Тёмный

#MASUFI 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 255   
@user-rq8le1cd9b
@user-rq8le1cd9b 3 дня назад
Nakupenda sana sana sanaaaaaaaa kwaajir ya ALLAH shekh Muhammad nassor bachu . Allah atuongz waislam wotee inshallah kwan naumia sanaaa
@ALiBAba-zz2td
@ALiBAba-zz2td 3 часа назад
skuizi na nyny mnaazimisha mazazi ya mtume.Mashallah. nimeona na kishki Tv. Shukran sana.
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 дня назад
Jazaka llahu khaira
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 3 дня назад
Daah shekhe wangu kiukwel kabisa jins unavyo zungumza mwenye akili wala hahitaji maelezo zaid upo sahihi sana Allah akujalie
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 дня назад
Hii kila mwaka Inasemwa na watu maulidi tunaendelea kusoma.... Sio Lazima watu woooote wasome maulidi..... ndio maana ya kuwepo kukhitilifiana.... Mlokuwa hamsomi maulidi.. Msifatilie wala kuangalia.... Mbona Kulikuwa Kimyaa Endeleeni tu na Raddi kati yenu ma SALAFIYA ALJADIDA NA SALAFI WA KALE....
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 3 дня назад
Tatizo la bachu anahisi ana elimu zaidi! Unajua most ya watu wanaishi kwa mihemko!!!! Sasa kujua kwingi mbele giza……. Hawezi kua na elimu ya kumshinda said jafar iwe itakavyokua…….. ( unajua kuna vitu vingi vyakukazia ili jamiii ikae sawa…. Vijana hawaswali na madawa ya kulevya au watu kudhulumiana katika jamii hivi vitu vilitakiwa vipigiwe kelele sana!!! Ila watu hawaoni wao maulidi maulidi!!!!!!!! Kuna mayatima na wajane wanasumbuka pia ilitakiwa waislamu na wanaharakati wayashughulie haya jamiii ingefikia mbali sana…..pia kuna sehemu vya vivuko wanafuzi wakirudi shule unaweza kusimamia kwa kuwavusha ili jamii kuepusha na mabalaaa ya ajali hatufanyi hivyo…watu wamekaaa kupinga maulidi ndio wanahisi kukamilisha uislamu…..watu wanafikra mbovu sana
@McT-m1m
@McT-m1m 2 дня назад
Mbona gazette la mwananch afu umeboronga tu
@maadinaJuma
@maadinaJuma 4 дня назад
Allah akuhifadhi endelea kufikisha hata akikusiki liza mtu mmoja ukimaliza kwahawa masufi rudi kwa salafi jadida
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 5 дней назад
Hhhhhhh yani mtabweka sanaa kisha mtachoka kama walivyo choka walio kua kabla yenu lakini maulidi tutayasoma na yatazidi kila kukicha mpka siku ya kiyama.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Kuchoka sahau,ila mpaka ionekane waendao maulidini ni ninyi wenyewe masheikh wali na wajinga ktk dini
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 4 дня назад
@@hafidhwajina6718 Kwani mumeanza kubweka lini na mpaka leo maulidi tunasoma nakila kukicha yanazidi na hakuna siku yatapungua hata mubweke vp
@SalumKarzai
@SalumKarzai 4 дня назад
@@hafidhwajina6718 jitahidini na wali tutaula kama Bachu wenu alivyokula Kenge kwa kicheko 🤣🤣🤣
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 дня назад
Ni haki yenu juu ya maamuzi yenu.Yy ameelezea tu ukweli wa mambo ulivyo.
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 4 дня назад
@@johariabdalla3319 ukweli gani Kweli wa kishabiki hamna kitu hpo na ndio maana munaishia kubweka tu.
@nassorochura7838
@nassorochura7838 9 минут назад
muhammad bachu upo sahihi tatizo sisi waislamu hupenda sana kukalilishwa bila kusoma na watu haohao wanatoa hadithi ya bi aisha alipo sema mtu atakayefanya jambo ambalo hatukulifanya sisi atarejeshewa mwenyewe sasa tuwaulize watu wa maulid hili ni la nani sasa
@PapaabdouAli
@PapaabdouAli 4 дня назад
Karibu sheikh wetu Mohammad Nassoro Bachu , Hapa Visiwa vya KOMORO , Uje utowe Giza la Ujinga lama Mashiya . INSHAALLAH ❤
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 4 дня назад
😂 hao wangazija hawaezeki kabisa
@bagalucha
@bagalucha 3 дня назад
@@Khalid-mf3iuMahurafi wamevamiwa na Shia,kwa vile manhaj zao zina urafiki mkubwa na mashia
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 3 дня назад
​@@bagaluchahao mashia ndio msiwajaribu kabisaa mawahabi elimu ya kibanii Umayah msijaribu kuwachokoza wafuas wa ahlu bayt rasul llah alayh Salaam
@bagalucha
@bagalucha 3 дня назад
@@MohammedSaid-zk7yg Na wewe Shia nini?watu shirki na uwongo kwenda mbele,maadui wa uislamu.
