Тёмный

SERIKALI KUMPA TUZO ALIYEKIMBIWA NA BI. HARUSI, GWAJIMA AMPIGIA SIMU “MWINGINE ANGEKUWA JELA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 133 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 460   
@life_varieties9559
@life_varieties9559 2 месяца назад
Mwingine angechukuaa hasiraaa. Na kumdhuruu mwanamkee. Congratss. Kabisaaaa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 месяца назад
Hongera kaka huenda Mungu kuna kitu amekuepusha. Busara zako ni darasa kwa sisi wanaume wengi.
@nasrachaya
@nasrachaya 2 месяца назад
Fact
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 2 месяца назад
Kwer kabisa mpaka natamani aniowe mimi
@marymwasiga
@marymwasiga 2 месяца назад
KabisA,,
@marybanyakile434
@marybanyakile434 2 месяца назад
Amina
@musamalaba6401
@musamalaba6401 2 месяца назад
Kabisa yaani duuuu
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 месяца назад
Asante sana bi harusi kwakutotokea kwani leo hutu kaka atakuwa na maisha mazuri sanaaa...MUNGU ATAMJALIA ALO NA KHERI NA YEYE❤❤
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 2 месяца назад
Ktk umri wng nimeshuhudia km kutoka kwa mtenda zikimuendea mtendewa na mikosi ya mtendewa ikihamia kwa mtenda.
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 2 месяца назад
Bahati za mtenda huhamia kwa mtendewa.
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 2 месяца назад
Sahihi🎉​@@godfreyobadiah7892
@NtayandiLeonard
@NtayandiLeonard 2 месяца назад
​@@godfreyobadiah7892👊
@AmelitaKadudu
@AmelitaKadudu 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@gililwise
@gililwise 2 месяца назад
Mh Gwajima nimekupenda sana kwa maneno ya hekima kwa huyu kijana
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 2 месяца назад
Huyu mwanaume nampenda mke wake, wana mtoto pamoja na walikua wanaishi pamoja, ni rafiki wa tangu utotoni. Hao wazazi na ndugu ndio wamemvuruga. Watu Wamsaidie zile shs laki mbili zilizobakia, akazilipe warudiane na mke wake
@WahuBoth
@WahuBoth 2 месяца назад
😮 kweli ?​@@joycekisamo4896
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 2 месяца назад
​@@joycekisamo4896 huenda Mwenyezi Mungu kamuepusha na hiyo ndoa. Ukweli familia ya huyo mwanamke haifai kabisa ni bora atafute tu mwanamke mwingine aoe. Likuepukalo lina kheri na wewe hivyo asing'ang,'anie mahali asipopendwa - hiyo famìlia bomu asiikaribie tena
@dorismombo7219
@dorismombo7219 2 месяца назад
Hata mm nimependa alivyoongea Mheshimiea ni maneno ya faraja na hekima kubwa
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 месяца назад
Kila jambo lina makusudiyo yake, binadamu akukunyima chake mungu anakupa zaidi ya ulichopoteza....allah akupe uimara na subra yajayo neema kwako
@graciousmgeni7249
@graciousmgeni7249 2 месяца назад
UMENENAAA
@emmanuelndotela9412
@emmanuelndotela9412 2 месяца назад
Bibi harusi amelaaniwa yeye na kizazi chake.
@LucyRafeali
@LucyRafeali 2 месяца назад
Kweli kabisa kila jambo linakuwa ma makusudi yake Kuna jambo Mungu kakuepusha kitu jamani Kaka Mungu atakupa mke mwingine huyo anaweza kuwa siyo wa kwako
@demicratia4071
@demicratia4071 2 месяца назад
Upande wa pili bibihharusi ilimtokea niniii?
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Nikwel kabisa uyu kaka anabusara Sana na anahitaji tuzo na zawadi kiukwel mana angekuwa mwengine angefanya kitu Cha ajabu Sana..kiukwel uyu kaka anahitaji zawadi na achongewe Sanam pale dodoma au dar ...mwanaume wa mwaka...na inaonyesha mambo yake mala nyingi anayaendesha Kwa positive safi kaka mungu akubaliki na akulinde daima
@imma_billy
@imma_billy 2 месяца назад
Mungu atampa mke mwingine tena mzuri wa tabia na kila kitu. Hongera sana mwamba kwa kuushinda ubaya.
