Тёмный

SEHEMU YA 7 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI 

BABDEO MILADU
Подписаться 258 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 186   
@mwanamvuajamali8215
@mwanamvuajamali8215 9 месяцев назад
Allah awaongoze ndugu zetu masufi wapo kwenye giza zito Sana hoja zote wanazo zibainisha masalafi kwa ufahamu wa maswahaba lakin hawaelew poleni huo ni msiba
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
Sisi wanafunzi twakuelewa sana Shekhe wetu
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 9 месяцев назад
ALLAH AKUHIFADHI NA UZIDI KUTUPA NONDO
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 9 месяцев назад
Tunakuelewa sana naanza rasmi kuwashushia heshima mashehe wa kiwahab washenzi wakubwa kbsa
@hamadali-ej4zg
@hamadali-ej4zg 8 месяцев назад
Shukran sheikh Muhammad idi
@answaryhussein256
@answaryhussein256 9 месяцев назад
Safi Shekh wabainishe Hawa mayahudi wasiyo jijua
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 9 месяцев назад
Shukran shukran sanaa sheikh twa kufwatiliya kwa makini sanaa
@fahimaOmary
@fahimaOmary 9 месяцев назад
Na akianza kuraddiwa pia mfatlie kwa makini vle vle.
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@fahimaOmary Wa kumraddi nani?
@ArabiMuchande
@ArabiMuchande 9 месяцев назад
Alhamdulillah sheikh tunakuomba uzidi kuwabainisha tunapata somo kubwa mno
@kagumbaharuna2466
@kagumbaharuna2466 9 месяцев назад
Asante shekh Idd Hawa watu sio waislam hatupaswi hâta kula n'ai ndio wameharibu wislam kila Kona n'a kuleta makundi yanayokufurisha waislam laana ya Allah iwafikie kwa upotofu wao.
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 месяца назад
Kama nyinyi ni waislamu mungelijibu hoja uislami ni elimu na hoja na kujiamini sio kukimbia mada iliopo ubaoni kisha ukazungumza mengine.
@AhmedWetaka101
@AhmedWetaka101 9 месяцев назад
Mash-Allah following from Kampala Uganda.
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Ili umuelewe huyu shekh ima uwe unasoma yan ni twaalib 3ilm au uwe na inswaaf ila manen yake yako wazi sana ALLAH amuhfadhi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
MUongo ww. kwani mtu wako amekuwa akitumia Falsafa nying na Talbiisat na wanaomuelewa sanaa Ni watu wavivu na Awaamu na Masufi wenzie. ni mtu hana Historia ya Kusoma kwan Alifukuzwa Na Mwalimu wake Huyo kwenye picha. Alishaulizwa Maswali Na hajajib mpaka Leo.Kaz yake ni kuleta mijadala Mipya.
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@أبوفيصل-د3ش Wew Falsafa umeisoma wapi??? Hapo hakuna Falsafa tuulize tunaojua hiyo Falsafa hapo shekh katembea na Usuul acha wehu kijana mdogo wa kiwahabi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
@@fahmiiidrisa5110 Falsafa ni Moja kati ya Elimu wanazojifunza masufi.Inaitwa Elimul Kalaami wa ilmul Hisaabi Wa ilimul Mantwiqi. Ukitaka Kunambia Sio Zipo wap Dalili za Kielimu?? Kwanza atueleze Uwahabi ni nin na kama ww waweza Msaidie
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@أبوفيصل-د3ش Jaman mukiambiwa musome kubalini alokwambia mantwiq ndo Falsafa nani?
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
@@fahmiiidrisa5110 hahahaaa Ko kuandia elim zote mnazojfunza Ukabaki na moja Ya Mantwiqi.
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
Muhammad isihaka ni mpuuzi sana half muongo sanaa kama ibilisi
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 8 месяцев назад
Wewe mlevi Abu iddi ama kweli onesha video kama avyo fanya sheikh abdalla humeid
@alisalum8908
@alisalum8908 9 месяцев назад
Jazaakumullahu khayraa
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 9 месяцев назад
Yaani nakuelewa sana
@muhammadnassibu7706
@muhammadnassibu7706 9 месяцев назад
Sisi tunasubiri siku utakayomaliza porojo zako Sheikh Abul fadhl akuraruerarue
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Mafuta mwenyew hana anachokijua naona hupiga kelele tu
@yasiinmtiniko3050
@yasiinmtiniko3050 9 месяцев назад
Tupo Tunaoelewa Na Kufahamu Madini Unayoyatoa Usikatike Moyo Shekh Na Wewe Hakika Kbca Mungu Amekuteua Kwa Kazi Hii (Wanafunzi Wenzangu Acheni Ushabiki Sikiliza Hoja Kisha Pambanua) Kisha Nimegundua Kama Mawahabi Wanakimbilia Kukoment Upuuz Kabla Kusikiliza Hoja..
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 9 месяцев назад
بارك الله فيك يا شيخ
@Abswai
@Abswai 9 месяцев назад
Mungu akubariki
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
Aamin
@fareedsseif4297
@fareedsseif4297 7 месяцев назад
Uwahabi umeanza Miaka 200 iliopita. Uwahabi ni sawa na Niacea Conference ya Pili. Uwahabi uliondoa Dola ya Ban Hashim ya Shariff Hussein na kushirikiana na Wayahudi na Wazungu kuunda dola itayo control Kitivu cha uislam. Ni project kubwa ya kijasusi kutoka kwa Mayahudi. Hawa pia walifanikiwa Kuwavuruga Wafuasi wa Nabii Issa Aleihi Salam na kuwaundia utatu! Tuwe makini sana nao
@RashidMohamed-cq8jf
@RashidMohamed-cq8jf 9 месяцев назад
Naam shekh Muhammad Idd sisi tunakupata vizur ..pia bab deo anafanya kaz bora Allah awaongoze...lakin yule shekh Mohamed isihaka hiv shekh unasikiliza kwasababu naona kama anapiga stor mana hana mada wala hiyo radi haieleweki kwakweli sim mtu wa kubishana nae
@HUKUUSA2020
@HUKUUSA2020 9 месяцев назад
WE NI ABUU JAHALI WA UMMA HUU(Baadala ufundishe watu waache ushirikina na wafanye ibada unafundisha watu ujinga
@iddimutua420
@iddimutua420 9 месяцев назад
a.alaikum Twaomba ukubali munaqasha Alafu kwenye huo munaqasha uje na icho kitabu utetee maulidi na hoja zingine
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
Kama unataka munaqasha njoo kwangu nikunyooshe choko wee
@mbjunior166
@mbjunior166 9 месяцев назад
@@jabirhussein4180 Mtu wa bidaa umepaniki😂😂😂 Hebu tulia basi dawa ikuingie🙄
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@jabirhussein4180 🤣🤣🤣🤣
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@mbjunior166 Dawa yenyew iko wapi sasa na wewe maana naona nyie ndo mumepewa dawa na shekh letu au unaropoka tu?
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 месяца назад
Sasa wewe uko kwenye dini au ubaradhuli.​@@jabirhussein4180
@MasudiAthumani-kx7ye
@MasudiAthumani-kx7ye 9 месяцев назад
Maaasha allha
@fahimaOmary
@fahimaOmary 9 месяцев назад
Muhammad idi ungekuwa mkweli ungemaliza ule mjadala uloanza na shekh mafuta. Na mkakubaliana kuwa hamtakimbiana. Kule hujamalza ushaanzisha mengne. Ww sio mkweli
@HassanJamada-pf4jt
@HassanJamada-pf4jt 9 месяцев назад
JIBU MASWALI 10 ULIYOULIZWA NA SHEKH ABULFADHLI USIRUKIE SEHEMU NYINGINE KABLA YA KUJIBU MASWALI YALE
@mohamedomary2887
@mohamedomary2887 9 месяцев назад
Mawahabi hawana tofauti na mayahudi
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 месяца назад
Toa hoja na dalili maana tunaishi nao hatuwaoni hivyo zaidi ya kuwaona wao wanafuata qur an na hadithi za mtume katika maisha yso kila siku wao na familia zao.Toauti na hao wengine.
@Haarun-h4q
@Haarun-h4q 7 месяцев назад
HUYU Sheikh badala ya kuwaleta watu kwenye Uislamu au kwenda vijijini kuwasilimisha watu,kazi yake ni kuleta mfarakano ndani ya Uislamu. Anafurahia kubaki tu mjini Dar mbele ya camera 😊
@binnyandwecheikhmuhamed
@binnyandwecheikhmuhamed 9 месяцев назад
وفقك الله يا فضيلة الشيخ ابو عيد ،ربي يهديهم
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 9 месяцев назад
أبا
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 9 месяцев назад
Acha mbwmbwe wewe andika kiswahili
@muhammadnassibu7706
@muhammadnassibu7706 9 месяцев назад
ويهديك كمن
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@abuuuyaynah8801 sasa unajuaje je kama yeye hajaifanya kuwa badal Shekh wang alinambia ukipenda kukosoa sana unawaonesha watu kuwa wew kiwango chak kdog
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@abuuuyaynah8801 إذا رمت أن تحيا سليما من الأذى ودينك موفور وعرضك صين لسانك لا تذكر به عورة امرئ فكلك عورات وللناس ألسن وعيناك إن أبدت إليك معايبا فدعها وقل يا عين للناس أعين
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 9 месяцев назад
Umeitwa tangamano vip tena
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Meambieni Muongo wenu aje yeye Dar hapa ajikojolee kama bachu
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 9 месяцев назад
Barra Barra
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
Nyie Babdeo hawa ndio watu wenu. Na ile Kauli yenu kusema eti hamfungani na yeyote ktk Masheikh Eti mnaweka Audio za yeyote. Mbona hamkuweka Audio Za Radd dhidi ya huyu mtu Kuhusiana na UWAHABI,MWEZI MWANDAMO.
@mbjunior166
@mbjunior166 9 месяцев назад
Hii ni chanel ya bidaa hilo liko wazi kabisa
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 9 месяцев назад
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu Mimi sijaona sehemu ya 7
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 9 месяцев назад
Imeandikwa 8
@mdoekibai3991
@mdoekibai3991 9 месяцев назад
isihaka anaweweseka laana yababake inamtafuna tartibu
@edwinismail9401
@edwinismail9401 6 месяцев назад
nimefuatilia argument zako inapendeza sana
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 месяца назад
Tatizo lake hujaliona?Au ni ushabiki?Anakimbia hoja hsjibu masuali anayiulizwa,anazungumza mengine.
@Muqadis-t8t
@Muqadis-t8t 9 месяцев назад
Tuambie ulifukuzwaje tamta
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Haikuhusu ndo tatizo la mawahabi hamuna muqtadhwal haal wala Muqtadhwal mahall
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 9 месяцев назад
Tuanze na Mafuta kwanza kukaa jela Saud arabia nini sabab
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@ingodwetrust1852 🤣🤣🤣
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 9 месяцев назад
Wewe umeshikwa babaya endelea na ngonjera zako hupunguzi chochote
@MohdAliHaji
@MohdAliHaji 9 месяцев назад
Kumbe sheikh Mohammed iddi usharudi kweny media sasa
@bagalucha
@bagalucha 9 месяцев назад
Tunataka kujua namna ulivyofukuzwa TAMTA.
@halidijuma1884
@halidijuma1884 9 месяцев назад
Naam SHEIKH HIZI SOMO ZAKO UNAZIDI KUNIFANYA NI JIELEWE,,
@AbuSuhaylah-b6f
@AbuSuhaylah-b6f 9 месяцев назад
Hujielewi
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
​@@AbuSuhaylah-b6f Wew nd kabsaaa hujielew
@IKOLAPORT
@IKOLAPORT 9 месяцев назад
​@@AbuSuhaylah-b6fww ndo wajielewa
@malengajuma2694
@malengajuma2694 9 месяцев назад
Sheikh Abuu idi pambana naobkwa AJILI ya Allah maashaallah tunakuelewa sana
@UB40X1
@UB40X1 9 месяцев назад
😂😂😂
@mbjunior166
@mbjunior166 9 месяцев назад
Huyu kweli itakua anavuta bangi khaaa😂😂😂Saa nzima utumbo mtupu! Ila nmecheka zaidi hapo mwisho aliposema eti "Sisi waislamu tunaamini kuwa maiti wanasikia" Nmejiuliza ni waislamu gani hao wasiojua kauli yake Allah mtukufu " Mukiwaita/mukiwaomba hawawezi kuyasikia maombi yenu..."