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 3 дня назад
@@bagalucha huna ujualo akhy
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 4 дня назад
Jazakallahu kheir sheikh
@HaamidKhamisi
@HaamidKhamisi 14 часов назад
Leo mashaalha umetoa darsa nikakuelew Sio huelewek
@SalumKarzai
@SalumKarzai 5 дней назад
Hatuhitaji kila mtu Asome maulid nyinyi wengine kuweni watazamaji na wala hatuhitaji msaada wenu.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 дня назад
Duuh unajisifia katika uzushi subuhana llah kweli alomwacha kupotea Allah huwezi muongoza
@SalumKarzai
@SalumKarzai 4 дня назад
@@AbdulIssa-o7e ndio ujue huna uwezo wa kumuongoa mtu,kumtia peponi wala motoni kiupande wangu Maulid ni Ibada ambayo ukifanya unapata Thawabu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 дня назад
@@SalumKarzai subuhana llah haya tuletee dalili ili Jambo liwe ibada tunajuwa bila shaka imetoka kwa Allah na mtume wake tuambie ibada hii ilifundishwa na mtume yupi?? Maana ibada zote mtume alitufundisha Hadi kwenda masharti yake na vitenguzi vyake Sasa tupe dalili ibada hii imefundushwa na nani ili nasi tuifanye tupate hizo thawabu lete majibu ya kiilimu so ushabiki lete dalili ibada hii ilifundishwa na nani?? Ikiwa mtume ndo alitumwa kutufindisha ibada na mpk anakufa akuna maulidi ibada hii ililetwa na nani??
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 дня назад
​@@SalumKarzaisheikh Salum maulidi ni ibada kivipi?unajuwa ni nini ibada?na ili kitu kiwe ibada ni lazima kipitie katika misingi gani?au njia zipi?
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 дня назад
​@@SalumKarzaiww ni katika watu wajinga wagatao mkumbo wasojuwa chochote kuhusu dini yao subuhana llah, Allah atuongoze uone hakki utaona kumbe nilikuwa katika ujinga hivyo hapo huwezi ona sawa na mende aishiye chooni hawezi ona arafu Ila ww uli pembeni ndo utajuwa mshikaji mende anaishi sehemu mbaya yenye harufu jitahidi uitafute hakki maisha ya dunia ya kupitia na dunia utaondoka itabaki matendo yako mazuri na njia uipitayo angalia usije ukaingia katika makundi 72 alotaja mtume katika uma wake yataingia motoni isije isipo kuwa kundi moja ni wale watakao kuwa kama Mimi na swahaba zangu.sasa jiangalie swahaba walipiga maulidi mtume mwenyewe alipiga maulidi jibu hakuna ww ujitazame nitaingia kwenye kundi alilosema mtume litasaimika na moto?? Ukiona unafata tuuh mkumbo bhasi ww uhofii siku ya kiama na adhabu za Allah inamana umejizira kuangamia utaweza vumilia adhabu za Allah lakini na za kudumu na kuendelea hufi wala uhumwi Sasa Imani so kitu Cha kucheza ndugu ukicheza duniani bhasi hutopata fursa ya kurudi duniani Tena ujipange
@isaack100
@isaack100 5 дней назад
Say kaanza mwanamke haajar.nanyie na ndevu zenu mwafwata kitendo kile.kisha funga la ashura walianza mayahudi na mtume akafwata mbona?lakni na kufhamu sna uliwahi sema kuna nchi Mungu kawanyima fadhla za Arafa aibuuuuuu wallah
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 5 дней назад
Sisi twafanya coz mtume alifanya ye asingefanya infebaki stori tu kwama haajira alifanya kadhalika ashura
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
NA NDEVU ZA KUUMA?😢😢😢😢
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 4 дня назад
Huyu inaonekana hajui hata lipi ibada
@bagalucha
@bagalucha 3 дня назад
@@abuuaidh6500 Haki itabakia haki,na mwishowe itasimama tu,Ikiwa Allah ndie aliekadiria kila kitu,Qayyima yake itasimama,Allah keshatubainishia muongozo wake kutoka kwa mtume wake,hizi tafaraka na uzushi,tayari zikishatokezea kaumu zilizopita.Sisi ibada tutamfuata Allah muongozo wake,na aliyokuja nayo mtume wake,hiyo ndiyo haki. Waumini ni watulivu na ni wenye kusubira,
@kasimusalimu
@kasimusalimu 2 дня назад
Bachu nimtu wakupenda sifa nakujiona anaelimu kwani kilakitu kama akubun swahaba awez kubun mtu mwengine mbona msikit wamaka umezidishwa kwakubuni watu wengine je inafaa uo niuzuka
@nassleydady5783
@nassleydady5783 2 дня назад
Labda nikujib kwan msikit ni dini? Tatizo mukiambiw bidaa hamuelew sio kilakit ni bidaa msikit sio dini ila zile ibada ndio dini pale makka ukiondeza ibada ndio kosa sio kuongeza msikiti tatizo hamtak kusoma
@azizijaja3803
@azizijaja3803 18 часов назад
Saiv tudili na kukatazana zinaa , Allah hatoenda wachoma wanosoma maulid ilihali Kuna watu wanajifanya waumini ila washenzi na wazinifu
@badrudinsalum3139
@badrudinsalum3139 5 дней назад
Barakallahu fiyka
@MuhammadShali69
@MuhammadShali69 2 дня назад
Bachu mbona uliondoka Zenji ukaja Kenya kupotosha watu? Ina maana wazanzibari walichoshwa na kielimu chako kitoto..rudi ukasome ukalinganie watu wa kwenu kwanza
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 5 дней назад
Kama huku dodoma sasa hivi kila Kona fujo za maulidi misikiti yabwatu wa Sunnah ni michache mno Allah atuongoze
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 дня назад
ahaa hivi Dodoma sunnah chache xana eee imetawala bidah sio ni hatari mji ukiwa umejaa bidah kunaitajika watu wafanyiwe daawa waijue sunnah
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 4 дня назад
@@AbdulIssa-o7e wewe fikiria hatwibu yupo juu ya mimbar uku kuna watu na vikapu wanakusanya sadaka ko ni mtihani
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 3 дня назад
Kinacho nishangaza mm watu wakiwa maulidini hata kuswali pia watu tunapuuza mpaka mashekh hawaend kuswal wapo kwenye zefe
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 3 дня назад
Bachu mke wako apiga thwari? 😂😂😂
@sadikimgaza5998
@sadikimgaza5998 Час назад
😂😂
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 дня назад
Vipi Majadida Wamekaa kimya...... naona umejia upepo wa huku kwenye Maulidi Yetu......😂😂😂 Wacha tuendelee kutafuta Viewers..
