Тёмный

SHANGWE ZATAWALA ASKOFU NGALALEKUMTWA AKITOA NENO LA SHUKRANI MBELE YA MAASKOFU NA DK.MPANGO 

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Подписаться 110 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@hezronkangalawe1319
@hezronkangalawe1319 Год назад
Baba Askofu Ngalalekumtwa, umekuwa alama ya utumishi uliotukuka kwa kanisa na kwa kuwatumikia wananchi katika mahitaji ya kimwili. Nakuombea afya njema ili uzidi kututumikia. Kwa namna ya pekee umetuwakilisha wana Iringa katika kuwatumikia watu kwa hofu ya Mungu. Barikiwa.
@paulmnyeti7027
@paulmnyeti7027 Год назад
Mungu mtakatifu wa mbinguni akubariki mzee wetu, babu yetu, mchungaji wetu Mtumishi Wa Mungu Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa, Askofu Wa Iringa.
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123 Год назад
Mwenyezi mungu akujalie afya njema nayenye baraka teleee wewe pamojaaa na kanisa katholic loteee
@drgeofreymdede3952
@drgeofreymdede3952 Год назад
Asante sana baba Askofu. Nimemsikiliza mara tatu hadi sasa. Katika maisha yangu wewe ni askofu bora sana kwangu. Sijawahi kuchoka kusikiliza mahuburi yako.
@leticiamlandali3022
@leticiamlandali3022 Год назад
Hongera sana Baba Askofu,Mungu mwema aendelee kukubariki kwa utume wa miaka 50.
@AgnessMsola
@AgnessMsola Год назад
Baba yetu hongera kwa kazi kubwa hakika mungu anajivunia mteule wake
@greysonmatogo4662
@greysonmatogo4662 Год назад
Babu Ngalalekumtwa kwa watu wa iringa ni zaidi ya kiongozi wa kidini, ni baba na babu kwa kila mtu, amekua baraka na chemichemi ya furaha kwa watu wa dini zote na rika, hakika mzee huyu ni nyota inayong'ara.... Mwenyezi Mungu amweke salama amalize vyema mda wake wa utumishi na kukabidhi kijiti kwa mwandamizi wake, kazi ya Mungu isonge mbele. Hongera baba askofu na Wana iringa wote.
@EzekianaMlawa
@EzekianaMlawa Год назад
Ásante Mungu Kwa zawadi ya baba yetu, Askofu wetu, Mjomba wetu . Ásante Kwa ukarim wako, upendo, uchaji wa Mungu na Imani kubwa kwa. Mungu. Ubarikiwe sana Baba. Nikutakie majukumu mema yanayoendelea ili ulimwengu uzidi kumjua , kumpenda na kumtumikia Mungu.
@felixmtuya6351
@felixmtuya6351 6 месяцев назад
Hongera Babu,Baba,mjomba Ngalale wa Joseph.Mungu akubarki na kukujalia afya njema!!!
@erastoMnyonzi
@erastoMnyonzi Год назад
Hongera Baba Askofu kwa jubilei yako ya miaka 50 ya utume.Mungu akubariki sana
@RoseMlowe-j5s
@RoseMlowe-j5s 11 месяцев назад
Hongera baba yetu tunakukuombea utume mwema Asante mungu kwakutuletea askofu wetu wajimbo lairinga mungu akubaliki🙏
@katunzimutalemwa3366
@katunzimutalemwa3366 Год назад
Mungu azidi kukubariki
@MbambuAnnah
@MbambuAnnah 8 месяцев назад
I connected my self and my family to the mass🙏🙏
@FransiscoKivamba-zu8gc
@FransiscoKivamba-zu8gc Год назад
Mungu akulinde
@visensiakadege6608
@visensiakadege6608 Год назад
BABA ASKOFU MUNGU AKUBARIKI SANA. TUNAMSHUKURU MUNGU KUTUPATIA WEWE BABA NA BABU YETU
@Sarafina-j8p
@Sarafina-j8p 15 часов назад
🎉🎉🎉🎉❤❤❤.
@jaspermtuya228
@jaspermtuya228 Год назад
Mungu awe nae siku zote
@joshuachuwa5695
@joshuachuwa5695 Год назад
Jamani inguluvi yatupelye baba askofu huyu.Asandi sana baba.
@petercharles1819
@petercharles1819 Год назад
Ilikuwa njema sanaaaaa
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 Год назад
Amina
@robbyman6213
@robbyman6213 Год назад
Amen
@nyerere1259
@nyerere1259 Год назад
Askofu wangu ❤
@MwanahamisiNguga
@MwanahamisiNguga 6 месяцев назад
Baba angu wakipaimara mungu akuweke miaka mingi
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 5 месяцев назад
Hazina kubwa sana kwa kanisa la Tanzania
@machiyakalemela135
@machiyakalemela135 Год назад
I miss you askofu toka umenipa kipaimara sijakuona tena
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 3 месяца назад
Utume mwema Baba Askofu Ngalalekumutwa
@aishamsemwa-zu3eo
@aishamsemwa-zu3eo 6 месяцев назад
Askofu aliyenipa sakrament ya kipaimara 🎉🎉🎉 , ila ndo hivo sai niko 🕌
@EliotMbogo
@EliotMbogo Год назад
Nishangwe na nderemo sisi wanairinga kukua kiimani pamoja na baba yetu ngalalekumtwa kutimiza miaka 50 ya upadre
@MauritiusMwapili
@MauritiusMwapili 10 месяцев назад
Wanaporokia ya veronika magu jimbo kuu mwanza tunamtakia heri na baraka tunakukumbuka toka kaingesa seminary
@JapharyMsella-zm9sb
@JapharyMsella-zm9sb Год назад
Nikiwa mwanza leo nakumbuka niliulinzwa swali mwaka 1999 nikiwa nasoma mafundisho kigango cha sadani parokia ya kaning'ombe,nani askofu mkuu wa jimbo la iringa nilimtaja huyu! Mungu akubariki ,ulupembe lwelu hatari sana
@josephsiwila2397
@josephsiwila2397 Год назад
Na ukakosa
@AgnessMsola
@AgnessMsola Год назад
Hakika mbarikiwe wamisionari
@ROBERTMGOGOSI
@ROBERTMGOGOSI Год назад
Huyu mzee namkubali kuliko Biden wa amerika hakiyamungu😁😁😁😁
@hamisijuma8124
@hamisijuma8124 Год назад
Kumbe Yesu Ana Moyo sasa Anakuwaje Mungu
@michaelvincentmhagama337
@michaelvincentmhagama337 Год назад
Metaphorical, but metaphysical heart too. Hiyo ni lugha yakiteolojia, lugha ya ya kiroho na ni lugha ya Kanisa pia. Siyo rahisi wote kabisa kuielewa vizuri, bali kwa moyo wakawaida na kujinyenyekeza na imani, mmoja aweza kuielewa vizuri sana.
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 11 месяцев назад
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.Asante Mungu Kwa zawadi ya Imani katoriki
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 11 месяцев назад
vingine ukubali vikupite tukielewa wenye dini yetu inatosha who are you????
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 21 день назад
Swala la imani ni la mtu binafs fata imani yako
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 Год назад
Amina
@emanuelmatinya1110
@emanuelmatinya1110 Год назад
Hongera sana baba askofu NGALALEKUMTWA..kuhani hakika utume wako umetukuka nasi tunakuombea MUNGU akupe maisha marefu yenye amani na furaha
Далее
The REAL Truth Behind the DVD Logo
01:00
Просмотров 30 млн