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Me mwenyew nimesomesha mpaka leo sina kibali hata kimoja Muhamed isihaka MUONGO 😂😂😂😂
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 9 месяцев назад
Sheikh kasome bado elimu hujafikia hata akida yako ni mtihani sana. Lugha tu lakin elimu ya sheria hakuna kitu kabisa mweupe sana. Ila kiuoande wa siyasa ukiingia unafaa sana sheikh Abuu Eid maana wanasiyasa wapo hivi. Njoo ukae muhadhara wa kujibizana macho kwa uso na usikimbie ndiko wanafunzi wako watasoma kweli na kuelewa vizuri bali sio ukimbie pembeni ukiweka picha ya sheikh kama vile ndio nguzo yako.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 9 месяцев назад
Umeitwa kwenye munaqasha mbona hutaki
@alisalum8908
@alisalum8908 9 месяцев назад
Ahsant
@musawaziri5088
@musawaziri5088 9 месяцев назад
Acha kulalamika shekhe rete dalili maulidi yanafaa bas
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
Kama Sifa ya mawahabi ni kuwadharau Masheikh Basi na ww ni Wahabi Mkubwa kwani ulimdharau Sheikh Kilemile Na kusema ni Mpotoshaji.Mwaka 2020... Na tukizingatia Sheikh Kilemile amekuzid umri Abuu Idd.Na ana digrii of Aqida.
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 9 месяцев назад
قال ابن تيمية رحمه الله. ومن اتبع هواه وقصر في طلب الحق وتكلم بلا علم. وهو عاص مذنب
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 8 месяцев назад
Abu iddi mpotosha Acha kuropokwa
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 9 месяцев назад
Huyu ndio yule babdeo aliempigia shekhe wetu Abu Khawla mbwana😅
@allywaziry6419
@allywaziry6419 9 месяцев назад
Ndio huyu huyu Ndio maana sheikh alimbainisha mapema kama ww kazi yako ni ku deal na watu wa bidaa.
@mbjunior166
@mbjunior166 9 месяцев назад
Ndio huyohuyo mtu wa bidaa😅😅😅
@ShamsiAbdallah-r8d
@ShamsiAbdallah-r8d 9 месяцев назад
Hichokitabu kimeandikwa kwakiarabi chotehikoo usitusomee kwakiswahili
@luvmo04
@luvmo04 9 месяцев назад
Hujadadavuwa hilo la kufukuzwa madrasa baada kushindwa mjadala
@rajahleather2035
@rajahleather2035 9 месяцев назад
Salamu yenyewe hajui kutoa eti taaaala mzee hajajiandaaa kabisa mala abehue mala jashoo 😂😂😂 mzee hajui kusoma kwanza mashekhe zetu inabidi watuachie hawa wazee
@AnbdulaziziJuma-qn7qw
@AnbdulaziziJuma-qn7qw 9 месяцев назад
😅😅😅 ngoja Shekh aje akukande tena unapota ukikandwa unakimbia
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
Jambo ambalo Tunaliona kwa Abuu Idd Ni Lahaja ya Kiarabu hana,Halafu Muoga wa kusoma Ibara kwa Lugha ya kiarab ila ni kidogo Na pia Anakosea pia. Na haya ndio Aliwahi kusemwa Ktk Radd dhid yake.
