Bigapu Sana mungu Hawa bariki tupo pamoja Sana kutoka get ila Kuna nyimbo yenu nimejalibu kui Sachi inaitwa Waka kimbia uku na kule wakitafuta watoto wao mungu away bariki sana
Wapendwa katika bwana mmbarikiwe tena sana duh! Hongereni mmeiwakilixha kyela mbeya Tz@ wimbo umetugusa sote watazamaji mtuaupdatie zingne big up mwakajengele pamoja na group lote "::""";