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj 2 месяца назад
Duuuuuuu!!!! Kumbe kukimbiwa na bibi harusi ulikuwa ni mpango wa Mungu. Hongera sana ndugu, kweli nimeamini baraka za Mungu zinakuja katika mazuri ya ajabu sana. Mungu amekuondolea huyo shetani, amekupa baraka, acha Mungu aitwe Mungu tu.
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Watoto wanabakwa hakuna msaada ila kukimbiwa ni hongera Tanzania ya maajabu 😢🚮
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 2 месяца назад
Acha wivu kila jambo mungu ndie anayepanga we unafikili kilichomtokea uyo kaka kama asingekua na Iman nn kingetokea?​@@leokamil6284
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 2 месяца назад
​@@leokamil6284hahaha dah "FACT"
@shedrackjoshua834
@shedrackjoshua834 2 месяца назад
Tena sio maajabu ni upuuzi sana yaani maswala ya kukimbiwa kwa tanzania na tuzo wanatoa msichana hajulikani alipo sema waja watasema ya Mungu ​@@leokamil6284
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj 2 месяца назад
@@leokamil6284 kwa mfano angemchoma kisu huyo bibi arusi msaada wako wewe ungekuwa nini!
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
Dah kaka ana hofu ya Mungu.hadi machozi yamenitoka 😢😢 Kila kitu kinatokea kwa sababu
@AngelNelson-y4t
@AngelNelson-y4t 2 месяца назад
Kumbe tuko wengi
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s 2 месяца назад
Kuna wa2 mnatunyima jambo mnatupeleka kwenye hatima yetu🙏🏻asante umemnyima ndoa ila umaarufu huu kuna k2 pia kizuri zaidi Mungu anaenda kumpa🤲amen🙏🏻kaka be blessed🙏🏻
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 2 месяца назад
Huyu madam anajitahidi kufanya kazi yake vizur sana. Kuna kipindi niliona kama anachangamoto lakni sasa ninamwelewa sana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 месяца назад
Kabisa!!
@filamupictures9349
@filamupictures9349 2 месяца назад
changamoto gani 😂😂😅, ya akili ama???
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango 2 месяца назад
Hongera sana Mheshimiwa Dorothy Gwajima Umenitahidi kumtia moyo huyu mwanaume! Na iliwahi tokea huku MBEYA - Kyela Siku ya Harusi Bibi Harusi alitoroshwa Siku ya Harusi/ sherehe HADI Zambia! Na akaja kurudi kwa mume wake Baada ya miaka nenda Rudi akiwa na mtoto! Lakini yule mume alimpokea na maisha yakaendelea!
@Muharram-c5n
@Muharram-c5n 2 месяца назад
Huyu mama Mh ni fundi sana wa kuzungumza,hii ni mara ya pili kumskiliza,hivi ndivyo inafaa kuwa kiongozi
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 2 месяца назад
Anatumia kodi za wananchi kumzawadia au pesa zake binafsi??
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl 2 месяца назад
,😂😂😂​@@hamisimuhunzi7916
@DeborahAbeli
@DeborahAbeli 2 месяца назад
Unajua kila Jambo huja na sababu na makusud ya Mungu hutimia nadhan bi arus asingegoma leo isingekuwa hivi kwa huyu kaka so ilikuwa njia ya kijana kufika apa yote kwa yote ashukuriwe MUNGU wa mbinguni🙏🙏Ila bi harus uko aliko anajifunza kituuuu
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser 2 месяца назад
Dada arudishe ile Pete ya uchumba amuondolee nuksi uyu kaka
@jeaninekabano9190
@jeaninekabano9190 2 месяца назад
Pole kijana shetani ameshindwa neno la Mungu linasema, Mungu hatakupatia jaribu lisilo la kawaida kwa binadamu na atakupa mrango wa kutokea kuwa mtulivu tu Mungu ana njia nyingi sana za kulinda watoto wake Hongera❤❤
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 2 месяца назад
Kweli nimeamini Mungu ananjia nyingi sana za kubadili historia ya maisha ya mtu dah😢😢😢😢
@savioursimon458
@savioursimon458 2 месяца назад
Sometimes disappointments are Gods' blessings in disguise. Keep calm and trust in him 🙏🏽. God is good all the time, Amen.