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 9 месяцев назад
Yupo kutuelewesha sisi tusiojua ww unaleta ni majivuno ya kijinga na kashaelezea sheh hapa ndio mlivyo
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
@@ingodwetrust1852 Huyu ni Sheikh Kwa kipimo gani??amesoma wapi?? Alijitokeza hadharani Kama hiv anavofanya na kudai madai ya uongo kuwa Yeye alimsomesha Qassim Mafuta Pale Shamsiyah. Na Qassim mafuta Alikanusha na kupinga kwa kiapo,na Alimwambia Aoneshe lini na wap na kitab gan Ambacho Aliwahi kumsomesha...!?Alirudi kujing'ata ng'ata. Nasemaje huyu anaskilizwa Na Wajinga kama wew mnaowafanha kila anayeongea Ni Sheikh.Sisi tunaofatilia Dini yetu kwa Dalili Hatuna haja na porojo zake mtandaoni.Na mtume Alishasema Watakuja Maruweybidhwa.Hakika amesema kweli mtume wa Allah
@salimqatada39
@salimqatada39 9 месяцев назад
maulidi sio mawahabi ndio wasema ni bidaaa Bali maulidi ni uzushi ktk dini ya yangu maulidi yamezusha karne ya 7 na mashia na kama kweli wampenda mtuma mtume alishasema kuwa anafunga siku ya JUMA tatu kwa sababu kazaliwa ,kwa hiyo kama wampenda funga kama mtume صلى الله عليه وسلم
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
Mawahabi wametumwa kuja kukometi ufedhuli ktk darasa zetu masufi
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 9 месяцев назад
Sahihi kumbe umeligundua hilo na wanaambiana ivyo miskitini kwao
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 9 месяцев назад
Huyu hadi hajielewi na makaratasi😅
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 9 месяцев назад
Huyo mwanamke kweli alikua anaakili ndio maana alitambua muislam sahihi aliokua anaulingania Mohammed bin Abdulwahaab Baada ya kuwa umeharibiwa na masufi zama hizo
@HUKUUSA2020
@HUKUUSA2020 9 месяцев назад
DINI YA UISLAMU SI YA MTU FULANI(AMRI YA KWANZA NI SOMA )usipotoshe watu
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 9 месяцев назад
Masheikh wa bidaa hawa jibuni hoja maulid sio dini mmepata wapi hayo ikiwa mtume na maswahaba zake hawajui?
@IsmailIsmail-ix1yd
@IsmailIsmail-ix1yd 9 месяцев назад
Ah acheni Mambo ya malumbano hayo, diini inapotea makafiri wanaibomoa mbele nyuma, nyie mnaoneshana Nani mwenye elimu zaidi ya mwenziwe, vijana wanasema sio poa kabisa. Ah miaka hii raddi! Tusubiri kizazi kijacho yamjaaliwaye tuone vimbwanga vyengine, maana UMEKUWA Kama fasheni Sasa. Badilikeni mashekhe zetu.
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 9 месяцев назад
Hata hawa masheikh vilevile wanaweza kuwa ulafiri vilevile au wakawa waharibifu wa diini zaidi hata ya wasio waislamu chukua tahadhari na soma dini yako sio kuskiiza shida tunaskiiza saana kwa vi point point vinavyohitajika na nafsi yako
@mustaphamkali7476
@mustaphamkali7476 9 месяцев назад
Sheikh abuu eid mm naskia vibaya au ndo sahihi hapo لا يجوز قراءةُ au sahihi ni لا يجوز قراءةَ؟؟؟
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 9 месяцев назад
Sahihi ni kutia dhumma
@binnyandwecheikhmuhamed
@binnyandwecheikhmuhamed 9 месяцев назад
اعندك الدليل على ذلك ؟
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
​@@binnyandwecheikhmuhamed Unaonesha huna elimu hata ya faa3il na maf3uwl
@IKOLAPORT
@IKOLAPORT 9 месяцев назад
​@@fahmiiidrisa5110nyie ndio wehu kabisaaaaa katika ilmu
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@IKOLAPORT Elim ni nin???
