Тёмный

SASA WAZEE KULIPA NUSU NAULI Z'BAR 

Подписаться
Просмотров 299
% 3

CHAKE CHAKE, Pemba: RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi kuishughulikia Sheria ya vyombo vya barabarani na kuharakisha mchakato wa kuwapatia Wazee vitambulisho maalumu vitakavyowasaidia kulipa nusu nauli kama ilivyo kwa wanafunzi na watu wenye ulemavu.
Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Wazee, duniani katika ukumbi wa ZSSF, Tibirinzi Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba.
Pia, Dk. Mwinyi ameziagiza taasisi zote za serikali, zinazotoa huduma za usatawi kwa wazee, kuzishughulika haraka na kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazowakabili wazee hao.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: Spotileo-176...
HabariLeo: habarileo/
DailyNews: dailynewstz/
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии