Тёмный
No video :(

Sebene la Saida Karoli Lapagawisha Mashabiki 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 436 тыс.
50% 1

Published on Jul 7, 2017
SUBSCRIBE NOW / uwazi1
Mwanamama Saida Karoli aliyerudi kwa kasi katika tasnia ya muziki wa asili,hatimae Jana julai, 6, 2017 alisheherekea miaka 15 yake katika muziki na hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Escape One Mikocheni , aliangusha burudani ya nguvu iliyopelekea mashabiki kupagawa.
Na kelele za shangwe zilizidi baada ya kuimba wimbo wake aliouachia hivi karibuni baada ya kurudi kwenye gemu unaoitwa Orugambo, ambapo alifafanua maana ya neno hilo kuwa ni Majungu au umbea.
Saida ambaye alipanda jukwaani na madansa wake, alizidi kuwavutia watu waliofika ukumbuni hapo baada ya kuonyesha uwezo wake wa kuimba na kupiga ngoma.
SUBSCRIBE NOW / uwaz
Global TV imekuletea habari kamili, itazame video hii mpaka mwisho kujionea mwenyewe.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1

Опубликовано:

 

6 июл 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 259   
@sadamdominic7030
@sadamdominic7030 4 года назад
Kama unaangalia mwaka 2020 like zako hapa ...Nipo hapa kwa hisani ya katoto kadogo.
@alexmulwa7844
@alexmulwa7844 7 лет назад
*Wangapi wanaamini Karoli anakubalika Afrika*
@annajonathan5576
@annajonathan5576 7 лет назад
Alex Mulwa nimekubali
@innocentmatoju7442
@innocentmatoju7442 6 лет назад
Wooteee
@mariamsaidi3084
@mariamsaidi3084 6 лет назад
Alex Mulwa am there My dear
@aminaalfani7966
@aminaalfani7966 3 года назад
@@mariamsaidi3084 anaweza sanatu
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 лет назад
Safi sana mama wapi like za saida karoli wewe😍😍😍
@mariabulanda4015
@mariabulanda4015 7 лет назад
Hassanova junior sijaona shoo ya kufa mtu kama ya mdada huyu toka nianze kuangalia shoo za wanamuziki wa Tanzania
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Ilo sebene la kufa mtu
@kurthumjumah9188
@kurthumjumah9188 7 лет назад
o
@passythesky
@passythesky 13 дней назад
I am a Ugandan living in Dodoma,I understand Kihaya. I love Karoli🥰🥰🥰. I am here 2024
@Chiefmukama
@Chiefmukama 7 лет назад
LIKE ZA WANAOTAKA SHOW YA SAIDA KAROLI IRUDIWE KATIKA UWANJA WA TAIFA TAFADHALI
@castoriarogatus3675
@castoriarogatus3675 6 месяцев назад
Mama Saida Karoli unaweza unaweza unaweza tena naiangalia tena 2024
@mosesbusanya3528
@mosesbusanya3528 3 года назад
Haya music and dancing is beautiful🇹🇿🇹🇿
@eliusgration4150
@eliusgration4150 7 лет назад
huko vizuri dada yangu "Omukama katonda akwebembele"
@johnmsalilwa5690
@johnmsalilwa5690 3 года назад
Mungu,akuinue
@zeoneshiru3319
@zeoneshiru3319 7 лет назад
sebene la saida halijawahi kumuacha MTU salama
@rechokabodo4893
@rechokabodo4893 7 лет назад
jmn sio kwa sebene hilo, uwiiiiiiiiiiiiiiiii sebene sio la nchiii hii ilo
@sudybrown3973
@sudybrown3973 5 месяцев назад
hii ilikua kubwa kuliko sijawahi kuichoka kuitazama hii show🙏🙏🙏❤️❤️❤️
@emiliusfrance8286
@emiliusfrance8286 7 лет назад
makofi kwa saidaaaaaaaaaaaaaaaa
@johnpeter6513
@johnpeter6513 7 лет назад
dah kwer saida bado anaweza kwel sura inazeeka lakn kipaji akizeeki big up mama saida karoli.
@alialle6441
@alialle6441 7 лет назад
Kumbe kwa kipindi chote uko kimya tulikuwa tunasikilizishwa manyimbo ya kipuuzi ila kwa hapa hakuna bongolfleva wala bendi itakayobaki salama! Miaka mia, ila ujifunze kusoma sasa ili wasikuibie tena
@magedalenamfano4304
@magedalenamfano4304 7 лет назад
hahahaaa kumbe hajasomaaaa
@marionmammy833
@marionmammy833 6 лет назад
🤣🤣🤣 ati wasimuibie
@allennabukeera4386
@allennabukeera4386 5 лет назад
Hahahaha 😂
@ashoopapa3595
@ashoopapa3595 4 года назад
Apana matusi dogo wewe
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣eti ajifunze kusoma
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 года назад
Diamond angefanya collabo moja na huyu dada. Ingeenda mbali sana!
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 3 года назад
Umeona ee tatizo kabezi wasafi ,
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 года назад
Nani anaangalia 2020.Gonga like
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 Год назад
Tumaliza mwaka 2022 na bado tumpenda na kumsikiliza afrika tunaweza
@mosesbusanya3528
@mosesbusanya3528 3 года назад
Haya music is so beautiful 🇹🇿💯💯
@dicksonstephen8229
@dicksonstephen8229 7 лет назад
respect.. shout out to you. omukama asingwe kwa kweli..
@halidaseleman9290
@halidaseleman9290 5 лет назад
Shikamoooo dada saida
@YamunguYb
@YamunguYb 7 лет назад
Hakuna cha Simba wala kibakuli musiki upo hapa haha hadi raha
@kingbenaya8729
@kingbenaya8729 7 лет назад
Who is watching this at 2020?? 😂😂😂
@florenceflorence7375
@florenceflorence7375 4 года назад
Me
@LamerkWarwo
@LamerkWarwo 2 месяца назад
Let's enjoy with our haya traditional culture🎉🎉🎉❤❤ kagera yeitu bhojoooo🤸🤸🤸✊💚💚💚
@feministchannel
@feministchannel 7 лет назад
I don't understand anything but I'm a huge fan anyway
@anifasaid1308
@anifasaid1308 7 лет назад
kweri bado umo
@kauzukauzu15
@kauzukauzu15 7 лет назад
sindika,said a,,ewowoowo,karori,
@TheJacob2030
@TheJacob2030 7 лет назад
feministchannel she's old skul but believe me she has some good music that will go many generations to come. .Mostly she sings about love and daily life
@ashoopapa3595
@ashoopapa3595 4 года назад
Aki saida ungelikua dem walai mm ninge hama Kenya nikam
@richardpembe606
@richardpembe606 7 лет назад
Daaa nimemkubali sana huyu Mama ,hata sijaamini kumbe yuko vizuri namba hii , uko huu sana Saida Kaloli na hongera sana na sanaaa kwa Clouds Radio kwa kurudisha Kipaji hiki kilichotaka kupotea.Tunawaomba sana pia Mumsaidie pia Chid Benz na Q Chiller nao wapige Shoo Kabambe ya kuwarudisha Kundini tena kama hii , Hongera clouds
@getrudemax9770
@getrudemax9770 7 лет назад
Richard Pembe show ya mtu mmoja kama millioni moja Arafu alikuwa anaumwa wa kulazwa kabisa dah uyu mama ni balaaa
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Nakuunga mkono maneno yako *Richard pembe*
@mamadoladoler2608
@mamadoladoler2608 6 лет назад
awakuwez sinula atashilol wajipange tena
@michaelkwilasa4415
@michaelkwilasa4415 10 месяцев назад
Huu wimbo unaitwaje jamn, much love
@blacktulip4386
@blacktulip4386 6 лет назад
Ooh i really love this music hahaha much love to my Tanzanian people's 🇰🇪
@feministchannel
@feministchannel 7 лет назад
in my Saida Karoli Playlist !
@annajohnkahwa7148
@annajohnkahwa7148 7 лет назад
hongera saida karoli dada yangu uko poa sana mama yangu wakuache ujiachie kitu foro bwana naijua hatari
@dogorasially5317
@dogorasially5317 7 лет назад
Anna John Kahwa jamani natamani ningekuwepo kaa maana cyo kwa laa izi ongela sana mama mungu atakuongoza ktk kazi ya mikono yako ongela sana kwa kuludi tena na kutupa raa watanzania kwani tulikumic sana
@fidelismujuni7592
@fidelismujuni7592 6 лет назад
Ilikuwa shidaaaaaaaa siku hiyo
@samiasamia6746
@samiasamia6746 7 лет назад
iyo sauti hatali kabisa big up saidi
@mussamuhindili3973
@mussamuhindili3973 7 лет назад
hongera mama
@manabumadeni7081
@manabumadeni7081 6 лет назад
Hogera yako mama
@meshackjoseph9535
@meshackjoseph9535 7 лет назад
saida hakika unaweza sana mungu akuogoze katika safali yako ya muzic
@emmanueljohn3297
@emmanueljohn3297 7 лет назад
ila daimondi nampe honger sana kwa kumrudisha saidi kweny record tena bila ivo said axingexikilixw tena honger sana mama yetu saidi and daimondi
@adeltuskalumuna5448
@adeltuskalumuna5448 Год назад
Notisha ebyenoma
@getrudemax9770
@getrudemax9770 7 лет назад
bakulekeeeeee mwana wa tata bakuleke kwakweli mpaka mwili umesisimka daaaah
@claramilanzi9170
@claramilanzi9170 7 лет назад
kabisa wamwache ajimwayeee jaman kasota sanaaa....😘😘😘😘😘
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 Год назад
Tunamaliza mwaka na saida kaloli safi mama wapi like 👍 🥰🥰❣
@bazirakedaniel3045
@bazirakedaniel3045 5 лет назад
Namushukuru Mungu kuona ungali muzima najua takuonaka sikumoja Hero anaye amini amen
@CharlesRobert-ke3yt
@CharlesRobert-ke3yt 5 месяцев назад
❤❤ uishi myaka mingi
@galubaalebobjimmy7501
@galubaalebobjimmy7501 5 лет назад
Really live...love from Uganda Bob
@victorsolomon2140
@victorsolomon2140 7 лет назад
hongera zake aliyerudisha kipaji hiki, kilikuwa kinapotea bure aisee.
@abubakarkaligani5073
@abubakarkaligani5073 7 лет назад
you are my number one in tz
@barasaronaldnyegenye6152
@barasaronaldnyegenye6152 4 года назад
Mine is Rose Muhando from TZ. Iam from Uganda
@elyleonard5122
@elyleonard5122 4 года назад
Kaz nzur kwakweli saida karol
@hamislyegwa2219
@hamislyegwa2219 3 года назад
Mama said uripaform vizur sana
@santusmiyonjo9676
@santusmiyonjo9676 7 лет назад
Namkubari sana Saida Karoli kwa kazi zake endelea kutupatia Burudani
@mosesnkwela6073
@mosesnkwela6073 4 года назад
Saida band mmmh!!bado upo vzryyyyyyy
@jasminasha9551
@jasminasha9551 7 лет назад
Safi saaaaana Yaani sauti mzuri na mziki wa Kitanzania wenye raha kubwa sana asante sana kipenzi 💋💝💐🎉💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@oopswouw756
@oopswouw756 7 лет назад
ng'ombe hazeeki maini..Dada saida b ado upooo
@kauzukauzu15
@kauzukauzu15 7 лет назад
wakora,mno,said a,karori,
@jovinabunyomyo3993
@jovinabunyomyo3993 7 лет назад
kauzu kauzu yakola mno
@anordkagaruki9319
@anordkagaruki9319 7 лет назад
hanaye jua anajua tu
@phanice_designs
@phanice_designs 7 лет назад
Saida Karoli can dance.Bado yuko fit. Kudos Saida. We Love you.
@andrew29468
@andrew29468 7 лет назад
kwa show km hzi saida jiandae mialiko ya nje ya nchi utapata nyingi sanaa
@hoodparkinspiration5575
@hoodparkinspiration5575 7 лет назад
saida noma we mama wewe hatuamin japo ndoukweli asee mm cjawah ona show kabambe kama yako hii tangu ujiweke mbali namuzki yan ....Vjana hawakufikii mama...you nailed it
@stevenkate7130
@stevenkate7130 7 лет назад
kiukweli saida karoli tulikuwa tumemisi sauti yako kwa muda mrefu ongera kwa kurudi mama Mungu akujalie ktk safari yako mpya ya mzk naamini utapata mafanikio zaidi ya uko awali
@sinkalasinkala2901
@sinkalasinkala2901 6 лет назад
Duh umetisha ilembaya
@allhamdusuleimani1165
@allhamdusuleimani1165 7 лет назад
tixhaaaa xanaaaaaa!mama anqu xaida karoli kiukweli umetixha xaaaanaaaaaaaa.
@prisca9311
@prisca9311 2 года назад
Kihaya kiheshimiwe✌️👌
@jelobbypojestus.mlokozi554
@jelobbypojestus.mlokozi554 5 лет назад
kwakweli wababasa
@witrackyona6269
@witrackyona6269 3 года назад
Safi mama unanikumbusha mbali
@meckkanga9470
@meckkanga9470 7 лет назад
Nakupenda sana Dada Saida Mungu akubariki ktk kaz zako pole kwa changamoto za hapa na pale
@dottoktwima6598
@dottoktwima6598 7 лет назад
shiidaaaaaaaaa.......mama uko juu
@vivianpius2977
@vivianpius2977 7 лет назад
saf xana saida karoli mungu akubaliki nmelipenda sebene
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 лет назад
🙌🙌🙌🙌🙌skutegemea kama ungefanya mauaji kias hik Mungu akutunze
@privalibent3311
@privalibent3311 3 года назад
Jaman Mbona mziki wa asali wa kihaya una radha sana
@eliackimsimoni8370
@eliackimsimoni8370 7 лет назад
Hatariiii wewe
@rizikimusamohamed7282
@rizikimusamohamed7282 7 лет назад
Ooo daimond anajua kupiga live show na live band nyoooo,bado sana
@thuweintheprince882
@thuweintheprince882 7 лет назад
👏Sijawahi kuangalia show ya live kwa tz ikawa nzuri kama hii ya saida karoli hadi nasisimkwa
@shukranhans9527
@shukranhans9527 7 лет назад
Prince The Don keeling my dear Hutu mama Ndo mwanamziki she is too much
@sharonkaumba4297
@sharonkaumba4297 7 лет назад
Prince The Don 6o
@EdwinDidas
@EdwinDidas 3 месяца назад
Kazi nzr una bay
@elyleonard5122
@elyleonard5122 4 года назад
Iv unaachaje kwenda kwenye show kali hv
@godfreykanelela9448
@godfreykanelela9448 7 лет назад
ilikuwa ni hatareee mazeeee
@selinalawrence9173
@selinalawrence9173 6 лет назад
uyu mama nimemvulia kofia
@mamujally3814
@mamujally3814 7 лет назад
ndombolo ya Ssolo. old is gold ❤Saida Karoli....Chambuaaaaaaa😉😯😃
@aishamohd9852
@aishamohd9852 7 лет назад
±968 was 🔥... kiukweli
@friendscafe206
@friendscafe206 7 лет назад
Diamond Platinumz ina bidi uige usituletee tamaduni za nigeria.... Nakukubari SAIDA
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 7 лет назад
wanikumbusha mbali nyimbo zako miaka hio penda saida
@mosesnkwela6073
@mosesnkwela6073 4 года назад
Mmmmmh haya bhana!!!!
@malingumukevin5709
@malingumukevin5709 7 лет назад
wakola owamawe! real I remember Bukoba mpaka chozi linatoka!! akatanyukwile tikoma!!
@racheldenis2236
@racheldenis2236 5 лет назад
Unajua mpaka umepitiliza wakola
@sanifhesro2169
@sanifhesro2169 5 лет назад
Nakuelewa dada saida nakubona
@angelangel4119
@angelangel4119 7 лет назад
she is so humble jamani
@iddyjuma6424
@iddyjuma6424 7 лет назад
helping the youth ,youth helping 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@wardalward3693
@wardalward3693 6 лет назад
Saida karoli kweli una furahisha sana mama we una stahili kupata sta wewe
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 4 года назад
nouuma sana mama, hajawahi na hatozaliwa wa kushindana na wewe. amani kwako.
@mamumamu1718
@mamumamu1718 2 года назад
Saida big up sana unajua ,,, sauti nzurii sana.
@kastorytave8957
@kastorytave8957 7 лет назад
noma mama langu,,,,miaka buku katika maisha yamziki
@johnsonfrodianus6237
@johnsonfrodianus6237 4 года назад
Msanii wa africa
@omarymnonji1188
@omarymnonji1188 7 лет назад
saida weeee wakuacheee
@barasaronaldnyegenye6152
@barasaronaldnyegenye6152 4 года назад
You are true legends. You and ROSE MUHANDO
@nakagezigatrude9331
@nakagezigatrude9331 6 лет назад
Saida is truly a legend in everything
@florameza9529
@florameza9529 7 лет назад
riziki ya mtu kama ipo ipo tu hata ukiiziba mungu atafungua saida mungu kafungua
@justinephilemonphilemon5125
@justinephilemonphilemon5125 7 лет назад
show Kali sana mungu akubariki sana mama said a kalori
@jasminebaibe8431
@jasminebaibe8431 7 лет назад
salute for her aisee uko juu tu sana mamaaa big up nimeilike walai😍😍😘😘
@eliussalmon6609
@eliussalmon6609 6 лет назад
Saf sana Hilo sebene sio la nchi hii.
@mikidadligogi8921
@mikidadligogi8921 7 лет назад
kiukweri saida wewe niwatifauti sana
@johanikwelikwaninihakiyaok7373
hapana chezea saida upo juu sana hongera
@peterkushoka577
@peterkushoka577 7 лет назад
bigup mumy uko vizuri da! nimemis kuona live
@sallykanze
@sallykanze 7 лет назад
Na wow this is soo nice
@spoonmonica1641
@spoonmonica1641 7 лет назад
mbele tu sana
@danieldaniella9428
@danieldaniella9428 7 лет назад
hongera saida
@hosianajosephu4296
@hosianajosephu4296 4 года назад
Huyo mtoto mfupi jamani...naomba namba!
@mcdaddyclinton853
@mcdaddyclinton853 7 лет назад
bonge la shoo yupo vizuri
@Manshyne
@Manshyne 7 лет назад
blessed saida
@ChickAboutTown
@ChickAboutTown 6 лет назад
Saida Karoli rocks!
@mamujally3814
@mamujally3814 7 лет назад
Energetic Woman❤💜💚💛💙
Далее
SAIDA KAROLI I KAISIKI(swahili lyrics)
6:07
Просмотров 638 тыс.
Sevinch Ismoilova - Xayollarim 18-Avgust 19:00 Premera
00:19
would you eat this? #shorts
00:39
Просмотров 1,5 млн
Saida Karoli - Baba Tajiri (Official Audio)
10:01
Просмотров 1,5 млн
BEST VIDEO SONGS OF SAIDA KAROLI 2023 / MIXTAPE 1
39:11
ROUND 1: Kama ulimmiss Saida Karoli kwenye Stage
22:21
Просмотров 181 тыс.
Sevinch Ismoilova - Xayollarim 18-Avgust 19:00 Premera
00:19