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 5 дней назад
Mbona mnapenda kuwachanganya waislamu misikiti ya Sunna ndio misikiti gani waislamu wote tunavyojua misikiti yote niyamwenyezimungu na humo hutajwa jina lake au hii misikiti mnayoita ya kisunna inajambo lingine.
@farajichilumba5114
@farajichilumba5114 5 дней назад
Wamiliki
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Misikiti ya Sunnah ni ile misikiti usiyotanganywa ndani yake kinyume na mafundisho ya mtume mfano kudhikr kwa kukohoa nk,
@nadraiddi8064
@nadraiddi8064 4 дня назад
Wanajichanganya tu, msikiti wa sunna na misikiti ya faradhi au misikiti ya bid'a. Msituchanganye bana
@AbasiShariff
@AbasiShariff День назад
Huyu shekh nsawa kama kumskiliza kasuku
@MansourIssa-d1c
@MansourIssa-d1c 3 дня назад
Maulid ni uchafu uhuni ushenzi mcheni allah watu wa maulid mutachomwa kwa uzushi wenu
@MussaHamad-m2q
@MussaHamad-m2q 2 дня назад
Jinga kabisa
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 День назад
Chunga mdomo wako kijana
@hassanisihaka910
@hassanisihaka910 21 час назад
Wasipochomwa watu wa Maulid watachomwa wasiopenda Maulidi maana tunadhani tuko sahihi sanaa na tukafikia kipindi tukajiweka pepo kwetu wenyewe Tafuta maneno ya hekima na busara kueleza watu sio kwa matusi hiyoo
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 5 дней назад
Ma Shaa Allah tumerudi Tena kwa kasi
@RAMADHANIMohammed-vv6bx
@RAMADHANIMohammed-vv6bx 4 дня назад
Mbona Saudia kuna wiki nzima kila mwaka kutaja sira ya sheghe Muhammad bn Abdul wahaab
@LASSUH4947
@LASSUH4947 4 дня назад
Hii mada kama umejiandaa nayo sema tukuletee ustadh said akutengeze hadi ibara uandike kwa kiswahili😂😂😂
@UmarSaid-c8k
@UmarSaid-c8k День назад
Acha kumkweza na kiukwel kama mtume hakufanya jambo hili basi wwe na huto Saidi wako mna mtume wenu kivyenu acha tusubiri Allah atapeana ukweli upo wapi maana macho unayo na huon
@BintAlly-k5r
@BintAlly-k5r 3 дня назад
Ilo la dhinaa nikweli kabisa hadharani watu nanasoma na chochoroni watu wanayao wanafanya . sababu wamekuja maulidini
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 3 дня назад
Hata Makka watu wakizungumka alqaba wako wanaume kazi yao kugandisha wanawake wenye makalio makubwa viza vya ukweli hivi mtu analipwa kw nia hata mtu hata madrasa inatokezea
@MussaHamad-m2q
@MussaHamad-m2q 2 дня назад
Naomba ujibu maswali haya je mtume aliwah kuigawa tauhidi namna tatu naomba dalili na naomb dalili niwap mtume aliwah kuwakusany watu na kuwashinadnish mashindano ya kur an naomba dalili
@MwalimJecha
@MwalimJecha 4 дня назад
Wakati wa mtume watu walipigana kwa panga je wakati huu waislamu wakitumia bunduki na vifaa vyenginevyo ni bidaa?
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Ndio
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 4 дня назад
Watu wakishika bunduki ww beba dufu ujikinge nalo....risasi haitakuingia😂
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 5 дней назад
Waloruhusiwa na mtume kupiga dufu ni wanawake na vigori na wanaume wakiwaiga wanawake enzi hizo wakiitwa muhannasa Je wewe mwaume unae n'gan'gania kupiga dufu uko ktk kundi gani ktk haya 3
@nadraiddi8064
@nadraiddi8064 4 дня назад
Dalili gani iliyovua kuwa dufu ipigwe na wanawake tu?
