Тёмный

SHEHE SURE AWASHA MOTO MAANDAMANO YA NGORO NGORO 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 464   
@raphaelmkosamali1056
@raphaelmkosamali1056 22 дня назад
Anayejua historia hasomi kikaratasi
@leonardlushika
@leonardlushika 22 дня назад
Sikutegemea wewe kwa maneno yako hayo simuelewi mnafiki tu nimepata mashaka na kazi zako
@johnsylivester8412
@johnsylivester8412 22 дня назад
Kweli njaa mbaya saana, kwani ww umeagizwa na nani utueleze haya we kama nani msemaji wa wawakenya,wasai, au wa serikali!?,
@DenisSweetbert
@DenisSweetbert 22 дня назад
Kama walitoka Kenya, mbona wanapelekwa Msomela?
@danielpeter8085
@danielpeter8085 22 дня назад
ASA Kama ni wkenya mbna walikuwa wanalipa Kodi nchini
@user-nx4pb3lk5v
@user-nx4pb3lk5v 22 дня назад
Muislam anatetea waarabu sisi ni wazaliwa wa miaka ya sitini, huonni uongo uliokolea udini, kaupeleke msikitini huo uongo.
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 22 дня назад
Ulaaniwe kwa jina la Yesu Krsto ndugu yangu wewe kweli hufai kabisa MUNGU wako akuhurumie Sana baba wasemehe watu wako wape Imani wakujue wewe wawe na imani ya kukujua wewe DAIMA hongera Sana kwa waliotabua jaa ya kiongozi wetu wa dini kweli hiyo nikali kuliko chochote
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov 22 дня назад
Unajua história,,Sasa hicho kimemo ni chá kazi gani??
@YassinRajabu
@YassinRajabu 22 дня назад
lazima mutetee kisa rais muislamu mwenzetu lakini mukumbuke bado miaka 5 tu mtanyamaza
@ombengoranga5589
@ombengoranga5589 22 дня назад
Kwann maneno yake tu anatakiwa ajiudhulu wadhifa anauaibisha uislamu
@jumannehamadi2282
@jumannehamadi2282 22 дня назад
daaah acha niendelee kudhini2 maana nizambi ndogo sana kuliko huyu shekh hatari Sana hamuogopi mungu
@kamarhelo
@kamarhelo 20 дней назад
Innalillah wa innalillah rajiun ngugu yangu hayo maneno alio sema sulle ndo unayafananisha na zinaa kweri ila zini azabu Yako ipo kwa Allah na sio kwa sulle
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 20 дней назад
Hahaha kweli nimecheka sana aisii
@user-fe8tx5bo2f
@user-fe8tx5bo2f 22 дня назад
Chawa mnakaz sana ya kumsafisha mama
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 22 дня назад
Mmmmmmmmmh Unauaibisha uislam, Au mama nae kampata siprian msiba😮😮😮
@AlexMkwama
@AlexMkwama 22 дня назад
Pesa ileile ya yuda iskariote ndo kapewa huyu mtu kufuta ukweli.
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 22 дня назад
Nimecheka kwa sauti😅😅kwahiyo ata nyerere nae ni mkenyaa
@AlexMkwama
@AlexMkwama 19 дней назад
@@estherkibajiro3480 kahongwa huyo kwaajili ya yeboyebo ya kuingia kwenye nyumba yake ya Ibada
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 22 дня назад
Sio kweli shekhe umemsahau mungu na kuona Bora kitu kuliko utu
@kamarhelo
@kamarhelo 20 дней назад
Yani nyie hamumuelew sulle kwakua mnamchukia tu mana sijaona baya hapa
@justinemsela3593
@justinemsela3593 22 дня назад
Tuambie mwarabu kaingia mwaka gn
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 22 дня назад
Daah shekhe usije kuzua taharuki kwamba wamasai walioko Ngorongoro sio wtz! Angalia maneno ya kinywa chako! Hilo unalozungumza hata muasisi wa taifa hili halifahamu! Mungu anakuona mtumishi! Acha upotoshaji haiko ivyo bora kunyamaza kuliko kuichonganisha serikali na wananchi wake, ukiona kama unachokizungumza utaweza pewa nafasi kwa serikali no no no siasa haiendi ivo
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 22 дня назад
Huyu baba kapewa donge nono😂😂
@user-mg6hn6os6y
@user-mg6hn6os6y 22 дня назад
Huyu Sule anajuwa kuliko Professor Shivji? Anapotoshwa na majini wachafu.