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 2 месяца назад
💯
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 месяца назад
Huyo dada inaelekea anashikiwa akili na ndugu zake,huyu ndio mwanaume huenda angeua au angejiua,kudos to him❤❤❤
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 2 месяца назад
Huyu mwanaume nampenda mke wake, wana mtoto pamoja na walikua wanaishi pamoja, ni rafiki wa tangu utotoni. Hao wazazi na ndugu ndio wamemvuruga. Watu Wamsaidie zile shs laki mbili zilizobakia, akazilipe warudiane na mke wake
@Alice-Gyunda
@Alice-Gyunda 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ safi sana mheshimiwa mameno yako yabusara sana Mungu akubariki Dadangu , we ni mama bora sana na kiongozi mwenyewe busara hekima na Mwenyewezi Mungu aendelee kuku kuli da na kuku wpis ha na mabaya yote. Endelea kupiga kazi dadangu 👌💓🌺🔥⚡️✨⭐️🥂💫💞💥🎻🎻❤️‍🔥❤️‍🔥🥁🥁 Singida oyeeeee✅
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
MadhaAllah.Alla.amlindeYaarabi
@esthergasper4815
@esthergasper4815 2 месяца назад
Mengn yanakuja kama mabaya kumbe yanakusudi 🙏🙏🙏🙏
@neemamtenga2687
@neemamtenga2687 2 месяца назад
❤❤Safi sana Mama @Doroth Gwajima you're just amazing and Wizara imepata mtu sahihi sana
@FghgRyy
@FghgRyy 2 месяца назад
Maa shaa Allah hongera sana kaka
@genuinetips1
@genuinetips1 2 месяца назад
This is Called "Kumpiga teke Chura ni kumuongezea Hatua'"
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 2 месяца назад
Ni kweli kabisa 😢
@ChristinaKembe
@ChristinaKembe 2 месяца назад
Huyo dada anajisikiaje
@deboravicent7427
@deboravicent7427 2 месяца назад
Sijui hata why machozi yamenitoka. Ila dahh.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 месяца назад
Huyo dada wa mjini uko alipo anapatwa na kutu kwenye ubongo kwa wivu. Ongera brother wetu.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 2 месяца назад
Lazima ataumia sana akiona hiyo video kwakweli hiyo ndoa Mungu hakutaka iwepo na kuna jambo Mungu kamuepusha.
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 2 месяца назад
Huyo binti hataolewa kamweeeeee
@angelinnamkingi2219
@angelinnamkingi2219 Месяц назад
Wewe kweli ni mwanamme bora,Unastahili tuzo ya mwanaume bora kweli,Mungu akubariki sana!!
@Namtumbo
@Namtumbo 2 месяца назад
Ahsante mama Dorothy NAKUPENDA
@giftmwidete1915
@giftmwidete1915 2 месяца назад
Nahitaji kuwa na positivity ya huyu kaka 😂😂😂😂wote tungekua na utulivu ivi kesi zingepungua
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 месяца назад
😂😂
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 2 месяца назад
Kweli kabisa 😂😂😂
@chikujuma18
@chikujuma18 2 месяца назад
❤❤❤❤ nikupe love zako kaka hongera kwa ujasiri ulikuwa nao mola yupo nawe atakupa mwanamke mwingine kwa uwezo wake Allah kuwa na subira inshallah
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 2 месяца назад
Mashaallah kaka hongera zako M mungu atakupa lenye kheri na wewe kaka
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi 2 месяца назад
Mungu ugeuza mabaya kuwa mema.Kwakuzira biarusi walidhani wamemwaibisha bwana harusi,kumbe ndo nchi nzima tumemjua.Kaka umeinuliwa juu sana mpk serikali imekutambua ww ni mtu mkuu sana.Bi harusi pole ulileta dharau kwa pesa kidogo iliyobakia ila naona kwa baadae utamtanani sana jinsi alivyoinuliwa juu na hilo tuzo lawezaambatana na furusa kubao.Ubarikiwe sana bwa bwana arusi kwa uvumilivu mkubwa.