@mohamedomar-j1e
@mohamedomar-j1e 4 дня назад
NAOMBA DALILI YA KUTOKA KWA MTUME WETU,,AU MASWAHABA,,KUSWALISHA TARAWEHE KWA JUZU MOJA KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI ,,SWAHABA NGANI KASWALISHA WATU TARAWEHE KWA JUZU MOJA NAMBIE
@mohamedbwanakweli3249
@mohamedbwanakweli3249 3 дня назад
we pia nipe hadithi kwamba kuswalisha tarawehe kwa juzu nzima haifai gani
@SalumuMkungwa
@SalumuMkungwa День назад
Acha ujinga wewe bado hujui ukasome kwanza alafu ndo uzungumuze vitu kama hivi kwann nyinyi humunao mabanat waambien wafanye Sunnah yakupiga dufu bhasi
@mashinebinhawaa8776
@mashinebinhawaa8776 4 дня назад
Anakuita abu rududi ukamueleze ni hadhyani au hadhayani sasa km hata lugha ya kiarabu kwako ni mtihani haya mengine utayaweza kweli kaka yangu wacha kujiaibisha kaa kitako usome kwanza wacha kuhangaika kwenye vinara vya elimu kuzidi kujitia aibu umemkosoa mwenzako kumbe ww ndio mwenye makosa *IKIWA HAUNA HAYA BASI FANYA ULITAKALO*
@HusseynSingano
@HusseynSingano 4 дня назад
Maulid tutasoma ilaayaumil qiyaama
@MussaHamad-m2q
@MussaHamad-m2q 2 дня назад
Tutasoma maulidi kufeni
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 2 дня назад
😮😊
@jumasalum1171
@jumasalum1171 4 дня назад
Mismiti yote ya Allah kuita mingine ya suna huo ni ujinga mliomezeshwa
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 3 дня назад
Mimi nahitaji namba yak shk Bachu ili nipate darasa zaini
@MussaHamad-m2q
@MussaHamad-m2q 2 дня назад
😂😂😂😂 hujuwi hata kusoma hio hadithi na tafsir yenyewe sivo ulvo tafsr
@AliJuma-k2t
@AliJuma-k2t 4 дня назад
Nyinyi musisome lakini Sisi tutasoma na ndiokwanza maulidi yananawiri nyinyi kilamukipinga sisindomunatutianguvu zaidi hataibada yamaka niyalazima kulikomaulidi lakini hawaendiwatuwote
@LASSUH4947
@LASSUH4947 4 дня назад
Muhammad bachu wallahy sema kma ww ni kidume tukuketee ustadh said popote ulipo sema tu wala hautochangia kitu uje ukojoe tena mbele za watu kwa aibu😂😂😂
@alimaulid9543
@alimaulid9543 4 дня назад
Yule DJ said aliesema nyimbo ni halali?
@AliJuma-k2t
@AliJuma-k2t 4 дня назад
Kama shekh said DJ mbonabachukakojoa
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 5 дней назад
ashaanza sheikh wa kujikojolea hahahahaha😂😂😂😂
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Hatushangai kwa kazi hiyo mulioifanya,
@Hafisa-ws8mw
@Hafisa-ws8mw 4 дня назад
Alokojowa ni babako
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 дня назад
Kijana nakushauri, fanya uliloamrishwa kufanya na acha ulilokatazwa kufanya au lililonyamaziwa na Allah na mtume wake,,,,, Allah alisha kamilisha kila kitu katika dini yake, Tuacheni kutaka kujifanya wajuzi kumshinda mtume,,, kwnn Mtume ainyamazie siku yake ya kuzaliwa...
@makameally1962
@makameally1962 5 дней назад
Kwaiyo mtume aligawanya tawheed tatu?
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Hapana alkufunza umsifu kwa mashair ya kumwita yeye ni mjuzi wa mambo ya siri,
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 5 дней назад
Tushajua hatusomi maulidi tupo nawew kwann umetuaibisha kwa masalfy umetulisha matango pori
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 5 дней назад
Mmeshikwa pabaya mtatapatapa sana, mwaka huu😂😂😂😂, wazeee wa hazayaaani aka CCM
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 5 дней назад
@@mobilespecialschool4216 hahahah yaaaaan ndugu profile picture yako tu yaniambia wew si mtu wa Elimu huna mafungamano na Elimu
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 5 дней назад
@@AmourAmour-ux3nm mbona nyie mlofungamana na elimu ni wajinga, au unasemea elimu gani mana mimi najua physics???
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 5 дней назад
@@mobilespecialschool4216 duh kumbe Dini sio uwanja wako yanapokuj mambo ya Dini kuwa msikilizaji au uliza kwa lengo l kutak kujua pia tafuta sehem usome Dini yako vizuuuur hutaburuzwa maana saiv ndugu yangu wewe ni chambo
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 5 дней назад
@@mobilespecialschool4216 umesoma vitabu vya tauhiid vingap, Lugha, fiqhi n.k kam hujakaa na kusomeshwa hivyo vitu usipende kukoment kwasababu ya hamasa
@jumasalum1171
@jumasalum1171 4 дня назад
Kipigo cha abuu rududi hakijakutosha au ushazoea kufedheheka kama untaka uislam pambana na makafiri sio waislam wezako
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 2 дня назад
Acha usufi mzee 😂😂 maulidi bidaaa
@MwalimJecha
@MwalimJecha 5 дней назад
Si kwenda maulidini tu baadhi ya watu hutumia fursa kwa ajili ya maovu(zinaa) lakini mikusanyiko yote watu wanaweza kutumia fursa hiyo.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 дня назад
Na kuswali wengi wao hawaswali watakesha hapo na dhikli zao zile za kukoroma 😂😂😂 ..mpk kuna pambazuka ni Jambo ovu na baya sana maulidi
@LASSUH4947
@LASSUH4947 4 дня назад
Dah jmn hii ndo hoja ya kupinga maulid mbn tumeshuhudia visa vingi ramadhani watu wanatoka kwenda taraweeh kumbe wanatumia fursa hio kukutana na mawahara wao kufanya maovu bc tuondoe taraweeh pia haifai au mnasaje😂😂😂
@LASSUH4947
@LASSUH4947 4 дня назад
Ata mkusanyiko wa hajj wameshawah shikwa waty wamezini wengine kuiba hadi leo watu wengi hawataki kukaa krb na wa nigeria sbbu ya wizi kwaio tuondoe hajj au 😂😂😂 dah tafuteni hoja zakielimi za kupinga maulid sio kupinga kwa chuki tu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
@@LASSUH4947 Acha ujinga ww dini aipelekwi kwa matamanio yako mzushi ww issue so hivyo issue ni ibada ambayo imetumgwa na watu ikapachikwa hilo ndo lamsingi mara nyingi nyi watu wabidah mnatumia akili kutafuta uhalali wa uzushi wenu ila atushangai kama toka mtoto uliona hiyo ndo dini kutoka barabarani na mazefe hutoweza ongoka ni wakaidi sana watu bidah
@Pure-x7v
@Pure-x7v 4 дня назад
Bhachu mshahara ushaingia?😂😂 shekh said akusalimia
@abdillahsuleiman2278
@abdillahsuleiman2278 5 дней назад
sheikh kwaio darsa zak znz zote zimekufa au?