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 22 дня назад
Hahahaha 😅😅😅nimecheka mpaka machozi
@GwandajaGidamejod
@GwandajaGidamejod 22 дня назад
Umelipwa sh ngapi shehe au jini lalo amekufundisha hivyo
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 22 дня назад
Hayo maneno ya AMANI tafadhali waambie ccm wenzako, ndio wasiojua msingi wa AMANI kuwa ni HAKI. CCM hawajui kitu HAKI au sheria.
@MwinyijumaThomas-rp4sz
@MwinyijumaThomas-rp4sz 22 дня назад
Chawa katika ubora wake😀😀😀
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 22 дня назад
😂😂😂😂
@kisymollel3928
@kisymollel3928 22 дня назад
Documents za uwepo wa watu ngorongoro zipo kwanzia mwaka 1954 kipindi Cha gavana tanbul wa uingereza. Hata hiyo dini ulioiquote! Haina maana kama utajitoa akili kuongea ujinga kama huo, kingine mungu hajagawa mipaka labda uniambie mungu wako wazungu walioweka mipaka iliopo kwa leo. Muulize tanbul
@henericolinda
@henericolinda 22 дня назад
Acha uchochezi bro.
@MakesenLekoyo
@MakesenLekoyo 22 дня назад
Wew utalaniwa kumbe wew ni pepo
@kamarhelo
@kamarhelo 20 дней назад
Mlaaniwe nyie na baba zenu mana sioni neno baya alilo lizungumza hapo
@matiredms917
@matiredms917 19 дней назад
@@kamarhelo Wewe huoni chochote kwa sababu nyani haoni kundule. Wewe ni zuzu tupu ambalo linaishi kwa makombo ya watawala Waovu.
@user-le6jm2tf5y
@user-le6jm2tf5y 23 дня назад
Kwahyo walihamia tu kienyeji na serikari ikawakaribisha kienyeji kumbe immigration ndo wanatakiwa walijibu hili siyo wew Kuma lako
@Mkubwa_jr
@Mkubwa_jr 22 дня назад
Njaa itatupeleka motoni wengi sana kwa hayo mambo yanayoendelea....usikute hajaandika hichi anachokisoma kwa bahati mbaya eshalipwa tayari maana serikali ya tz kwa kuhonga pesa za wananchi kwa kuwapa machawa sio kitu kwao.
@user-cs1hp5sq9h
@user-cs1hp5sq9h 20 дней назад
Hii siyo dini bro unauaibisha uislam
@user-rj4dk2tt7k
@user-rj4dk2tt7k 18 дней назад
Njaaa njaaaa njaaaaa njaaaaa njaaaa mtatumika sana kafanye kazi. Hiyo historia iweke hadharani tuione. Historia huwa inaandikwa
@nickolassimion
@nickolassimion 22 дня назад
Wewe ni shehe au shetani.
@HusseinSuleiman-g3b
@HusseinSuleiman-g3b 21 день назад
Naona shehe umeshiba sana kwaiyo marais wote waliopita hawakuiona hiyo historia au
@user-im7ql7wo2r
@user-im7ql7wo2r 22 дня назад
Mtu kama huyu haijui hata Kuruan haijui, yeye ana ushabiki wa watawala. Anapenda wazungu na waarabu kwa ajili ya pesa ulizopewa, na kutaka kujipendekeza ili upate masilahi binafsi.
