Тёмный

SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY || HII NDIO DALILI KUBWA YA MAULIDI APINGAE APASUKE 

RAMIYA WETU TV
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 3,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@kdjkakdjkada66556
@kdjkakdjkada66556 2 дня назад
Mashallah, shukran sayyidii shariff abdulqadir
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 3 дня назад
Masufi mnashida sana hakika njia ya kwenda kwa allah subhnallah imekaliwa na maadui wengi ndo kama hawa hakika hawa mashekhe wa tasaufi wazuia watu kujua haki hakika ni watu wabaya mnoo na hawa mashekhe kama hawa wanapaswa tuwachukie kwa ajiri ya allah
@mustafabdullahi3485
@mustafabdullahi3485 День назад
Mashalah
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 дня назад
Sheikh leta hoja acha porojo, unaongea uwongo dhidi ya Sheikh Abdul wahby . Mche Allah
@SuleimanUstadh-g2z
@SuleimanUstadh-g2z 4 дня назад
Mashllah tabarakallah very nice waambie wasikie
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 4 часа назад
Acha NYAMBU MZEE.....MAULIDI NI IBADA YA KIZUSHI YA KUBUNI.....TENA IMEBUNIWA NA MASHIA AMBAO WANAMTUKANA RASUL......KARNE YA 4...MISR.....DOLA YA FATWIMIYA.......MCHENI ALLAH ....ACHENI NYAMBU
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg 5 дней назад
Maashallah
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 4 дня назад
BIDAAA NI UPOTEVU NA UPOTEVU NI MOTONI VEP APO
@abiabi9353
@abiabi9353 4 дня назад
​@@FahdIbnyussufmawahabi hamna uwezo wakuthibitisha bidaa ya maulidi
@golden_Thinkerz
@golden_Thinkerz 4 дня назад
Nyie Mnampenda Mtume Kumpita Abdubakar Na Umar Hemu Zindukeni
@abiabi9353
@abiabi9353 4 дня назад
Wewe wahabi jahili kweli.ndo umesema nini hapo
@muhideennoor2458
@muhideennoor2458 4 дня назад
Ndio mimi nampenda mtume s.a.w kuliko abubakar n omar r.a
@kdjkakdjkada66556
@kdjkakdjkada66556 2 дня назад
Twapenda wote, ww ni jaahil muraqab
@MueraAlmasse-vi6jh
@MueraAlmasse-vi6jh 4 дня назад
Ebu muogope mwenye zimungu ewe sufi
@suleimancheo2776
@suleimancheo2776 4 дня назад
Maulidi ni kitu au ibadan!!!! Hata hilo masufi hamuwez kutofautisha
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 4 дня назад
MUNKARII MBAYA KUWAIGA WAKRISTO WANAVOMUADHIMISHA ISSA NA HAWA WANAFANYA GHULUU KWA MTUME MUHAMMAD WAKAMSHEREHEKEA KM WANAVO SHEREHEKA WAKRISTO
@abiabi9353
@abiabi9353 4 дня назад
Haha hayo ni maoni yenu mawahabi. Allah mwenyewe kasema tumfurahikie mtume.
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 4 дня назад
@@abiabi9353 ASHEREHEKEWE KWA KUKATIWA KEKI
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 4 дня назад
Wapasuke mpaka wafe haswaaa
@tibaasiligreatmoment8850
@tibaasiligreatmoment8850 4 дня назад
Shubha Hii Ilijibiwa Muda Mrefu
@JumaBinAbdallah
@JumaBinAbdallah 4 дня назад
Tafadhali ndugu wacha matusi,matusi si sulihisho.
@JumaJuma-i2g
@JumaJuma-i2g 4 дня назад
JEEEE MIRUNGI NAYO NI MUBAHA ?