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 5 дней назад
Shekh Abas naona sasa roho yako imetulia baada ya shekhe kubadilisha kibao na kuwashambulia waislamu wanaomtangaza mtume na kumsifu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 дня назад
Kwani mtume atangazwi katika Adhana misikitini na maspika kabisa na anatangazwa katika konngamano mbali mbali za usomaji na mashindano ya quruani. Unamtangaza katika mkusanyiko batwili uso sheriwa na kuridhiwa na Allah na mtume wake mnamtangaza mtume ndani yake kuna ufuska na maouvu yanafanywa watu hukutana na kupeana funguo za kufanya zinaa kheri gani katika Hilo hiyo so hoja kaka jipange upya njoo na jipya la kiilmu katika kutetea maulidi so porojo na maulidi hayateteki Sabu si Jambo liloshariwa na Allah na mtume wake havipo katika quruani hadithi za mtume unayaweka wapi? Na muanzilishi so muhammadi ibn abdi llah uzushi wa watu wakaupachika katika dini bhasi ukafundishwa katika majiis mbali mbali na kuupalilia uzushi huoo
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 дня назад
Kitu kinacho wapelekea hawa watu wa maulidi kupotea kuhusu hili kuna makundi ma 3 katika washerekeao maulidi kundi la kwanza ni wale wafatao mikumbo tuuh na hili kundi ndo la wengi wasojuwa chochote kuhusu dini yao, kundi la pili ni wale wapendao malaji maslahi yani matumbo mbele dini nyuma😂😂😂 kundi la 3 ni la watu walopotea na wakawapoteza na wengine hawa ndo wabaya sana wame watenganisha watu na sunnh ya mtume wao na kuziangamiza sunnah na kuhuwisha bidaah.
@MudiMshindo
@MudiMshindo 5 дней назад
Webwana unang'ang'ania maulidi tu kila cku 😂,hatuachi hata useme nn,tutaendelea kumsifu mtume
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Na kumsingizia pia
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 дня назад
Ni haki yako juu ya maamuzi yako,ila yy ameeleza ukweli wa mambo ulivyo.Sasa kazi kwako
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy 3 дня назад
​@@johariabdalla3319 km hujasoma utaona ukweli
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 5 дней назад
Alafu usisahau kujibu zile taaliq Ukubali ALLAH kakudhalilisha Kwa uropokaji wako huo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 5 дней назад
Ww suffiyyah akhy ALLAH akuongoze nikajua salafi kumbe muabudu mkaburi
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 5 дней назад
@@abbaspaziaog2188 Acha kupayuka wewe Hizbi na huyo mropokaji wenu vibaraka wa Barahyan na Islam Mulidhani Masalafi ni vilaza kama Masufi na kuingililia mambo yasiyo muhusu mbona kakimbia ALLAH kamdhalilisha watu washamjua mropokaji tu huyo mze wa ku Google
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Mbona hatuioni idhlali hiyo ewe usiye ropoka
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 4 дня назад
@@hafidhwajina6718 Utaona vp wakati ALLAH kasha kutahini na uhizbiya Kama huoni huyo mropokaji wenu alivyo dhalilika kwa kuitukana markaz ibnu taymiya maana yake nini na wewe hizbi mpaka pale atakapo kiri ALLAH kamdhalilisha au ajibu maswali alio ulizwa na Abu ruduud
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
@@abuurayaan3902 ukamwambie soloka nae ameaibisha majadida amejitia kujibu mwisho kimya
@swalehseifmuhammed8289
@swalehseifmuhammed8289 4 дня назад
Muhmmadi nakuomba somahadidhi vizura uwa kuwa mkweli maana hadidhi zipo zilizo sibitisha kuwa wanaume wapige dufu
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 дня назад
Niambie iyo hadithi, huenda haujaielewa ww au mm siijui sasa nitumie tuijadili..... thnks
@MattarOnlineTV
@MattarOnlineTV 4 дня назад
​@@KhalfanMassoudkaka sikiliza mawaidha hao wanaobisha wote Daawa inawaingia hata ikifika wakati wa kubadilika watabadilika inshallah
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 дня назад
@@MattarOnlineTV Kweli kabisa, inshaallah... اللهم أرنا الحق وارزقنا اتباعه وأرنا الباطل وارزقنا اجتنابه، آمين
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo 5 дней назад
BACHOOOO UMEMKIMBIA ABUU RUDUUD HAJAKUJUWA TU KAMA UMEKUJA KUJIFICHA HUKU ILA NGOJA NIMWAMBIE AKUFUATE الهذيان WEEE
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Abu rudud ameshinda,ametufundisha kuwa kuropoka na mropokaji ni sawa,sisi tumeelewa, so hatuendelei kupoteza muda au nini kingine unahitaji,au na maulid ni njia yako ikawa yauma ikiguswa
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 дня назад