@user-cv5cq3bf4v
@user-cv5cq3bf4v 22 дня назад
Unawapigia debe ccm sisi waislamu wenzio tulioko Zanzibar wanavotumiza hawa madalali
@makoyenyanginywa
@makoyenyanginywa 22 дня назад
Je mwarabu ameingia mwaka gan
@user-cv5cq3bf4v
@user-cv5cq3bf4v 22 дня назад
Dokta sule sasa naona unaenda kua kama kina baba levo..uchawa
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 22 дня назад
Wewe sio kiongoz wa dini bali niongoz wa shetani ll
@Mbavunene-7
@Mbavunene-7 20 дней назад
Oi wadau piteni na huku kwangu tusapotiane ❤
@DickReiya
@DickReiya 22 дня назад
We pepo kweli na laana inakufuata na kizasi chako yote
@MtimkavuMwakilema
@MtimkavuMwakilema 22 дня назад
Unawachafua mashe
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 22 дня назад
Ujue mungu anakuona wewe sule binafs neno sheikh nimelifuta hapa duniani na kesho akhera
@ShedrackRukomba
@ShedrackRukomba 22 дня назад
Waarabu washatia mguu lazima ngumi zipigwe
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 22 дня назад
Rudi shule acha ujanja ujanja shule ni muhimu Sana kwenye maisha
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 22 дня назад
Kwahiyo ata nyerere nae nimkenya kwa sababu katoka mpakani mwa kenya???😂😂😂pesa mbaya sana ...uchawa hautoisha Tanzania 🇹🇿 😅😅
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 22 дня назад
Mmmmh ! Shekhee! Usipotoshe jamii kwa historia isiyokua ya kweli! Hata hiyo idadi ya mifugo unayoi cort daaah
@issamangapi5486
@issamangapi5486 22 дня назад
Mpuuzi Sana huyu......tapeli tu
@gibsonsimburya5291
@gibsonsimburya5291 22 дня назад
HUYU shehe hajui kuwa hata hii Tanzania sio nchi ya asili ilichorwa tu kwenye karatasi wakati wa kugawana afrika. Mungu hakuumba Tanzania Wala Kenya.
@Dicksontarabeta-n2k
@Dicksontarabeta-n2k 20 дней назад
Ulaniwe na mungu kabsa wew mzee huoni hata aibu na ukubwa wako huo😊
@sulemanxulex8508
@sulemanxulex8508 22 дня назад
Hivi huyu jamaa anasema anachokijua Sasa Hela yetu ambayo tulitumia zamani ilikuwa na picha ya Mmasai Sasa yule mmsai alimaanisha nini Sasa huyu jamaa amesema mpaka mwaka 1976 waasai hawakuwepo Je ilikuwane wakawakwa kwenye noti ya shilingi mia? ambayo ulikuwepo kabla ya njaa hiyo ya mwaka 1970 1975 hivi huyu anajieleewa kweli?
@YesuKristu-y5w
@YesuKristu-y5w 22 дня назад
Asante ajue pesa ya kwanza tanzania ni masai kazaliwa juzi kakuta mambo ya ruksa ,ambyo awamu ya tatu ilikuta rushwa iliyokithiri
@romanshirima5883
@romanshirima5883 19 дней назад
Nimepata shida sana kukusikiliza maana nilitaman nisikie unasema nn, ila mungu akuoneshe njia sahihi ya kuongea unachoongelea
@SamwelLaizak
@SamwelLaizak 20 дней назад
Ogopa mungu wew shehh
@EmmanuelNgonya
@EmmanuelNgonya 22 дня назад
😂😂😂njaa mbaya sana.yani huyu jamaa hajitambui aiseeh.
@davidjohn8908
@davidjohn8908 22 дня назад
Hyu hajitambui, hili tujue si la wamasai tu, litatokea popote, na wamasai hawa watanzania wenzetu wakikubali kuondoka Ngorongoro wote hatupo salama
@abilahnamnungu1819
@abilahnamnungu1819 22 дня назад
Yaani shekhe chagua moja uwe shehe au mwanasiasa yaani wewe mwongo.
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 23 дня назад
Acha kujipendekeza Kwa serikali bhna acha kabisa utalaaaniwa wamasai ni ni watanzania
@MenejaMeneja-t1v
@MenejaMeneja-t1v 22 дня назад
Ume2mwa na mabwana zako warabu cndiyo wamenunua😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@jumannehamadi2282
@jumannehamadi2282 22 дня назад
mm nimwisilm ila sule kwaleo umenikela kumbe mahubili yko yote huwa yauongo daaah we nimnafiki sana
@johnkitwima6963
@johnkitwima6963 21 день назад
Hata kama walitokea Kenya lakini tayari ni Watanzania kwa muda walioishi na kuzaliana hapa Tz.
