After firing CS, next should be *Judiciary,* we have a case under her docket former Telkom ( retrenched) and teleposta pension. Why is she entertaining cat rat game on senior citizens like us? Many of us are dead in the grave waiting on this corrupt system to give us justice
Ni kwel alichagua marafiki wala sio viongozi kama aisha jumwa alikosa kura na akapata kazi kwa kua ni shabiki wa prezoo ...aisha jumwa alikua wa kwanza kumtusi baba raila ety haeziongea kiingereza kumbe kimemramba😮😮😮
Ata viongozi wa huku ushagoo tafadhal wanatufinyilia sana ..waache ubaguzi,na hii mambo ya kupeana kazi kifamilia iishe mtu anapewa kazi kwa kua cuzo yake ndio mkubwa mahali flani