Тёмный

"Serikali haisemi ukweli" Waitara afichua Siri Nzito iliyojificha Mgogoro na Mauaji ya Serengeti 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 4 тыс.
50% 1

Mbunge wa Jimbo la Tarime vijijini Mwita Waitara wakati akizungumza nnje ya viunga vya Bunge leo Jumatano, Februari 8,2023 Bungeni Jijini Dodoma.

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@simionbirai7851
@simionbirai7851 Год назад
Ubarikiwe sana kwa maelezo sahihi yaliyonyooka! Serikali ifanyie kazi ushauri wako itatibu eneo Hilo!
@samirsamson3996
@samirsamson3996 Год назад
One love Brighton Muhandishi Msomi
@eggypeter6226
@eggypeter6226 Год назад
Inakuwaje dhamani ya wanyama(mbuga) iwe kubwa kuliko ya binadamu?!
@eggypeter6226
@eggypeter6226 Год назад
Wakati ni Sasa wa Serikali kutatua hili jbo
@saidimohamedimgotomgoto979
@saidimohamedimgotomgoto979 Год назад
Mbuge wa jpm
@MAGORINYAMAIRO-nc7vx
@MAGORINYAMAIRO-nc7vx Год назад
Mheshimiwa panama no mashetani WA luxury Latina washindwe
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 Год назад
Pesa zinatumbuliwa na kuharibiwa na Samia Suluhu na mazwazwa wenzake. Wananchi wateseka na kusaga meno. Aibu!!!!
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Год назад
Ndo lengo la mama kipenzi kuruhusu mikutano ili Madudu yafichuke,maana hata baadhi ya viongozi wa CCM walibadilika wakawa miungu watu
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Год назад
MH waitara umeitelekeza cdm ukafuata ulaji ccm,nikikuangalia kwamakini unaonekana kunaviasilia vya CDM lakini tatizo hofu yako ndooilikupelekahuko Sasa umechafuka kabisa kabisa!!!
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 Год назад
Mbunge wa mwenda zake
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 Год назад
Ndo Mbunge BORA kabisa.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Год назад
Jamaa alinunuliwa nahela zetu zamma huuniupumbavu wahali yajuu kwamutu Kama waitara kumuunga juhudi muuaji Yule waawamu yatano, inatia kichefuchefu utafikili nimazezeta wakulaghaiwa shenzizenu mnajilimbikizia hela zamma
@floraashery224
@floraashery224 Год назад
Nilichogundua baada ya mikutano ya hadhara kuruhusiwa wabunge wameamka iseeh,au mnaonaje wanadzengo
@eng.essaelswai177
@eng.essaelswai177 Год назад
Sure!
@simonmseti9216
@simonmseti9216 Год назад
Mimi nasikitika kuona viongozi wote wanao letwa mkoa wa mara wanakuja kama vile wana maelekezo na kiburi cha hali ya juu,na hawaja wahi kuwa upande wa raia!!!, siku
@manguredjipaminessprl6862
@manguredjipaminessprl6862 Год назад
Joseph makutano....wewe ni farasi
Далее
skibidi toilet multiverse 042
20:57
Просмотров 4,6 млн
Watching This On Loop ♾️
00:32
Просмотров 9 млн
Кольцо Всевластия от Samsung
01:00
Просмотров 180 тыс.