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 20 дней назад
Wanaojipendeza ccm tuwaonaa sana
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 22 дня назад
Fara kabisa mtu mavi
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l 21 день назад
Umefeli ndugu yangu huna maana kabisa huna hata h ofu ya Mungu,Uislamu gani ulionao.umeshasha lamba Dume.Wale ni watanzania na siyo wakenya ni watanzania.
@johnjohn4042
@johnjohn4042 22 дня назад
Yani kweli kabisa unasema 1970 ama kweli dunia amka
@matiredms917
@matiredms917 22 дня назад
Huo ni uongo na uzushi wa hali ya juu. Kama wewe kweli ni Shehe umuogope Mungu utapata laana.
@ShabanShaban-r5e
@ShabanShaban-r5e 20 дней назад
Tambua watu wanaakili timamu unajishushia heshima yako broo😂😂
@user-yd4et4sd9b
@user-yd4et4sd9b 22 дня назад
Ustadh kwa maneno yako ndio unazidi kupoteza umaarufu wako, 1 wamasai wote kwa sasa ni adui zako. We endelea tu.
@KelvinMsigwa-ev5zs
@KelvinMsigwa-ev5zs 22 дня назад
Jinga ww kwahiyo hao waarabu ni watanzani?
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 22 дня назад
Samia anamachawa wengi😂😂😂
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z 21 день назад
Ukitaka historia ya arizi ya Tanzania na wananchi wake ujue Kila kabira asiri yake sio tanzania
@AmiriAbdallah-g5x
@AmiriAbdallah-g5x 19 дней назад
Ni kweli utakuta kila kabila tz halina kwao so aache ushetani huyu, wamasai waachwe ngorongoro. Km anataka cheo aombe tu huko asitufundishe ujuha.
@KaleleyanKashuma
@KaleleyanKashuma 22 дня назад
Wewe koma Rudi shule Mzee ACHA uchoga
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 22 дня назад
Suala la Wamasai sio la dini. Wewe shehe umetumiwa na Waarabu.
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 20 дней назад
Mwenye njaa mi were panya
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 22 дня назад
Kwani hayoyote serikali haikujua Hilo mpaka wanapeleka huduma yza jamiii
@ibrahimmaneno8486
@ibrahimmaneno8486 21 день назад
Yule wew ni msemaji wa serekali au kada wa CCM tueleweshabe vizuri maaaana leo ndo umeanza kunifanya nikujue kwamba unacheo chengine bana..... Kama na wwwe una cheo serekali sema tu ukweli
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 20 дней назад
Kweli Tanzania kuna wazee wa hovyo sana
@maranduleshira3727
@maranduleshira3727 22 дня назад
Afrika ni moja. Acheni kutafuta sababu ya kuwanyima wamaasai haki yao.mbona mlikuwa mnachukua kodi ?
