Тёмный

"SAMIA WAACHIE WATANGANYIKA WANAUWAWA SANA HATUSIKII WAZANZIBAR WAKITEKWA NA KUUWAWA" 

IPINDA ONLINE TV
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

MWAMBIGIJA ATEMA CHECHE BUSOKELO AMVAA MBUNGE WA CCM

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@djumakonki1964
@djumakonki1964 2 дня назад
Dr Slaa Aliwahi kusema kwamba chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe ,Video ya maneno yake ipo kwenye RU-vid.
@MargaretManyanda
@MargaretManyanda 4 дня назад
Rubbish
@ShehaHassan-ev7st
@ShehaHassan-ev7st 4 дня назад
Hivi chadema mnasahau tunaavyo uwawa cc wazanzibar kipindi cha uchaguzi Yani miaka yote takriban tunakua ktk tabu Yani tunatamani hii nchi iwe ya kifalme ili tuepukane na haya mauwaji.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz День назад
Ni kweli kabisa.uko sahihi,wazanzibar kila kinapofika kipindi cha uchaguzi wanauawa sana wanapojaribu kutetea haki yao ya kushinda uchaguzi.Inasikitisha sana kuwapora uchaguzi na kuwaua.Mzee wa watu maalim hadi anaingia kaburini wamemnyima haki yake ya kutawala.sijui wataenda kujibu nini kwa Mungu.
@user-yw5nk8xp1z
@user-yw5nk8xp1z 4 дня назад
Umeongea sn swala ladeleva kutomtete abiria wake na abiria wote wakawa manyumbuu
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 2 дня назад
Kichwa cha habari ni cha ovyo sana.
@user-sc5iq4nl7c
@user-sc5iq4nl7c 2 дня назад
HIVI HUJUI FOLENI YA DAR UNALOPOKA DEREVA AKIMBIZE BAS HIVI ATAPITA WAPI KWA FOLENI HIVI UNAZUGUMZA KAMA VILE HUJUI MUHIMU WA BUNDUKI
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 2 дня назад
Chadema wabaguzi sana
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 День назад
Wabaguzi ni shangaz zako kenge mkubwa
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 День назад
@@uwezomayonko5101 matusi ya nini tena wakati chadema wabaguzi tena Wakidin kikabila lakini nyny chocheeni sisi tutapiga kira
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 20 часов назад
Sijuwi anataka Wazanzibari tuuawe kiwango gani!na pia hata huyo kibao nadhani hawafahamu ksma ni Mzanzibari!
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 дня назад
Tuko pamoja makamanda wetu
@kombomachano6188
@kombomachano6188 9 часов назад
Watanganyika hamuna kunbukubu mumesahau walio uliwa Pemba
@MarwaKipilipili
@MarwaKipilipili 4 дня назад
Ukiona Wana nchi wa nchi yoyote wanatendewa ubaya ujuwe kwamba wanyonya nchi wanaabudiwa na utawala kama hii nchi yetu wanyonyaji weupe wanaabudiwa sana.
@ajuayesanga1964
@ajuayesanga1964 День назад
Mwamba kama mwamba hujawahi niferisha
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 дня назад
SABABU HUKU KWETU MAPALOKO WAMEJAA SANA NA WENGI WAKO SACCOOS 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 дня назад
Huyu msemaji kweli aongea Pemba Eti basi la abiria lishindane na magari madogo mawil? .Halafu ataka wahusika wa basi wabishane na watu wenye silaha za moto
@NikolasPius-fk9fn
@NikolasPius-fk9fn 4 дня назад
Uko sahihi
@rastapeace9616
@rastapeace9616 2 дня назад
Hayo sasa ww mzee wacha hyo mambo yako unajuwa unachonganisha wananchi
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 2 дня назад
Mwenge wa uhuru uchome 😁🙄
@YussufKhamis-n4c
@YussufKhamis-n4c День назад
Wacha ushamba mwehu unaejipendekeza Samia ni raisi wangapi macho hii ? Ni watu wangapi walio uwawa mbona hayakufanyika maandamano ?usijifanye zuzu Pemba walikufa wangapi ? Raisi alikuwa nani ?Wacha kuwakhanithi watu mbaguzi mkubwa .
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 3 дня назад
Watanganyika Bado sana wamelala na kulowa u Tanzania kuliko wazanzibali walivyo wamoja ingawa nao wanateseka na joka la mdim
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz День назад
Uko sahihi sana
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 4 дня назад
Ni kweli watanganyika wanauwawa lakini zamzibar haka rais mzanzibar waziri wa ndani mzanzibar watanganyika tupo salama kweli?
Далее
Mini bag sealer
00:58
Просмотров 5 млн
Тарковский - гений
00:48
Просмотров 742 тыс.
Why Egypt and Somalia are Teaming Up Against Ethiopia
10:50
The Problem With Elon Musk
42:46
Просмотров 3,9 млн
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Просмотров 13 тыс.
Mini bag sealer
00:58
Просмотров 5 млн