@Ashoora2
@Ashoora2 2 месяца назад
Mashaa'Allah hongera ❤
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 2 месяца назад
Hongera bro, mshukuru mungu. Everything for reason labda ndio kakufungulia njia ya mafanikio. Na pia yupo mwingine ambaye mzuri zaidi ya huyo utampata . Huyo dio riziki yako na dio uliyebalikiwa nae.❤
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 месяца назад
Mungu kuna kitu kakipanga mbele yako kaka ndio maana alikupa nguvu ya ujasiri mungu akulinde kaka anguvkipenzi❤❤❤
@NapatNapat-x6i
@NapatNapat-x6i 2 месяца назад
Hongera Sana mama gwajima kwa kazi yako mzuri sna ❤❤
@pastorlazarosamwelkilala5795
@pastorlazarosamwelkilala5795 2 месяца назад
Kwa kweli kila ubaya unao tendewa ni dalaja la mafanikio yako
@marygmrema8611
@marygmrema8611 2 месяца назад
Ukimpiga chura teke kwa nyuma unamwongezea mwendo
@fridamuss922
@fridamuss922 2 месяца назад
Aminiiiiii kabisa mm pia niliachwa na mwanaume MUHIMBILI sina mbele wala nyuma lakin asahv mwanaume akiniona haamini kabisaaa nyie MUNGU huyuu
@njuka3515
@njuka3515 2 месяца назад
Ila huyu kaka mimi nimempenda sana yaani hadi natamani kuwa mume wangu
@evancepolin1403
@evancepolin1403 2 месяца назад
Haya ndo maneno Sasa kama unaweza Jenga upendo wa dhati fursa
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 2 месяца назад
Yani huyu ukiolewa nae hekima ndani ni tele sana namwombea apate mke wa kufanana na yeye
@rosejoel-nh8hu
@rosejoel-nh8hu 2 месяца назад
acha uzinzi sali sana😁😁😁😁😁(jokes)
@labanhezekiel5627
@labanhezekiel5627 2 месяца назад
Kwa nn unampenda...?.
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 2 месяца назад
​@@rosejoel-nh8hu😂😂😂😂😂😊😊😊
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 месяца назад
Duh sijaonaga hii kitu kumbe kweli mungu katutofautisha hatufanani hongera sana mungu akutete kuna jambo kakuepusha sema amina
@nyakwesichanzi3832
@nyakwesichanzi3832 2 месяца назад
❤❤❤ Barikiwa sana Gwajima
@christophermunishi
@christophermunishi Месяц назад
Mheshimiwa waziri nakupongeza kwa hili! Mungu akubariki!!
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo 2 месяца назад
Anastahil tuzo kwakweli ❤
@stellamwakatulile
@stellamwakatulile 2 месяца назад
Mungu akitaka kukupa uja kwa njia tofauti acha mungu aitwe mungu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Kwel huyu ni mwanaume wa mwaka..mana kafanya maamuzi ya busara Sana na amekuwa anatumia positive way...
@janetdundul3858
@janetdundul3858 2 месяца назад
Ongera sana MUHESHIMIWA 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@vitussimon9696
@vitussimon9696 2 месяца назад
Hongera sana Kwake.
@FelixMiyamini
@FelixMiyamini 2 месяца назад
Mama gwajima nakuomba Sana waziri hyu kijana apewe mtaji Kama 10ml hv ajipange aowe Tena🤝
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 2 месяца назад
Duuh unafundisha viongoz cha kufanya 😂😂😂
@Ammykurunge-q8y
@Ammykurunge-q8y 2 месяца назад
😮😮
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 2 месяца назад
Atapewa Hilo sio tatizo, hata Mh Rais bila shaka ameliona hili Kwa jicho la tatu na atampongeza Kwa namna nyingine.
@ukweli255
@ukweli255 2 месяца назад
SISI WENGINE TULIVUKA HIKI KIZINGITI ILA TULIPOFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA TUKAITWA WASHAMBA ...Jamii huwa inapenda kuona mwanamke kapigwa na kuumizwa sana ndio wajue kweli huyu ni mwanaume Kumbe unaweza kudeal na tatizo kwa njia nyingine na ukawin...Hongera sana kaka wewe utakua sehemu ya wawakili wa Wanaume tulio na hekima zaidi
@Dorcaskiwale-ir6ec
@Dorcaskiwale-ir6ec 2 месяца назад
❤❤❤wewe ni mwanaume wa nguvu kwa kweli
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 месяца назад
Hii inaitwa shukuruni kwa kila jambo liwe zuri au baya....Mungu yupo kazini...
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 2 месяца назад
Kweri kabisaa ❤❤❤hongeraa Sana
@boazambokile2587
@boazambokile2587 2 месяца назад
jamaa kua sana wzee huyu ndo legend wetu🎉🎉
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 2 месяца назад
Masha Allah hongera mheshimiwa gwajima Mungu akubariki sanaa Ombi kwa mama samia panga pangua sawa ila please usitupangulie huyu mama kwenye hii wizara
@kilistar5253
@kilistar5253 2 месяца назад
Mama hongera sn.