Ewe jadida neno hadhayani ni kupoteza maboya maswali 6 mmeshindwa jibu mmekimbilia kupoteza mada ili kutoka mchezoni kiufipi mmeshindwa hata huyo mafuta mwenyewe kimya mpk leo yule mafuta kumbe ni jahli mi nilikuwa sijui anakwambia dr islamu niletee mwanazuoni hata mmoja alisema kuchukuwq ilmu hata kwa shetani kaletewa zaidi ya 11 duhu ndo nkajuwa mafuta mtupu sasa kama mwalimu mtupu wanafunzi itakuwaje arafu umekomaa neno hilo hadhayani mbona bachu kamtowa makosa kibao abu rudud kusoma quruani aixee anavuruga vuruga na kuharibu kuruani vibaya mno ninyi jadida mmekalia ushabiki na kutowa watu katika sunnah majahli xana na chama chenu hicho ni cha wajinga wasojielewa vitabu vya ulamaa
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 дня назад
Sheikh Bachu hakukimbia,ila anasubir Abuu Ruduud kwanza ahangaike na Hadhayaan na lugha,akishakumaliza huko ndo tunasubiri aje au afike kwenye point zetu muhimu zile tulizomuuliza,akifika huku hapo tutaingia uwanjani kwa hoja.
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo 4 дня назад
@@johariabdalla3319 ICHO KIBABU HUKIJUWI ICHO KIMEKIMBIA
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 5 дней назад
Kwa hili MASHAALLAH ila usituseme masalafi tena. AKHY UTAPOTEA
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 5 дней назад
@@abbaspaziaog2188 Wewe una Usalafi Gani wew na huyo mropokaji Bachu mahizbi nyote vibaraka wa Barahyan na Islam Kazi yenu kutukana wanachuoni na kuwazulia uwongo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 5 дней назад
@@abuurayaan3902 subhanallah kwahiyo mimi ni hizbi na unauhakika na ukiongeacho
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 5 дней назад
@@abuurayaan3902 au kwahiyo ww kijana usojitambua unaona usalafi mpaka nikuambie ww mimi ni salafi mbona umekimbia
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
​@@abuurayaan3902mfano?
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 4 дня назад
@@abbaspaziaog2188 Ndio wewe hizbi na bachu wako
@mickidadmiraji5949
@mickidadmiraji5949 5 дней назад
Sawa sheikh wa facebook ulishatuonyesha kiwango chako finyu cha elim vip tuamin kuwa unacho sema ni kwel
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Shekh wa youtubu umedanganywa nini? Au na maulid ni njia yako hutaki iguswe
@nadraiddi8064
@nadraiddi8064 4 дня назад
Mada za maulidi kila mwaka, hamna ajenda nyyengine? Mashekhe mnatuchosha na mada hizo hizo kila siku. Kwani waislamu wote wakisoma Maulid ndo tutapata utukufu gani? Na Waislamu wote wasiposoma Maulid ndo tutakuwa tayari tumepata Izza dhidi ya Ukafiri unaotutawala leo duniani? Acheni mada pumba
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 5 дней назад
Jamaa wanahangaika hawa wanafikiri watu wote niwajinga na wapotevu kama wao na masalafi. kwanza salafi nikundi la kigaidi wamevamia dini. Dini yenu inamashaka sanaaaaa sanaaaaa.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Sawa shekh sasa ya nini makasiriko
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 4 дня назад
@@hafidhwajina6718 nyie mnao jamba jamba mkihangaika
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 дня назад
Kama salafiy ni kikundi cha magaidi, jee nyie masufi ni kikundi gani? Kama hauna neno la kusema kijana wacha kucoment
@bagalucha
@bagalucha 3 дня назад
Wewe bado kitoto kidogo bado,hujayajua,hata ndevu hujaota,usisukumwe kwa usilolijua
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 3 дня назад
@@bagalucha kma mtu hupimya akili kwa ndevu hata beberu anazo
@husseinkhalfan8378
@husseinkhalfan8378 5 дней назад
Kamkimbia abuu fawzaan kaja kuwachokoza masufi Sasa subir akuone
@saidhalfan3452
@saidhalfan3452 5 дней назад
Acha ushabiki katika Dini usiwe na tabia za mayaudi kugombanisha mashehe zetu, wote tunawapenda na hitilafu zipo na Wote wanapatia kwa jitihada zao.
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 дня назад
Fauzaan bado hajaingia au kufika pale tunapopataka,bado yuko kwenye Hadhayaan kwanza na lugha,anahangaika nazo,tunasubiri afike kwenye zile point zetu muhimu,ikisha tuanze kushindana kwa hoja
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 дня назад
Ahaa Sasa tunajuwa mahizbu salaf pamoja na masufi wako pamoja Katika dawa yaoo
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz 5 дней назад
Kwan we humuogopi ostadh saidi haha ha haha
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Ana nini?
