Тёмный
No video :(

SHEIKH MUHAMMAD IDDI" MAJIBU YA MAWAHABI | MAWAHABI WALIPINGWA NA SISI TUNAPASWA KUWAPINGA 

ZVP ONLINE TV
Подписаться 233 тыс.
Просмотров 1,3 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@abdulrahmanbakar5416
@abdulrahmanbakar5416 8 месяцев назад
Ebdelea tunaweka kumbukumbu tu. Kuna kizazi kitakuja kukuelewa baada ya kupata shida sana ktk kuwafata mawahabi. Hili pote la uwahabi duh ni shida sana.
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 8 месяцев назад
Shida kuliko ushia au sio?
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 8 месяцев назад
Shukran sanaa sheikh
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 8 месяцев назад
“Mtu anaye mtukana baba yako ni mbaya zaidi bora akutukane wewe” 6:57 vipi wale wanao tukana maswahaba
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 8 месяцев назад
Vipi Mohd iddi mpotosha wa wa njia aliyotufundisha Mtume wetu Muhammad (s ,a,w)
@Naaam353
@Naaam353 8 месяцев назад
Tunakuelewa sana
@mrafm7285
@mrafm7285 8 месяцев назад
Huyu jamaa ana chuki na watu wa Sunna lkn bure yake tu Hana hoja za msingi
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy 8 месяцев назад
Mimi binafsi si wakubali sana hawa jamaa,kwa jaziba zao,na kujiona wao niwa peponi wengine wa motoni
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 8 месяцев назад
Wewe ndio humuelewi sheikh wangu hyu ila wewe nimbumbumbu
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy 8 месяцев назад
Uislam umeingia Tanzania miaka zaidi ya mia mbili,uwahab Umeingia Tanzania miaka ya 1970,je? Miaka yote hiyo yote walikuwa wapi?
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 8 месяцев назад
Mbna hatukuon unapinga mashia
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy 8 месяцев назад
Andika vitabu Ili nawatu wa vijijini wapate elimu hiyo.
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 8 месяцев назад
Mohd iddi wewe Kazi Yako kula tumbaku .Na sidhani kama mdomoni mwako imo
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 8 месяцев назад
Hamtaki kuambiwa ukweli
Далее
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17
Sheikh Mohamed Idd
35:09
Просмотров 3,4 тыс.
TALAKA KATIKA UISLAMU _ SHEIKH MOHAMED IDD
20:57
Просмотров 30 тыс.