@athumanmnguruta338
@athumanmnguruta338 22 дня назад
Mbona shehe hujielewi Kwan umeambiwa tunavita na Kenya hebu usikurupuke
@EvalistTokwa
@EvalistTokwa 22 дня назад
Kumbe ndy maana wanasema uyujamaa sio ostazi nitapeli
@simonzelote5998
@simonzelote5998 21 день назад
Wewe kweli cjakuelewa vizuri na nafikiri mawazo yako hayana mantiki
@KashindiSimukindje-me7vf
@KashindiSimukindje-me7vf 22 дня назад
Siasa ile ile walio tumia Kongo ndio hiyo hiyo wanataka kutumia Tanzania, Kongo uwaga wanajiita wanyamulenge
@Dicksontarabeta-n2k
@Dicksontarabeta-n2k 20 дней назад
Mwana sheria hasomi ktabu peleka unafik wako kwenu
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 22 дня назад
Ww ginga Sana wapinzani wanapinjwa wanatiwa ndani uhuru Gani wanopewa
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 23 дня назад
Huyu shehe ni bonge la Tako Allah atamuhukumu apende asipende
@kamarhelo
@kamarhelo 20 дней назад
Hasbunallah wa neemali wakir
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 22 дня назад
Unayo ya zungumza ni ukabila ambao Nyerere alisema tutakapo Anza ukabila , Mimi hapa nacho jua hakuna anae jua asili yake kwa kufuata mwongozo wa mipaka ya wakoloni
@user-ld6ly9wb6l
@user-ld6ly9wb6l 22 дня назад
Kumbe wa senge wapo wengi Tanzania dah
@israelfutte214
@israelfutte214 22 дня назад
Najua dini ndiyo inayokusumbua imeharibu utu wa ndani!! Na sababu ya ukreshi uliopo pale
@pastorlazarosamwelkilala5795
@pastorlazarosamwelkilala5795 22 дня назад
KILICHO SABABISHA HOJA YAKO IKOSE NGUVU UNA SOMA KWENYE KARATASI UNGE ELEZEA BILA KUSOMA KARATASI UNGE POKELEWA KWA RAHISI
@masanjajoto8880
@masanjajoto8880 22 дня назад
Linatumalizia mb2 ngoja niondoke
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 22 дня назад
Wewe mwongo Fanya KAZI zingine ,
@khalifayakubu3558
@khalifayakubu3558 21 день назад
achana na mambo hayo shekher
@marianmartin7483
@marianmartin7483 21 день назад
Namaliza mb zangu bule.
@machoyahaya7330
@machoyahaya7330 22 дня назад
Ww ni shehe au shetani
@seifuboss
@seifuboss 23 дня назад
JINGA KWELI HILI
@rajabusaimon7662
@rajabusaimon7662 21 день назад
Baba kwa hili umechemka kwaiyo unamaanisha mda otee huo Masai wote walikua wakimbizi mpaka selekali inawahamisha nakuwajengea nyumba bule blo jitafakali
@LocksMichael
@LocksMichael 22 дня назад
Ndio watu wetu hawa tunategemea hawa watufukishe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@gidionchami9958
@gidionchami9958 22 дня назад
Huu ni uhongo na upotoshaji wa hali ya juu
@josephmchila6467
@josephmchila6467 22 дня назад
Hueleweki kabisa,na hujui historia
@josephclementkisendi6726
@josephclementkisendi6726 17 дней назад
😁😁👉 sheh hueleweki bali inasikitisha kwaunacho kipigia debe😁😁👉sheh! Tz bora uzima😂😂😂😂😂huuu
@KashindiSimukindje-me7vf
@KashindiSimukindje-me7vf 22 дня назад
Watusi wa Kenya na Rwanda wanaitafuta Tanzania nayo kama walivyo itafuta Kongo , Watanzania msipo kuwa makini watusi watakuja kuweka Tanzanizia katika virugu kama wanavyo haribu Kongo , wanatafuta kuharibu Tanzania nayo. Mtusi ni mwaAfrica Shetani kbs.
@Jihelyakwilasa
@Jihelyakwilasa 22 дня назад
Akili huna shee
@user-ex9gt9np8i
@user-ex9gt9np8i 23 дня назад
Wewe umechanganyikiwa unajitawaza kabla ya kunya
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 22 дня назад
kwendraaa 😥 kumbe we nae n wahivyo
@zephanialuangwaeliatosha9723
@zephanialuangwaeliatosha9723 22 дня назад
Hawa masheh wa namna hii niwakuwatenga kwenye jamii hawatufai
@jonassamwely
@jonassamwely 22 дня назад
Mnafikic ww unajua vjiji vilipimwa mwaka gani na kuhalaliswa watu kukaaa huoni unataja miaka ambayo watu waliishi kwa ujamaa mm nakumbuka mwaka 1972 vijiji vlipagwa na kama kuna raia ambaye syo wa TANZANIA ikiwa kipindi hcho ulikuwa nchi hii basi ilipita uwe Mtanzania kivyovyote vile,ila ww asa hv unazungumuzia miaka ya nyuma na huo 1972 Jitafakali umekula Ruswa ww
Далее
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,3 млн
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
Просмотров 63 тыс.
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,3 млн