@OstaziRamadhan
@OstaziRamadhan 5 дней назад
Musiache
@rashid3562
@rashid3562 5 дней назад
Et mkusanyiko wa ibada
@saidhalfan3452
@saidhalfan3452 5 дней назад
Acha kuwafitinisha mashehe zetu
@isaack100
@isaack100 5 дней назад
Maajabu ya mawahabi kwani Mungu aliwambia mfanye msabaqa ya quran mbona maulidi ya wauma
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Musabaqal qur an ipo wewe ndo hujui
@idisaidi287
@idisaidi287 4 дня назад
Kwa hio nyie hamfanyi ?
@isaack100
@isaack100 4 дня назад
@@hafidhwajina6718 toa dalili hiyo na jua nyinyi wasomi kama ipo
@isaack100
@isaack100 5 дней назад
Kkkkkkk bhachu watu Bora hao maswahaba hawaja jengewa mimbar kama yako hivi nashangaa
@idisaidi287
@idisaidi287 4 дня назад
Kwa hio msikitini kwako kuna mimmbari ya kigogo cha mtende ??
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 дня назад
Hii sio hoja ya msingi katika dini,kunazungumziwa kuzushwa kitu ikisha kupachikwa katika dini
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 дня назад
Masufi hoja zenu hata mtoto mdogo asiyeweza kuongea vizuri anaweza kuzijibu, Masufi mcheni Allah maulidi sio dini,,,, maulidi sio dini,,,, maulidi sio dini,,,, Allah anasema ".......Mukizozana kitu kirudisheni kwa Allah na mtume wake....... (4:59)". Mtume alisema,,,,,,,,,, "........Atakayeishi baada yangu ataona ikh-tilafu zilizo nyingi, ni juu yenu kushikamana na sunna zangu na sunna za makhalifa wangu walio waongofu..."
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 5 дней назад
Nikwanini MAWAHABI anapotajwa MTUME MUHAMMAD SWALALAEI ALEY WASALAAM wanachukia!?
@giltaemi4017
@giltaemi4017 5 дней назад
@@user-lp3gi5wd4e Unafiqi mtupu. Mara ngapi tunamtaja katika sala ulisha ingia katika nyoyo za watu ukajua kua wanamchukia mtu. Au unataka kuwaambia watu ninyi masufi mnajua mambo ya Ghaibu. Pia mwalimu wangu alisha wahi kuniambia ukiona mtu Anawaita Mawahabi waislamu wenzake basi mtu huyo Hajitambui wala hajui hata anacho kifanya katika dini. Nina uhakika hujui neno Wahabi limeanza vipi na walio lianzisha walikua wana maana gani. Na kama unajua basi wewe ni katika wanao ficha chuki dhidi ya mtume na kujifanya kutetea baatwil kwa kumchukia mtume na kumzushia uzushi na uongo na kumtengenezea shirki.
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Sio kweli
@OmarAbdalla-ug5yg
@OmarAbdalla-ug5yg 4 дня назад
Sio kweli halfu ww jmaa bora tukunymzie tuuu maana ata cjui tukjbu vipi maan hun hoja ata moj ya kuthibitsha.....
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 4 дня назад
@@OmarAbdalla-ug5yg Hoja yakuthibitisha ni hiyo aliosema Sheik hapo,Kuwa kunawatu wanakusanyika kwajiili ya kufanya maulid kukumbuka mazazi ya RASULILA,kua ni makosa.
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 4 дня назад
@@hafidhwajina6718 Kama sio kweli nenda kamsome Sheik ibni Taimia anasema nini kuhusu kudhuru kabur la MTUME.
@shuaibabdullahi7544
@shuaibabdullahi7544 5 дней назад
Mulize kama ana taka munakasha
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Wewe na nani?
@makameally1962
@makameally1962 5 дней назад
Mawahabby ni waongo hamumswalii mtume nyie
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Kila swala tunamswalia,baada ya adhana pia aswaliwa na akitajwa tunajitahidi kumswalia ,ila kuruka kwanja huku tukimtaja mtume ndio hatufanyi
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 дня назад
Ni juu yetu kuchukua dini kutoka katika Quran na Sunnah,,,, "....Atakayezua katika Uislamu uzushi na akakiona kua ni kizuri (ibada zuri) ni kana kwamba amezania mtume s.a.w amefanya khiyana kufikisha ujumbe...."
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 5 дней назад
Mahizbiy na masufi ni wamoja tu ....
@MohammedOmar-wt3vg
@MohammedOmar-wt3vg 5 дней назад
Si kweli.....
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 5 дней назад
​​@@MohammedOmar-wt3vg Salafii jadida pia wanaingia katika uhizbiy
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 5 дней назад
@@MohammedOmar-wt3vg si kweli kivipi sasa na wote wamepinda ,,,
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Kwani majina hayo ndio mwisho wa wamchao allah? Hata uuseme haiwezekani kuwa wote mahizbi
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 4 дня назад
Usisemee Mahizbi Sema sisi mahizbu salafi maswaafiqa tupo pamoja na masufi
@AhmadiMadua
@AhmadiMadua 5 дней назад
Nacho unaelim ndogomno hujui unachokijuwa
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Jifunze kuandika kwanza
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 дня назад
Kwanza jifunze kuandika, unakosea herufi ya mwanzo wa sentensi, Yaani ilikua nikujibu ila maandishi yako yamenifanya bora nikuache tuu maanake hautonielewa.
