назад
Mwandishi. Umeshaambiwa ni kweli haitavunjika LAKINI haina maana yoyote hadi pale ITAKAPOKUWA INAZUNGUMZIWA sasa bado unakazia kwamba ina maana. JIFUNZE KUWA Good listerner.
@janeththomas5981
@janeththomas5981 Год назад
😂😂 nilifikiri ni mimi pekeyangu nimenote hilo.
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Mwandishi ni chawa sana (mwijaku akasome), anataka bahasha baada ya hapo.. unampa sifa hadi mwenyewe anakushtukia..
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Год назад
Samata una bahati na gundu pia unalo maana uwaga auchukui makombe
@ndakimanota
@ndakimanota Год назад
Hachukui makombe yapi
@bhm675
@bhm675 Год назад
@@ndakimanota 😂😂😂
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy Год назад
Umeanza kumfuatilia 2022😂
@habibuhamisi7796
@habibuhamisi7796 Год назад
makombe mbona amechukua
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 Год назад
SISI WA TANZANIA INATEGEMEA UMEZALIWA KUTOKA FAMILY GANII ILA COMMENT ZINAWEKA WATU KATIKA MATABAKA ILI TUJUE WAZAZII WALIOWAZAAA KWAHIYO KIUFUPI COMMENT NA UNAYO YASEMA NDO FAMILY YENUUU KWAIYO .........
@franccoz94
@franccoz94 Год назад
Arudi tu simba
@Lassana755
@Lassana755 Год назад
Huyu ata ndo ndo hapati number
@unknown_9942
@unknown_9942 Год назад
Naona jamaa kaamua kustaafu maana huko saud hamn mpira ataenda kucheza atapata mshahara tu na kukaa bench
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 Год назад
Nikwl
@kaisarimbisso5011
@kaisarimbisso5011 Год назад
Saudia hana.nafasi. Hata.msuva hana uhakika tena kwenye daraja la pili anakochozea. Mpira umepanda kule.
@bhm675
@bhm675 Год назад
@@kaisarimbisso5011 msuva yupo championship sio Daraja la pili
@kaisarimbisso5011
@kaisarimbisso5011 Год назад
@@bhm675 sorry. I was supposed to say yupo kwenye.second tier nyuma ya premiership, ambayo ndiyo championship league. Nchi nyingine wanaiita first division. Msuva anastruggle kuextens contract huko. Nafasi ya samatta ni finyu, in my opinion
@unknown_9942
@unknown_9942 Год назад
Mpira unaenda sambamba na umri kiukweli samatta na msuva mda wao umeisha hakuna makubwa tutakayoyaona tena. Samatta muda wake ulikuwa kipindi kile yupo Genk anachukuwa tuzo ya mfungaji bora, na muda wake uliisha akiwa Aston villa, kwa ufahamu wangu mdogo tu.
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Год назад
Kiwango kimeisha kaka rudi bongo
@jamaalsaleem2926
@jamaalsaleem2926 Год назад
Samagolii
@cadiaonesmo9660
@cadiaonesmo9660 Год назад
Tatizo ni ubinafsi ulonao kwenye timu ya Taifa hupambani kama wengine wanavyo pambania tmu zao ndo maana hutoboi
@franklinchiduo6988
@franklinchiduo6988 Год назад
hahahaha hatoboi kwenda wapi tena?
@lilianjonas2272
@lilianjonas2272 Год назад
Ndo ushangae,,, Yani tatizo watanzania Elimu ndogo , Pili hatuna exposure😝Ukisoma comments utajua weng hatuna kazi so hatuelew kaz n nn, changamoto za kazi, na maendeleo ni nini.
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj Год назад
Juhudi hakuna
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 Год назад
Kwl kbs
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 Год назад
Tatizolako hutowi kafara fanya kama wengine mwaga damu kk wanasema kazi na dawa kk amkaaa ww kam pesa uponazo unakwama wapi ss
@killingmleke1810
@killingmleke1810 Год назад
Huyu ni mtu wa ibada wewe unataka atoe damu ili iweje ?yani aingie zambini kisa maisha ya dunia?huo siyo ushauri mzuri
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 Год назад
@@killingmleke1810 saw kamanihivo wasimseme vibaya kwanacho kifanya ndoi nguvuzake za kawaida zimeishia hapo
@ntegrity277
@ntegrity277 Год назад
SAMATA NI MBINAFSI SANA HAJAWAHI KUSHIKA MKONO MTU YEYOTE KUTOKA TANZANIA HE IS A SELFISH PLAYER AND WITH LITTLE EFFORTS
@tusaradrusia9670
@tusaradrusia9670 Год назад
Ata mshika main mkono na yeye mwenyewe bado ana jitafuta. Mahana hakuwa star kiivyo
@thomaskulwa425
@thomaskulwa425 Год назад
Mpira sio tako wewe! Kaa kimya. Na huyo siyo wakala uelewe
@AnualyJonas-vo7cf
@AnualyJonas-vo7cf Год назад
Kelvin John umemushika mkon wew
@FaridiMohamed-dd4hr
@FaridiMohamed-dd4hr Год назад
Wewe Kuna nani umemuona kamshika mwenzie mkono acha uchawi ww mtoto
@ntegrity277
@ntegrity277 Год назад
Sisemi amchezee mtu asaidie wengine kwani anampira Gani wa ajabu! Kuna vijana wanacheza soccer balaa! SAMATA IS A SELFISH PLAYER HATA SHULE ALIOSOMA YA MSINGI WATOTO WANAKAA CHINI!
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Год назад
Unaadapt nini wewe probably ulitakiwa uonyeshe tarent yako
@franccoz94
@franccoz94 Год назад
Arudi tu simba
Далее
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,4 млн
Het moment van Samatta en Van Rumst
2:42
Просмотров 57 тыс.