@OmaryallyMngoma
@OmaryallyMngoma 3 дня назад
Uzuli wake na wale wanao pinga mauĺdi na wao wana angalia
@mussahussein3583
@mussahussein3583 4 дня назад
Khaa... izo hoja we... mmh ndio nini sasa sasa kuwa na darasa aubkudarisisha sehem siku flani ndio inaingia wapi na hoja ya kukhusisha siku na ibada flani... Tunamuomba Allah atuongoze
@HanafiZayumba
@HanafiZayumba 4 дня назад
Masheikh zetu waelimisheni Hawa ambayo elimu wanayo lakini wamekosa malaafa hakuna anae kataa kusifiwa Sasa inakuja kusifiwa mtume s a w kue ni kosa
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 2 дня назад
Upuuz mtupu
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 дня назад
Mcheni Allah masufi, uzushi ni uzushi tu . MAULID ni uzushi. Maswali la msingi. Swahaba gani amesoma MAULID..?
@jamalkishangu
@jamalkishangu День назад
Una fahamu maana ya neno maulidi. Au wewe ni miongoni mwa masheikh malimbukeni?
@AbuubakarBakar-s2z
@AbuubakarBakar-s2z 4 дня назад
Mbona mawahabi hawazungumzi kuhusu hii historia ya waengereza
@abiabi9353
@abiabi9353 4 дня назад
Waengereza ni mabwana zao ndiyo wakuja na fikra za kupinga mapinduzi
@KareemKaka-l2k
@KareemKaka-l2k 3 дня назад
Tutasoma maulidi mpaka Kufa tutamsifu mtume tutamtangaza mtume popote na kivyovyote.
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 2 дня назад
Mutamtangaza mtume kote? Hata ukawa choni wanya pia?
@JumaJuma-i2g
@JumaJuma-i2g 4 дня назад
HEEEE HIII MPYA SASA KILA MWAKA UNAKUJA NA MPYA
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 4 дня назад
NYINYI HAMUONA DINI ZAIDI YA HAYO TUUUUU. MTUME HAKULETWA KWA HAYO BABUUUUU
@ArabinSuper
@ArabinSuper 3 дня назад
Allah n shaahid na hata yeye yuwajua kuwa story aliyo itoa kuhusu Muhammad ibn Abdul wahhab ni uongo.
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 4 дня назад
Sio kumsifu tu na kumfuata
@abiabi9353
@abiabi9353 4 дня назад
Mawahabi ndiyo hawamfati mtume
@alisaid1347
@alisaid1347 4 дня назад
DOH TATIZO NI HAO WANAOSIKILIZA SJUI WANAELEWA !!! HUYU SHEKHE WENU ASEMA MAULIDI HUKMU YAKE NI MUBAAH, NA MUBAAH HUA HAKUNA DHAMBI WALA THAWABU UKIFANYA NA USIPOFANYA NI SAWA. SASA BASI WAAMBIENI HAO WANAOTOA PESA WENZENU WANAONA NI IBADA KUBWA
@HemedSerious
@HemedSerious 4 дня назад
Hujaelewa
@MikidadMwabawa
@MikidadMwabawa 4 дня назад
Tatzo huwez kuelewa kabixa
@yassinm69
@yassinm69 4 дня назад
Wapotoshi hawa
@salimobeid1470
@salimobeid1470 4 дня назад
Mashallah we uliokua kwenye uongofu
@binzubeir6510
@binzubeir6510 4 дня назад
Maneno mengine yanahitaji kutafakari tuu, Maulidi Bidaa kwisha kazi. Utawadanganya hao hao wafuasi wako.