@HUKUUSA2020
@HUKUUSA2020 9 месяцев назад
Wewe ni mtu wa bidaa tuu huna hoja ya msingi
@AbasiIssa-r2z
@AbasiIssa-r2z 9 месяцев назад
is haka tapeli adanganya watu 😂😂😂
@rajahleather2035
@rajahleather2035 9 месяцев назад
Hukumwambia kama umeanza ku record😂😂😂😂😂😂
@Muqadis-t8t
@Muqadis-t8t 9 месяцев назад
Huna hoja
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Mohamed isihaka kwel Muongo 😂😂😂😂
@adamh1751
@adamh1751 9 месяцев назад
Huyu wampeleke hospitali ya akili c sheikh 😂
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
Na wewe nahisi utakua ni choko c mzima
@mbjunior166
@mbjunior166 9 месяцев назад
Anavuta bangi huyu😐
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 9 месяцев назад
Sub,haana llah
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 9 месяцев назад
Wewe muongo Sana mmetudanganya Sana tumeshajuwa ukweli hata uongee mpaka asubuhi hatukuwelewe
@IKOLAPORT
@IKOLAPORT 9 месяцев назад
Hamumuelewi namwenzio nani? Mawahahi tu ndo hamumuelewi
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 9 месяцев назад
Chamsingi unacho kiongea hakuna ni pumba tupu
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 9 месяцев назад
Duuuuuh
@OmaryTambi
@OmaryTambi 9 месяцев назад
Muongo ni muongo tu hatazwamwi ni nani
@abuukauthar525
@abuukauthar525 9 месяцев назад
wewe acha porojo sie tuna akili timamu
@mbjunior166
@mbjunior166 9 месяцев назад
Umeona eeh😅
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Mohamed isihaka Mudallis 😂😂😂
@rajahleather2035
@rajahleather2035 9 месяцев назад
Shekhe muongo wewe eti ulimfundisha Abuu fadhiri 😂😂😂😂
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
We ulikuwepo kipindi hicho?
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 9 месяцев назад
Kibri Mafuta hawez kubal baada ya kwenda uarabun
@JumaMsangaziMsangazi-nq1ru
@JumaMsangaziMsangazi-nq1ru 9 месяцев назад
Usihukumu moja kwa moja kuwa Abuu Idd ni muongo juu ya kauli yake yakumsomesha Kassim Mafuta...wewe hukuwepo aliposoma Tamta na pia mwenyewe Mafuta anasikia na bado hajakanusha kuwa hajasomeshwa...sioni shida yeye kusema kamsomesha kwasababu Mafuta alimkuta Abuu Idd na alitangulia kiilmi...sasa kama hujui usihukumu
@HalidiKassim
@HalidiKassim 9 месяцев назад
Alishakanusha na kaambiwa ataje kitabu gani kamfundisha abul fadhili.... hana majb ya yale ya mwanzo hata moja ila miongoni mwalo ni hilo kukataliwa kutomfundisha abulfadhil
@abuukauthar525
@abuukauthar525 9 месяцев назад
elimu yako haina baraka ulifukuzwa chuoni
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 9 месяцев назад
Abuu kauthar ulikuweko wakati abuu idd alipofukuzwa madrasa ama umesikia tuu mche mwenye ezi mungu acha matusi dini ni nasaha
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Nyie ndo kabsaa bora yake haina baraka nyie hamuna elimu kabsaa pumbavu nyie
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 9 месяцев назад
Wahabi yeyote unae komenti matusi apa hujielewi hvi mtu anakuonesha kitubu unadai dalili gani au nyie mkifungua clp hamaikilizi mnawahi kwnye kukoment ujinga tu aisee kwel mmekaririahwa nyie wehu sanaa
@abdulmuminabdullah1296
@abdulmuminabdullah1296 8 месяцев назад
Kaddhaab wewe, toast, hoja.
