Тёмный

SHEBBY | NIMEKUBALI YANGA NI MUZIKI MWINGNE | MAGORI AWE SHABIKI TU TULALAMIKE WOTE 

Finest Online II
Подписаться 27 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@yakoubkimeza2629
@yakoubkimeza2629 8 дней назад
Huyu anajua mpira vizuri sana, unaeleza sawa.
@HassanMkina-z6b
@HassanMkina-z6b 7 дней назад
Nakubali mwanangu sanaaa chagamba ungeza wadau wetu
@yudamagesa5594
@yudamagesa5594 8 дней назад
Chagamba umejua kunifuraisha umepita kwa kila mmoja. Miaka Mia kwako 😂😂😂😂😂😂
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 8 дней назад
Kupania game lazima uuzee lakini ukweli uliopo hiyo siyo consistency ya wachezaji wa simba
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 4 дня назад
chagamba safi sanaaa
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 4 дня назад
Acha kumlinganisha Aucho na Kagoma unamkosea adabu Aucho. Hata huyo Mavambo kumlinganisha na Mudathiri ni kumkosea adabu Muda
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 7 дней назад
Gamba gamba gamba mlete mzee said agh
@MADAHAYOHANA
@MADAHAYOHANA 8 дней назад
Mbona unamwuliza mambo ya simba TUuu 🤣. ! Mwulize Hali ya gem ilivyo kuwa kama unavyo mhojigi milaji na Mzee said khaa
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 4 дня назад
Waliongea kabla ndo maana anaulizwa ya simba
@JoshuaaSankaa
@JoshuaaSankaa 4 дня назад
Huyu bo boya hajui kitu
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 4 дня назад
Hapo chagamba umemhoji mtu sahihi siyo akina kisugu waropokaji tu hata mpira hawajui
@FiliMsambwa
@FiliMsambwa 8 дней назад
kwamtindohuo utawapata wenzako tu ndio watakusapoti mlete mze saidi bwana
@TheGreat-lq9tg
@TheGreat-lq9tg 6 дней назад
Acha kuwapangia wengine, kuna wengine tunahitaji ufundi wa mchezo siyo stori za mihemko ya Said
@GodblessMushi-e6y
@GodblessMushi-e6y 8 дней назад
Chagamba 😂
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 8 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@agustinoabel-wn6nx
@agustinoabel-wn6nx 5 дней назад
Chagamba sisi tuna mtaka mzee saidi babu
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 дня назад
Mzee saidi kachaongea au ujaona??
@DottoWache
@DottoWache 8 дней назад
Chagamba awa watu wengine unawaokota wapi sio mtu wa football uyo 😂😂😂
@msongeomary6195
@msongeomary6195 7 дней назад
Mjinga huo kabisaa asijisaulishe alichokiongea
Далее
skibidi army returns (skibidi toilet 77)
00:49
Просмотров 1,8 млн
Family♥️👯‍♀️🔥 How old are you? 🥰
00:20
bacca anataka kuchukua ufungaji bora simulation huu
17:31
I LOVE MY TEACHER | 2 |
24:47
Просмотров 443 тыс.