@MikidadMwabawa
@MikidadMwabawa 4 дня назад
Na ww utadanganywa na hao wajaalana za mashekh zao
@abiabi9353
@abiabi9353 4 дня назад
Mawahabi hamna jipya. Ni yaleyale yakilasiku. Hamuna uwezo kielimu kuthibitisha bidaa ya maulidi
@abusihaa6396
@abusihaa6396 4 дня назад
Sijawahi kuona mtu mjinga mwenye kutetea kusherehekea mazazi ya Mtume alayhi salat wa Salaam kumliko huyu
@Hassanrudeni
@Hassanrudeni 4 дня назад
Ss ww mwerevu tuoneshe uwerevu wako tu uwone ama n Yale Yale useme Hujui 😂😂😂😂 Polee banaa hataa mkitupa sumu ss tuko pale pale ss n mtu mtume n ss mpka kufaaa
@abusihaa6396
@abusihaa6396 4 дня назад
@@Hassanrudeni wajinga nyie rudeny mwezako alivyo kua Jeddah watu wakikimbilia kuswali ijumaa makkah alikua akisema nendeni nyinyi lakini mimi(akimaanisha yeye) atawashika mkono awatie peponi vile ni Sharifu maskin hajui kwamba ni "MALIFU"
@hassanheresiwambura8341
@hassanheresiwambura8341 4 дня назад
Soma ww huna elimu ya kutukana mashekh
@abusihaa6396
@abusihaa6396 4 дня назад
@@hassanheresiwambura8341 Wewe unawajua mashaikh kweli? Hao ni mashehena
@MikidadMwabawa
@MikidadMwabawa 4 дня назад
Ww unaoita mashekh wajinga ujui ww mbele ya Mungu ni mjinga wa mwisho kabisa
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 4 дня назад
😂😂😂😂😂😂mchezo halali n upi!?? Mchezo wa mahabasha ulikua wa panga na ala za kivita!!!! Hawakucheza Ngoma Kam nyie mfanyazo!!!!!
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 4 дня назад
Baba ushaazeeka kweli ndio iblisi kakupa jawabuu!!!!!! Mtume kafanya maulidi kwakufunga siku alozaliwa Sasa wew walazimisha hii dini niyako!???
@abiabi9353
@abiabi9353 4 дня назад
Wewe tuthibitishie kwamba mtume kasema asherehekewe kwa kufunga tu.
@MikidadMwabawa
@MikidadMwabawa 4 дня назад
Tatzo wengi hamjasoma lakn ujuaji mwng
@genius0045
@genius0045 4 дня назад
Kuchezza na kufanya ma Biddah Si kumpenda mtume , hamfuatti sunnah yaake ati wanampenda mtume Salah allah alleyhi wasalam, warongo tu .
@salimobeid1470
@salimobeid1470 4 дня назад
We usiefanya bidaa alhamdullilah ubarikiwe
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 4 дня назад
Malalamiko yakonpeleka police. Kwa sunna yako mbili tu ya ndevu na kidiku wajiona mwana sunnaaa.
@genius0045
@genius0045 4 дня назад
@@mybabyarchive2104 Kwa nini nyinyi Masufi mnanyoa ndevu zenu? Je, Mtume Salah allah alleyhi wasalam, alinyoa ndevu zake? Je, aliwaamrisha Umma wake kunyoa ndevu zao? Jibu ni hapana, bali aliwaamrisha tuzikuze ndevu zetu, na hilo ni amri ambayo tunapaswa kufuata. Lakini nyinyi Masufi hata hamjui jinsi ya kuswali vizuri. Pia mnafanya shirki kwa kuomba msaada kutoka kwa wafu, mkisema "Al madad ya Badawi" au "Al madad ya Sheikh Abdul Qadir."
@saifancal1629
@saifancal1629 4 дня назад
Kwani bidaa ni nini?
@HemedSerious
@HemedSerious 4 дня назад
Malalamiko
@AliJabal-fx8pd
@AliJabal-fx8pd 4 дня назад
Mrongo mkubwa wewe.
@MikidadMwabawa
@MikidadMwabawa 4 дня назад
Hata ww pia mrongo
Далее
Prank Orchestra
00:10
Просмотров 1,6 млн
SHEIKH MBARAK AHMED AWES || BID'AA NI NINI???
1:07:01
Просмотров 1,2 тыс.
USAHIHI WA MAULIDI SEHEM YA 1 || SHEIKH MUHAMAD IDDY TZ
30:20