She is actually my former classmate pale starays.... but after shule kila msee alienda Zake sikuwai kuja kuonana nae uku kibra ....but Dinah pole sana all will be well .life has a lot of up and down
Huyo ilikua wewe wengine tukuelezee about mama wakambo utatuonea huruma utawachukia mama wakambo mimi nachukia mama wakambo alinifanya nichukie hii dunia 😢😢
Hateswi ni yeye anatesa wazazi wake na kutoroka Kwa nyumba kila saa babake akimtafuta arudi Kwa nyumba kila saa, she's a grown up she can go and get married instead of telling people lies in the social media
Huyu ni mtoto wa pst yetu , aki Dina mbona uwongo hivi , mbona watoto wenyu wengine wanakaa na huyu mama, nani amekuambia uende kwa media ku expose baba hivo na venye babako anakupenda , wacha kujificha uko rundi home ukaombe msamaha kwa babako , na nyinyi watu wa citizen chunguzeni kitu kwanza before mkuje hewani, Dina hizi tabiya zako usipo siwacha utahukumiwa na mwenyezi Mungu , babako ako na machungu sana venye alikuona jana kwa citizen
It's disgusting that a media like Citizen does not do prior consulting before publishing such kind of shit such pupilliarity the girl has been used by someone to soil her father's name please consult her father