@dionisiajohn519
@dionisiajohn519 2 месяца назад
Mama ngwajuma hongera sana, kazi nzuri sana mpendwa,. Pia kaka were ni jembe kama Yanga vile😂 Tano kwa Murad ayo Mbarikiwe sana.
@AngyJoh
@AngyJoh 2 месяца назад
Sio ngwajuma 😂😂 Ni Gwajima mwisho utasema Ngwasuma 🙌
@AngyJoh
@AngyJoh 2 месяца назад
Duuuh 😂😂 hii comment
@betsebamwenda4379
@betsebamwenda4379 2 месяца назад
Ukishinda vita Mungu anakupeleka utukufu hadi utukufu. Mungu hawezi kukufungia milango yote, angekuwa mwingine angejiuua. Hongera mheshimiwa kwa kutambua hilo
@Mamshika
@Mamshika 2 месяца назад
Natamani huyu kaka apate pesa nyingi awe tajiri na apate mwanamke mzuri aowe afanye harusi kubwa sana ionekane kwenye mitandao na ile familia na binti aliemdharau na kumkataa waone Mungu alivowa ajabu
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 месяца назад
Yaani ingekuwa poa sana hata mimi wakisema namchangia ifae zaid
@salmajuma4300
@salmajuma4300 2 месяца назад
Natamani ajengewe jumba la kifahari. Apewe na mtaji mkubwa. Na kazini kwake apandishwe cheo.
@jacquelinemaryphil4331
@jacquelinemaryphil4331 2 месяца назад
Amina
@Mwigaa95
@Mwigaa95 2 месяца назад
Sijui huyo mwanamke ana jisikiaje huko pahala alipo 🙆🏽🙆🏽😄🏃🏽
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 2 месяца назад
Safi sana Dr Gwajima
@mwatibamkwawa9281
@mwatibamkwawa9281 2 месяца назад
Mwanaume nangai 🎉🎉❤❤❤
@generosennko8343
@generosennko8343 2 месяца назад
Duh! Kweli utu wa mtu ni mtu mwenyewe. Hongera sana kwa utulivu. Ila jichunge sana na ule upande wa pili. Binadamu hawaaminiki. Take care son
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 2 месяца назад
Mmmh mungu akitaka utoboe ana kila njia😂😂🙏🙏
@herrwin.
@herrwin. 2 месяца назад
unaambiwa njia za Mungu hazijawai kuwazwa na binadamu, pale unapoona ni pagumu na hakuna njia, endelea kua na hekima kwan mwanga uko karibu kuja, kijana saizi matangazo ya biashara yatakuja kama siafu, hakikisha una hama mtaa ili bibi harusi asikutege tena 🤣🤣 kwako bibi harusi, pole sanaaa maana umetumika kama daraja la kumvusha kijana wetu huyu toka Misri hadi nchi yenye mema, Kwa familia ya bibi harusi, poleni sana maana nyie ndio vishoia no1 mliomdanganya mtoto wenu mkiamini mtamkomesha bwana harusi, nawaona saiz mnavozidi kumtia moyo bibi harusi kwamba wanaume wako wengi ..
@njuka3515
@njuka3515 2 месяца назад
From Dubai Bakanga. Mama Gwajima hongera sana Mungu skubaruki Asante mama
@cyrilVenance-o7v
@cyrilVenance-o7v 2 месяца назад
Hee dubai
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 2 месяца назад
Mh waziri safi Sanaa sanaaaaaa mama yangu
@TereziMarura-dk2dg
@TereziMarura-dk2dg 2 месяца назад
Jamani kaka,pole sana
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 месяца назад
Hongera kwa ujasiri kaka
@njuka3515
@njuka3515 2 месяца назад
Hongera sana miladayo
@CharlesMbunda-og5tn
@CharlesMbunda-og5tn 2 месяца назад
Mhe Gwajima, Mungu akubariki mnooo!!! Uwe Mbunge milele!!!