@bagalucha
@bagalucha 9 месяцев назад
Elimu hana,lakini antaka kujifanya ana elimu,mambo ya kitoto
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
We ndio mwenye elimu fanya mambo ya kikubwa
@jumamaulidi8023
@jumamaulidi8023 9 месяцев назад
Yaani tuache kumsikiliza mwana wa chuoni tukusikilize wewe mpuuzi usie jitambua
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
Huyu ni mpotoshaji. Twariqa sio Dini ni Vikundi tu. Hadith inayosema من سن في الإسلام سنة حسنة...... Yeyote atakayehuisha sunna njema(nzuri)....... Kinachomsumbua Hapa Sufi huyu Ni Tafsir ya neno "Sanna" ametafsiri kwa maana "Bidaa" Haelewi Tofaut ya Maneno haya mawili ktk Lugha ya kiarabu. Pili :Sababu ya Hadith hii Ni Swahaba Aliyetowa sadaqa.wakat mtume Anahimiza watu watowe sadaka lakin Walichelewa Mpaka Alipoanzisha huyu kuitowa Ndipo wengne wakaamka na kuanza kutowa... Kwa hyo sabab Ya hadith ni Sadaka swali kwa Masufi je,Sadaka haipo au haikuwepo mpaka Alipotowa huyu Swahaba.???
@mbjunior166
@mbjunior166 9 месяцев назад
Huyu wanaomjua wanasema anavuta bangi😂
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
Tafsiri hii uneipata wapi?
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@mbjunior166 na bangi zake lakin anachokisema ni cha kwel tunaangalia maslah
@AhmedWetaka101
@AhmedWetaka101 9 месяцев назад
@@fahmiiidrisa5110 Ibn Baaz!!!!
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 9 месяцев назад
@@AhmedWetaka101 kanuni ya kisheria inasema inaposhindikan kutafsir neno kwa hakika ndo utumie majazi إذا تعذرت الحقيقة يصار إلى المجاز kweny hlo neno sanna kuna udhur gan wa kutafsri kwa tafsri yake ya hakika mpka mtu atumie majazi?
@jumamaulidi8023
@jumamaulidi8023 9 месяцев назад
Unaongea Kama mtoto mdogo huna hoja ya kielimu hata moja hapo hauongei na wanafunzi unaongea na watu ambao hawajishuhgulisha na elimu
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
Tunajua mmetumwa
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 9 месяцев назад
Bwana huyu kila akiongea analalamika tu lete hojja bwana usilalamike
@abuukauthar525
@abuukauthar525 9 месяцев назад
wee dawa yako munaaqasha
@OmaryTambi
@OmaryTambi 9 месяцев назад
Mvuta bangi tu wewe
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 9 месяцев назад
Duuuuuh
@mohamedomary2887
@mohamedomary2887 9 месяцев назад
Mawahabi hawana tofauti na mayahudi
@Arkhamz_95
@Arkhamz_95 9 месяцев назад
Hii usawa wao kweny jamb gan?
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 9 месяцев назад
Ktk kumpinga mtume
@Arkhamz_95
@Arkhamz_95 9 месяцев назад
@@jabirhussein4180 hakuna wahabi anaempinga mtu hata mmoja na siku y kiama utakua mwenye kuulizwa unayoyasema
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 месяцев назад
Uwahabi ndo nn???Nahitaj Dalili za Vitabu
@Arkhamz_95
@Arkhamz_95 9 месяцев назад
@@أبوفيصل-د3ش hakuna dalili uwahabi ni madhhabu kutok kw mwanazuoni abdul wahab ndio likatok hilo neno
@fareedsseif4297
@fareedsseif4297 7 месяцев назад
Uwahabi umeanza Miaka 200 iliopita. Uwahabi ni sawa na Niacea Conference ya Pili. Uwahabi uliondoa Dola ya Ban Hashim ya Shariff Hussein na kushirikiana na Wayahudi na Wazungu kuunda dola itayo control Kitivu cha uislam. Ni project kubwa ya kijasusi kutoka kwa Mayahudi. Hawa pia walifanikiwa Kuwavuruga Wafuasi wa Nabii Issa Aleihi Salam na kuwaundia utatu! Tuwe makini sana nao
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 месяца назад
Uwe na yakini unayoyasema hilo ulilolizungumza ni kubwa mno na utowe hoja na dalili ukiwazushia uongo watu wema hukumu yake ni kubwa mbele ya Allah.Haya si mazungumzo wala utani kama wa simba na yanga.Chunga ulimi.
@Muqadis-t8t
@Muqadis-t8t 9 месяцев назад
Tuambie ulifukuzwaje tamta
Далее
ഹൈതമി hero of the day
6:16
Просмотров 44 тыс.