Тёмный

SHARIFA: Kutoka UIGIZAJI hadi kutengeneza bidhaa zake mwenyewe za VIPODOZI, avionesha na kuvichambua 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@Shareit_Again
@Shareit_Again Год назад
Hii ni sehemu ya kutangaza biashara hata sioni kama kuna motivation yeyote. leteni watu waliokuza biashara from nothing to sthng. watu hawa huwa wana experience nzuri ya biashara na si hawa wanafanya baishara kwa mteremko kupitia majina yao hawana cha kueleza.
@sunrisekitchen1
@sunrisekitchen1 Год назад
Mtafute haika wa mbezi garden she will motivate thousands of people also biashara connections
@bilid4128
@bilid4128 Год назад
Good job .I appreciate it ❤❤❤
@tensotv
@tensotv Год назад
Duuh hii nchi🙄🙄..kumbe maji yanapimwa kwenye kilo na hamtuambii..
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Mtafuteni Director Joan mumhoji nae
@ZeishaFuture
@ZeishaFuture 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@ednaJF1028
@ednaJF1028 Год назад
Need to be careful what you use for your skin is very important because sometimes the product can cause a big problem
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Год назад
Mmmh hii chenga au wanalpia kuja hapo? Mbona brand ake hata aijulikan ili tu apreciate
@lynalyna3968
@lynalyna3968 Год назад
Tuletee mzungu wa kichaga pls
@OnlyRuky
@OnlyRuky Год назад
Nilidhani products za Garnier hair food and shampoo nk...some labels and colour mpka packages 🙄
@kilalakaila9762
@kilalakaila9762 Год назад
No motivation for this😢
@OnesmoMpetula-cg2ht
@OnesmoMpetula-cg2ht Год назад
Bro hii interview umezingua bhana...there is no motivation rather ni kama amekuja kutangaza biashara yake ..next time ngependa kuona unawauliza how they start from scratch cause we are here to be motivated......am stand to be corrected
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Sky umezungua 2019 mpaka 2023 miaka 10 umekosea
@modestmkali3436
@modestmkali3436 Год назад
2019 to 2023 ni Miaka 10? SKY unaanza kuzingua 😂
@ednaJF1028
@ednaJF1028 Год назад
Yani ndani ya week mbili umemaliza? Mtaungua ngozi nyie 😮na
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
​@@ednaJF1028 Mafunzo mwendokasi
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Hatari 😂😂😂😂
Далее
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43
KUTANA NA BEATRICE, MUUZA KEKI MWENYE MASTERS MBILI
5:16
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43