Shukran sheikh hamza Mansoor Allah akuzidishie umetuelimisha ssi na wengineo wenye walikua wamepotea. Allah akupe afya njema na akuzidishie miaka zko uendelee kutuelimisha❤️
Jazakumu Allah kheiran Akhi. Mola atuongoze sote Waislamu tunapotea kwa injia ya haki na hiyo ni kufuata mnendo na mafundisho Mtume (s/w/s) . Tumechukulia dini ni kutimiza ibada pekee bali tunatakiwa vitendo vyetu yote yawe yameambatana na dini yetu. Lakini tujiangalilie sisi leo tunaishi kwa kuigiza au tunaishi maisha isio ambatana na uislamu. Tuamrishane mema na tukatazane mauvu na tujiulize mbona leo dunia mzima imekuwa na Janga la Corona ni sababu ya yale maovu tunayoyatenda tutubu kwa Mola wetu swt. Wasalam Aleykum.
Shekh Allah akuhifadh qalima nzr Ila hao wanao kurikodi na kukutuma Wewe na mashekh wenzako muongee kuwatahadharisha kuwa watowe hako kamlio wkat mnapo ongea Waache maneno makavu Hio ni ktk moja ya ala ZA miziki ambayo umegusia Hapo Kwhio vzr wtowe kubaki maneno tu haina haja kutia hvyo Ili kusikitisha Yatosha maneno ya Allah na mtume wake صلى الله عليه وسلم...
Hio pia ni nyimbo inayolia wakt akizungumza Ni miongoni mwa ala ZA miziki Wanatakiwa hawa mashekh wa chanel hii Wawaaambie hao wanao warikod na kuwatuma wabakishe maneno makavu haina haja ya hvyo vimlio Mtu kam hayajamtosha maneno ya Allah na mtume Hata hako kamlio hakito mtosha.