@irinekadzo6579
@irinekadzo6579 2 месяца назад
Huyu kaka kama hajapata mtu mniunganishe naye😂😂😂😂nimpeleke akatwae tuzo😅
@AngelNelson-y4t
@AngelNelson-y4t 2 месяца назад
Huyu kaka amenifundisha kitu kikubwa sana haijalishi ntapitia changamoto gan kwenye maisha yangu ntamshuku Mungu kwa yote na bado nitaendelea kuwa na tumain 🙏🙏 kuna wakati Mungu anakuondolea mtu kwenye maisha nia yake sio kukuumiza bali kuna nyakati nilazima upitie ili Mungu ainuliwe hakika kuna mabadiliko mazur kwa mtu anayemtumainia Mungu siku zote
@Naju645
@Naju645 2 месяца назад
Dah mungu atampa mwanamke Bora sana
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 месяца назад
Ahsante waziri ,umetenda wajibu mama nimama anahuruma kw yeyot, nawtt wetu mjifunze yaliomema 🎉❤
@PriscaDeke
@PriscaDeke 2 месяца назад
Asante sana Mheshimiwa kwa kumthamini kijana
@TedyEmanuel
@TedyEmanuel 2 месяца назад
Ahsante mungu,,ubarikiwe mheshimiwa kwa kuguswa na hili
@AishaSaid-yg1ou
@AishaSaid-yg1ou 2 месяца назад
Kwa kweli Subra Huvuta kheri...Muheshimiwa Mungu akubariki
@SarahKigogo
@SarahKigogo 2 месяца назад
Wew ni mwanaume pekee sana mungu akuongoze sana
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 2 месяца назад
Nimefurahi sana hongera mheshimiwa
@jckybags
@jckybags 2 месяца назад
Pole sana kaka ila ukirudi kwenye ile familia tena utajua hujui. Usitulize kwa mara nyingine we kaka😢
@jesusismyeverything1630
@jesusismyeverything1630 2 месяца назад
Waoooo ilikuwa njia yake ya kuinuliwa na Mungu
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq 2 месяца назад
Pole ndugu mapito nikumtanguliza mungutu
@PamelaKasambala
@PamelaKasambala 2 месяца назад
Mungu akusimamie na usiache Ibada
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 2 месяца назад
MUNGU akujaalie Kaka yangu. Usijali yote maisha Kaka. insha'Allah Allah atakujaalia kher
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 2 месяца назад
Hongera sana kaka kila jambo lina makusudi yake kuna kitu Mungu alikuepusha❤
@nesielias9493
@nesielias9493 2 месяца назад
Wanaume wote igeni mfano wa mwanaume mwenzenu, hongera kaka👏👏👏
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 2 месяца назад
Tanzania tumepata viongozi wenye hofu ya mungu❤💪💪💪
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 2 месяца назад
Very emotional
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
Indeed
@pceodhc
@pceodhc 2 месяца назад
Kaka wa maana! 🙏🏾🎉
@joycekaganga6924
@joycekaganga6924 2 месяца назад
❤ Mfano wa kuigwa sana tu apewe maua yake ❤🎉🎉
@PaulinKalekezi
@PaulinKalekezi 2 месяца назад
Hongera mh.waziri kiukweli hujawai kuliangusha Taifa jambo jema ata usipo mpa chochote maneno yako uliyotamka ni tiba tosha kwa huyo kijana mungu akubariki sana.
@NeemaJames-u6n
@NeemaJames-u6n 2 месяца назад
Mungu akupe neema
@angelyessaya7508
@angelyessaya7508 2 месяца назад
Njia za MUNGU si njia za wanadamu Wala mawazo yake si mawazo ya wanadamu. @ambwene mwasongweSong: TUMEKUBALIKA NA MUNGU "Walidhani wanatukimbiza kumbe wanatusindikiza".
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ 2 месяца назад
Dah kweli MUNGU ni mwema sana jmn waziri ubarikiwe sana kwa busara yako🤝👏👏👏
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty 2 месяца назад
Maashaalah Maashaalah
@henryj3304
@henryj3304 2 месяца назад
Mungu akutie nguvu kijana mwenzetu
@shukranitv2971
@shukranitv2971 2 месяца назад
Gwajima umefanya vizuri sna
@Sharifa_Fashion_21
@Sharifa_Fashion_21 2 месяца назад
Masha Allah
@DeborahMrema
@DeborahMrema 2 месяца назад
Huo ndio uwanaume hongera sana bro
@wennybarny168
@wennybarny168 2 месяца назад
Bravo
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
AllahuAbkaruSubhanaLlah.kilamtihan.unakheryNdani.yakeKubwaSubra
Далее
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
новое испытание
00:40
Просмотров 149 тыс.
Только ЕМУ это удалось
01:00
Просмотров 610 тыс.
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36