@nassleydady5783
@nassleydady5783 2 дня назад
Hiyo ndio elimu aliyotupa Allah hakutupa elimu kubwa nandiomana unatakiwa usome na huwez kuhitim elimu haina mwisho kwamana hakuna mt mweny elimu kubwa ndio mana kunamt anaelimu ya kutengeneza dau mwengne hawez kutengeneza ila anaelim ya uvuvi kwakifupi ww umekosa akili ndio tatizo
@shuaibabdullahi7544
@shuaibabdullahi7544 5 дней назад
Ongoja u jibiwe na said omar kiboko yahoo Elimu ni soma dini kuanza kabla huja aibika bachu mara ngapi uta aibishuwa
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 5 дней назад
Said mapiano hana lolote ispokuwa anataka sifa za watu lkn kumbuka kuna siku atajutsiya na namajutsoyake hayato mfaa chochote wala ww unaumuyeta kiboko huwezi kwedra kumu tretreya siku hio😢😢😢😢😢😢😢😢
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 дня назад
Nilijua tukungoje wewe😂😂😂
@maadinaJuma
@maadinaJuma 4 дня назад
Aliburuzwa na bachu saidi mapiano
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 5 дней назад
Dufu hatuachi kamwe nyie mawahabi akil hamna
@user-jp8lf7dy5z
@user-jp8lf7dy5z 5 дней назад
Hahaha iblisi mkiambiwa anapenda sana watu wa bidaa zaidi ya wapenda maasiya ndo hivyo kwasababu ukweli hamuutaki mnaona ndio haki ndio dini ila iblis anajua mfanya maaswia ipo cku anaweza kuacha ila weye sio rahisi kuijua haki mn unahisi huko uliko ndio haki na hutaki ujue ukweli juu ya dini yako ndugu yangu maisha ya akhera ni ya milele unajua maana ya milele sasa wewe endelea kukata viuno uone hiyo kesho yako
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 5 дней назад
Hata abdallah bin suud sahaba huyu aliwakuta watu wamejikusanya vikund vikndi wakiwa wamekusany vijiwe wakimtaja Allah akawakataza kwakua sio utaratibu wa mtume
@giltaemi4017
@giltaemi4017 5 дней назад
Mwalimu wangu aliniambia ukiona mtu anawaita waislamu wenzake Mawahabi basi mtu huyo Hajitambui wala hajui hata anacho kifanya maana Akijua Sababu ya msemo huu wa Wahabi yeye mwenyewe atajiona mjinga. Cha msingi Fanya utafiti ndugu yangu usiingie katika jopo la waislamu wajinga wasio jielewa. Kwasababu anaejielewa kila anacho kifanya katika dini lazima Uwe na Dalili.
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 5 дней назад
Kwa hiyo kupiga dufu ndio kuwa na akili? TazaMa maneno ya maulamaa wakubwa maimamu wanne juu ya mwanaume apigaye dufu ana akili sawasawa? Kususa kwenu haki sio kutukomoa Bali kujikomoa watu was Nuh walisema hatuwaachi miungu yetu Yaghuta, Suwaa'a , yauuqa na Nasra wakaangamizwa wakabakia na hasara na ninyi sio was mwanzo kungangania batili mpaka qiyaama
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 5 дней назад
Piga dufu Ila ujiandae hoja za kujitetea kwa Allah
@MuhammadMuhammad-lq2um
@MuhammadMuhammad-lq2um 5 дней назад
Hututishi bachu maulidi bidaa na kugawanya Tawheed katika sehemu 3 mlitoa wapi? Rububiyya uluhiyya wa asmai ukitupa dalili ya Quran tunacha maulidi
@medimisi6930
@medimisi6930 5 дней назад
kwaiyo ikiwa mtu anafanya dhambi na ww unafanya hadi yy aache. ndugu hicho ni Kibri. usishindane na anaefanya uovu
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 5 дней назад
Tuliitoa kwa abuu idi
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 5 дней назад
Hata wazinifu wanasema kwa mioyo yao "hatuachi" ingawa jambo Lao liko wazi ila ujumbe unafika
@giltaemi4017
@giltaemi4017 5 дней назад
Ukiona mtu anataka dalili katika jambo la dini. Basi jua ni mtu sahihi sana kumuelekeza juu ya dalili anayoihitaji. Ndugu yangu dalili ni hii juu ya Kumpwekesha Allah katika namna tatu labda ukatae Haqqi uwe munaafig na Murtadi. Maana hukmu ya kukataa hata aya moja katika Quraani au hadithi sahihi unakua Kafiri. Dalili hii hapa. { رَّبُّ ٱلسَّمَـٰوَ ٰ⁠تِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَیۡنَهُمَا فَٱعۡبُدۡهُ وَٱصۡطَبِرۡ لِعِبَـٰدَتِهِۦۚ هَلۡ تَعۡلَمُ لَهُۥ سَمِیࣰّا } [Surah Maryam: 65]
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 5 дней назад
JItahidini kuzungumza sana mshaara unaongezeka kutoka makka.
Далее
ВЛАД А4 СКАТИЛСЯ
09:34
Просмотров 519 тыс.
USAHIHI WA MAULIDI SEHEM YA 1 || SHEIKH MUHAMAD IDDY TZ
30:20
MADHARA YA KIBURI ||KHUTBA YA IJUMAA ||Muhammad Bachu.
33:37
BABA YANGU KIPOFU Full episode /39/ #love
23:12
Просмотров 22 тыс.
SURAT HAAQQA 1 - 15 SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:12:58
Просмотров 1,2 тыс.